Jamani wandugu uyu mwenzetu ameshakosea ayo mambo ya kumlaum au matusi sio kitu kizuri akipendezi kiubinadam inatakiwa tumpe moyo na ushauri ikiwezekana hata kumsaidia 🙏🙏
Huna haja ya kuendelea kulia neema bado ipo. Yesu anasema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo mizito ya dhambi nami nitawapumzisha . Unakaribishwa Kaanani bible church Kunduchi utafanyiwa maombezi bure kwa jina la Yesu utafunguliwa nguvu za giza na kuwekwa huru kabisa. Yesu halisi hajawahi shindwa chochote.
Mungu amjaalie kijana mwenzetu dunia inamambo mengi sana tujiepushe na tamaa tufanye kazi kwa bidii tutatoboaa too hatakama nikuanzia ziro ukitia bidii utatoboa too
You always bring eye opening programs.MaanshaAllah Captions/ subtitles In English Would be much appreciated, for those who are not fluent in English. Thanks 😊
Pole kaka kwa masaibu Mungu tu ndie atakunusuru malipo ya dunia ni hapa tu watalipa ×100 .hii ni funzo kwa wengi tamaa n young generation hawapendi kuchoka lakini wanafaa wajue hakuna cha bure may God help us .
Nmeiskia vzur Hii stor Lakn n stor ya Kutungwa cha kwanza huyu jamaa kabla ya kukutana na uyo jin alkua hana Mishe so Kodi alkua Analipaje tujiulize tu na Alkua Ndugu Hana. Bongo buana😂😂😂😂 et jin akamfunga Kamba Ndo akaanza kumlawiti Achen Upumbavu
Duuu kuna watu wanapitia mazito hapa duniani?,ila kwa upande wangu naona sababu ya tamaa nakutaka utajiri wa haraka haraka,hata kama unapitia changamoto tunapswa kuzidi kumuomba Mungu na kulizika na unachokipata hata kama hakitoshelezi
Hakuna majini wasafi, ni wachafu tu maana mwisho wa yote ni kukuangamiza! Hakuna jini wa kukusaidia kuupata uzima wa milele, hakuna! Tusiwatumainie hao viumbe kwa lolote!!!
Huu Ni upotovu wa Hali ya juu ,, haooo Ni waganga wa kienyeji walomtia shidani masheikh hawawezi kufanya ivyoooooooooo hata siku mojaaa Waacha kudhalilisha masheikh na Uislamu
Is'haka Moh'd wewe ndio unapotosha sasa, huyo ni shehe na ameandika shehe, kama ni mganga tuu kwanini asingeandika mganga akatanguliza shehe, waambieni hao ndugu zenu wasitumie jina LA Allah ktk kurubuni watu.
Mbona wakizungumzia wachungaji huwa hamkasilika tena huwa mnaongezea na matusi juu,!! Kwani Shekhe na Mchungaji wote si ni binadamu wanaoweza kubadilika wakati wwote na kuingia ktk uovu,kwa nini mpaniki??.
Kwamwenye akili anajua tu Kama hii stor niyakutunga 😂🤣 nimeisikiliza mpaka mwisho wallahi siokweli kila nikichekesha kuna mambo hayaelekei kabisa mm hiistor siiyamin💪💪💪
Na hizi vituko zina fanyikia locals tu? Sija skia foreigner ama tourist ame pitia mambo haya. Majini wanabagua!!!! Noma kweli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni comedy kali sana Kenya.
😢😢😢😢pole sana yani uliona bango tuu nb zasheikh ukaona wachanipige nb kumbe mashekh nao wanatumia majini makubwaa,,Bora ufemasikini kuliko kufata pesa zaharaka sasa majirani wanakufu una mwanamke mxuri anakuhudumia kilakitu kumbe wewe ndomke sasa
Tatizo lenu wabongo hamjui tofaut ya sheikhe na mganga. Jaman sheikh ni viongoz wa miskit au waalim wa vyuo vya dini. Sheikh hawez kua mganga. Ww ulienda kwa mganga. Sema umeponzwa na tamaa zako
Shida hamjui. Kila Shekh anaweza kumiliki majini kupitia elimu wanayosema. Isipokua uwezo unatofautiana kati ya Shehe mmoja na mwingine.Muumini wa kawaida hawezi jua hayo ni mambo ya juu sana ya elimu ya dini ya Kiislamu.
@@kulthuwmameir6850, hawa zamani walikua natabia za kutoa ushuhuda makanisani kwa ajili ya kuupa sura mbaya uisilam. Watu wakawashitukia kua ni waongo. Sasa wamekua na tabia hizi za kutafuta watu wenye tamaa wakawalipa na kuwapeleka kwenye vyombo vya habari kusema uongo. Hakuna sheikh wala imamu hapo ni kampeni zao tu hizo. Hasbunallahu waniimal wakiil. Laana za Allah zimshukie kila anaepanga uongo (anaehoji na anaehojiwa) kwa lengo la kuupa sura mbaya uisilam.
Hii ni khabar, upo uwezekano ikawa ni uongo kwa malengo fulani yaliyofichikana. Pia upo uwezekano ikawa ni kweli kwa malengo ya kutahadharishana na tamaa.
TUNACHEKA KAMA MAZURI LAKINI KUFA NA CENT MIA MFUKONI NI ESHIMA KUBWA KULIKO KUFA NA UTAJIRI AMBAO UJAUTOLEA JASHO HAYO NDO MALIPO YAKE....IMEANDIKWA WANAWAKE WATAZAA KWA UCHUNGU MWANAUME ATAFUTE KWA JASHO...
Dini haipo katik hilo wala mtu hawez kujitungia tu lakusema ni kwamba amrudie mungu si waislam si wakristo wote tunamuomba mungu yuleyule mmoja ingawa iman tofaut
Pole sana brother. Let me struggle on my own.
Hahaha wazee wa kusoma comment kwanza tujuane hapa like
Mimi nikisoma comment nisipoelewa napotezea kitu yenyewee
Hichi chama Cha kusema komet kilifungwa...mpaka Corona iishe
Tupooooooooh
Subhanallah hao si masheikh ni washirikina wakubwa ndugu zangu msiende hilo jina la sheikh wanajiita tuu laanatullah
Cyo huongo wapo mashee wanaotenda hayo hata shy yupo na anawazifa mkubwa kwenye misikiti kwaiyo wewe kama ujui au uamini vunga dada🤔
Linnus Aloyce kabisa
Dunia ya mwisho hii watu hubadilisha haramu km ivi pia mganga wa kishirikina kuitwa shehe
Sasa jameni hela yakupewa na ya majin gan bora???? Blaza vip wewe???
@@linnusaloyce6559 hata huyo ni mshirikina hata kama amepewa msikiti wa makkah
Jamani wandugu uyu mwenzetu ameshakosea ayo mambo ya kumlaum au matusi sio kitu kizuri akipendezi kiubinadam inatakiwa tumpe moyo na ushauri ikiwezekana hata kumsaidia 🙏🙏
Huna haja ya kuendelea kulia neema bado ipo. Yesu anasema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo mizito ya dhambi nami nitawapumzisha . Unakaribishwa Kaanani bible church Kunduchi utafanyiwa maombezi bure kwa jina la Yesu utafunguliwa nguvu za giza na kuwekwa huru kabisa. Yesu halisi hajawahi shindwa chochote.
YaAllah tunusuru ya Allah ..mungu atakusamee kakangu sio makosa yako ni ugumu wa maisha
Ndg pole saan daaaaaa aise pole sana ndugu yang tena sana
Davista ata uandikaji wake wa vichwa vya habari uko real sana hapindishi story
Mungu tunusuru
Hata mm napenda weng huandika vitu tofaut.
Mungu amjaalie kijana mwenzetu dunia inamambo mengi sana tujiepushe na tamaa tufanye
kazi kwa bidii tutatoboaa too hatakama nikuanzia ziro ukitia bidii utatoboa too
You always bring eye opening programs.MaanshaAllah Captions/ subtitles In English
Would be much appreciated, for those who are not fluent in English. Thanks 😊
Ayo majini yooote kiboko yao YESU tu yani wewe tafuta mtumishi wa MUNGU ALIYE HAI akufungue kwa JINA LA YESU.
Pole kaka kwa masaibu Mungu tu ndie atakunusuru malipo ya dunia ni hapa tu watalipa ×100 .hii ni funzo kwa wengi tamaa n young generation hawapendi kuchoka lakini wanafaa wajue hakuna cha bure may God help us .
polee kakaa mtumaini munguu duniaa na vyotee viujaxavyo ni Mali ake mtegemee yeye atakushindia
Jaman jaman tusicoment vibaya tumuombee tu kwa Allah amsaidie yallab atunusul n hizi tamaa maisha aya bila imani dhabiti tunafeli
Nikweli Hafsa yan mungu atuifadhi Inshaallah
Kweli yani uwo mkasa mafunzo kwetu tumrudie Allah na tuache tamaa turidhike na maisha yetu alotujaalia Mungu
Kuweni makini na washirikina wanaotumia mjina ya masheikh, hao wenye mabango wote ni washirikina,
Nmeiskia vzur Hii stor Lakn n stor ya Kutungwa cha kwanza huyu jamaa kabla ya kukutana na uyo jin alkua hana Mishe so Kodi alkua Analipaje tujiulize tu na Alkua Ndugu Hana. Bongo buana😂😂😂😂 et jin akamfunga Kamba Ndo akaanza kumlawiti Achen Upumbavu
Duuu kuna watu wanapitia mazito hapa duniani?,ila kwa upande wangu naona sababu ya tamaa nakutaka utajiri wa haraka haraka,hata kama unapitia changamoto tunapswa kuzidi kumuomba Mungu na kulizika na unachokipata hata kama hakitoshelezi
Pole sana ndugu yangu kwa matatizo ayo makubwa Mungu yupo pamoja nawe
Sasa nimeamini ushoga uliletwa na majini wachafu kuwapotosha wanadamu.
Tamaa mbaya.
Tena sana yote nimashetani ndiowanaodanganya watu
Kweli kabisaa
Hakuna majini wasafi, ni wachafu tu maana mwisho wa yote ni kukuangamiza!
Hakuna jini wa kukusaidia kuupata uzima wa milele, hakuna!
Tusiwatumainie hao viumbe kwa lolote!!!
Hakuna jini msafi wala mchafu wote ni waharibifu ,mashetani waliolaaniwa na kutupwa kwa ziwa la moto wa milele
Mbya Sana
pole sana allha akufanyie wepesi kwanye mitiani hio
Davistar nakukubali sana kaka asante kwa kutuletea habari nzuri
Tamaa mbay brother
please tuletee part 2 hii story so interesting
Tujuane hapa wale wote tuliojifunza kitu kutokana na hii story
Nimejifunza sanaaaaaa
Aisee its so sadness tumuombee Allah ajaalie ridhiki ya halali tuache kupenda vitonga
Huu Ni upotovu wa Hali ya juu ,, haooo Ni waganga wa kienyeji walomtia shidani masheikh hawawezi kufanya ivyoooooooooo hata siku mojaaa
Waacha kudhalilisha masheikh na Uislamu
Amelaaniwa amwaminiye mwanadamu na kumtegemea. Sioni sababu ya kumtetea mtu ambaye wewe mwenyewe hujui kilichomo rohoni mwake.
Is'haka Moh'd wewe ndio unapotosha sasa, huyo ni shehe na ameandika shehe, kama ni mganga tuu kwanini asingeandika mganga akatanguliza shehe, waambieni hao ndugu zenu wasitumie jina LA Allah ktk kurubuni watu.
Mbona wakizungumzia wachungaji huwa hamkasilika tena huwa mnaongezea na matusi juu,!! Kwani Shekhe na Mchungaji wote si ni binadamu wanaoweza kubadilika wakati wwote na kuingia ktk uovu,kwa nini mpaniki??.
Kwamwenye akili anajua tu Kama hii stor niyakutunga 😂🤣 nimeisikiliza mpaka mwisho wallahi siokweli kila nikichekesha kuna mambo hayaelekei kabisa mm hiistor siiyamin💪💪💪
Hemedy Tengu ndio sifa ya mtanzania kuwa mbishi hata akiona mavi haamini hadi ayaonje
Hemedy Tengu fact👏
Hemedy Tenga😀😀😃😃umesema ukweli
Dah pole sana kaka ndio mitihani muombe Mungu sana
Deviiiii bombaaaa Sana mkaliiii,kazi nzuri kiongoziii
Upo juu kaka Davistar hujawai niangusha 👏👏acha wapige kopi
Kwa Jina la Yesu Tunakuweka Huru na hutoteseka tena soma luka 10:19 Tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nnge.
Ameen
Tom Patel tanzania never cease to amaze me . chinekeee mee
Na hizi vituko zina fanyikia locals tu? Sija skia foreigner ama tourist ame pitia mambo haya. Majini wanabagua!!!! Noma kweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ni comedy kali sana Kenya.
😢😢😢😢pole sana yani uliona bango tuu nb zasheikh ukaona wachanipige nb kumbe mashekh nao wanatumia majini makubwaa,,Bora ufemasikini kuliko kufata pesa zaharaka sasa majirani wanakufu una mwanamke mxuri anakuhudumia kilakitu kumbe wewe ndomke sasa
Ndege wawili jiwe kwa jiwe moja
Tatizo lenu wabongo hamjui tofaut ya sheikhe na mganga. Jaman sheikh ni viongoz wa miskit au waalim wa vyuo vya dini. Sheikh hawez kua mganga. Ww ulienda kwa mganga. Sema umeponzwa na tamaa zako
Jp
Shekhe sio mwalimu wa madrasa wewe shekhe ni mzeee ostadh au maalimu ndio mwana zuoni
Shida hamjui. Kila Shekh anaweza kumiliki majini kupitia elimu wanayosema. Isipokua uwezo unatofautiana kati ya Shehe mmoja na mwingine.Muumini wa kawaida hawezi jua hayo ni mambo ya juu sana ya elimu ya dini ya Kiislamu.
Pole jamani bro hizo ni changamoto za maisha mwamini mungu yote yatapita tu
Jamani utajiri utatuoneshs Mambo,,team hamam wacha nijioshe choo ya warabu🇰🇪
Umeona ee bora nisulubike kwamwarabu kwapesa yahalali naamini mungu atanisaidia
@@latefalatefa5594 nifanyie mpango dada
Kabisa
Subhanallah.....
Wabongo kwa kutunga str wako vzr aisee
Daah 😥😥😥 pole sana
Mashekhe walikudanganya mpokee Yesu akuokoe na hilo janga
Kwasababu wachungaji hawadanganyi...? Tena hao ndio waongo wakubwa kujifanya wanaponya watu. Mbona hawaendi mahospitalini kuombea
Mbn mwazozana tena, wote mnatoa ushauri ili yy ajue nn cha kufanya ajitoe kwenye tatizo
@@kulthuwmameir6850, hawa zamani walikua natabia za kutoa ushuhuda makanisani kwa ajili ya kuupa sura mbaya uisilam. Watu wakawashitukia kua ni waongo. Sasa wamekua na tabia hizi za kutafuta watu wenye tamaa wakawalipa na kuwapeleka kwenye vyombo vya habari kusema uongo. Hakuna sheikh wala imamu hapo ni kampeni zao tu hizo. Hasbunallahu waniimal wakiil. Laana za Allah zimshukie kila anaepanga uongo (anaehoji na anaehojiwa) kwa lengo la kuupa sura mbaya uisilam.
Pole sana
Tobaaaaaaaaaa 🤣 Yn Unakubali Kuwa Msenge Mwanaume Kwa Sababu Ya Pesa... mamaeeee...
Tamaa za pesa mbaya sana
Imeniumiza sana kiukwel pole sana kaka
Heee pesa za bure izo vjna wa saiv tunapoenda maisha mazuri ya mseleleko heee hamna cha bure nipe nikupeee
Pole kaka
Stori ya uongo huo you tube itawalipa pesa mgawane watanzania million na zaidi watasikiliza hi stori(ujanja wa kutafuta pesa Wooh)
duuuh noma kweli asee
Hongara sana kwa kazi nzur storry konk zenye mafunzo ila nisha subscuribe twende kazi brother
Bro safi sana, nakupongeza kwa hatua hii kubwa.
Neema ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake ili aweze kuishinda hii mitihani ya dunia
Daaah Jamaa kashafirwa na jini
😂😂😂🤣🤣🤣
@@Mpakauseme hhah hha
MWENYEZ MUNGU AKUSAIDIE🙏
Pole sana bro, ILA usiamini MAMBO na majini jinni hawezi kukusaidia BURE
Poleeeee
Tamaa mbaya tena sana
Pole sana japokuwa uliyatafuta
Ulivyoshtuka ankoo😂😂..etii eeh mwanaume? Sio kwamba mazuri lakini!🙏
Haya ole wao walio Kula ivo vyakula
Yesu anakutafuta ndugu yangu
Siyo rahisi jini kuitwa Magdalene, Sarah, Rose
Kweli tamaa yauua
nunua mike mzeee baba bass mnooooo
Ipo pemba zanzibar ni unguja na pemba
😀😀😃😃😃ety ametibuwa jiwa wa wili kwa wakati moja 😭😭😭😭😭😭Kumbe kajitimbua mwenyewe jamani
Pole
Tufanyeni tuu Kaz maisha mazur hayaji hivi hvi asee
Pole sn
Mm msoma comment tu lakin naona hapa wanamsivia tyu huyu mtangazaji kua hapindish na mm NAKUPA SALUT KAKA
😂😂😂😂
Hii ni khabar, upo uwezekano ikawa ni uongo kwa malengo fulani yaliyofichikana. Pia upo uwezekano ikawa ni kweli kwa malengo ya kutahadharishana na tamaa.
Umeongea fact kaka. Maana waisilamu tunachukuliwa ndivyo sivyo. Mtu akivaa kanzu na balaghashi basi kashakuwa sheikh
@@kulthuwmameir6850 kama ni uongo asinge rusha mtandaoni mtangazaj angepigwa faini
@@frankkiondo6327, wanarusha mengi tu yauongo na wanatizamwa tu. Labda uingie kwenye siasa. Uongo mtupu huo
Hata kama ni uongo ila tujifunze kitu kwa kuwa hayo matangazo ya pesa za majin yapo mitaani kwetu,so kinga ni bora kuliko kiba
@@frankkiondo6327, Mwanaadam anatakikana ajifunze kwenye mambo yaukweli nasio mambo ya kubuni/uongo.
Its so sad jamani mengi yatokea dunia na hatuyajui
😂😂😂😂 majini wamemfanya shoga! Kweli balaa
Mm
Davsta mata big up ...umetufundsha san
Jaman subuhna Allah mungu akusaidie jaman
TUNACHEKA KAMA MAZURI LAKINI KUFA NA CENT MIA MFUKONI NI ESHIMA KUBWA KULIKO KUFA NA UTAJIRI AMBAO UJAUTOLEA JASHO HAYO NDO MALIPO YAKE....IMEANDIKWA WANAWAKE WATAZAA KWA UCHUNGU MWANAUME ATAFUTE KWA JASHO...
Yan we bro davista me nakukubali tu haujawahi kufake
Kutokana na stori yenyew tutakufwata tumuombe urafiki
Duhh
Tamaa ni mlango wa shetani kuingilia. Na hakuna kitokacho kwake ambacho ni cha bure.
Watangazaji Watanzania Munaushamba Mtu Anatoa Story Back Ground Music 🤷🤷😂😂😂😂Ata Unaweza Umwa Na Skio All The Way From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mariam Mwaniki Kama sie washamba mnaangaliag ya nn sasa mnatufatlia sana shobo kibao mbon cc hatuwafatilii wala ninii?
Kaka Pole sana, walimwengu wabaya, mtegemee Allah utakuwa salama.
Ndiyo hapo na mm najiuliza hata kuzoa taka mbona taama mbaya
Poole bro
kwann mnmficha hlf amcem jina il iwej?
Ndohapo Sasa asiwe anawauliza majina
Mimi ndio farida na juice ya nanasi ilikuwa tamu Sana siku ile 😂😂
Subbuhan Allah !!
Kwanini Zanzibar majini sana na ni mahari ya waisilamu ?
Daaah pole bwana
Nikweli
Mnatengeneza tuu ela
Dini haipo katik hilo wala mtu hawez kujitungia tu lakusema ni kwamba amrudie mungu si waislam si wakristo wote tunamuomba mungu yuleyule mmoja ingawa iman tofaut
Mbona mmemficha sura jomonii?
daaaa mtihani sana jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole kaka jamani kizuli galama sana
Gift
Unajua utakuta shekhe anasema anatoa utajir pesa yeye mwenyew maskin😆😆😆😂😂😂
aache tamaa
Pole Sana Kaka tangu😥😭
Ya rabbi hii pesa
Acha nioshe masahani warabuni mpaka basi duuuh
Kaka anasaut nzuri ila ndo ivyo tena Allah atunusur na vizazi vyangu
mambo
@@kassimulugajo6512 poa
Muongo huyo mkanjuni ni wapi aeleze vizuri
huyo sio mtu wadini nimpotoshaji.
Muongo Zanzibar hkuna sehem inayoitwa mikanjuni.
Kweli Zanzibar hakunà mikanjuni, mikanjuni ipo Tanga
tunaosumbiri mwendelezo tujuane hapa😂
☝️
Shortcut is a long way
That's fact bro
@@elizabethjoseph2116 yaa true