Askofu msaidizi John Kiplimo Lelei wa kanisa katoliki atawazwa nyumbani kwao Uasin Gishu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • Sherehe ya kutawazwa kwa askofu msaidizi dayosisi ya Eldoret John Kiplimo Lelei wa kanisa katoliki inaendelea nyumbani kwao katika kanisa la St. Mary's Osorongai eneo la Kipkaren Uasin Gishu. Viongozi wakiwemo msaidizi wa rais Faruk kibet, wabuge na askofu wa kanisa katoliki Dominic Kimengich wanahudhuria...John Wanyama anaungana nasi moja kwa moja kutoka Kipkaren atufahamishe yanayojiri

Комментарии • 2

  • @kittykossy
    @kittykossy 17 дней назад

    Thank you Fr. Vincent Kibet for giving us updates and what to expect with regard to our new auxillary Bishop John Kiploimo Lelei ordination

  • @gladysnyangweso8230
    @gladysnyangweso8230 24 дня назад

    Sister hajasema kitu....