Asante Sana Kaka,kwani nilikua nawaza Sana namna ya kuedit video Kwan nataka nifungue you tube acc yangu,kwa kifupi Tz hatuna personal utuber wengi dats y nataka nianzishe acc,na nimependa hapo mwisho pia ulivyoshauri kwmaba kumbe CYO lazima MTU uwe na laptop kwanza na mikamera ndo uweze kuwa RUclipsr Asante sna Kaka,much respect endelea kutufunza mengi kuhusiana na hayo yte🙏🙏

Safi sana itatusaidia sisi Biginers
😀😀😀😀
Bravo mano
asante sana brother
Well done bro
We jamaa nimekukubali kinoma ✊
Umetisho boy
Shuwa mwanangu 😅😅😅
Asante sana kwa somo hili zuri
Mkuu Naomba Namba Yako
Nouma Sana💥
Bro nashukuru mno Katka mafunzo haya ,ubarkiwe Sana ,na uzidi kuturetea funzo nying mno HAKIKA tutanufaika Sana ASANTE🙏🙏🙏🙏👍👍
Tueleweshe kamanda
Dah!!! Broo leo nimekupata nadhukul sana mana niliuza sim yangu 2022 sasa juz nimenunua nyingne kipengele kikawa ni kukupata but leo i gatch you🙏
Saw
Nc
Nikitaka kuweka voice
shukrani
Yeah
Asante sana atamimi natumia cm na vichekesho vyangu viko poa sana
U̶m̶e̶t̶i̶s̶h̶a̶ b̶r̶o̶o̶ 👊
Naomba uelezee jinsi ya kuingiza sauti kwenye video
Yani video nidefu lakin imejaa maufundi safìsana umenisaida
Ingia RUclips
BRM Mtumweusi
Utaona nyimbo zangu
Usisahau kusubscribe
mimi naomba unielekeze kuweka kava youtube
Asante sana mkuu Kwa SoMo nimekuelewa, wewe nimwalimu wangu wa kuediti. Naomba namba yako
Ni kinemaster ipi unayotumia? Mbona nyingine zinaacha watermark?
Yani kama nataka video yangu iwe na sauti yangu nafanyaje
Elezea jinsi ya kuingiza sauti kwenye video
Braza nimekwama jinsi ya kufuta ile logo baada ya kuedit inakuep logo pale ya kine master natak niwe naifuta
Hata Mimi Holo n tatizo langu vip umepata suluisho uniambie namimi
Ipo niliyonayo haina logo
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
Naomba unitumie link ya kinemaster maan nasakua playstore hiaipo kwenye simu yang
Unyama kaka naomba namba yako kak
Kaka nahitaji kuidit video mfano mtu anasoma Quran Kisha mm niunganixhe zote iwe inaanza Quran kixha tafsiri