@@ndoshayo8279 nafikiri zitakuwa na faida kubwa sana hasa katika kumkinga mtu na maradhi kam vile Covid19.... Maana kwa hali ya kawaida mtu hawezi omba kitu kischo na faida..!
From ZnZ ila kwa sasa nipo CANADA ila 2mepishana kwa masaa mengi sannaa na huko home nimepamic sanaaa mpk inanisababisha hz story hadhinipitiii..LOVE ZnZ MY GOOD ISLAND AND TZ F ALL.
Kwa wale awajapata watoto washukuru tu kwa sababu mungu anawanusuru na mitoto aina ii ya kugeuzwa misukule kwa kukuepusha ilo mungu anaamuwa asikupe mtoto
I remember one day I was nearly convinced by my neighbour kuenda Tanzania kuroga Mzungu ilianipatie pesa but I thank God my foundation was based into christianity
Sio siri huyu jamaa na story zake zinatupatia funzo kubwa, ili tusiwe na tamaa kupata pesa kumbe madhara yake ndo haya ni makubwa, kw hyo keep it up kaka
kweli nimeamin so kila tajir amesom na kupat kihalali utakut kijan mdogo au msichan tajir ukasem pengine wazazi wk ndo wamempa Mali au urisi kumbe nyuma kun mauzauza tama mbay man huwez kuzifurai izo Mali km zile uzipatazo kwa halali sitak utajir mm km huo
Mmmh jamani kwani kuwa tajiri lazima uende kwa mganga? Yaani mtu unathubutu vip kumtoa kafala ndugu yako? Mm naamini ukimtanguliza mungu hamnakinachoshindika. Maana hata mm naenda kufanya business mungu anipeujasiri nilidhike nayninachokipata Maana najua utajiri wa kwa waganga haudumu hata siku moja. BORA NIKIDOGO CHA HALALI KULIKO KIKUBWA CHA HARAMU
Kwa duniani kuna dhambi kubwa, ya kati na ndogo. ...... Ila kwa Bahati mbaya sana.... Kwa Mungu dhambi zote zina Uzani sawia kaka. ... I mean msengenyaji & mchoyo hukumu yao ni sawa kabisa na muuaji/mtoa kafara, mganga na kila aina ya uovu unaoujua.. .. Wote wataelekea katika ziwa la moto...!
Davista Mata...are you married? I'm sorry to ask this n I know it's contrary to this topic but I'm only anxious.dont just like I will be pleased if you reply yes or No! Thank you!🙏
Mtangazaji sio ati anamtishia hiyo ndohali halisi yakuambiwa siri inabidi ukubalii tuu mana sialijifanya kimbelembele kama mfuko wa shiti😐😐😐 anataka utajiri bs atimixe hata angeambiwa atoe kizazi angekubali ili wafichiane siri (NAHIVI MNAONA RAHAA GANI KUTOA MAMAKO ALIEKUZAA YANI HAMJUI THAMANI YA MAMA AMA NDUGU)😭😭😭 wanguangekuwa ningemlinda kama mboni xangu
Kama wewe nimfuatiliaji wahii midia gonga like ili tuisapot iwe sabskraibe nyingiiiii
C gongi mm lkn c waniona nipo hpa pia mm
Ku-like ni tofauti na ku-subscribe ndugu.!
Bora tuhamasishane ku-subscribe coz ndo atapata mshiko mrefu na Si likes..!
👌👌
Jamani bandugu sijawaipata like naombeni like zenu jamaaa
chukua badugu✅
@@ndoshayo8279 nafikiri zitakuwa na faida kubwa sana hasa katika kumkinga mtu na maradhi kam vile Covid19....
Maana kwa hali ya kawaida mtu hawezi omba kitu kischo na faida..!
bandugu ilo dole gumba ndo watu wanapenda...nawee ukitaka sema tukupe dole
@@chiefmahucha6847 😀😀😀😀
@@ndoshayo8279 hata mm nijue jmn
Yani davistar mata wew story zako za watu waliotaka utajiri kwa short cut tu ila unatupa burudani salute kwako brother.
Na siyo burudani tu. Tunajifunza mengi sana
Sana tu kila mda nakuwa nachungulia
Ndio mana sijawahi tamani utajiri wa mtu Allah nijalie moyo wa subra kila siku Insha Allah 🙏
waku soma comment tujuwane apona like zenu
Davistar Nakwambia Kila Cku Vaa Mask Kwann Unisikizii Jamanii Usihoji Wa2 Bila Kujikinga Tafadhali
Yaan wee kila kitu unataman pole sana tamaa mbaya
Niwe shaghala tu mbaka nitakapo fanikisha malengo yangu amin yarabi amin 👏
Tamaa inawaponza .watu wingi haswa cc wataftaji wadogo
Tena sana yote kutomtanguliza mungu mbele kwenye mambo yetu
Kenya 🇰🇪.tunafuatilia na tunajifunza na hizi stori za mikasa
Kabisaa broo tuko pamoja
Watanzania hatari
Davistar interview zako nyingi huulizi muda wa tukio. Ni vizuri uwe unawauliza mwaka ambao tukio lilitokea. Itapendeza zaidi.
Usipomtegemea Mungu tu, umeliwa
From ZnZ ila kwa sasa nipo CANADA ila 2mepishana kwa masaa mengi sannaa na huko home nimepamic sanaaa mpk inanisababisha hz story hadhinipitiii..LOVE ZnZ MY GOOD ISLAND AND TZ F ALL.
Kwa wale awajapata watoto washukuru tu kwa sababu mungu anawanusuru na mitoto aina ii ya kugeuzwa misukule kwa kukuepusha ilo mungu anaamuwa asikupe mtoto
Mhhh ndugi wee Bora uzae mwizi jambazi lakini sio mgumba usiombe yakukute yanaumiza sana haya mambo
Sasa unazaa kisha uyoyo mwanao anakuweka msukule ili awe tajiri faida nn
Hatari hatarini
Hongera Mr Mata nakukubali sana Kazi yako Mungu akubariki!! Ila Kuna watu Wana Moyo duniani dah Hatari
Davistar ww juwa mm ni funny wko ckosi kukufuatilia from Qatar 🇶🇦
Si tucommunicate from qatar pia
Tupo pamoja nipo Qatar mansurah ....like kama tupo pamoja
Pamoja sana brother davista matta tunaendelea kupata elimu mungu akubariki
Pole Sanaa, tumrudie munguu jamani, davista mata tuko pamoja
Aiseeee......maisha Safari ndefu. Mitihani !
I remember one day I was nearly convinced by my neighbour kuenda Tanzania kuroga Mzungu ilianipatie pesa but I thank God my foundation was based into christianity
Ndg yangu.mimi niliroga mzungu mpk akaharibu kazi akawa hataki kazi kufanya.ndg yangu
@@elizabethmabula101 Duh!!!!
Sio kila mzungu tajiri
Jaman
@@elizabethmabula101 tupe stori vzuri
Daaaaaah
Duh Duh
Wanawake tupunguze tamaa khaaa 😂😂😂
Siuongo tamaa mbaya TUPUNGUZE wanawake na wanaume pia
Thanks Davister
Aiseee dunia ina mambo
Achani kucoment kwanza niskize Huyu dada,,, mna Ni changanya sitaki kusoma comments sahi
Jack line jackie 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Nimetokea kuipenda hii chanel balaa
Ebwanawee, Mbona balaa sana hii wazee
Hii dunia ina sirii nyingi sana
Dah kwer pamoja sana
Part 2 please please
Team data on
Umeona eee Angel
Full vimbola
Davistar mata nakukubali 🇹🇹 Sanaa ila huyo dada kwann hiv bc hiyo ni tamaa ya fisi🐅🐕 Vita vya panzi furaha ya kunguru naendelea kujifuza 🇦🇪
😀😀
Mafanikio ya shetani siyataki heri tu nife maskini
Asanti sana ndugu kwa kujua ukweli..devil is aliar.
Kabisa.bora kulima tu. Kuliko mali za ushetani
Kweli kabisa
Lukuled pana kidongo chekundu apo maeneo gan
Jamani Mungu nipe uvumilivu kidogo nachokipata lakini chahalali siwezi lazimisha utajiri kama ipo ipo tu😥
Daaah ndiomaana siitaji utajiiri bora niishi kikawaidatuu
Tufanyie mpango kuhusu watu wa Zanzibar nawao watuletee mambo mazuuri
Bora ujitume kawaida tu
Ukimtanguliza mungu hamna kinachoshindikana
Tamaa mbaya jamani. We acha tu. Bora ubaki na umaskini wako lkn cha halali.
Tunaendelea kupata simulizi za matukio.
KUMENYESHAA AU VIPI?
Sio siri huyu jamaa na story zake zinatupatia funzo kubwa, ili tusiwe na tamaa kupata pesa kumbe madhara yake ndo haya ni makubwa, kw hyo keep it up kaka
Utajiri unasiri nyingi
Tamaa za utajir ni noma kwel
Mmmmh jamn davi kumbe umkuja mtwara si ungetoa taarifa, hata nikuone tu roho yang itulie kidog😘😋
Bado yupo huko chukua namba
dee lissa 😂🤣😂🤣😂
Mr fact Nambaaa Hiyooo imetikiii
0754654269 no yke
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kweli nimeamin so kila tajir amesom na kupat kihalali utakut kijan mdogo au msichan tajir ukasem pengine wazazi wk ndo wamempa Mali au urisi kumbe nyuma kun mauzauza tama mbay man huwez kuzifurai izo Mali km zile uzipatazo kwa halali sitak utajir mm km huo
Daah Allah atunusuru wallah 🙏🙏🙏🙏😭😭
Tamaambaya
Mmmh jamani kwani kuwa tajiri lazima uende kwa mganga? Yaani mtu unathubutu vip kumtoa kafala ndugu yako? Mm naamini ukimtanguliza mungu hamnakinachoshindika. Maana hata mm naenda kufanya business mungu anipeujasiri nilidhike nayninachokipata
Maana najua utajiri wa kwa waganga haudumu hata siku moja. BORA NIKIDOGO CHA HALALI KULIKO KIKUBWA CHA HARAMU
Kamwene dada😀
@@bokeyemarwa5038 kamwene unogage
Hahaha umeonaa eeeh acha tugaganee na waarabu wa oman😀😀😆😆
@@zennahmtoto1867 ndo hivo my wacha tupambane kwa waarabu kuliko utajiri wa hivo usiyo kuwa na raha mwisho wake
Kabisaaa👏👏👏
Davi unajua kuhoji 🇰🇪 hongara
Hii dunia ina mapicha picha meng sana kumbe, tuwe tu tunakutana mchana kila mtu kavaa lakin mmmmmmh....😈😈
Dunia hii acha iitwe dunia
Mmmhh Hivi Kwa nini hatujui kulizika na riziki tunayokadiliwa na mollah jamani turizikeni
Kama huja subscribed naomba fanya ivo ili tuifikishe mbali
Maisha Ni Safari ndefu Sana isiyokuwa na kituo,
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Wasoma coment wezangu mpo
😱😱
Najikutag na dhambi san ya kuzin...kumb kun wa2 wanamizig ya dhamb daah...
😀😀😀
Kwa duniani kuna dhambi kubwa, ya kati na ndogo.
......
Ila kwa Bahati mbaya sana.... Kwa Mungu dhambi zote zina Uzani sawia kaka.
...
I mean msengenyaji & mchoyo hukumu yao ni sawa kabisa na muuaji/mtoa kafara, mganga na kila aina ya uovu unaoujua..
..
Wote wataelekea katika ziwa la moto...!
Dah Tarakea nimesoma hapo
Rose upo wap mambo nimoto
Mambo ni fire🔥🔥
Nipo ubize sana sikuiz
Taamaa mbaya
Mr facts tufungulie dunia Broh
Tarakea rombo hiyo
Tupambane jaman izi Iman za kishirikina cku zot utafeli tu
Duuuh! Hii inamana matajiri wengi tu wanatumia nguvu za giza hadi kutoa vipenzi vyao kafara...Mola tuongoze utuondolee tamaa za style hizi.
Ndio wengi wanafanya hivyo
Ndio maana vitabu vinasema tajiri kuingia mbiguni sawa na ngamia kupita kwn tundu LA sindano
Mungu wangu Tamaambaya inatupeleka mbali jamani
Mama ni pepo jaman kuna watu wana moyo
Mtangazaji Chaina, mhojiwa China, jama mambo mkubwa kweli.
😬😬
Hee kuna mambo Mitaani🤔👀
Unakaza kaka bt acha maswal mengiii
Asipouliza sisi tutabaki na maswali mengi sana kichwani...!
Maana ama sure hata leo hii ukikutana nae lazima kuna kitu utataka kumuuliza.....!
USHRIKINA MWINGI SANA TANZANIA
Sio Tanzania tu nchi nyingine angetokea mtu kama devista akapekua pekua naamin tungepata mazito zaid ya haya
Tunataka tuone sura yake jaman
Mbona kama kajichanganya
ongera upo makini kuna sehemu umembana adadavue
Davista Mata...are you married? I'm sorry to ask this n I know it's contrary to this topic but I'm only anxious.dont just like I will be pleased if you reply yes or No! Thank you!🙏
No
Hahahaa jua kali jamanii😀😀😆😂
@@zennahmtoto1867 😅😅😅😅
The translations are laughable... Watching from Kenya..+254
MTISHA GANI NA AMESHALAZIMISHA NA KUPATA SIRI ZA WATU KAHIMIZA TENA NA AKASEMA ATAFANYA SASA NINI ANALETA MAMBO YA ASHA NA KIDUDUMTU
Aliambiwa siri kwa sababu ashakua muaminifu mpaka anatumwa china kufata mzigo na Naleta salama
muendelezo
Jameni China wanauza vitenge au China ya kkoo 🙄
Fix hizi
I'm from Kenya msukule ni nini??
Mtu alichukuliwa kiuchawi nyinyi mnaona amekufa lkn yy yuko hai
Instagram natumia jina la pritty queen of horror stories .. mtunzi wa story za kutisha. Karibu Sana guys
ila mtwara mmezidi🤔🤔
Iko wap prt2
tamaa na marafiki
Mtangazaji sio ati anamtishia hiyo ndohali halisi yakuambiwa siri inabidi ukubalii tuu mana sialijifanya kimbelembele kama mfuko wa shiti😐😐😐 anataka utajiri bs atimixe hata angeambiwa atoe kizazi angekubali ili wafichiane siri (NAHIVI MNAONA RAHAA GANI KUTOA MAMAKO ALIEKUZAA YANI HAMJUI THAMANI YA MAMA AMA NDUGU)😭😭😭 wanguangekuwa ningemlinda kama mboni xangu
M
Haya haya tena team data on mko wapi
Sisi kamakaidatuu
Tupo zamu ya wadada
Vitenge vinayoka china?? 😂😂
bora kufa na ufukara wangu
😃😃😃😃😃😃🙌🙌
Tupo leo nimewahi
Leo kwel umewah Used Things.
kaka hongera sana kwamajukum yakaz
Aina haja ya kujua ata mtaa alio toka
Nikamwambia naomba maji yakunywa😂😂😂
Yaani umekua kitu cha kawaida
Jamani tamaa mbaya 😭
Mr davista mata nakutegemea kwa darasa lako.
Uko vizuli kaka