ZAWADI YA GARI IMELETA MACHOZI | PART TWO 2.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 238

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 2 дня назад +12

    Kila mtu wa kwanz leo bac na me wamwish nijiseme na me wa kwanz leo maana kila mtu anawahi mbel kama vile mnapewa pesa Cjui 😂😂

  • @fellybrowntz177
    @fellybrowntz177 2 дня назад +4

    Kunabaadhi ya wanawake wasenge Sana .....wanatuchosha Sana kwenye maisha

  • @pharesjoyna7883
    @pharesjoyna7883 11 часов назад

    😂😂😂😂dadeki Doni kaenda zake huyooooooóo🤣🤣🤣nimecheka

  • @SaidiMiharage
    @SaidiMiharage День назад +2

    Kwa hiyo mlimkimbiza mpaka wapi😂😂

  • @MARYAMSHABAN-l5w
    @MARYAMSHABAN-l5w 2 дня назад +8

    Mimi wa Tano anipe like 😂😂

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 2 дня назад +2

    Ukisikiaaa Mamaaaaaaaaa Ujue Kishaumana😅😅😅😅😅

  • @SubiraJuma-w8e
    @SubiraJuma-w8e День назад +2

    Huy mwamba kanichekesha ety marekan😂😂😂

  • @addenthogan9920
    @addenthogan9920 2 дня назад +6

    Iyo background sound inazingua

  • @SamwelSamGO-rw3lu
    @SamwelSamGO-rw3lu День назад +1

    Huyu dada nae tuseme hajawah kukuona kwenye social media mr challenge 😂

  • @mwanashaali1109
    @mwanashaali1109 21 минуту назад

    Sasa huyu mdada kwani hamjui uyo boy jamani,ahhhh , Wanawake tamaaa mbayaaa olewa kwa lengo la hisia tuh,lkn sio tamaa za maisha

  • @SaniphaRamadhani-sr2qz
    @SaniphaRamadhani-sr2qz 2 дня назад +2

    😂😂😂kila mtu wa kwanza jamaniii😅😅😅😅

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 дня назад +1

    Kwann kilasiku arusha mbona migodi ipo mingi sana 😂😂 wee nae

  • @Naah-o2c
    @Naah-o2c 2 дня назад +3

    Ivan nipe huyo mwanaume mimi bora 😢😊

  • @LilianCute-
    @LilianCute- 2 дня назад

    Mapenzi tuajie wazungu😂😂😂😂
    Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ZawadiHemedi-c5d
    @ZawadiHemedi-c5d День назад +1

    Kwaiyo wanawake wenzangu bado hamjamjua tu ivan

  • @Ashahabibu-yr1rn
    @Ashahabibu-yr1rn 2 дня назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 wanaume 3 duuuh kazi ipo

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 День назад +1

    kweli kiswahili kigumu hivi "atakuwa" Neno panaaaaaaa

  • @RichardDonald-i4f
    @RichardDonald-i4f 2 дня назад +3

    Wa kwanza mm hapa

  • @lovenesszedekia7814
    @lovenesszedekia7814 10 часов назад

    Ivan ukija Dodoma kunifanyia hii challenge nitakupasua nikuue 😂😂😂😂

  • @RescoJ-i9b
    @RescoJ-i9b 2 дня назад

    19:58 hajui Kam kuna kivumbii 😂😂🙌🙌

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 День назад +1

    Hela na mwanamke ni mtego kuuruka ni kazi mno

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 7 часов назад

    pesa inanguvu sanabloo😂

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 10 часов назад

    Dah uyu dada nikiboko kwan anawapenz wangap jaman et ckujua kama umesharud 🤣🤣🤣🤣

  • @petrobukerebe215
    @petrobukerebe215 2 дня назад +2

    Alipoanza kutafuta majibu ya matching item nikajua imekeketa kwake hii😂😂😂

  • @christopherNgimbudzi
    @christopherNgimbudzi 21 час назад

    Watatu wa mwanzo Bado jamaa Bado vijanja vikamia show

  • @SaniphaRamadhani-sr2qz
    @SaniphaRamadhani-sr2qz 2 дня назад +2

    Umalaya tu wadada akiyamungu kaah wanaume wote awo wa nn😅😅😅😅😅

    • @daudibrandMakeseni
      @daudibrandMakeseni 2 дня назад +1

      Sanipha mambo nitafte TikTok kwa jina daudi makeseni maana nilipo teza namba zako

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 10 часов назад

    Uyu dada😢 alivyojichekesha kama chiz kaona ndugu zake furaha imegeuka kilio kwake naatakua amejifunza

  • @paulmsele3696
    @paulmsele3696 2 дня назад +4

    Wakati mnafanya challenge au mna edit hatutaki hizo sauti za muziki kunamaneno hatuyasikii sauti ya mziki inakua kubwa

  • @ally-k3427
    @ally-k3427 7 часов назад

    Unampa gar alaf anakuja kukuchiti kwa lita moja ya mafuta😂

  • @nembrisngatara7469
    @nembrisngatara7469 День назад

    Ivan njo bas nibadilishe na mm maish😂😂😂

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 дня назад +1

    Kweli kwenye miti akuna wajenzi aisee dada wakawaida sana aisee ata kazidi wadada wazuri daah

  • @Spekalifetz
    @Spekalifetz 2 дня назад +1

    Baby noo,inasikika ila inamaanisha gari noo ndio linaenda 😂😂

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 2 дня назад

    Mara Pitta mara nani da! Dada anawanaume wengi huyu😅😅😅😅😅😅😅

  • @danctheyoung
    @danctheyoung 2 дня назад

    Aisee jamaa anajua anapendwa kumbe hata kwenye kumi kali hayumo! Daah inauma sana.

  • @SaidiMiharage
    @SaidiMiharage День назад

    Hapo vegas hotel hakuna lift??

  • @CuttyZerish
    @CuttyZerish 2 дня назад +1

    Nimecheka kwa sauti😂😂

  • @VenantKabwe-x9z
    @VenantKabwe-x9z 2 дня назад +1

    jamani mimi ni mkongomani DRC 🇨🇩 ila wa dada wengi wa tanzania ni malaya sio ote apana naamini kabisa😂😂😂 wanaume hote 3 duuu!!

  • @dab8859
    @dab8859 День назад

    Tuseme awa uwa hawaangalii izi challenge kwn ama awmjui Ivan

  • @SajdaHussen
    @SajdaHussen 2 дня назад +1

    😳😳😳😳😳tatizo lakuwa nawanaume wengi duuh pole yake

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 День назад

    Nimecheka leo baraaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @TotyMesha
    @TotyMesha 2 дня назад +1

    Nimechokaaa hahahahaha aki amungu heheheh hiii sas siangali tenah izii nn liii

  • @kenedysamwel9863
    @kenedysamwel9863 22 часа назад

    Mwanamke wa kibongo 😂😂 anakuwa na wanaume zaid ya kumi na hapo hata cha maana anachomiliki kupitia hao mabwana hakuna zaid utakuta ni simu tu 😂😂😂

  • @ElizabethNhumbi-dp7ym
    @ElizabethNhumbi-dp7ym 2 дня назад

    Igizo lenu zuri mmetuona hatuna akili eti😂😂😂

  • @VickithaDezidery
    @VickithaDezidery 2 дня назад

    😂😂😂😂😂Ila mapenzi daah kakosa gar😢😢😢😢

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 2 дня назад +1

    Au tai from marekan ntavaa 😂😂nafraisha katika content zenu hii imeenda Kwa kweli😂😂😅

  • @sultanjames9395
    @sultanjames9395 10 часов назад

    Mnatuona sisi madako yenu eti, wakati dada anakumbatia gari Don wa masaki kaonekana kasimama pembeni.

  • @Smoke__code8
    @Smoke__code8 5 часов назад

    Emoji ya uyo dada imechange kwenye 19:28 kutoka kwenye 😢 to 😂. Ila ivi viumbe

  • @priscuschuwa9030
    @priscuschuwa9030 2 дня назад

    Jamaa anaharibu content huyo uliyembeba

  • @toothman_1330
    @toothman_1330 2 дня назад

    Asaaa Mm Nina swali je kama wanajuana na huyo akimstua utajua kaaribu michuzi

  • @masikaali7012
    @masikaali7012 2 дня назад +1

    Siku Nyengine usikubali kufanya kazi kabla malipo

  • @jamesmsumba5126
    @jamesmsumba5126 2 дня назад +2

    Kuanzia leo siangalii challenge uyu mmarekani ni don kasomea Sheria UOI Kamaliza 2023 afu leo ni mmarekani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola День назад

    Hiiii nmeipenda sana

  • @Mwaminiomar
    @Mwaminiomar 2 дня назад

    Gari ikaenda ivo😂😂😂😂😂😂😂mambo amechemka😂😂😂😂😂

  • @YassirOmar-s1l
    @YassirOmar-s1l День назад

    Pesa inavuruga kila kitu mpka p didy anawafanyia wenzake ubaya coz anapesa

  • @DieumerciMuhindo-d9g
    @DieumerciMuhindo-d9g 2 дня назад

    Mwisho mwisho Kuna comedy😂😂😂

  • @SalomeBetes
    @SalomeBetes День назад

    Jamani hotel haina lifti nawaonea huruma mnavopanda

  • @Mwanahamisally-kg8ym
    @Mwanahamisally-kg8ym 2 дня назад +1

    Kumbe kiswaili anajua😂😂

  • @AdelaMwanandenj
    @AdelaMwanandenj День назад

    Dah uyo dada namsitikia sana ndio mazala ya kiwa na wapenz wengi kias kwamba hata ukiletewa zawad hujui imetoka kwanini kakosa zawad kwajili ya kutotulia na mwanaume moja pole yake

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 2 дня назад +2

    😂😂😂😂😂 hao ndo wanawake hata uwape nn Wanaume wenzangu kama una wazazi wako hai amisha upendo wote kwao so Kwa hawa viumbeeee 😂😂😂

    • @JumaAlly-m8u
      @JumaAlly-m8u 2 дня назад +2

      Kwel mzee me sas iv siwaziii mwanamke na tafut el kwaajil yang na wazazi

    • @AmaniRashidi-i9b
      @AmaniRashidi-i9b 2 дня назад +2

      @JumaAlly-m8u Salut Sela mi nimekimbia nchi Kwa maumiv ya wajinga Hao so watu hao

    • @AmaniManase-x1i
      @AmaniManase-x1i 2 дня назад +2

      Saiv ni kutafta pesa kwaajili ya wanao na ndg Wa damu tuwasaidie lkn siwezi tafta pesa kwa mtoto Wa mtu alolelewa na kurithishwa umalaya na mamaake afu wee uje kupata taabu ya kumtuliza khaaa tuwaachie wenye mioyo double ila sio mie mwenye moyo mmoja

    • @VictorBugobola
      @VictorBugobola День назад +2

      Kwl Bro❤

  • @ByamunguGentil-su8ox
    @ByamunguGentil-su8ox 2 дня назад

    Eti brother mm bado huja nilipa 😂😂😂😂😂

  • @BizozaDesire
    @BizozaDesire День назад

    😂madem naoo wanatama nona sna

  • @elibarikikisaruni
    @elibarikikisaruni День назад

    Ila wanawake ni watu hatar sana sana. Ukiweka akili na moyo kwao unaweza kufa

  • @kingmartine0158
    @kingmartine0158 2 дня назад

    Huyo dada anaangalia sana upande wa ilipo camera

  • @leonardmhoja2825
    @leonardmhoja2825 2 дня назад +2

    Ubadirishe koti mkali

  • @StevenMtitu
    @StevenMtitu 21 час назад

    Usifananishe gari na msamaa

  • @PreciousZaituni
    @PreciousZaituni 2 дня назад

    Ponguza iyo sauti bana inatukera sana tunashindwa kusikiliza

  • @MeryJonh
    @MeryJonh День назад

    Apo kimoyo moyo anasema kimwanaume chechewe ovyo 😂😂

  • @nikorasnyenge5940
    @nikorasnyenge5940 2 дня назад

    Mimi ndio bos ukaniweke choon unaumwa Nini ? Wangap wamelipinga la bos kukaa choon?

  • @RahemaJumany
    @RahemaJumany 2 дня назад

    Huyu bro mshamba kweli Unatupaje documents za Gari kama sio uongo hasira za kishamba hizo

  • @RehemaHussein-n5u
    @RehemaHussein-n5u 2 дня назад +1

    Naomba no zake huyo jamaa doni maana nahisi tutawezena

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 дня назад

    Hayo mambo ya kwenda chumban kuna siku mtamwita mtu ukute ni mchaw awagandishe humo msitoke tena 😂😂😂

  • @Killyjuma
    @Killyjuma 2 дня назад +1

    Nadhani sisi watanzania tunaoishi Marekani tunapenda kuowa wanawake wa Marekani kwasababu wanawake wa kiBongo wana ufala sana

  • @bestforever-q2w
    @bestforever-q2w День назад

    Call me Japhe,second Lawrence mmmh third peter ila 😂dada etuuu😂😂😂😂😂🖐salute 24:40

  • @magrethkilua3601
    @magrethkilua3601 2 дня назад +1

    Hapa ndyo umetuaminisha ni maigizo inamaana huyu dada hamjui ivan si uongo kabisa huu

  • @LovenessIsack
    @LovenessIsack День назад

    Kwani watu hawamjuwi Ivan jamani

  • @brianmoshi1156
    @brianmoshi1156 2 дня назад

    kuchezea nywere za wake za watu tuhh 😂😂😂

  • @BasilisaKihili
    @BasilisaKihili 2 дня назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂nmejikuta nacheka tuu

  • @Fatma-wi2co
    @Fatma-wi2co 2 дня назад +1

    Watu wana bahati wanazichezea 😢

  • @StevenMtitu
    @StevenMtitu 21 час назад

    Hiyo ni zaid ya dala dala

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 2 дня назад

    Aisee wew watano na bado umepagisha nyumba shikamooo

  • @yusuphcosco9851
    @yusuphcosco9851 День назад

    Hakuna mtu msenge kama ivan jmn😅

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 2 дня назад

    Kwamba mnavyoitana kwenda nje hasikii 😂😂😂😂mnatupanga

  • @zuwenachuwa7870
    @zuwenachuwa7870 2 дня назад

    Kwan hyo hotel haina lift mbn inachosha wateja au mnqogop lift

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 2 дня назад +1

    Yan Mwanamk Hana Hat Uhakika Mahan Anawapenz Wengi Kam Jumuhiyaa Ya Mkatolikiii😂😂😂😂

  • @OswadiGumahamwe-sy6xb
    @OswadiGumahamwe-sy6xb День назад

    Daaah jamaa hata kwenye 3 bora hayupo

  • @Tashmaorg
    @Tashmaorg 2 дня назад

    Pita kapitaaaa😂😂😂😂😂😂😂umalay2😢😢😢

  • @SaidAli-t8g
    @SaidAli-t8g 2 дня назад

    Demu anawapenzi wengi 😂😂.

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 дня назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂 kimemramba na macho yake hayo

  • @BrianWanjala-fd9zp
    @BrianWanjala-fd9zp 2 дня назад

    Daah ndo mapenzi hayo hapa mjini bana akuna kupoa

  • @joshuasaimon3534
    @joshuasaimon3534 2 дня назад

    Huyo Mo nani kaharibu hahahhahahahaha

  • @NorrisJonas-tq1id
    @NorrisJonas-tq1id День назад

    Ina maan uyo dada hakuonagii mtandaoni unamuita apo na unamdanganya Ivo hakujui au n mnatuletaa ty apa

  • @sweetheartmuhoja9128
    @sweetheartmuhoja9128 2 дня назад

    Mimi ninae m1 tu kwel Tena Ila siitak hii challenge

  • @amirimahadhi1062
    @amirimahadhi1062 2 дня назад

    Mbona kagonga mlango wa chooni huyu anaelewa script 😅😅

  • @mohamedasha3130
    @mohamedasha3130 2 дня назад +3

    KUMBE WAPENZI WAKE WOTE WANAPESA

  • @dottorobert5128
    @dottorobert5128 2 дня назад

    Kwan Ivan watu hawamjui au shida inakuwaga nn😂😂😂

  • @AdenAbayaCollection-r3q
    @AdenAbayaCollection-r3q 2 дня назад

    😅😅😅 kwahiyo don ndo kaamua kusema na gari Letu ee

  • @SalamaKedy
    @SalamaKedy 8 часов назад

    Ana wengi mpaka hajiamin

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 17 минут назад

      Banah enhee Wanawake tunaugua maisha Mazurii,mtu badala ajitume

  • @farouqsilvester9918
    @farouqsilvester9918 2 дня назад

    Vegas hotell ….why there’s no lift to go up stairs? 😔😔😔

  • @BeatriceAdolf-gj6lr
    @BeatriceAdolf-gj6lr 2 дня назад

    Natamani na mimi nifanyiwe challenge jamaniii....we jichanganye mbona gari ntabeba...ambao hatuna mambo mengi hatufanyiwii jamaniii

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 2 дня назад

    Ila Ivan unanichekeshaga sana unamshika nywele kwa mchongo