Wanawake wengi wakiwakosea wanaume hawaombi msamaha wanakuwa wagumu Sana,Ila wao ukiwakosea wanakusema vibaya kuanzia kwa wazazi wao,marafiki na hata watu wengine usiowajua ilimradi mwanaume aonekane mbaya..Aya Mambo yapo Sana kwenye familia nyingi na inavuruga sana familia...
Hamna mke hapo... pia huyo jamaa nae jinga tu mwanaume unapaka piko alafu bado unalazimisha kuw na janamke lililotembea na rafiki yako dah😂😂 huo usenge siwez aisee
YALIYO MKUTA YULE MSANII ALIYEKATAA MIMBA NA KUCHUKUA SIMU NIPOST LEO AU KESHO??😂
Post sasaivi kaka.
Posti bc jamani❤
Leo kaka shabiki yako kutoka pemba
Daaaah tuleteeee jaman jaman
Leo
Mshkaji kafanya vizuri kweli tungepata watu kama uyo 1000 ndoa zingekuwa imara kweli
HI guys nakuwa number one leo munipe like zangu please 1M 🙏🙏🙏🙏 from USA Texas video inacheza jamani 🤣😂🤭😄
Safi sana kaka umesababisha aman imetokea mungu akubarikii sana Ivan 🙏🙏
Wakwanza niliekua nasubilia part two kwa ham like hapa kama na ww ulikua unasubul kwa hamu
Kuna watu wanapoteza bahati sana,baba Junior ni mwanaume na nusu yaan anajua kupenda,mwingine angekuacha kabisa
Kwa mbili mbili kwa mbili mbili ..shwaaaa😂
Cheating is a choice not a mistake young man run for your self 👊
Kumbe siku hizi mwondo ndohuoo ubayaa ubweraa😂😂😂😂😂😂
Uyo mwanamke ni msenge kweli yani hana akili kabisaa
Kila mtu anachiti hakuna aliyekamilika😂😂😂😂
Hongera mm junior kwa kujishusha wote mna makosa ila umefanya vzr kuomba msamaha
Daaaah mungu anisamehe bure kwanini nilichuma zambi ya bure ya kumuhurumia ma junior apo mwanzo daaah nisamehee mm mungu wangu
Nimecheka km chizi 🤣🤣🤣
@@fatmamdihiri4164 kwann ucheke kama chiz
Ata me nakuunga mkono kaka wanawake wabaya kumbe mwanz alikua anaonekan pole kumbe nyoka tu uyo demu
Umbeya kazi sana. Yaani nilikuwa nachungulia utasema nakaribusha wateja kwenye biashara🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️
😂😂
Huyu mwanamke naye nikizibo ba junior njoo niko hapa naona unajua kupenda sana tena ww n mvumilivu
We ba junior ongeeni haraka haraka nakusubir huku
😂😂😂😂😂😂 am here ba junior@@EvelyneOmbeni
@@EvelyneOmbeni hajui kama kuna watu wanahitaji kupendwa heee 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani huyu jamaa hawezi pata demu mwingine dar😂😂😂
Haki nisingeweza😂
Natafta mwanaume km baba junior jmn wako wapiiii haooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢
Ivan is such a smarter, good conflict mediator,superb bro
Jamaa yupo humble sana na nmuelewa ila mwanamke uchwara
Daaa kakaa anamoyoo Sanaa kwa mwanaumee kuchitii sahihi Ilaa kwa mwanamkeee ni ujinga Sanaa👍👍💯
Video haijatulia vzr
Nyiye huyu kaka kwann hakuniowa mimi😅
😂😂😂 mbn kama mnambembeleza sana huyu dada mie km mwanaume huyo mwanamke siwezi kuishi nae tena takuua bro ona msamaha anavyoomba et SAMAHANI!!!😂😂
Yana we kaka unakiti chako mbinguni🥰🥰🥰🥰
Ivan big up unaweza🎉🎉
Mama junior Malaya huyu mimi siwezi kurudia hii
Duuuuh hii balaaaaa mi nawexa kufaaaaaa
Yaani huyu baba J ni msrmtarabu sana na anampenda sana mkw wake sana.ana hekima sana
Naweza kuondoka?Nimeacha mtoto nyumbani 😂😂jeuri kwishaaa
Mama junior jino kwa jino shoga yangu
Uyo baba junior ni mwanaume na nusu 🎉🎉🎉🎉
Good man
Yaleo nkali balaaa😂😂😂
😂😂😂jamn mbona kamamaigizo haya daaah pole mama junior
Ubaya ubwegeee 😅😅😅😅
Mwanaume kuweka brichi hivi ni isenge ndo maana jamaa ni msenge msenge
Uyu brother bwege sana daa
Tuna kufatilia kutoka 🇨🇩🇨🇩 bro
Miss fina kashatombwa katulia
Ivan mmbeya jaman eti ongeeni wenyewe na maiki juu😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Dada ana saut ya upole adi huwezi kuamini 🤣🤣🤣🤣🙌🙌
😅😅😅😅😅😅
Kitu ambacho Nimenote Ivan Weeh Ni Mnafki Sana Unatia Hasira Unawez Mcheka M2 Na Asijue 😂😂😂😂😂
Daah inapendeza sana ❤❤❤
Wanangu wa kubeti hii ni both team to score GG
Uhakika man u vs Brentford 😅😅😅
😂😂😂😢kuliwa tu kulaa aaaa😢😢
Wanawake wengi wakiwakosea wanaume hawaombi msamaha wanakuwa wagumu Sana,Ila wao ukiwakosea wanakusema vibaya kuanzia kwa wazazi wao,marafiki na hata watu wengine usiowajua ilimradi mwanaume aonekane mbaya..Aya Mambo yapo Sana kwenye familia nyingi na inavuruga sana familia...
Uyu mwanaume naye kama jinga eti anaonyesha picha voice noti sijapenda
We jemsi bwege
Ooooo huyu ni yule aliyekwenda kumfumania kwa shoga yake nimeikumbuka😅
Ata me nimekumbuka shoga ake kajidai yupo znz 😂😂😂 akajidai sijui unajua mambo mengi shoga angu ,,, akakuta viatu njee vya bwana wake kwa shost wake
Mbuzi wa bwana kheri na shambaa la bwana kherii hakunaa kesii hapoo wamalizee😂😂😂😂
Jama noma
Big up Bro! Ila jana ulinifanya nisubirie usiku kucha 😄😄😄😄😄😄
Duuuuuh mungu nisamehe nilimsema vby huyu kaka kumbe mama j mpumbav
Ukimsikiliza mtu mmoja unaweza dhani mmoja anamakosa lkn ukiwasikiliza wote ndipo utagundua nani sio mwema kwa mwingine
Kaaa mkuki kwa nguluwe kwa binadam mchungu mama junior umalaya to kaaaaaaaloooooo
Wana wake ndo wana ongoza kwa kuchiti😂😂
Ubaya 😂😂😂 ubwela 😂😂
Umaraya Tu kutulia aaaaaaaaa😂😂😂
Umalya tu kukubali aaaaaaaaaah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mapenzi nyoko khee so keajuchepuka huko😅😅😅
Hamna mke hapo... pia huyo jamaa nae jinga tu mwanaume unapaka piko alafu bado unalazimisha kuw na janamke lililotembea na rafiki yako dah😂😂 huo usenge siwez aisee
Kumb nae au bas tu 😂😂😂😂
Ivani ana akili sanaa
Kwann hamuumuulizi na uyo mchepuko wake kwann alifanya ivo wakati alikuwa anajua kuwa n mke wa rafik akee???😂😂
Tam sana hii tuletee Tart 3😂
Trust no one jamani huyu dada anavyoongea utamuonea huruma kumbeeee😂😂😂
Kadada kamalaya ka kutupa
Mama junior kumbe n kimalaya 😢😅 aisee mpk kaenda kutembea na James mwanzo alikuwa anajibu kwa dharau kumbe n kahaba😅
Yvan ati shoga agu umenivuwa nguwo😂😂😂😂😂😂😂😂😂,yani mama junior alikuwa anaonekana hana hatiya kumbe ni mkali
😂😂😂ndie simba mlanyama
Huyo mdada ana kiburi
Mama junior poz limesha
Duu mungu namimi nisamehe huyu kaka nilimuhukumu bule
Ubaya ubwela😁😁
An huyu kaka anvokuingia kwa ustaarb yakvrgika anajtetea alkuomb n ukakubali h😂😂😂 una d mbili kwel kaka
Nani kakiona kirusi cha kuchiti😂😂😂😂
Mama juju aliyakanyaga😂🙌
Mnaendana saaaaaaan mrudihanea kbs❤❤❤❤
Uyu mdada kumbe mpuuzi sana, na alitoa huruma sana alipoenda kufumania kwa shogaake, leo anajifanya jeuri
Congratulations 🎉🎉❤❤❤❤
Kumbe ma junior anapenda sana kupigwa mshipi na wakat mume yupo bize. Na kutafuta maokoto ye anapenda kuto......😂😂😂😂😂
Mama junio kumbe ww ndoulianz kuvaba mwenzio kumaliz unamuon mmbay mwach amaliz inaumiza eee vumilia laa ya kudanga kudangiana
Ivan mnafki ety huyu ni wew au ameedit saut😅
Huyo dada ni malaya😂😂😂😂😂😂😂
Daaah pambee
Uyo mama junia ni jeuli sana anakibuli
Hahaha kazi kwelikweli
😂😂michezo au kwel
Uyo mama junior mnamuelewa kwel 😂😂
Uyoo dad ana lolote na yey n wale wale kujifany msafi kumbe nd mchafu mkubwa khaa nmemtoa maan
JAMAA amenichekesha eti ile pisiiiiii😂
Ivan eti shoga angu leo umenivua nguo😂😂 ivan mmbea kwel
Respect my brother
Uyu jamaa mwenye mke nikweli mwanaume kweli kweli yaan unajua mkea ana cheat alafu unamvumilia kumamake walahiii labda mm somm😊😊
Huyo nimpumbavu
Unatakiwa kuiga jamaa ukitumia hasira utafungwa
Huyu kaka kanikera mimi ujinga gani huu mwanaume hajidhudhagi ivi
Ila Ivan bwana😂😂😂 eti nina Mic🎤 mbili 😂😂😂 dah unatia hasira
Hapo bado James kucheat na Mis fina ili cycle ikamilike🤣🤣🤣
Hakuna mapenzi tena hapo!
Roho ya baba junior ee mungu nijalie mausiano yangu yadumu❤️
Honger broo km nikutok moyon unampend naumeamua kumsamh🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kimenishuka 😢😢mimbona sichert jamn 😢😢
Huyu dada ni jeuli sana hata wakirudiana hawatadumu bora waachane tu walee mtoto wao bas
Sema mwamba ni mwanaume wa kwel
We na g wewe 11:09 Aibu naona mimi😅😅😅😅😂 10:55
Shosti kafichua siri😅
Umbea kazi kwelikweli
Ubaya ubwela😅😅😅😅😅😅😅