MAWASILIANO YENYE WELEDI SEHEMU YA NNE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 14

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 5 лет назад +1

    huyu mzee amenifunza mengi sana na nimekuwa mwanafunzi wake makini sana.MUNGU ambariki sana.

  • @elihurumankini5910
    @elihurumankini5910 3 года назад +2

    Nawaelewa sana ka Harris kapinga na da Lilian mwasha na Dr elivida

  • @sigudaud2301
    @sigudaud2301 7 лет назад +1

    Jamn sijui hata nisemeje huyu dr. Huyu kwangu ni kama makaika alieagizwa na Mungu kupitia yy nimefunguka mnooo!!! Mungu ambariki sana pamoja nawaandaji wa kipindi Mungu awabariki sana

  • @martinmfinanga4451
    @martinmfinanga4451 7 лет назад +1

    am real inspired Na hiki kipindi. big up kapiga and lilian

  • @masiihiddajjaal
    @masiihiddajjaal 7 лет назад +3

    Nimeangalia vipindi vyote nimejifunza mengi sana, asanteni MUNGU awabariki. Ila kusema ukweli kumuelewa dr imechukua muda sana na bado sijamwelewa vyema naamini nitamwelewa 100% hata 98%

  • @silverman6930
    @silverman6930 3 года назад

    Huyu jamaa he’s a genius sana 🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤️❤️❤️

  • @justinwashington823
    @justinwashington823 7 лет назад +1

    mwendelezo wake halisi ili tujue izo skills please Thanks To you Dr Elie v.d waminian for serving us

  • @benjaminleonard5470
    @benjaminleonard5470 6 лет назад +1

    Dr elie ananibariki sanaaa

  • @jonathanimdegela1005
    @jonathanimdegela1005 4 года назад +1

    Nacheki nikiwa bunju kwajumbe 2020

  • @nyategregory7852
    @nyategregory7852 Год назад +1

    Good

  • @officialrozayboytz7236
    @officialrozayboytz7236 6 лет назад

    Samahan mkuu ninaswali linaumiza kichwa changu et ela inamaliza matatizo au matatizo yanamaliza ela.

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 7 лет назад +1

    ninjema sana kama tutaamua kuwa makini

  • @nelibaba
    @nelibaba 7 лет назад

    good job bro Harris

  • @eliasaron5156
    @eliasaron5156 7 лет назад

    iki kipindi ni zaid ya mafundisho kwan kinachofundishwa unakiona mda huo huo