ANAYOYAPITIA MCHEKESHAJI BROTHER K/ ASIMULIA YOTE/ AWAOMBA MASHABIKI/"MSINIACHE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии •

  • @msilangamusoma1502
    @msilangamusoma1502 Год назад

    Namkubari sana brother k MUNGU AMSIMAMIE PIA ASISAHAU ALICHOPEWA KUTOKA KICHWAN KWA MZEE MAJUTO

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 Год назад

    Brother K kaz zake nazipenda sana ..mimi n shabik yeke mkubwa

  • @samwelmakuni8079
    @samwelmakuni8079 Год назад

    Good 👍

  • @alexkagaali2997
    @alexkagaali2997 Год назад

    Uko brother K

  • @mfaumemkoma-ey2jd
    @mfaumemkoma-ey2jd Год назад

    Nimefulai sana kusikia hilo kwa kuingia jijikubwa kakakei kalibu sana

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 Год назад

    Huyu ni mchekeshaji mwenye bidii katika kazi yake.Lakini uchekeshaji wake ni wa kitoto;unawafaa watoto zaidi.Ajaribu kubadili aina ya uchekeshaji wake ili hata watu wazima tuvutiwe nao.