PART2 Nimeua wazazi wangu kisa niilitaka unabii wa kichawi,nimefanya mapenz na maiti,nimekula watoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 375

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 4 года назад +40

    Mungu najua sana..huyo angepewa hiyo nguvu ya kishetan kwa roho mbaya alokua nayo angeuwa watanzania wengi...mungu ni muweza wa kila kitu

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 4 года назад +6

    Inna Lillah Wa Inna Illayh Raj'uun! Huu kweli msiba.Dah! Pole sana,braza kaka.Rudi kwa Muumba wako na utubie ukweli wa kutubia.Hakika Mungu ni Mwema na Mwaminifu.ATAKUSAMEHE,In Shaa Allah!

  • @khadijaomar7529
    @khadijaomar7529 4 года назад +2

    Pole sana kaka karibu kwenye uislamu upate mabingwa usomewe rukhiya yataisha tu mungu akipenda

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 4 года назад +15

    Mwenyezi mungu akuokoe ktk huwo mtiani, ktk maisha hakuna njia ya mkato

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 4 года назад

    Eeeh! Mungu pole sana.... Ila pata mchungaji uombewe maana unahitaji utubie na useme ulicho kifanya hadharani uso mwa watu na uso mwa Mungu.... Uombewe toba hayo majaribu yataisha Mungu alie juu ni Mungu wa pekee na ni Mungu wakila kiumbe.... Upo anaskia anatenda...

  • @Shuweamussa
    @Shuweamussa Год назад

    SubhaAllah kaka pole sana mnjoo kwa Allah pamoj na mtume wetu Muhammad s. A. W atakusaidia

  • @dyna013
    @dyna013 3 года назад +1

    My God! I watched this with my mouth open in shock! Davistar please tell that man to seek Jesus with ALL his heart. He needs a true man of God to deliver him. May God have mercy on him.

  • @evasaimon6764
    @evasaimon6764 4 года назад +26

    dunia ina mambo,,Eeweh! Mola tujaalie mwisho mwema 🙏🙏

    • @rosyhelen9956
      @rosyhelen9956 4 года назад

      Pole sana mavuno ya shetani ndio sasa

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 года назад +1

    Nataman icho kitambaa usoni kichukuliwe na upepo tuone sura yako Wewe ni noma

  • @lindahjoseph8360
    @lindahjoseph8360 4 года назад +2

    Kama mbwai na iwe mbwai ila me wacha niseme Davister ni #Handsome sana😘😘

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 года назад

    😂😂😂😀😀😀tamaa mbaya.Mungu tunusuru.mwisho wake nini daaah.Hawa wachungaji wa UONGO wanakatisha tamaa

  • @godsonmuganyizi9750
    @godsonmuganyizi9750 4 года назад +21

    Ili ni suala linalosumbua watu wengi kwa kupenda mali za haraka kwa ajili ya kuonekana kwa watu.
    Watu ni kitu gani hata uwape nafasi?
    Duniani naamini akuna maskini ila @ mtu amepangiwa wakati wake wa kupata. Tuheshimu nyakati zetu za mafanikio.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 года назад +7

    Oyoooo ndungu yangu tuletee na yule mganga simulizi number 3 ... Jamaa kapagawa aisee , tama mbaya sana

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 года назад

    Noma sana aisee, hila uskate TAMAA rudi kwa Mungu haujachelewa hakuna dhambi hasilosamehe

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 года назад +10

    Safi davista tupo pamoja mwana
    Sana sema jitahid naile ya mganga part 3 ile stoli ni cool sana.

  • @mariamissa1974
    @mariamissa1974 4 года назад

    Wah zidi kuomba Sana kwani hakika m'mungu ni mwingi wa kusamehe....na uweke Imani yako kwake pekee🙏🙏🙏🙏

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 4 года назад

    Umekosa vitendea kazi ukamilike kuwa mchawi! Bora Mungu hakukuacha uendeleze fikra mbovu! Ungetuuua!

  • @sarahkhwaka2864
    @sarahkhwaka2864 4 года назад +10

    God is love and God is forgiveness am sure one day you will found peace.thanks for sharing your story.i have learned alot.

  • @saumusudi9720
    @saumusudi9720 4 года назад +16

    Mhhhh Allah atunusuru turizike na hali zetu tulizojaaliwa

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 года назад +2

    God hv mercy siku za mwisho kuna mambo heli kumrudia Mungu wako uikoke pole kwa masaibu kweli wachungaji wengi sio wa kweli .malipo ya dunia ni hapa tu nmejifunza tamaa mbaya shetani hana amani ni mateso tu.

  • @clarahilda5695
    @clarahilda5695 4 года назад +2

    I have been following and watching your vedios, waah so touching I say, vituko ulimwenguni

  • @jalanbuyali5906
    @jalanbuyali5906 4 года назад

    Aminini yakwamba mungutuponae hapahapa tunachokifwanya anaona hivyo hii iwefundisho kwetu wote nawaumini tuwenamachoyaroohoni natusisahau kuwaombeyawatotowetu mungu atunusuru nakizazichetu tutambuwe kwambasiiwote wasemao bwanabwana watakaeingiaufwalmewamungu asanteni

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 года назад +4

    Inallillah wainaillah rajiun dunia inamambo mungu atuongoz kwakweli

  • @collinsmasambu6639
    @collinsmasambu6639 4 года назад

    Omba sana Mungu wetu ni wa neema na rehema. .hakuna lisilo wezekana machoni mwake

  • @sophiajonas8618
    @sophiajonas8618 4 года назад

    Sio kuombea watu we unatakiwa uombewe name Mch mwenye nguvu za Mungu

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 года назад +1

    Wacha Mungu aitwe Mungu,hakuna kisichokua na mwisho nadhani katika hayo yote uliyo fanya umegundua Mungu pekee unaweza kukuinua. Eeee Mungu turehemu napia asante kwa kunipa kibali cha kuendelea kuishi ili nijifunze mengi kupitia hawa kina ndugu 🙏🙏🙏

  • @janekelvin507
    @janekelvin507 4 года назад +42

    🤣🤣🤣🤣🤣 nanikasikia tumekunya njia za panda😂😂😂 davistar naomba ucheke kwa sauti km mimi

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 4 года назад +11

    Sometimes unaweza kaa ukawaza weee baadae unakuja kujikuta Bora madhambi yako kuliko ya mwenzako

  • @abbysauko3725
    @abbysauko3725 4 года назад +2

    Daaah nkikumbuka na yule mchungaji mkubwa mkubwa alifiwa na mwanae afu ilkua sku ya mkesha akasema mpaka amalize mkesha wake
    ndo napatapata picha apa

  • @dingoomagawa6950
    @dingoomagawa6950 4 года назад +5

    Davista wewe ni nomaa sn bro... Umeanzaa kuja vizurii sn good idea..!

  • @hellacredis5555
    @hellacredis5555 4 года назад

    Asante sana kwa kutuletea habari murwa kabisa,,Mungu akubariki

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 года назад +2

    Thanks for sharing your story

  • @eliasgembe934
    @eliasgembe934 4 года назад +1

    Mungu atusaidie na haya Majaribu pole sanaa ndugu

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 4 года назад

    Davista kuwa makini naye asije Kukula Hugo😁😁😁 Afu bado nakupenda Ebu kuwa Makini Vaa Maski unapokuwa unawahoji watu wako🙏🙏🙏 Afu nyinyi Vijana Acheni kukimbilia Mambo makubwa Chek sasa mpk mnakunya Njia za Panda😂😂😂

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 4 года назад

    Tamaa mbaya sana sasa hapo bado hujafa adhabu kama hizo inauma japo uliyataka mwenyew

  • @francisfidelis5291
    @francisfidelis5291 4 года назад +1

    God loves you very much , malizia salama safar yako ya mwisho

  • @stellakins3770
    @stellakins3770 3 года назад

    Daaaah Mungu Wangu pole sana broo

  • @doricedaniel3563
    @doricedaniel3563 3 года назад

    Haahhahaaha..kelele za watot hawakuachi haoo,..Dav kumbe video zako za zaman zilikuwa na quality iv skuiz hujali unazitupia hata hujaedit sound iko vibaya rekebisha bas fanya vitu ki professional

  • @aaaaa2440
    @aaaaa2440 3 года назад +1

    Kwakwer ndo mana mungu ariweka Siku yaisabu

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 4 года назад

    Nikisikilizaga story za huku huwa najihisi mm naenda mbinguni kwakwel mungu nijaalie tamaa za ajabu zisiniingie

  • @mimamelchior7821
    @mimamelchior7821 4 года назад +10

    Jamani tujifunze kwa somo hili ila pole sana ila mpka roho inauma jamani mitihani

  • @adelinarncc7188
    @adelinarncc7188 4 года назад

    Pole Kaka endelea kumwomba mungu akusamehe

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 4 года назад +6

    Akuna kinacho shindikana mbele za Mungu cha msingi fanya mpango uhokoke vizuri tu na utakasike , tafuta mapasta uhombewe maombi ya toba maana peke yako uwezi kitu utaishia kuunguwa tu bila mafanikio na maombi yako ayatofika kwa Mungu maana maombi ya mwenye zambi ni kelele mbele za Mungu 😭😭😭😭😭

  • @fei3668
    @fei3668 4 года назад +4

    nice tunajifunza mengi kupitia hawa watu

  • @carolinemokaya8467
    @carolinemokaya8467 4 года назад

    Kwa mungu Hilo ni jambo ndogo Sana atasamehewa na kuwa msafi kabisa ila kupitia kwa Jina LA yesu kristo. Nigependa kumshahuri akiomba aombe Sana kwa kutaja Jina la yesu kristo maana akiwa anaomba kwa Jina la mungu Kuna miungu mingi Sana hapa duniani. Yaani aombe kwa kupitia yesu kristo na yesu atamsikia na kumwombea kwa Baba na ataitwa mwana WA mungu.

  • @paulinalemaroni3010
    @paulinalemaroni3010 4 года назад +1

    Eee Mwenyezi Mungu tuokoe wanao na utuepushe na tamaa😥😭😭🙏🏼🙏🏼

  • @prettychipps9054
    @prettychipps9054 4 года назад +2

    namsikia anaongea kwa hisia sana, anajutia huyu. kwa kwel anahitaj msaada wa kiroho. Atubu Mungu ni wa rehema atamrehemu na kumbadil kbsa

    • @vaniahrehema6194
      @vaniahrehema6194 4 года назад

      Mpk ameamua kuja live bila shaka ameshatubu na MUNGU wetu ni mwema sana hamna dhambi kubwa kwake naamini amamsamehe ila amekuja live ili wengine wajifunze ni kama ushuhuda wake kua ushetani hauna maana
      MUNGU AKUPONYE bila shaka umesha damu yake imekutakasa

  • @professormpakistanimweusi5766
    @professormpakistanimweusi5766 4 года назад

    Kaka Davista,naomba namba ya huyo kaka nimpigie niko na ushauri na In Shaa Allah Allah atamsaidia na ataishiwa na hiyo hali na Allah ni mwingi wa kusamehe kwa yule mwenye kutubu towbah ya kweli,Allah ufurahia kwa yule mwenye kutubu.anaitajika kuijua njia ya haki na kufanya towbah ya haki Allah atamsamehe

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 4 года назад +1

    Ahaaaaaaaaa.nimecheka mpk basi sauti yawatoto na maji yamoto ahaaaaaaa nimecheka kwer njia za Mungu hazichunguziki tubu Yesu atakusamee kbisaa

  • @lolguy-x9n
    @lolguy-x9n 4 года назад +3

    Asante

  • @irenemoshamosha4607
    @irenemoshamosha4607 4 года назад

    Wange kuwa na we pumbavuuuuu utalaniwa we mliliye mungu aisee

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 4 года назад

    Km umeamua kutakasika kweli Nenda kwa Watumishi wa Mungu wa kweli Ukatubu na Ujionyeshe ili Uwe Huru na Usimame ktk Neno Bwana Yesu in wa Huruma Atakusamehe

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 года назад

    Tumtegemee Mungu...hamna lengine. Hakuna lizuri kwa shetani.

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 4 года назад +1

    Uyo msenge. Mtoe shuka iyo 2muone

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @floranahashon1485
    @floranahashon1485 4 года назад +1

    Aisee muombe sana mungu akusamehe hy dhambi jmn mna ni kubwa sana 😰😰😰

  • @zuhuraimran3659
    @zuhuraimran3659 4 года назад

    Pastor uwanichekesha😂😂😂uwajifanya mbabe kwa kila kitu

  • @Christianjack
    @Christianjack 4 года назад +2

    Mtangazaji fala sana wewe austaili kua mtangazaji uko na cheka matatizo ya mwenzako gonga like kama umeona

  • @latefalatefa5594
    @latefalatefa5594 4 года назад +1

    Neno la Mungu linasemaa tama nidhambii hatanikikosa huwa nasema Asante mungu

  • @faidhirashidi1354
    @faidhirashidi1354 4 года назад +7

    Inalilaah wahinlilah daah msibaa huu

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 3 года назад

    Nakushauri davista uwe muombaji,bila hivyo hizi siri za kuzimu unazozipata,watakufuatilia,uwe muombaji tafadhali,mambo haya hayaendi kwa akili za kibinadamu.ni ya ROHONI zaidi

  • @zayshaban8576
    @zayshaban8576 4 года назад

    Nimecheka sana ,,,Mungu akuongoze uache tamaa

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 4 года назад +3

    Kazi unayo Mr matamaha ngoja nicheke 😂😂 ushauli watakushauli wengine kwenye comments zao 👇👆😂😂😂

  • @habibizainab7300
    @habibizainab7300 4 года назад

    Pole sana lkn kwa sababu ulijigiza mwenyewe hatuna lakusema tunasikiliza t ilitupate kunjua mambo yakichawi hayana amani hata siku moja

  • @joycekasika176
    @joycekasika176 4 года назад

    Oh uruma sana lakini bado unaweza kuokoka kwasababu bibliya inasema wote wenye mwili wataona wokovo wa Mungu . na tena inasema hatazambizako zikiwa nyekundu kama damu yesu amesamehe zoye so kwako ukubali musamaha wa Zambi zako na kutembeya sawa na kristo utaokolewa na mabaya hayata kupata tena

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 4 года назад +2

    Kashachanganyikiwa huyu damu za watu zinamtafuna. Tamaa mbaya aisee

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 года назад +1

      Yes kachanganyikiwa huyo tena kabisa

  • @viniaskadunda5768
    @viniaskadunda5768 4 года назад +3

    Kelele za watoto ahaaaahaaaa ndo ukome

  • @mackynicky8278
    @mackynicky8278 4 года назад +1

    Mungu baba tusaidie tuache tamaa,🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @angelshonza8236
    @angelshonza8236 4 года назад

    Mungu aweza kukuponya nakushauriw nenda kwenye maombi kwa Katunzi kijitonyama ukaombewee yatakuachia hayo mapepo .upo mpaka leo Mungu anakusudi na ww. Ila jua shetani hanaga zawadi zisizo na malipo akikupa kitu jua utakilipia tuu Mungu ndiye atupendae akikupa kitu hakuna malipo

  • @joycetimothy2956
    @joycetimothy2956 4 года назад +5

    Mmmmmmmh aombe mungu sana

  • @zenaimamu9105
    @zenaimamu9105 4 года назад

    Toba matapeli mpaka kwenye uchawi.mungu tunusuru

  • @lilhussle8077
    @lilhussle8077 4 года назад +3

    Mimi ninge mshaur aende kwa mashekh wa kubwa aombew naiman atakuw swa ila amrudie Allah wake

  • @RoseRose-us3cx
    @RoseRose-us3cx 4 года назад

    Yaani hao watoto anaowasikia wangekuwa wanampiga makopi....ila uruma khaaaaaa hakuna maisha ya rahisi.

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 года назад

    Subhanallah

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 года назад

    Huyo mchungaji mwenye maono ni km weye tu lkn hajakosea masharti. Lkn mambo ndio hayo hayo. Mie ningeweza kukuelekeza pahali salama. Kushindana na nguvu za giza wakiristo hawawezi ndio maana huyo mchungaji kashindwa kwasababu hatibu mpaka atumie mizimu hiohio. Sasa nikuelekeze kwa waislamu Wanaomjua Mungu wa haqqi niamini litaisha tatizo lako

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад

    Mungu utusamehe maana dunia ni majanga

  • @harrisonkazimoto3781
    @harrisonkazimoto3781 4 года назад +5

    Dah ninachosikitika ni kwamba pamoja kutuhadithia hayo mambo aliyoyafanya lkn bado hajatoka humo yaani bado ameungamanishwa na maagano yake TUBU KWAKE YESU KRITO KWA KUMAANISHA KUACHA HAYO NAYE ATAKUSAMEHE NA KUVUNJA MAAGANO YAKO YOTE YA NYUMA HIVYO VITU HAVITAKUTOKEA TENA

  • @monicamwazambe9427
    @monicamwazambe9427 4 года назад

    Eee mungu nifanye nilizike na ulicho nijalia

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 года назад

    Umeuwa shangazi .baba..mama..huna nguvu za kuvuta waumini..huwezi omba Mungu..watoto wako umewauwa ..hasara ya shetani

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад

    Shetani nimuongo Sana ulijipeleka mwenyewe kwenye matatzo

  • @edithayouma1528
    @edithayouma1528 4 года назад

    Mungu atusitiri kwa sababu wanabii wameibuka kila mahali, hata hatujui ni yupi wa halali na ni yupi muongo,, eeh Mungu tusaidie

  • @robertmaximilian3264
    @robertmaximilian3264 4 года назад +1

    Pole sana kaka izo kelele unazozisikia ni damu uliyoimwaga cha msingi nikutake risk kumurudia Mungu wako kiukweli ukweli yaan uzame kabisa pia moyo wako aujajutia ndo maana iyo ali aijaondoka yaan toba ya kweli sio ya mchezo amua kuzama kwa Mungu kabisa kama apo mwanzo ulivyoamua kuzama kwa shetani!!!!

    • @musamgutu7760
      @musamgutu7760 4 года назад

      Darasa zulikaka tujifunze fanyatoba yakweli na ujute kwa uwezo wamungu atakusamehe

  • @pennyjane6167
    @pennyjane6167 4 года назад

    Duniani kuna megi mungu atusaidia

  • @salvatorykyakwe8606
    @salvatorykyakwe8606 4 года назад

    Daaah kwel maisha safariiu

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 4 года назад

    Mpeleke au umshauri aende kwa wachungaji wa kweli akaombewe na kuomba rehema Mungu alitaka afikishe ujumbe,hizo kelele shetani anamuogopesha asirudi,yeye awe iasiri was kwenda kanisani na kusema ukweli

  • @paschalmzyungu4353
    @paschalmzyungu4353 4 года назад +4

    Tamaa izooo..

  • @salhaoman5002
    @salhaoman5002 4 года назад

    Tumeshafanya uchawi wote unaojua ww, lkn sikufanikiiwaa, ila huyuu anaumia sana kwa kutaka ukuu, app amejifunika tuu, lkn ukisikia kelele za watoto anavyotaja una feel kabisa pain yake aliyoipata..

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 года назад +1

    Naomba namba yako mwenye tv hii

  • @sophiajonas8618
    @sophiajonas8618 4 года назад

    Dunia imeoza hao ndio matapeli wakubwa wanapotosha watu jamani si kila kanisa linamuabudu Mungu acheni kukimbilia miujiza so kila muujiza unatokana na Mungu

  • @horemow9832
    @horemow9832 4 года назад

    Kushare tu haisaidii lazima mtatafute Muchugaji aliye simama vyema na bwana Yesu amfanyie deliverance

  • @felicianmabepe3958
    @felicianmabepe3958 4 года назад

    nakuomba uombe kwa MUNGU katika hali iwayo yote ,, heri kufa kwa MUNFU ,,kuliko kwa shetani ,, kama ni kupambana amua ivo mungu anahitaji maamuzi yako

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 2 года назад

    Kupitia simulizi hii ,kuna watu wengi wenye akili timamu wamepona,
    Ila wale wanao taka kuona kwa macho hataweza kupona

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 года назад

    nashukuru kwa kujuwa ukweli wa badhi ya Hawa wachungaji wanafki wachawi wala wtu una roho mbay ww khaaa

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 года назад +1

    Wachawi noma wanamwagia maji ya moto 😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka Kwa nguvu mno, kumbe wachawi hawana huruma ukizingua masharti yao!

    • @Jenib_
      @Jenib_ 2 года назад

      Nilikuwa Natafuta hii comment🤣🤣🤣siyo mazuri ya kucheka ila anavyoongea tuu unashindwa kujizuia kucheka! Maskini mpaka akapelekwa hospital wodi ya vichaa! Dah! Tubaki tuu na imani zetu kwakweli🙏🙏🙏🙏

  • @mimamelchior7821
    @mimamelchior7821 4 года назад +14

    Ungeja upepo mkali upeperushe icho kikanga tuonage walau kisura ila inatisha jaman

  • @jumajonh22
    @jumajonh22 4 года назад

    MTANGAZAJI ANGALIA AO UNOWAHOJI MAMBO AYO WAANGALIE SANA, MIZIMU YAO ITAKUJA KUKUTAKA WEWE UTOLEWE KAFARA ,iwe malipo ya kutoa siri,,,aya shauri yako

    • @starluzenja9861
      @starluzenja9861 4 года назад

      No!haiwezi unless una maagano nao.
      But ukiwa na Mungu wajizuia

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 года назад +2

    Uko vzr kaka kwa mastor

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 года назад +5

    Jamani dunia hii ,sasa yote ulioyafanya hukupata faida yoyote,badala yake unanilipia yale ulioyafanya.ila mtubie mungu wako,uombe sana.Mungu atakusamehe.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад

    Lkn shida yote hii ni uislam mpinga kristo, ndo chanzo cha yote maana kanisa la YESUKRISTO halisi halina upumbavu huu wa maji mafuta chumvi mala udi mala ubani, nk. Lkn mashetwani wapnga kristo ndo zao hizo kutaka uharaka usio na faida bali hasara

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 года назад

    Ningejua mimi ndo mwandishi hii ingekuwa bonge la story. Kuna mengi sn ya kumuuliza huyu jamaa.

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 года назад +1

    Mungu wangu!