THE HOUSE ¦¦ EP 1 ¦¦ SENGO MK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 307

  • @NeemaMwanzige
    @NeemaMwanzige Месяц назад +31

    Simba la masimba sengo leo unashenyetwa 😂😂😂😂😂

  • @Chiefally
    @Chiefally Месяц назад +10

    Kwenye kundi hili kwangu Mimi uyu mbwela ni the best anajua sana

  • @hasco4755
    @hasco4755 Месяц назад +22

    simba lama simba Sengo safi sana brooh tunakukubali sana hatuta choka kukusapoti ,,,,,mpe like zake simba lama simba lama Sengo kaka yetu,,,,,,mach love from Kenya🥰🥰🥰🥰🥰🥰💰💰💰💰💰💰

    • @sengomk
      @sengomk  Месяц назад +3

      Much love ❤❤

    • @NurahMummy
      @NurahMummy Месяц назад +1

      Wakenya sie siwachoyo❤❤❤❤ one love🎉🎉

    • @hasco4755
      @hasco4755 Месяц назад +2

      @@NurahMummy 💌💌💌💌💌💌💌

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug Месяц назад +3

    Kazi mzuri sengoo

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance Месяц назад +3

    Kazi nzuri kabisa 🎉🎉🎉🎉

  • @madymag6926
    @madymag6926 Месяц назад +3

    Kazi nzuri sana sengo❤❤❤❤

  • @LeonadMwanisawalautel-p7m
    @LeonadMwanisawalautel-p7m Месяц назад +3

    Ila sengo noma

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 Месяц назад +4

    Kazi nzur ❤

  • @maylucson001
    @maylucson001 Месяц назад +4

    Sengooo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉Kaziii nzuriiii

  • @ZakiaAlRamadani
    @ZakiaAlRamadani Месяц назад +4

    Sengooooo mzee wa kushenyeta😂😂😂🙌🙌

  • @EliyaRaphael-y9m
    @EliyaRaphael-y9m Месяц назад +41

    Umeyatimba Leo wewe si unawatesa wenzio kwenye Mpangaji😅😅😅😅😅😅

  • @RozinaKipande
    @RozinaKipande Месяц назад +2

    Kwelie 🤣🤣🤣 kabisa 🥰🥰💞💗💞🤣🤣🤣

  • @MusyimiKyalo
    @MusyimiKyalo Месяц назад +30

    Leo utashenyendwa vile unashenyenda wenzio kwa mpangaji from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BoneshaIssa
    @BoneshaIssa Месяц назад +3

    Tulisubili sana kweli kazi iko poa sana 😅😅😅

  • @josephkambale-n5c
    @josephkambale-n5c Месяц назад +6

    Iyi inaticha kweli alafu Congo mi niwa kwanza munipe like zanguu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @AthumanbonyeBonye1
    @AthumanbonyeBonye1 Месяц назад +5

    Mzee wa mshenyeto,ni kushenyetewa kwa juu tu😂😂😂

  • @JackyTarimo
    @JackyTarimo Месяц назад +8

    tamu Yako Mzee wa mishenyento

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m Месяц назад +8

    SIMBA la ma SIMBA sengo 🦁❤🇧🇮💯

  • @BahatiAli-hl4je
    @BahatiAli-hl4je Месяц назад +3

    Kzi nzr❤❤🎉

  • @rajabachu878
    @rajabachu878 Месяц назад +12

    Unaanza vizuri sana ila mwisho ndio unapoleta miyeyusho kama hii iliyoisha ya ubaya ubwela

  • @MarcelinbbmBirindwa
    @MarcelinbbmBirindwa Месяц назад +4

    Wa pili toka DRC 🇨🇩 congo tunawapenda sana 🎉🎉🎉

  • @OlvinKaboi-r4t
    @OlvinKaboi-r4t Месяц назад +1

    Movie tamu sana❤❤

  • @Hairat1122
    @Hairat1122 Месяц назад +1

    Kazi kazi towa tuwekee ❤❤

  • @ElizabethDavid-nh2dq
    @ElizabethDavid-nh2dq Месяц назад +2

    Mzee wa mshenyeto🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @IbrahimAmos-r2y
    @IbrahimAmos-r2y Месяц назад +13

    Tunaoangalia hii series gonga like za kutosha ili kumsapoti sengo la masimba mzee wa mshenyeto live

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 Месяц назад +4

    Tuko pamoja sana saidi komba mwenyewe nipo apa

  • @Mumfortune
    @Mumfortune Месяц назад +2

    Sengo sengo sengo hatari 👏❤❤❤❤🎉

  • @AkramElias-uo3od
    @AkramElias-uo3od Месяц назад +35

    Kama una mkubali sengo mk gonga like apa

  • @QUEENSUU-e7r
    @QUEENSUU-e7r Месяц назад +5

    Mzigo mpya umeweza sengo

  • @HajiMwadin-t9l
    @HajiMwadin-t9l Месяц назад +5

    Sengo zamu yako kuteswa😅😅😅

  • @SadikiAlly-v6l
    @SadikiAlly-v6l Месяц назад +3

    Umeuwa kaka sengo mk

  • @AlineIradukunda-bs6mt
    @AlineIradukunda-bs6mt Месяц назад +12

    wa misho jaman like at 😢❤❤❤❤twend kazi❤

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 Месяц назад +3

    Mzee wa kushenyeta anashenyetwa yeye sasa 😂😂😂 kuimba kupokezana

  • @MichaelSanta-kp5og
    @MichaelSanta-kp5og Месяц назад +8

    Safi

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 Месяц назад +3

    Sengo leo umepatikana

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Месяц назад +1

    Zee la shebele shebele na mishenyeto a.k.a simba la masimba...unaweza baba🎉🎉🎉

  • @erickathurima43
    @erickathurima43 Месяц назад +3

    Sengo rafiki yangu,,,wakenya wanakupenda sana,,,Simba....Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @captainkastua4830
    @captainkastua4830 Месяц назад +5

    Masimba sengo mzee wa mishenyendo

  • @mbwelamedia3469
    @mbwelamedia3469 Месяц назад +7

    chuma juu ya chuma

  • @ZulfaJuma-z6s
    @ZulfaJuma-z6s Месяц назад +2

    Nakubal brother sengo

  • @PhilemonMaduhu
    @PhilemonMaduhu Месяц назад +2

    Ninzur san 🎉lia munaanzisha muv nyingnying munaxhindwa kuzimaliza vizuli kachumbar hamtoi 🎉

  • @wastarabucomedy2248
    @wastarabucomedy2248 14 дней назад

    Kali sana hiii 🎉👏👏👏👏👏👏

  • @SwabrinaSwabs
    @SwabrinaSwabs Месяц назад +3

    Iko sawa

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla Месяц назад +2

    Movi inaonekana kali ninawakubali saii niwewe utapata tabu sana umezoea kushenyenta watu nawapenda sana

  • @HassanSadiki-l5c
    @HassanSadiki-l5c Месяц назад +5

    SIMBA LA MASIMBA SENGO LEO UTASHENYETWA WW....

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z Месяц назад +2

    Amazing

  • @florencengolo6480
    @florencengolo6480 Месяц назад +2

    Sengo tuseme hyo ndio style yko ya kuvaa kofia ukiigiza😂😂😂😂

  • @mariamumdoe1466
    @mariamumdoe1466 Месяц назад +4

    ❤❤🎉🎉

  • @حليمهال-ج3ل
    @حليمهال-ج3ل Месяц назад +4

    Kazi safi

  • @Rizikishee-m8p
    @Rizikishee-m8p Месяц назад +4

    Kubwa kuliko ongereni nyote mlioshiriki kazi Safi sn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @BeniHavyarimana
    @BeniHavyarimana Месяц назад +3

    Kaka nakumbali sana filmu zako

  • @DelosAvelino
    @DelosAvelino Месяц назад +8

    Series nzuri zaidi Kaka sengo ❤

    • @Mumfortune
      @Mumfortune Месяц назад

      ❤❤❤❤❤❤sengo sengo sengo 🎉🎉🎉🎉upo vzr bro❤❤❤❤ keep it up 🥰

    • @SalmaChaulembo
      @SalmaChaulembo Месяц назад

      Keep it up bro mungu akuongoze kwa kila hatua nice❤❤❤

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Месяц назад

      Leo simba la masimba sengo anashenyentwa😂😂😂

  • @machozimukucha
    @machozimukucha Месяц назад +3

    🎉🎉🎉❤❤❤🔥🔥🔥

  • @FhcFjcj
    @FhcFjcj Месяц назад +2

    😂😂😂 mzee wa mshenyeto leo una shenyetwa ww kwa juu bado ndio pcha laanza mm nkiwa kenya 🇰🇪 kaz nzuri sengo

  • @AtertaJunior-ix3pk
    @AtertaJunior-ix3pk Месяц назад +1

    Banger🎉🎉❤

  • @SmilingGermanShepherd-qj3uk
    @SmilingGermanShepherd-qj3uk Месяц назад +1

    Kaka mzigo umejaa kazi nzuriii sana sengoo💥💥💥💥💥

  • @Sallher96
    @Sallher96 Месяц назад +2

    🔥💥💥

  • @AminaAmina-of5mv
    @AminaAmina-of5mv Месяц назад +8

    Sengo la masengo zamu yako kushenyetwaa😂😂😂

  • @sammasadika9598
    @sammasadika9598 Месяц назад +1

    Moja kubwa kuliko mshenyetoo kama kawa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @verdianavalentine6242
    @verdianavalentine6242 Месяц назад +2

    Very very good sengo mk good job

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 Месяц назад +2

    Sengo zamu yako ya kushenyentwa😂😂😂

  • @latifaradjabu3949
    @latifaradjabu3949 25 дней назад +1

    Simba lamasengo simbaaa ❤

  • @yusufayusufati-tn2qe
    @yusufayusufati-tn2qe Месяц назад +1

    Tuna wapenda sana ❤

  • @MudySule
    @MudySule Месяц назад +2

    Kweny hii moves nimepend kitu .kuwa simba laaamasimba sengo mzee wa kushenyenta.humu anashenyetwa yy

  • @SukhairaZaiytun
    @SukhairaZaiytun Месяц назад +2

    We sengo ww

  • @kingAmbitiouz
    @kingAmbitiouz Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤ itakua more fire hii movie

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z Месяц назад +8

    Mpangaji

  • @RachelSaidi-c5e
    @RachelSaidi-c5e Месяц назад +1

    Hongera sengo kaz zako nzuri love you

  • @AbbukariHasani
    @AbbukariHasani Месяц назад +2

    Kazi nzuri

  • @jumamohamedi8388
    @jumamohamedi8388 Месяц назад +3

    Nilikuw naisubiriii sana hiii

  • @Ellesillah
    @Ellesillah 25 дней назад +2

    Wa tatu toka drc kongo 🇨🇩 basi ata like moja Yana tosho

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад +1

    Sengo once again nakubali sana hujawahi kutuangusha❤🎉

  • @HeneryShija
    @HeneryShija Месяц назад +1

    Big up sengo

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so Месяц назад +1

    Uku kwamoto san kumbe sasa zamu yako ku chenyetwa😅😅😅Kaz nzr san kaka sengo nawatu wako🎉🎉🎉❤❤❤

  • @HillaryMbaira-q3t
    @HillaryMbaira-q3t Месяц назад

    Kweli kabisa leo zamu Yako kukushenyenta kaka sengo😂😂😂

  • @bella6551
    @bella6551 Месяц назад +1

    The edits are perfect go boy

  • @RachaelMchanda
    @RachaelMchanda Месяц назад +3

    Hio sauti niya kim atakama😂😂😂❤❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад

    Sengo mwanangu unajuwa mpk unakera nakubali sana kazi zako❤🎉

  • @anitakerubo-x7e
    @anitakerubo-x7e Месяц назад +2

    Hii Kali sengo

  • @ChristineAsifiwe
    @ChristineAsifiwe Месяц назад +1

    Chuma hiki apa Sengo heshima yako kaka 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @VumiliaOmary
    @VumiliaOmary Месяц назад +1

    Simba la masimba sengo 🎉🎉

  • @Ruqaiyaissa-g3x
    @Ruqaiyaissa-g3x Месяц назад +7

    Hatimae leo nimewahi ijapokuwa sio no 1 ila nimejitahid duh ila sengo upo vzr nakkubali kinouma yaan

  • @DavidChimakeke
    @DavidChimakeke Месяц назад +1

    Respect 🎉

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh Месяц назад +1

    Hallo again tuko apa was Missing The snake boy family indeed❤❤❤❤❤❤much love Sengo ND your crew Kenyans we rank you🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️

  • @IbrahimAdelard-qq6sh
    @IbrahimAdelard-qq6sh Месяц назад +4

    Waze wakazi kanzuri Sana lakini kwenye mnatukerega nisehemu moja amuagi munamalizia sababu gani yani kutufikisha mpaka finale ya movie

  • @emanueli-j-pango-7870
    @emanueli-j-pango-7870 Месяц назад +1

    Kigongo mpya kutoka kwa sengo kazi nzuri sanaa brother 🥰🥰🥰

  • @LoolKing-z5z
    @LoolKing-z5z Месяц назад +2

    Niko hapa mpka mzee wa mishenyento na yeye ashenyentwe😅😅😅😅 kitu kizuri ila weeeeuh chanifanya najishtuka na hizi nyumba za waarabu zilivyo duh😅😅😅😅 🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ZainabuMathias-x6p
      @ZainabuMathias-x6p Месяц назад

      Weachatuu naogopa kweri nipo oman 🇴🇲 😢😢😢

  • @MwanamisiJapani
    @MwanamisiJapani Месяц назад +1

    Mzee wa mishenyeto😂😂😂

  • @PiliMahyoro-l1v
    @PiliMahyoro-l1v Месяц назад +1

    🎉🎉🎉mzee wa mshenyento

  • @Maarifa_snr
    @Maarifa_snr Месяц назад +1

    Sengo acha uwoga washenyentee kwa juu hao

  • @AshaaAyubu
    @AshaaAyubu Месяц назад

    Sijaona move zako iloizid washawasha ile ndo funga kz...👌👌

  • @ZaldaM.ramadhani
    @ZaldaM.ramadhani Месяц назад +3

    😮 uwiiii jaman mm mapigo ya moyo yanaenda mbio mmh, sengo taratibu baba 😂

  • @Hmdyfundy2918
    @Hmdyfundy2918 Месяц назад +10

    Chezah kama Pele kaka sawa usi cheleweshe kutoa usi ishie. Kati uwon tunavy kufwatilia au mna semaje wadau

  • @EverinaDominic-y5q
    @EverinaDominic-y5q Месяц назад +4

    aisesee hii n hatar cn

  • @Chiefally
    @Chiefally Месяц назад +2

    Leo unashenyentwa ww dadek 😅😅😅😅

  • @MichaelPeter-d7r
    @MichaelPeter-d7r Месяц назад

    move inaonekan nzur maan imeanz n manjonjo halaf nakikubal san hich kikund wakin bwel mwas kipar n wengne coz wanajua san nawapend jamon nimewap maua yenu ❤❤❤❤❤

  • @mughishajohn3287
    @mughishajohn3287 Месяц назад

    Hii takia uoaga masee 😳😳😳🔥🔥🔥💪💪

  • @fahruq4486
    @fahruq4486 Месяц назад +2

    Safi sanaaa hakuna kupoa❤❤❤

  • @MaulidKilonga-v2n
    @MaulidKilonga-v2n Месяц назад

    Sengo kayaa timbaaaa leo😅😅😅

  • @BizimanaSaleh-v7f
    @BizimanaSaleh-v7f Месяц назад +1

    Simba lama simba sengo kuteswa nikwazam zam yako imefika kaka ongera kaka kazi nzuri bro🎉🎉🎉