Mzumbe TV
Mzumbe TV
  • Видео 178
  • Просмотров 50 611
PROF. MWEGOHA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE NDAKI YA DAR ES SALAAM
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha azungumza na Wanafunzi wa Ndaki ya Dar es Salaam tarehe 29 Januari 2025. Prof. Mwegoha amezunguza na wanafunzi hao ikiwa ni sehemu ya ratiba ya Ziara yake kwa Ndaki za Chuo Kikuu Mzumbe ili kuzungumza na Wafanyakazi, Wanafunzi pamoja na kukagua miradi inayotekelezwa na Chuo kwa ndaki hizo.
Просмотров: 27

Видео

Introduction of workshop the programme by Dr. Idda Lyatonga and Dr. Marlies Hesselman
Просмотров 7916 часов назад
Workshop on promoting Sustainable Health Systems: Challenges and Opportunities at the Intersection of Governance and Law Coordinated by Mzumbe university and Groningen university. This workshop has involved stakeholders from the government, private sector, religious organizations, and universities both locally and internationally.
CHUO KIKUU MZUMBE CHASHIRIKI UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA WIKI YA SHERIA MKOA WA MOROGORO
Просмотров 3416 часов назад
CHUO KIKUU MZUMBE CHASHIRIKI UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA WIKI YA SHERIA MKOA WA MOROGORO
MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MAENEO YA UJENZI KWA WARATIBU WA MRADI WA HEET CHUO KIKUU MZUMBE
Просмотров 57День назад
MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MAENEO YA UJENZI KWA WARATIBU WA MRADI WA HEET CHUO KIKUU MZUMBE
PROF. MWEGOHA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE NDAKI YA MBEYA
Просмотров 60День назад
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha azungumza na Wanafunzi wa Ndaki ya Mbeya tarehe 10 Januari 2025. Prof. Mwegoha amezunguza na wanafunzi hao ikiwa ni sehemu ya ratiba ya Ziara yake kwa Ndaki za Chuo Kikuu Mzumbe ili kuzungumza na Wafanyakazi, Wanafunzi pamoja na kukagua miradi inayotekelezwa na Chuo kwa ndaki hizo. Ziara hii pia ililenga kusikiliza na kutatua changamoto zi...
PROF. WILLIAM MWEGOHA ADDRESSES FIRST YEAR STUDENTS FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR MAIN CAMPUS
Просмотров 73День назад
The Vice Chancellor of Mzumbe University, Prof. William Mwegoha addresses first year Students for the 2024/2025 academic year Main Campus Morogoro on 30 October 2024.
WARSHA KWA WANATAALUMA WA MZUMBE NDAKI YA DAR YAHITIMISHWA KWA MAFANIKIO
Просмотров 9421 день назад
Hitimisho la Warsha ya siku tatu (3) kuwajengea uwezo wanataaluma wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam katika utengenezaji wa Maudhui ya Kozi, Ujifunzaji Mseto na Ujifunzaji kwa Njia ya Mtandao inayofanyika hoteli ya King Jada, Dar es Salaam kupitia mradi wa HEET.
PROF. WILLIAM MWEGOHA AFAFANUA KUHUSU TARATIBU ZA USAJILI KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO
Просмотров 35421 день назад
PROF. WILLIAM MWEGOHA AFAFANUA KUHUSU TARATIBU ZA USAJILI KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO
KARIBU KWENYE MAHAFALI YA CHUO KIKUU MZUMBE NDAKI YA DAR ES SALAAAM
Просмотров 217Месяц назад
Karibu kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe - Ndaki ya Dar es Salaam. Wito wa Rasi wa Ndaki ya Dar es Salaam, Prof. Cyriacus Binamungu. @mzumbe_media @muso_updates @mzumbeuniversitydcc @wizara_elimutanzania @tcu_tanzania #mzumbeuniversity #mzumbeuniversitymbeyacampuscollege #mzumbedarcampus #mzumbeuniversitymorogoro #tujifunzekwamaendeleoyawatu
Excerpt from the Keynote Speech by Mr. Boma Raballa
Просмотров 542 месяца назад
Excerpt from the Keynote Speech by Mr. Boma Raballa
UJUMBE WA BALOZI DKT. EMMANUEL NCHIMBI KUELEKEA MKUTANO WA 24 WA BARAZA LA WAHITIMU WA MZUMBE
Просмотров 3462 месяца назад
UJUMBE WA BALOZI DKT. EMMANUEL NCHIMBI KUELEKEA MKUTANO WA 24 WA BARAZA LA WAHITIMU WA MZUMBE
Kuelekea Mchezo wa wavu wa Wanawake kati ya Chuo Kikuu Mzumbe dhidi ya NSSF.
Просмотров 822 месяца назад
Kuelekea Mchezo wa wavu wa Wanawake kati ya Chuo Kikuu Mzumbe dhidi ya NSSF.
CHUO KIKUU MZUMBE CHAENDELEA KUNG'ARA MASHINDANO YA SHIMMUTA TANGA
Просмотров 1162 месяца назад
CHUO KIKUU MZUMBE CHAENDELEA KUNG'ARA MASHINDANO YA SHIMMUTA TANGA
LENGO NA MATARAJIO YA MAFUNZO YA PROGRAMU YA SAYANSI NA UTEKELEZAJI WA MATOKEO YA TAFITI
Просмотров 572 месяца назад
LENGO NA MATARAJIO YA MAFUNZO YA PROGRAMU YA SAYANSI NA UTEKELEZAJI WA MATOKEO YA TAFITI
CHUO KIKUU MZUMBE CHAENDESHA MAFUNZO YA PROGRAMU YA SAYANSI NA UTEKELEZAJI WA MATOKEO YA TAFITI.
Просмотров 742 месяца назад
CHUO KIKUU MZUMBE CHAENDESHA MAFUNZO YA PROGRAMU YA SAYANSI NA UTEKELEZAJI WA MATOKEO YA TAFITI.
Utetezi wa Tasnifu ya Uzamivu (PhD) ya Bi. Felister Ndumbaro
Просмотров 4403 месяца назад
Utetezi wa Tasnifu ya Uzamivu (PhD) ya Bi. Felister Ndumbaro
Utetezi wa Tasnifu ya Uzamivu (PhD) ya Bw. Moses Marko
Просмотров 1803 месяца назад
Utetezi wa Tasnifu ya Uzamivu (PhD) ya Bw. Moses Marko
UTETEZI WA TASNIFU YA UZAMIVU (PHD) YA BW. STEPHEN JAMES
Просмотров 4753 месяца назад
UTETEZI WA TASNIFU YA UZAMIVU (PHD) YA BW. STEPHEN JAMES
TAARIFA MUHIMU KUELEKEA MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU MZUMBE
Просмотров 1,1 тыс.3 месяца назад
TAARIFA MUHIMU KUELEKEA MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU MZUMBE
HUDUMA YA MAPOKEZI CHUO KIKUU MZUMBE YAWAFURAHISHA WAZAZI WA WANAFUNZI WAPYA
Просмотров 1763 месяца назад
HUDUMA YA MAPOKEZI CHUO KIKUU MZUMBE YAWAFURAHISHA WAZAZI WA WANAFUNZI WAPYA
ZOEZI LA USAJILI WA WANAFUNZI WAPYA WA SHAHADA LINAENDELEA CHUO KIKUU MZUMBE
Просмотров 4093 месяца назад
ZOEZI LA USAJILI WA WANAFUNZI WAPYA WA SHAHADA LINAENDELEA CHUO KIKUU MZUMBE
MZUMBE NA IORA KUIBUA FURSA ZA KIUCHUMI, UHIFADHI RASILIMALI BAHARI
Просмотров 953 месяца назад
MZUMBE NA IORA KUIBUA FURSA ZA KIUCHUMI, UHIFADHI RASILIMALI BAHARI
CHUO KIKUU MZUMBE CHAWEKA KAMBI MSAMVU KUPOKEA WANAFUNZI WAPYA WA NGAZI YA SHAHADA KWA MWAKA 2024/25
Просмотров 4943 месяца назад
CHUO KIKUU MZUMBE CHAWEKA KAMBI MSAMVU KUPOKEA WANAFUNZI WAPYA WA NGAZI YA SHAHADA KWA MWAKA 2024/25
KARIBU CHUO KIKUU MZUMBE
Просмотров 4193 месяца назад
KARIBU CHUO KIKUU MZUMBE
MZUMBE YAWANOA WANAFUNZI WA UMAHIRI KATIKA UANDISHI NA UCHAPISHAJI WA TAFITI ZA KITAALUMA
Просмотров 1133 месяца назад
MZUMBE YAWANOA WANAFUNZI WA UMAHIRI KATIKA UANDISHI NA UCHAPISHAJI WA TAFITI ZA KITAALUMA
Mahojiano kuhusu Kongamano la Kumbukizi ya Mwl. J.K. Nyerere, Chuo Kikuu Mzumbe
Просмотров 823 месяца назад
Mahojiano kuhusu Kongamano la Kumbukizi ya Mwl. J.K. Nyerere, Chuo Kikuu Mzumbe
CHUO KIKUU MZUMBE KUELEKEA KONGAMANO LA 21 LA KUMBUKIZI YA HAYATI MWL. J.K. NYERERE.
Просмотров 1733 месяца назад
CHUO KIKUU MZUMBE KUELEKEA KONGAMANO LA 21 LA KUMBUKIZI YA HAYATI MWL. J.K. NYERERE.
PROF. ELIZA AKITOA WITO KWA UMMA KUHUDHURIA KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA HAYATI MWL. J. K NYERERE
Просмотров 7 тыс.3 месяца назад
PROF. ELIZA AKITOA WITO KWA UMMA KUHUDHURIA KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA HAYATI MWL. J. K NYERERE
SALAMU ZA PROF. MWEGOHA KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE KUELEKEA MWAKA WA MASOMO 2024 - 2025
Просмотров 1,1 тыс.3 месяца назад
SALAMU ZA PROF. MWEGOHA KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE KUELEKEA MWAKA WA MASOMO 2024 - 2025
CHUO KIKUU MZUMBE WAJIPANGA KUPOKEA WANAFUNZI WA MWAKA WA MWAKA WA KWANZA 2024 -2025
Просмотров 5693 месяца назад
CHUO KIKUU MZUMBE WAJIPANGA KUPOKEA WANAFUNZI WA MWAKA WA MWAKA WA KWANZA 2024 -2025