Utafika mbali sana sababu unauwezo ,wakufanya liwezekanalo kwa huo muda SIO KAMA WENGINE wanasubir kila kitu kiwe bora ndio waanze kufanya wajibu wao....SAFI SANA UNAENDELEA KUJIFUNZA HUKU UNATEKELEZA ....hata miaka ikipita usidharau hizi content zako eti kwasababu ya BLOCKEN au matumizi hafifu ya LUGHA ....HII itasaidia kuamasisha wanaojishitukia nakujikuta siku zinaenda bila mafanikio
Umetisha sana kaka
Usi kate tamaaa una weza🎉🎉❤
Asante sana kaka imekufatilia mpaka mwisho.
Nakutakia kazi njema dogo langu❤❤❤
Kwenye voloko umetisha sana
upo vzr sana tcher
nakubali pcha angu god bless you
Umetisha kichiziyani 😂
Naomba unifunze kutengeneza video
Au kuna malipo yoyote ndipo ifunguke??
Hongera teache, but najribu kuingia play store naletewa AP nyingine tofaut
Teacher nimeshindwa kuingia kama wew japo nimekuangalia mwanzo mwisho je nifanyeje??
Utafika mbali sana sababu unauwezo ,wakufanya liwezekanalo kwa huo muda SIO KAMA WENGINE wanasubir kila kitu kiwe bora ndio waanze kufanya wajibu wao....SAFI SANA UNAENDELEA KUJIFUNZA HUKU UNATEKELEZA ....hata miaka ikipita usidharau hizi content zako eti kwasababu ya BLOCKEN au matumizi hafifu ya LUGHA ....HII itasaidia kuamasisha wanaojishitukia nakujikuta siku zinaenda bila mafanikio
Oy naomba unifundishe kutumia vpn ya wife
Tupo pmj
oy hebu nitumie VPN ya kwel
Kwa sasa VPN zimesimamishwa