LIVE: Breakfast na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete I Uamuzi Mchungu kwa Taifa I Karibu Kwenye PB

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 июл 2023
  • #CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #PowerBreakfast

Комментарии • 41

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 2 месяца назад

    Charming Kikwete never disappoint.

  • @RonnieMchatta-pr5bd
    @RonnieMchatta-pr5bd 7 месяцев назад

    Man of the people always

  • @emmanuelshaban6821
    @emmanuelshaban6821 10 месяцев назад +7

    Jpm

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 10 месяцев назад +1

    Mzee wetu kama binadam alijitahidi sana ,sana ktk utawala wake

  • @FrancisJulius-vb2nu
    @FrancisJulius-vb2nu 22 дня назад

    Iam very hapy

  • @yohanampangule8817
    @yohanampangule8817 10 месяцев назад

    JK Kikwete ,Man of The Hour

  • @FredMeitamei
    @FredMeitamei 2 месяца назад

    Mnafkii Mkuu.

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 10 месяцев назад +4

    Huyo mzee mnafiki na mwizi. Mnampa airtime ya nini?.

  • @aminatambi9831
    @aminatambi9831 10 месяцев назад

    Thank you .

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 10 месяцев назад +1

    Hakuna chochote Cha msaana mlichozumgumza zaidi ya kuchekacheka

  • @user-mb2dy1cp7v
    @user-mb2dy1cp7v 10 месяцев назад +6

    Kweli mkubwa ni mkubwa tu😅😅 Yani wote hapo wamevaa suti lakin RAiS yeye Yupo very normal

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 10 месяцев назад +1

    Rais Kikwete Allah akulinde na akupe umri mrefu wewe ni Hazina ya Taifa hili

  • @leganmichael6148
    @leganmichael6148 10 месяцев назад +1

    Waandishi wa bongo tunajawa sana na unafiki na ushabiki zaidi ya uhalisia.
    Kwa nafasi hiyo mgemkumbuka hata mwandishi mwenzenu Mwangosi,Absolom kibanda, Dr. Mvungi....Pfr. Mwaikusa.....aliyekuwa Dr. Rais wa madaktari nk.

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 месяцев назад

      Kaka tafuta hela.hao wanaangalia matumbo yao.hatuna waandishi habari tanzania wenye huo msimamo labda doctor ulimwengu.

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Месяц назад

      Wangemuuliza ishu ya Dr ulimboka ilikuwaje kuwaje

  • @FredsonHytham-dx4xk
    @FredsonHytham-dx4xk 10 месяцев назад +1

    R.I.P MAGULIFICATION FOR TANZANIA 🙏

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 10 месяцев назад

    Vicheko...unafiki mwingi

  • @jjm4583
    @jjm4583 10 месяцев назад

    🎉🎉

  • @drpeter3760
    @drpeter3760 10 месяцев назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 10 месяцев назад +2

    Je Mzee JK unatakwimu za watu ulio wagonga

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 месяцев назад

      Swali zuri

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 10 месяцев назад +1

    MZEE KIKWETE USICHEKE KWA JAMBO LA BANDARI
    WAANDISHI NI VIAZI SANAA SASA MNACHEKAAA

  • @nathanlusulo-po2lj
    @nathanlusulo-po2lj 10 месяцев назад +1

    Huyo mgeni mmempa na chai

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 10 месяцев назад +3

    Bola kumuangali kingwendu kulikohao

    • @onesmolwambano9349
      @onesmolwambano9349 10 месяцев назад

      Rudi shule

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 месяцев назад +2

      Kweli kabisa bora kumwangalia Kingwendu 😂

    • @joezeno8
      @joezeno8 10 месяцев назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-kk7re2jl8y
      @user-kk7re2jl8y Месяц назад

      😅😅😅😅😅😅

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 10 месяцев назад

    JK TUNATAKA USHAURI KABISA MWAMBIE SAMIA ASIUZE BANDARI

  • @gospel3213
    @gospel3213 10 месяцев назад

    Mzee Jk kwakweli binafisi namkubali mno nikiongozi wakipekee saaaaaana na huyu namuombea sana kwa Kristo azidi kumtunza. Mapumbavu ndio wanampinga ila huyu ni azina kubwa kwa kwa Taifa letu na bara la Afrika.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 10 месяцев назад +3

      Mkristu na mapumbavu??? Kaaaaazi kweli kweli!

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 10 месяцев назад +1

      Kila kiongozi ana uzuri wake na upungufu ukiacha swala la kushamili kwa ufisadi ktk kipindi chake, huyu alikuwa kiongozi mzuri Sana. Aliruhusu watu kutoa maoni yao, halafu hata maisha mtaani yalikuwa rahisi

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 10 месяцев назад

      @@davidsimbeye1548 Ukimuuliza Dkt.Ulimboka na ndugu zake Mwangosi nao watakuambia upande wa pili wa uzuri wake.🙏😢

    • @amaniabdi9755
      @amaniabdi9755 10 месяцев назад

      Kama walikuwa wavurugaji unafikili watakwambia Nini,nanyie mnaotoa matusi mnafikili yakiwakuta mtamlaumu nani?.

    • @FredsonHytham-dx4xk
      @FredsonHytham-dx4xk 10 месяцев назад

      We ndio mpumbavu huwezi kuwalazimisha watu waishi kwenye hisia zako .acha zuzuz huyu ni fisadi

  • @fredernestonline6011
    @fredernestonline6011 10 месяцев назад

    Ujinga tu unafki na uchawa