LENGO NA MATARAJIO YA MAFUNZO YA PROGRAMU YA SAYANSI NA UTEKELEZAJI WA MATOKEO YA TAFITI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Mtafiti Mkuu Msaidizi wa Mradi wa MWOTAJI na Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Dkt. Godfrey Kacholi akieleza lengo na Matarajio ya Mafunzo ya Programu ya Sayansi na Utekelezaji wa Matokeo ya Tafiti. Mafunzo haya yanaratibiwa na Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Ofisi ya Rais Tamisemi, Chuo cha San Francisco na Chuo Kikuu cha California - Berkeley.
    Mafunzo haya yanafanyika kuanzia tarehe 04 - 09 Novemba 2024, Hoteli ya Lenana Jijini Mwanza yakiwa na washiriki (wanafunzi) 35 kutoka Sekta ya Afya kwa mikoa ya Kagera, Geita na Shinyanga. @mzumbe_media
    @muso_updates
    @mzumbeuniversitydcc
    #mzumbeuniversity
    #mzumbeuniversitymbeyacampuscollege
    #mzumbedarcampus
    #mzumbeuniversitymorogoro
    #TujifunzeKwaMaendeleoYaWatu

Комментарии •