MIMI NAITWA SHARIF BURHAN | KUNAKASUMBA IMEINGIA KWA WAISLAM KUKASHIFIANA HIKI KITU SIO KIZURI 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 111

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 2 месяца назад +16

    Maashaallah, kinachonifurahisha ni waislam wenye vyeo tofauti kusimama mbele na vitambulisho vya KAZI zao bila kuona haya, kunawakati mtu anaimani lakini anaona haya kuitangaza kwa sababu ya kazi Yake, hongera kamanda wetu

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 месяца назад +28

    Maashaallaah kamanda allaah akuhifadhi na akupandishe daraja uwe mkubwa ktk nchi hii na peponi allaah akujaalie uijue sunnah hongera sana kamanda

    • @mirajiissa4603
      @mirajiissa4603 2 месяца назад +2

      Amiin yaa rabbil a'alamin

    • @mirajiissa4603
      @mirajiissa4603 2 месяца назад +2

      Allahumma amiin

    • @JamalKishangu-p7w
      @JamalKishangu-p7w 2 месяца назад +1

      Nakushauri unapo andika jina tukufu la Allah tumia herufi kubwa.

    • @majidabas3843
      @majidabas3843 2 месяца назад

      ما شاء الله جزاك الله خير

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 2 месяца назад

      wewe acha kasumba wewe fitna, kwa sbb mtu wa maulid, acha ujinga alikwambia haijui sunna, nini maana ya sunna! acheni ushabiki

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 2 месяца назад +3

    Mashallah kazi na sala
    Allah akujaalie imani sahihi na taqwa mpaka mwsho wa maisha yako
    Amiin

  • @SharifMwiru
    @SharifMwiru 2 месяца назад +12

    Mm sharifu burhan singida hongera wajina

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 2 месяца назад +8

    SHARRIF KAKA NAKUJUA TANGU UTOTO BADO TUKIWA WADOGO SISHANGAI KAKA HONGERA SANA ALLAH AKUTUNZE

  • @Giftedness.
    @Giftedness. 2 месяца назад +1

    Mashallah wewe kweli ni Sharif. Allah akuinue kama unavyoinua akhlaq ya Mtume ( SAW).

  • @AdamYussuf-bd6sh
    @AdamYussuf-bd6sh 2 месяца назад +5

    Inshaallaah ndugu yangu allaah akupe. Kila kheri. wewe nimfano kwa. sisi

  • @SaadaMd
    @SaadaMd 2 месяца назад

    Mashaallah kamanda Allah Akupandishe cheo chadunia na cha Khera pia❤❤

  • @coldkiller-7
    @coldkiller-7 2 месяца назад +4

    Mashaallah kamanda uko vizuri sana katika kutoa nasaha na umeelimisha watu hapa kuwa kuna shariff jina na shariff ukoo wa mtume s.a.w ukiwa shariff jina ni lazima ulitendee haki jina hilo nawe kweli umelitendea wewe huna ugomvi na sheikh kishki kabisa

  • @zuwanahemedy9170
    @zuwanahemedy9170 2 месяца назад +1

    Mashallah ww mtt kweli umelelewa nimefurahi sn kwa mawaidha kweli hata mie Huwa sipedi mashekhe wanao kashifiyana kwenye mitadao siyo maulidi tu ni mengi wawe wanaitana praveti wanabizana yanaishiya hukohuko siyo mtadaon nawaomba sn mashekhe wetu

  • @kadiakirua7621
    @kadiakirua7621 2 месяца назад +1

    Allah akujalie khery Mkuu pia sauti inafana na shekh letu Othman wa Mtoro

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 месяца назад +2

    Masheikh kadri wanavyosimama kwenye mimbari kuwapinga masharifu weusi ndio tunazidi kujitokeza MashaaAllah

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 месяца назад +1

      Sasa mkijitokeza ndio ufeki wenu utaondoka

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 2 месяца назад +1

    Mashaa Allah elifu zimekaa vizuri

  • @t.v.a.i.s.s6842
    @t.v.a.i.s.s6842 2 месяца назад +2

    Allah akujalie kilala kheri brother

  • @khalifaallyibnadam9983
    @khalifaallyibnadam9983 2 месяца назад

    Maa Shaa ALLAH umechagua kiigizo chema kutoka kwa sheikh Othman Maalim. Kwa upande wa Muqaddimah

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 месяца назад +1

    Shukran sana kamande umesema ya haki tupendane tuwe sote kitu kimoja❤❤

  • @salehrashid3153
    @salehrashid3153 2 месяца назад +1

    Allah azidi kukuongoza ktk dini amiin.

  • @IssaKaduma-q6j
    @IssaKaduma-q6j 2 месяца назад +1

    Masha Allah kamanda toka huko ulipo ufanye kazi ya Allah nimaono yangu tu 😊

  • @mohammedsaqry3036
    @mohammedsaqry3036 2 месяца назад +4

    Masha Allah Tabarak Rahman. Allah akuhifadhi

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 2 месяца назад

      Hawa,ndio,Shekhe Kishiki anaosema wajiita mashekhe,lakini hawajui,Lugha ya Kiarabu wala Lafudhi,ya Lugha

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 месяца назад

      @@samsonhamery3809sasa na wewe si utowe mawaidhA maana wewe unajua zaid

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 месяца назад +3

    Hongera zako sharifu bur hani

  • @mirajiissa4603
    @mirajiissa4603 2 месяца назад +2

    Maa shaa Allah , maa shaa Allah , maa shaa Allah

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 2 месяца назад

    ZIMEFIKA ZAMA ZAWAJINGA ZISHATABIRIWA TUNAPOROMOSHA AMALI ZETU KWA MAMBO YAKIPUZI HAKUNA MKALIFU WALA ALIYEPEWA KIBALI CHOCHOTE SOTE NIVIPOFU TWAHITAJI MSAADA WA ALLAH TUZINGATIYE SANA ❤❤❤

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 2 месяца назад

    Allah Subuhanahu wataala akuhifadhi Mafisadi wasije kukubana pumzi🙏

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 месяца назад +2

    Kuitwa shairifu sio shida shida nia wale wanaotumia jina la sharifu kutapeli watu

  • @SuleymanMadaha
    @SuleymanMadaha 2 месяца назад +2

    Mashallah ❤❤❤❤❤❤ duu chumahicho

  • @ommymsagati8342
    @ommymsagati8342 2 месяца назад +3

    MAA SHAA ALLAH

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 2 месяца назад

    Mashallah Allah anajua Cha kukulipa inshallah

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 2 месяца назад +2

    Maa Shaa Allah

  • @asmaalharthy8910
    @asmaalharthy8910 2 месяца назад

    ما شاء الله تبارك الرحمن

  • @suleimanissahassan1806
    @suleimanissahassan1806 2 месяца назад

    Mashaallah.
    Naam lengo ni kutoa maneno ya Dini na sio kuadhimisha Siku ya kuzaliwa mtume tu. Maana ndani yake kutakua na lolote lililo jema.

  • @Zanzibarherbs
    @Zanzibarherbs 2 месяца назад +2

    Naam mashaallah watu wa twariqa ni watu pekee ndio Wana nidhwam na inswaf na tawadhui.

  • @MaalimSimba
    @MaalimSimba 2 месяца назад

    Baaraka llaahu fiika

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 месяца назад +1

    Ma-ash-ALLAH afande sharif 😂😂😂

  • @caramellaswirl3503
    @caramellaswirl3503 2 месяца назад

    Allahumma Barik

  • @hamisisoppah8225
    @hamisisoppah8225 2 месяца назад

    Mashallah

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 2 месяца назад

    Ongera Sana maa shallla

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 2 месяца назад

    Tatizo mkitumwa mnaendaga wazimawazima dini mnasahau km pale mwembe chai mliingia na viatu. Subhannallah

  • @MussaBakil
    @MussaBakil 2 месяца назад +1

    Naam uwo ndiyo uslam mungu fundi

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 2 месяца назад +1

    Mashalla ❤️ ❤️ ❤️

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 2 месяца назад

    MASHA ALLAH 💚

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 2 месяца назад

    Mashallah afande toa daw ziwingie mashekh wengine wanaubaguzi sana wanajiona hawana zambi kumbe watakua kuni zetu😂😂😂😂🎉😂

  • @HemedyLukindo-y9h
    @HemedyLukindo-y9h 2 месяца назад +1

    Mashaallah

  • @mohamediddi5126
    @mohamediddi5126 2 месяца назад +2

    Maa Shaa Allah ❤❤❤

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 2 месяца назад

    Kuna Muislamu na Muumini. Police si Kazi ya kupewa daraja na utukufu kwenye mimbari

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 месяца назад +2

    Mashegh watwarika hawarushi maneno

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 2 месяца назад

    Mashaalla

  • @AliAmour-zy9en
    @AliAmour-zy9en 2 месяца назад

    Sio wote wabaya

  • @Desireyakubu
    @Desireyakubu 2 месяца назад

    Chezeya Tanzania weye🇨🇩

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 месяца назад +2

    safi sana hata wafugwa inawezekana huwapigi virungu sana

  • @omarshaban4735
    @omarshaban4735 2 месяца назад

    Maulid tuliacha sisi

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 2 месяца назад +1

    Baraka LLAH fika

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 месяца назад +2

    Usijiingize katika malumbano ya kitwarika, huku ukiwa katika sare za Jeshi

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 месяца назад

    HAPANA BWANA MJESHI
    MASHEIKH WA KITWARIQA SASA HIVI WAMECHARUKA SANA .
    NAO WANAJUA RADDI SIKU HIZI😅

  • @SharifMwiru
    @SharifMwiru 2 месяца назад +1

    Unapatikana wapi ndugu yangu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 месяца назад +1

    Kumbe masharifu tupo wengi sana

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 2 месяца назад

      Na wewe unatumia maji au mafuta au we ni mzee wa kifimbo😂

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 месяца назад

    Makhraj al-Khuroof ipo katika ubira mkubwa sana.

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 2 месяца назад +1

    Mtihani mtupu sharifu kamanda

    • @njonjolomahfudh3238
      @njonjolomahfudh3238 2 месяца назад +1

      KAKA NIELEWESHE MTIHANI NI UPI

    • @AbubakarAlly-th6op
      @AbubakarAlly-th6op 2 месяца назад

      ​@@njonjolomahfudh3238kwani we umesoma wapi nakiwango chako cha elimu nikipi?
      Maana mwenye akiri timamu anaelewa kwahawa mataperi wanaojificha kwenye dini

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 2 месяца назад +1

    Maasha allah kamanda sheikh sharif. Lkn kishk akisikia unaitwa sharif bas atakuandama...hahahahaah

    • @abdulkizeli9960
      @abdulkizeli9960 2 месяца назад

      Achaunafiqi allah akuongoze chuki zimekujaa saan wew

    • @saidisaidi4502
      @saidisaidi4502 2 месяца назад

      Watu wa twariqa ni kazi yetu kutetea bidaa Sasa mnataka kusema yule mwamposa / sharifu filidaus ni jina tu ? Sasa huyu mtoto wa iddi amini mnaweka sawa na sheikh kishki

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 месяца назад

      ​@@saidisaidi4502ndugu unakosea sana kuleta ubaguzi ktk dini, Uislam haukuja kwa kubagua watu. Waislam wote ni sawa. Kishki kakosea kusema sharifu akiwa na rangi nyeusi siyo sharifu. Huo ni ujinga wa hali ya juu. Masharifu weusi wapo wengi kutokana na namna mababu zao walivyooa wanawake wa Afrika na kizazi chao kubadilika rangi. Kwa mfano Sheikh Izzudin wa Kenya ni sharifu lakini ni mweusi kwa rangi na ni kizazi cha Mtume Muhammad (S.A.W), sasa kwa rangi yake ndiyo tuseme siyo Sharifu? Pia lazima ifahamike kuwa wakati mwengine mtu anaweza kuitwa sharifu kama jina la kawaida hilo halina tatizo, hivi kuna watu wangapi wanaitwa kwa jina la Muhammad kwani wao kuitwa hivyo ndiyo wamekuwa Mtume?! Kwa hiyo mtu kuitwa Sharifu au mzazi akampa mtoto wake jina la Sharifu siyo tatizo, Mimi mwenyewe ni sharifu kwa damu, mababu zetu walitoka Makkah na wakaja huku Afrika Mashariki na ndiyo tukazaliwa sisi. Njoo Kilwa Pande tupo wengi tu, na Silsila yetu inakwenda mpaka kwa Sayyidina Hassan na Hussein wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) na wala hatuthubutu kuwabagua wengine na hata kuwadhalilisha wale waliopewa majina ya Sharifu aidha na wazazi wao au jamii kwani hiyo siyo silka ya masharifu na ukimuona mtu anafanya hivyo basi huyo ana ajenda zake binafsi.

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 2 месяца назад

      Ndugu wale Ni washirikina acheni kujitia upofu na uziwi mkaikataa haki kwa ushabiki bila elimu

  • @ShekheAlfani
    @ShekheAlfani 2 месяца назад

    Ajabu nikua wanauzungumzia uislam Kwa Engle zenye kulipa serekali nguvu ikiwa kinyume chake serekali zao zita ssimama dhidi yao Allah awaongoze waseme kweli na kwaajili ya Allah na sio Kwa maslahi ya kazi zao

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 2 месяца назад +1

    duh

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 2 месяца назад

    Ilo ni kosa dogo vip kosa la bid aa kma hiyo ya maulid ni dogo na vip jambo kubwa na kosa kma hilo tukisema ukosolewe peke ako vip umma uliokusikiliza watajua kua umefanya kosa , au utaenda palepale ulipokosea na kuwaambia kua umefanya kosa ili umma wasiendeleze upuuzi na uzushi

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 2 месяца назад +3

    Tunakubali sana kuwa jina la Sharifu lipo lakini yule tatizo lake ni kujigamba na kutuongopea sisi waislam, wewe tunakukubali sana siyo yule wa upako

    • @saidkamwana1195
      @saidkamwana1195 2 месяца назад

      Hata yule Jina lake ni sharifu...uganga ni kazi yake..basi Allah anajua zaid juu ya matendo ya waja wake.

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 2 месяца назад

      ​@@saidkamwana1195uganga Ni shirk na ni dhambi ya Kwanza isiyosameheka na Allah

  • @OmariKidamali
    @OmariKidamali 2 месяца назад +1

    Allah akubariki

  • @nelson-cd7fr
    @nelson-cd7fr 2 месяца назад +2

    Askari anaeitetea Sheria za kithwaaghuti kisha bado wajiita muislamu nenda ukaisome tawhid

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 2 месяца назад

      TAWHID INASOMESHWA WAPI!?
      MULIKUA WAPI WAISLAM MPAKA MATWAGHUT WAWEKE SHERIA?
      NAWE KWAKO UNAFATA SHERIA ZA KIISLAM AMA KWENYE MITANDAO TU???

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 месяца назад

      ​@@alwiyiynmission2820ana chuki kwa sababu askari kajitambulisha ni sufi, angesema salafi angemsifia na kumpongeza.

    • @zanzibaronlytv3470
      @zanzibaronlytv3470 2 месяца назад

      Nenda ktk miskiti ya masalaf ndo kunakosomeshwa tawheed na uislam sahihi​@@alwiyiynmission2820

  • @MaulaHussainMaula
    @MaulaHussainMaula 2 месяца назад +1

    Huyo sio sharifu kwanza kakubali kuitumikia dunia

    • @ramadhaninyangasa7275
      @ramadhaninyangasa7275 2 месяца назад +1

      Nyinyi ndio watu ambao hamsomeshi hata watoto weny

    • @MngwaliAllykizangwa
      @MngwaliAllykizangwa 2 месяца назад +2

      Kuitumikia dunia ki vipi,kwani dini inakataza.usifanye kazi

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 месяца назад +2

    SAUTI NA MFUMO WA MATUMIZI YA MDOMO HAVIENDANI
    YAANI MANENO YAKE YAKO KAMA YAMEFANYIWA TARJAMA NA MTU MWINGINE VILE.

    • @Masudshaban
      @Masudshaban 2 месяца назад

      Mambo ya mtandao sheikh wangu, Sauti na picha zinapishana, sauti inaanza na picha inafuata..fuatilia vzuri...usije ukaingia kwenye dhana mbaya..

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 месяца назад

    HAMNA KITU WEWEEE

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 2 месяца назад +2

    Nyie mnaemfananisha kishk na huyu acheni ujinga alafu usitumie matamanio yenu kuweka mambo sawa

    • @BekkaJoe
      @BekkaJoe 2 месяца назад +1

      Wewe kishki Ndo nani ww acha ujinga

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 2 месяца назад

      Ww um2mia mihemko

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 2 месяца назад

      Kwan kishki anapokea.miujiza kama mtume Mohd SW

    • @sharifuburuhani1969
      @sharifuburuhani1969 2 месяца назад

      Hadhara hii ilifanyika kabla sheikh Kishki hajatoa khutba kuhusu Masharifu

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 2 месяца назад

    Unaomba vizur ila gerezani mnatuvua nguo ili mtuzalilishe

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 2 месяца назад

      😂😂😂😂 achen machafu ili msipelekwe kule

    • @DavidJohn-i2d
      @DavidJohn-i2d 2 месяца назад

      Gereza ni sawa ni mfano Jahannam lazima uteswe.... huko Jahannam vile vile

  • @KakoziAmina
    @KakoziAmina 2 месяца назад

    Mashaallah

  • @kondomrisho8776
    @kondomrisho8776 2 месяца назад

    Mashaallah

  • @MustaphaKiluke
    @MustaphaKiluke 2 месяца назад

    MashaAllah