Hii ni haqq! Mimi nimeona tamthilia ya An najash رحمه الله تعالى akiigizwa et amebebelea msalaba mkubwaa azunguka nao katika kasr yake kile kipindi cha Hijra ya Waislamu afu annajash mwenyewe amekondeana saana
Si maswahaba tu Shekh mpk manabii utaona mtu yuko busy anatizama tamthilia kisa cha nabii Yusuf subhana baadae akili inajenga yule ndiye nabii tumekua km makafiri na tamthilia ya nabii Issa ilivo waathiri
شيخنا ابل خطاب عبدالله حميد سعيد الحذرم حفظه الله تعالى
Baarakaallah fiykum
Hii ni haqq! Mimi nimeona tamthilia ya An najash رحمه الله تعالى akiigizwa et amebebelea msalaba mkubwaa azunguka nao katika kasr yake kile kipindi cha Hijra ya Waislamu afu annajash mwenyewe amekondeana saana
برك الله فيك
BaarakaAllahu fyiik
Aamiin
Ndio waweza pata durus zake kupitia telegram Chanel ya itwa ahlul athar ao Chanel ya itwa markaz imam Shafii
Makosa zaidi mwanamke yuaimba kaswida jukwaani na huku wanaume wamtunza
Salaam alaikum warahmatullahi wabarakatu je mtu aweza kupata duruus za sheikh Abdallah humaid hafidhahullah akifunza vitabu Jazakkallahu khayran
Zipo tele
Naam yawezekana
Wazee wakujitukuza mpo!!! Masalafu
Bila shaka ni sufi😂😂
Maana mada hiyo nayo ni ya kupinga
Wamejitukuza wapi apo
Acha kusema hivyo Allah anakuona masalaf wanaitakasa dini kutokana na uzushi aliotutahadharisha Mtume swallallahu a'laih wasallam
@Maryam-u8i6h wahuni tu hao huwajui
Hakika yaani nyimbo zimeenea eti nasheed ukiwambiia hawaelewi
Changanoto sana Allah atuhifadhi
Ww umekosa kazi ya kufanya
Ww hutambui dini yako laa utulie usome.
Sheikh humeid ajipatia kheri kutoka kwa Allah, kwamba amekosa kazi ya kufanya huo ni mtazamo wako wa hovyo
Si maswahaba tu Shekh mpk manabii utaona mtu yuko busy anatizama tamthilia kisa cha nabii Yusuf subhana baadae akili inajenga yule ndiye nabii tumekua km makafiri na tamthilia ya nabii Issa ilivo waathiri
Baarakallah fiykum