SHEM SHEM | 1 | MKOJANI,NAGWA,MTANGA,

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #shemshem #mkojani

Комментарии • 195

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 Год назад +16

    Safi sana mkojani gang hakika tumefrahi kuona vijanawako wa kale unakuwanao karibu huu ni mfano wa kuigwa sana kwa wasanii wote

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 Год назад +7

    Mkojani nakupenda sana unachekesha balaaaa😂😂😂

  • @youngcrous
    @youngcrous Год назад +9

    welcome back nagwa we always. Miss energy and strength

  • @Oohjay254
    @Oohjay254 Год назад +4

    mpango mzima 2wende nalo naipenda hii timu mkojaaaaaan Tena maaaluni khayuuni big up

  • @agrozazubah4224
    @agrozazubah4224 Год назад +13

    Welcome back nagwa,mkojani gang on fire

  • @rahimaallysaid8215
    @rahimaallysaid8215 Год назад +7

    Nafurai kumuona nagwa ❤❤❤ tena Kwa mkojani

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 10 месяцев назад

    Daah kiwango kipya kiwango cha juu.Hii inaamsha soko la filamu kwa mara nyengine.Hongereni sana

  • @JeniferSamwel-c5j
    @JeniferSamwel-c5j Год назад

    🎉🎉🎉❤nawapenda wote tyuu

  • @YUYUHfilms2023
    @YUYUHfilms2023 Год назад +4

    Nimechelewa kuanzaa shem shem ila tutaenda sawa tu naona ina balaa🔥🔥
    Ngoma nagwa ndani ya nyumbaa🎉🎉

  • @gyressekalumuna8973
    @gyressekalumuna8973 Год назад +6

    Big Nagwa u're talented

  • @ulamaashaban4452
    @ulamaashaban4452 Год назад +2

    Nagwa ni anakuja kuwa star Africa tunzeni hii🎉🎉

  • @geofreyukason
    @geofreyukason Год назад +2

    Haji Adam on 💥🔥🔥🔥 nakubali sana kazi za huyu mwamba

  • @saidmohd2931
    @saidmohd2931 Год назад +3

    Wana mkojan gang tupo hii nyengine tena ,,,,wakwanza 😊😊

  • @LeylaHamisi-qh3kb
    @LeylaHamisi-qh3kb Год назад +4

    Nimefulah kumuona nagwa haji Adam 🔥🔥🔥🔥

  • @hassanshali4061
    @hassanshali4061 Год назад +11

    I am happy to see nagwa again.

  • @ANTHONY.V.I.Ptanzania
    @ANTHONY.V.I.Ptanzania Год назад +1

    Mkojani Tanzania one miaka yote.baada ya marehemu mzee majuto.mkojani salut broo.natamani kufanya kazi na ww one day broo

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 Год назад +1

    Mkojan plz 🙏🙏🙏🙏 hii movie isiishe ivi ivi tuletee na chado master tumemmiss san anaekubaliana na mimi aje apa kwa like tujuane

  • @jamaliaugustino7408
    @jamaliaugustino7408 Год назад +1

    Wakeanzaaaaaaa tatizo mkojani sahv mwishoni unaharibu

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs Год назад +2

    Owaaa mambo si ndo hayoooooooooo tunataka mavitu wewe oyoooooooooooooooo🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @KomandoMnyonge-lg6sz
    @KomandoMnyonge-lg6sz Год назад

    Nagwa karudi gengeni mambo yatarudikuwa matam sana na kukubari sana mwambawangu nagwa ❤❤

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina Год назад

    Kazi nzuri sana

  • @JumaJuma-fu7ji
    @JumaJuma-fu7ji Год назад +1

    Safi sana aisee kichupa kikali

  • @SeverinoBenjamim-vv3se
    @SeverinoBenjamim-vv3se Год назад +3

    Iyo kali mkojan ❤nipo uku Mozambique

  • @douglasessau9945
    @douglasessau9945 Год назад +7

    😂😂 mkojani ni GOAT 🔥

  • @Samar_Ally
    @Samar_Ally Год назад +45

    Wa kwanz mm leo like zangu 100

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 Год назад

    Oya mkojani yule muuni mungine umempeleka Wapi yule anajua kumzidi nagwa by the way love from congo🇨🇩

  • @Mzuri_002
    @Mzuri_002 Год назад +1

    Mkojani naanguka nawe one love❤🎉

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi Год назад +3

    Wamwishoooo❤❤❤🇴🇲🔥🔥

  • @dollar105
    @dollar105 Год назад +1

    Mkojani to the moon🎉🎉🎉

  • @twahaanyoni9120
    @twahaanyoni9120 Год назад +3

    Watu mpo fastes haya me nime chelewa like kwa mkojani❤️

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Год назад +22

    Salutes sana ngoma Nagwa 💪

  • @murtadhajuma3770
    @murtadhajuma3770 Год назад

    Kaz nzr sana mashallah

  • @ibrahimmwakengwa
    @ibrahimmwakengwa Год назад +1

    Nakubali sana movie zako mkojani

  • @sheinmpayo
    @sheinmpayo Год назад +1

    dooh ongeza mkojan asee

  • @mboscinho
    @mboscinho Год назад +5

    Pamoja sana mkojani gang🎉🎉🎉

  • @edisonelieza6890
    @edisonelieza6890 Год назад

    Nakubali mkojan na timu nzima

  • @Joseph_Kabila
    @Joseph_Kabila Год назад +1

    Heee Lucky / Haji

  • @DavidMgaywa-zd5kd
    @DavidMgaywa-zd5kd Год назад +1

    Mkojani movie zako zina kerere sana jitahd kupunguza kerere

  • @official_ys
    @official_ys Год назад +1

    Jamani mbona fupi sana anyway karibu sana ganster Nagwa

  • @abubakarmwalim4881
    @abubakarmwalim4881 Год назад +2

    marjaavaan tune🎉

  • @ZephaPro-ve7rk
    @ZephaPro-ve7rk Год назад +1

    cool to see my BIG nagwaaaaaa

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 Год назад

    Mkojan ni mrithi wa mzee majuto

  • @OmarionJoseph-o3n
    @OmarionJoseph-o3n Год назад

    Angerud na chumvi nyngi gang ingenoga sana

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 Год назад +2

    Leo wa kwanza kutoka zanzbar naomba like zenu

  • @ulamaashaban4452
    @ulamaashaban4452 Год назад

    Ngoma nagwaaaaa🙌🙌🙌

  • @swabirabdulmajid
    @swabirabdulmajid Год назад +1

    Kazi nzuri ila munatuangusha kwa dakika

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 Год назад +1

    Haji Adam baba wa hisia anajua sana

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 Год назад +2

    Mkojani Gang...Ndio kwanza tunaanza Kwa Fujo

  • @muniramohammedmunira3832
    @muniramohammedmunira3832 Год назад +4

    Wakwz leo nipeni like zangu

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Год назад

    Kendi humu nimekupenda sana

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 Год назад

    km kawaida mkojani huna baya, pole kwa kuanza na mafua

  • @HamisiFaraji-ej5mf
    @HamisiFaraji-ej5mf Год назад +1

    Taem mkojan tujuane 😂😂❤❤🎉🎉🎉

  • @presentertelence1679
    @presentertelence1679 Год назад +3

    Unyama sana

  • @charityzed4736
    @charityzed4736 Год назад +1

    Welcome back Ngoma Nagwa

  • @Sheikhmadaba-cm2hw
    @Sheikhmadaba-cm2hw Год назад

    Mmmmmmmmmh nagwa kavaaa heren jamn nagwa vua hizo

  • @SeleIddi-gj9fu
    @SeleIddi-gj9fu Год назад

    Mkojani Ahsante kaka Niko London Nakufuatilia

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 Год назад

    tuko pamoja sana kaka mkojani

  • @MirajChambo
    @MirajChambo Год назад +1

    Naitwa miraji mussa chambo nimeipenda

  • @allymazrui9744
    @allymazrui9744 Год назад +1

    Hakika hapa mmetufrahisha mafansi wenu

  • @aureusnchimbi7243
    @aureusnchimbi7243 Год назад +2

    Mtanga🔥🔥🔥

  • @mathiasosama221
    @mathiasosama221 Год назад +2

    Nagwaaaa is back hongera

  • @HHw-z4e
    @HHw-z4e Год назад +1

    Pambe🙌🔥🔥🔥🔥

  • @AbdulnasriHamisi
    @AbdulnasriHamisi Год назад +1

    Mkojani nakukubali

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px Год назад

    ❤❤❤❤❤haya mambo yameanza

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Год назад

    Hvi wewe unae angalia unaamini mkojani anachekesha sanaa 😂😂😂😂like ikiwa kwel

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc Год назад +2

    Dah so kakosekana mwanangu samofi tu

  • @zennawazir6413
    @zennawazir6413 Год назад

    Mchumba kasebenzaa😂😂😂✋✋ Nagwa hana mpinzani welcome back

  • @ABDOURAZAK-e3y
    @ABDOURAZAK-e3y Год назад +1

    Wakwanza leo naomba like basi

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 Год назад +5

    NAGWA UNAPENDEZA SANA UKIWA MKOJANI GANGA

  • @PaulHaule-ge6ez
    @PaulHaule-ge6ez Год назад

    Pole sanaaaa nagwaaa😢😢

  • @khalfanamour1022
    @khalfanamour1022 Год назад

    Mwanamme anavaa hirini uwo niufala Nagwa

  • @NyenjeMohamed-wm3vf
    @NyenjeMohamed-wm3vf Год назад +1

    nakubali mkojani

  • @ismailbanoba9955
    @ismailbanoba9955 Год назад

    Nagwa anaweza

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 Год назад +1

    Big up kundi letu pendwa🎉

  • @rikyu_og_au_mrb7990
    @rikyu_og_au_mrb7990 Год назад

    Wamwisho mimi ila nahomba like 10 tu wana mkojani gang

  • @babananiliu-dq5cr
    @babananiliu-dq5cr Год назад +3

    🤣🤣 ng'ooombe hunijuuuii

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr Год назад +2

    Mkojan m timu yak nawakubal sana ila naomba pleas tuongezee dakika jamn 9 kwer mmezd kutubania bando lenyewe la mchong jamn

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 Год назад +1

    Yaan nagwa mhuni kweli hicho ki beg😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 11 месяцев назад

    We kuweza 😂😂😂

  • @CHELEKOGANG
    @CHELEKOGANG Год назад +1

    Dakika chache

  • @aminakesi5945
    @aminakesi5945 Год назад

    Mkojani apo kwa vurugo ndo wataka😂😂😂😂😂😂😂huwez tulia

  • @kenedyjoram8276
    @kenedyjoram8276 Год назад +2

    Ngoj nichek

  • @hamadihamisiambale8943
    @hamadihamisiambale8943 Год назад +4

    ❤ one love mkojani gang ❤

  • @ericmunoru622
    @ericmunoru622 Год назад

    Mkojani pole kwa homa 😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j Год назад +5

    A, from Oman hahahhahah❤we kuweza 😂😂😂Hii imeenda

  • @ShabanMrisho-im4rh
    @ShabanMrisho-im4rh Год назад +1

    Namkubal sana 26 nagwa wana man

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 Год назад +2

    Mkojani una mafua🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 Год назад +1

    mkojani bin darwesh bin tarbush

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 Год назад

    Nagwa karibu tena nyumbani

  • @Julyoman
    @Julyoman 9 месяцев назад

    Dah m nagwa akiigiza kaachwa huwa ananiliza sana😢😢😢

  • @JuliusMatiko-z4s
    @JuliusMatiko-z4s 2 месяца назад

    Hii kali wanangu wa bongo movie like mhimu

  • @mudydimoso6559
    @mudydimoso6559 Год назад

    Nagwa kipaji kikubwa sana

  • @yusramwinjuma4721
    @yusramwinjuma4721 Год назад +2

    Kado kazi anayo😂😂😂

  • @HamisihamisiWenge
    @HamisihamisiWenge Год назад

    daaah mapenzi nuksi mchizipoti analilia mapenzi saluti nagwa boy

  • @irfanabdi8877
    @irfanabdi8877 Год назад +1

    Haji Adam amefulia anashirikishwa comedy

  • @LaReinezuenaZuena-ih2kd
    @LaReinezuenaZuena-ih2kd Год назад +2

    Nagwa welcome again in Mkojani gang

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂mkojani miaka 100 baba😂😂😂❤❤❤❤🎉

  • @busatitv
    @busatitv Год назад +1

    💪💪💪

  • @johnoke1448
    @johnoke1448 Год назад +1

    magolide mijino 32 ndo magaidi akibisha mtiee doleeee

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm 10 месяцев назад

    Mkojani gang nagwa team