Goodluck Gozbert -Tutaonana Tena (Tribute Song)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 фев 2019
  • Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": • Goodluck Gozbert - Kin...
    Follow Goodluck Gozbert
    Instagram: goodluckgoz...
    Subscribe to RUclips Channel: / @gozbertministries
    a#goodluckgozbert
    #TutaonanaTena #NgommaTZ
    Hakika Wanadamu Tu, Maua....Bwana Ametoa naye Imempendeza Urudi Kwake_#NendaRafikiYangu
    -In Memory of My Beloved Friend Ruge Mutahaba
    ©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 5 лет назад +602

    Mungu nijaalie mwisho mwema na wote wanaosoma comment hii

  • @ZulayfaSalum-ws2rj
    @ZulayfaSalum-ws2rj 4 месяца назад +16

    Daaah nimerudii 2024 😢😭😔 i miss u my mommy 💔

  • @erickponda8706
    @erickponda8706 28 дней назад +2

    Ee Mwenyezi Mungu nipe subra wakati huu mgumu, lala salama mwanangu kipenzi😢😢

  • @deborahdeogratius4447
    @deborahdeogratius4447 3 года назад +320

    Tuliojua huu wimbo baada ya kifo cha raisi wetu wa wanyonge JOHN POMBE MAGUFILI.. like na tujiunge katika kumuombea MUNGU AIPOKEE ROHO YAKE..

  • @Encouragerandmentor306
    @Encouragerandmentor306 5 месяцев назад +29

    Mom I just turned 22 and it's almost three years since you left your beautiful daughters in this troubled world 😭 but we are working hard to mend where you didn't manage. Our Almighty has been our guide.

  • @nasranasra3231
    @nasranasra3231 5 лет назад +9

    Vizr uwaga avidumu kabisa 😢😢nimelia snaa nimemkumbuka mchumbaa wangu daaah inauma snaa 😢😢

  • @visualeffectstza1552
    @visualeffectstza1552 3 года назад +73

    Niko hapa kwa ajiri ya rais wa wanyonge rest in peace magufuli

  • @fredrickloanyuni8990
    @fredrickloanyuni8990 3 года назад +47

    Pumzika kwa Amani Baba mbeba maono ya Tanzania Mheshimiwa Dr John Pombe Joseph Maghufuli Tunamshukur Mungu kwa zawadi ya maisha yako hapa duniani had alipokuchukua ulikuwa kama malaika kweny namna ya mwanadamu,, Tanzania, Africa na dunia kwa ujumla tunakulilia sanaa
    😭😭😭🙏🙏

    • @nyamohangagisire9165
      @nyamohangagisire9165 6 месяцев назад

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😢😢😢😢😢😢

  • @sherifrahjab
    @sherifrahjab Год назад +9

    Ewe mungu nakuomba uniongoze katika njia salama niepushe na mabaya kama unamini mungu yupo commet hapa mashaallah

  • @deborahngoliga
    @deborahngoliga 2 месяца назад +10

    Ee mungu nisaidie nimalize mwendo salama pamoja na huyu anayesoma comments.

  • @juliethmajenda969
    @juliethmajenda969 3 года назад +50

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 RIP Rais wetu, tutaonana Tena 😭😭😭😭😭

  • @asantphinias9669
    @asantphinias9669 3 года назад +37

    Pumzika kwa amani Raisi Magufuri RIP MUNGU tupefaraja Watanzania tutaonana Tena Raisi Magufuri

  • @morrinerambiri2822
    @morrinerambiri2822 4 месяца назад +10

    My Heart is bleeding for our fallen Hero Mr.Kelvin Kiptum ....although i never knew you in person, it hurts like i did. Dance with angels champion😥😥😥😥😥

    • @user-oe3go7tz5k
      @user-oe3go7tz5k 3 месяца назад

      God let your grace be sufficient ❤

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 3 года назад +70

    Niko hapa kuomboleza kifo cha raisi wetu mpendwaa
    JoHN POMBE MAGUFULI
    Mungu tutie nguvu watanzania.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭

  • @msgina5171
    @msgina5171 2 месяца назад +10

    😔🥹💔 nipo hapa after kifo cha Gardner 💔🙇‍♀️😔

    • @sarafinamapunda336
      @sarafinamapunda336 2 месяца назад

      Yani mimi ndio kwanza nafaham kwamba kaimba yeye 😢❤❤❤❤😊

  • @renatushemed7971
    @renatushemed7971 3 года назад +101

    R. I. P my President Magufuli. I can't stop crying on you daddy 😭🇹🇿

    • @marychidahe7503
      @marychidahe7503 3 года назад

      Ooooh my President. Cant stop crying JPM. But why father. Soo sad.

  • @paulsheshe4839
    @paulsheshe4839 2 года назад +13

    Mungu nijalie mwisho mwema,ni wewe tu hAkuna mwingine anayeweza,na wote wanaosikiliza wimbo huu 🙏

  • @isaackgabrieltv5514
    @isaackgabrieltv5514 3 года назад +31

    kifo cha rais wangu kimenifanya nije kusikiliza huu wimbo umeandika godluck umeandika mwambaa umeandika mjumbe wa Mungu R.I.P MAGUFULI

  • @mariethapondela2838
    @mariethapondela2838 3 года назад +32

    Rest in peace kipenzi changu yasin
    Nina imani tutaonana tena 🕊️♥️
    Mwenyezi MUNGU akupunguzie adhabu ya kaburi 🙏

  • @francisnjuguna57
    @francisnjuguna57 3 года назад +26

    Pumzika kwa anani kipenzi cha watanzania magufuri..😭😭😭

  • @nurathassan229
    @nurathassan229 3 года назад +12

    R.I.p my lovely mama,ninakukumbuka kila iitwapoleo pengo lako halizibiki mama hakuna wakukufananisha nae,upendo wako ndo ulikua halisi kwangu nasikitika sana mama yangu sitaisahau terehe 23,24,25 January,2005 zilikua siku ngumu na mbaya kwangu mungu akupumzishe kwa amani na mwanga wa milele akuangazie nakupenda mama yangu nakupenda sana aaàa

  • @happybakari643
    @happybakari643 3 года назад +40

    Jaman mungu atupe maisha malefu man nyimbo😭😭😭san mtu alienguswa naiyi nyimbo aweka lake🧠🤝🏿

  • @HAFTVc1
    @HAFTVc1 3 года назад +5

    Kwakweli nimesikiliza nyimbo zote za msiba ila huu ni moja ya the best ever song umekamilika jamani MUNGU NIPE MWISHO MWEMA DAAAA 😭😭😭😭😭😭😭

  • @mjmedia5369
    @mjmedia5369 3 года назад +64

    Daaaaah huu wimbo unagusa sana mioyo ya watu R.i.p our president 😭😭😭😭😭💔💔

    • @mohammedjuma7878
      @mohammedjuma7878 3 года назад

      𝑼𝒎𝒆𝒏𝒊𝒈𝒖𝒔𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒉𝒖𝒖 𝒘𝒊𝒎𝒃𝒐

  • @michaelgidionmzuri2940
    @michaelgidionmzuri2940 5 лет назад +31

    Wimbo huu umfikie Baba angu kipenzi alie tangulia mbele za haki nakukumbuka sana baba mimi mwanao

  • @mpzooculture4959
    @mpzooculture4959 3 года назад +7

    Mungu akutangulie huko ulipo Rais wetu tutakukumbuka Daima baba yetu😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @amanijm746
    @amanijm746 3 года назад +38

    Huu wimbo nausikiliza kwa mara ya kwanza kutokana na msiba wa raisi Magufuli. Umekuwa kama ndio official song kwa ajili ya msiba huu. Very well composed.

  • @georgengugi9174
    @georgengugi9174 3 года назад +34

    Fare thee well Mheshimiwa Rais Magufuli. You did your best for your country and your people. You had your weaknesses, like all human beings, but you were a patriot and a good man. Proud of you! Rest easy Magufuli.

  • @ngindolandtv2530
    @ngindolandtv2530 5 лет назад +267

    Kama unaamini nyimbo ya mtu mmoja G.gozbet imefunika hisia za wa Tz wotee. weka like hapa👎👎👎

    • @kanudasasi2317
      @kanudasasi2317 5 лет назад +9

      Ngindoland To. Nakupenda sana mama angu pumzika kwa amani .tutaonana tena mama

    • @ngindolandtv2530
      @ngindolandtv2530 5 лет назад +3

      Kanuda Sasi Ameen mungu ataweka Barakha na nguvu kwenye Mioyo yetu.

    • @diameyona9032
      @diameyona9032 4 года назад +1

      Namkubali Sana Tena Sana Mr God luck

    • @rechoosumbas9601
      @rechoosumbas9601 3 года назад +1

      Imeniumiz sn

    • @jimmysalumhasan1104
      @jimmysalumhasan1104 3 года назад +1

      Kali sana hii

  • @florencemutinda8228
    @florencemutinda8228 29 дней назад +2

    Rip Dr.philip Munyao Munyambu❤may God grant you eternal peace

  • @user-jb9ub3zr4g
    @user-jb9ub3zr4g 4 месяца назад +4

    Tutaonana tena kipenzi changu hata kama uko mbali na mm jua nakukumbuka sana kipenzi❤😭😭😭😭

  • @nyamohangagisire9165
    @nyamohangagisire9165 6 месяцев назад +5

    Nimerudi kuusikiliza huu wimbo baada ya kumpoteza clamate wangu wa chuo, mpole, hakua na neno na mtu ni yeye na mambo yake mkikutana tabasamu salamu😢😢😢😢. Rest In Peace. Neema Mzena, tutaonana tena😢😢😢😢

  • @allandesdery7932
    @allandesdery7932 2 месяца назад +2

    I miss you mama mungu akupunguzie adhabu za kaburi inshallah

    • @charlesmushi5350
      @charlesmushi5350 2 месяца назад +1

      😢 My mom too has been a very long time without saw her

  • @user-vz8rs5rn2m
    @user-vz8rs5rn2m 4 месяца назад +8

    I'm here mourning the death of World record holder in Marathon Kelvin Kiptum ,rest well Kelvin 🇰🇪🇰🇪 Kenya is mourning, the world is mourning,you've left an incredible legacy

  • @ritaabdul1260
    @ritaabdul1260 2 года назад +9

    Where is your sting! Oh death!
    Continue R. I. P My hubby - Charles Johnstone Machiwa, My twin Sister - Mercy Wanjiru Mwanga and My beloved brother - Boney Abdul Razak.
    You guys left a void never to be filled up.
    Watoto wote wamekuwa.
    I thank God.
    Tuonane bandarini kule ya Baba Mungu.
    Amina

  • @emmanuelmigeha8065
    @emmanuelmigeha8065 3 года назад +17

    R. I.P dr john pombe magufuli kweli duniani tunapita tu 😢🙏

    • @frankniwagila
      @frankniwagila Год назад

      I remember you my mother Paulina Tibelinda(R.I.P)

  • @abdalahtwahil5202
    @abdalahtwahil5202 3 года назад +2

    Nimejikuta adi namkumbuka Maguful daah 😭😭😭😭😭😭

  • @rajah9328
    @rajah9328 4 месяца назад +3

    Just imagine nimepitia uku leo Mungu atujalie viongozi wengi kam alivyokua Mzee Magu.. RIP mtetezi wa wanyonge

    • @innocentmkuwa2938
      @innocentmkuwa2938 4 месяца назад

      Mwenyezi Mumgu azidi kumuweka salama Rais wetu mpendwa Magufuli..Hakika tulimpenda sana..kila page ninayopita wananchi wanamlilia magufuli,kila video ninayoangalia watu wanalia kuondokewa na Magufuli,Hakika alikuwa kiongozi wa Watu na sio Mtu..tuendelee kumuombea huko aliko,azidi kupumzika kwa amani.

  • @user-ic4gu5hj2g
    @user-ic4gu5hj2g 5 месяцев назад +3

    Mungu atujalie mwisho mwema tunao mwamini japo tunaangua huovuni mara kwa mara

  • @mtumwawaziri9728
    @mtumwawaziri9728 3 года назад +4

    Nipo hapa kuomboleza kifo ch rais wangu jpm pumzika kwa amani babaangu , hakika tumejivunia sana uwepo wako , matumain yetu tutaonana ten kw mungu 😭 always we love you baba

  • @hamiryluziga7954
    @hamiryluziga7954 3 года назад +6

    Daah huu wimbo niseme tu unanipa hisia zaid za mpendwa wetu..🙏🙏

  • @luvamboprimaryschool5701
    @luvamboprimaryschool5701 3 года назад +3

    Daaah ...!!!! Huu ni mpango wa MUNGU ambao binadamu hawezii kuzuia kabisaaaaaa . Tutaonana tena kijana wa Afrika , the President of Africa ....! 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @RASHIE7Kassapa
    @RASHIE7Kassapa 3 года назад +161

    R.I.P magufuli kama umeuzunishwa km mtanzania mwenzangu shusha like yako

    • @marrymaganga8585
      @marrymaganga8585 3 года назад

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @suzanakibonde5898
      @suzanakibonde5898 3 года назад

      😭😭😭😭😭😭 so sad

    • @Melinajohn330
      @Melinajohn330 Год назад

      Duniani utnapita eheeeeee mungu tusaidie 😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @athumanibakari8618
      @athumanibakari8618 8 месяцев назад

      Daah Hadi Leo Bado napata Huzuni Sana, nikimkumbuka

  • @zakiapius7092
    @zakiapius7092 3 года назад +10

    O my God my beloved make us to meet him in heaven,honestly he was the greatest president who made all Tanzanian to feel we are equal

  • @user-eh7uk9wf2f
    @user-eh7uk9wf2f Месяц назад +1

    Nakumbuka sana president mwinyi na mkapa na jpm

  • @modestaulambale606
    @modestaulambale606 10 месяцев назад

    Amen, Wimbo HUU haiishi kunitowa machozi kila NIKISIKILIZA , Namkumbuka Mamaangu ,Mungu aendelee kumpumzusha KWA AMANI Amina, asantee Mungu KWAAJILI ya MAISHA yakee tuliyoishi nae hapa Duniani aminaaaa

  • @irenemonteh2174
    @irenemonteh2174 Год назад +48

    Lost my paternal aunt yesterday 😭😭😭she has joined my dad, mum and my sister. May their souls rest in eternal peace 🙏🙏🙏

    • @marrionwatima797
      @marrionwatima797 Год назад +2

      May their soul rest in peace ❤️

    • @Rodah-yj4oj
      @Rodah-yj4oj 9 месяцев назад +1

      Take heart my dia

    • @dannythepianist
      @dannythepianist 9 месяцев назад +1

      😭😭take heart

    • @ella-re8rk
      @ella-re8rk 8 месяцев назад +1

      May her soul rest in peace even my aunty is dead from a car acciedent

    • @isayabaltazari
      @isayabaltazari 6 месяцев назад

      😢

  • @jacksonhamis2866
    @jacksonhamis2866 3 года назад +6

    Siamini kama ndo Nasikiliza tena kwa Ajili Jemedari Wa Bwana wa Majeshi Aliyetutoka Hapa Duniani @Prophet TB JOSHUA May your Soul Rest in Paradise Man of God #Mwendo Umeumaliza #12 June 1963 up to #5 June 2021😭 R.I.P #Tutaonana tena 🙏

  • @emmanuelkayogolo9397
    @emmanuelkayogolo9397 3 года назад +10

    Daah My president JPM😭😭😭 Rest in peace my president. 1day we will meet again 😭😭😭

  • @daudsteven4232
    @daudsteven4232 4 года назад +66

    Wimbo huu umenigusa Nimemkumbuka mama yangu aliniacha nikiwa Mdogo Angekuwepo mama ningejivunia na Mimi kuwa na mama Tutaonana mama ashukuliwe Mungu atufalijiaye tuliaye

    • @hothumandaudi2989
      @hothumandaudi2989 3 года назад +2

      Da atamimi umwimbo ninamkumbuka mama yangu mama

    • @wilsongilbert5183
      @wilsongilbert5183 3 года назад

      Pole sana

    • @smartboy-cd3qn
      @smartboy-cd3qn 3 года назад

      😭😭😭😭bi huzun kwa kweli msiba cyo kitu you kuzoeleka

    • @mohammedjuma7878
      @mohammedjuma7878 3 года назад

      𝑫𝒂𝒂𝒉𝒉𝒉 𝒑𝒐𝒍𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂

    • @mohammedjuma7878
      @mohammedjuma7878 3 года назад

      @@hothumandaudi2989 𝒑𝒐𝒍𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂

  • @wilsonmichael1156
    @wilsonmichael1156 3 года назад

    Tutaonana tena baba. Mungu nijalie nifike nyumbani kwako Mbinguni 😭😭😭😭

  • @marylynliseche773
    @marylynliseche773 21 день назад +1

    Niko hapa n omboleza kifo cha mamangu rip.mum😢😢😢

  • @gabuulimay9165
    @gabuulimay9165 3 года назад +4

    Namkumbuka mdogo wangu vicent aisee kufiwa usikie kwa jirani 😭😭

  • @suhailaali4175
    @suhailaali4175 3 года назад +19

    Naskiliza kwa Mara nyengine baada ya kifo cha Rsis Magufuli

  • @magdalinejuma2028
    @magdalinejuma2028 2 года назад

    Waaa unajikut walia pkee yko , kazi ya mungu sisi hatum LA kufany zaid ya kumuomb

  • @lilianbilly5509
    @lilianbilly5509 3 года назад +2

    Nakukubali sana G. gozbet hii ngoma ni hatari

  • @heriethgoodson8874
    @heriethgoodson8874 3 года назад +5

    Wimbo wangu wa mwaka baada ya kumpoteza shangazi 1/10/2020 na baba yangu 17/11/2020 Namshukru Mungu kwa yote🙏🙏🙏🙏

  • @vincentochieng6213
    @vincentochieng6213 2 года назад +4

    Dad you just left me so soon😭😭I miss you already dad am sure wherever you are ,,you very happy and fine .I love you daddy 😭😭😭

  • @JoelMoshi
    @JoelMoshi 2 месяца назад +2

    Jina la Bwana Mungu lihimidiwe sikuzote ......
    Hakika Mungu ni Mungu tu na atabaki kuwa Mungu...

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 Год назад +1

    Barikiwa Sana Good lucky kwa nyimbo hii yamaombolezo japo inaliza lakin iko vzr

  • @fetlisheshenry2510
    @fetlisheshenry2510 3 года назад +20

    Pumzika kwa amani wazazi wangu baba na mama pamoja na babu yangu mungu awape mapumziko ya milele huu wimbo umenifanya nilie sana dah hakuna kitu kigumu kama kuishi bila ya wazazi😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @wilsonkendrick5109
    @wilsonkendrick5109 Год назад +8

    when i listen to this song, i break when i remember my grandmother and Uncle Nick. May they continue resting in peace

  • @africanman8679
    @africanman8679 3 года назад

    RIP my only and ever presdent John Pombe Magufuli umetuachia machungu sana , nchi sasa haina mbele wala nyumban...tanzania ya sasa n ya matajiri maskn asubr kwanza ooohh baba nenda salama , kama kuna mkono wowote ulihusika kumuondoa mfalme wetu na ulaniwe mkono ule

  • @onginjostephenochieng818
    @onginjostephenochieng818 13 дней назад +1

    Dad and mum..I am here mourning your deaths. It is a miracle that I just turned 32 years 3 days ago and by God's grace I have a beautiful daughter that is also turning 6 this September. When by bad luck she ask me one day how you like then I might fail to give her the accurate response since I never saw anyone of you.

  • @hajishabani7957
    @hajishabani7957 3 года назад +3

    Wenye power ya Media huu wimbo mngeupa nguvu ya kufariji angalau apatkane mtu wa kumuangalia hasa linapotokea suala la kufariji kama ilivokua kwa komba huko nyuma.. tusiwaze pesa tu kwenye hali ya majonzi kama hii. #NilikupendaNinakupendaNitakupendaMagu

  • @eddiedomicianprez186
    @eddiedomicianprez186 3 года назад +7

    R.I.P Mom & Daddy its been more than 20 years still i remember you😭💔💔💔

  • @ausonromward3052
    @ausonromward3052 Год назад

    Namkumbuka mzee wangu.. R.I.P daddy !!

  • @sarahmutua3578
    @sarahmutua3578 7 месяцев назад +5

    Lost my dear son on sunday, tutaonana tena champion,mummy will miss u dearly

  • @leomess1029
    @leomess1029 3 года назад +1

    Yaan uu wimbo nimeumia sana

  • @marrionwatima797
    @marrionwatima797 3 года назад +4

    Ooh dear GOD help us to finish the race with u give us courage n strength our heavenly FATHER, Rest in peace our African hero magufuli for sure tutaonana God bless Tanzania, God bless Africa 🇰🇪🇰🇪

  • @gracekiprotich6564
    @gracekiprotich6564 5 месяцев назад +6

    Exactly one month since my son was laid to rest. I feel weak and useless. God heal my soul. Tutaonana tena mwanangu 😭😭😭😭😭💔🕊️

    • @innocentmkuwa2938
      @innocentmkuwa2938 4 месяца назад

      Pole kwa kumpoteza mwanao,kila jambo Mwenyezi Mungu analifanya kwa sababu..yeye alikupa na ndie aliyechukua..tuendelee kumuomba azidi atufanikishie yale yote mazuri aliyokusudia juu yetu..R.I.P mtoto mzuri 😢

    • @vianmarcel818
      @vianmarcel818 2 месяца назад

      Pole, sana Mungu akutie nguvu

    • @josephineflavian8522
      @josephineflavian8522 Месяц назад

      Sorry for your loss 😢

  • @kamauisaac7596
    @kamauisaac7596 Год назад +1

    Rest in peace mamaaa ...Grace Njeri Kamau

  • @BarakaMsoba-cg9xe
    @BarakaMsoba-cg9xe 11 месяцев назад

    Jehova tujalie mwisho mwemaaaaaa......

  • @honeymzigo7555
    @honeymzigo7555 3 года назад +8

    Kila nikiisikiliza hii nyimbo nashindwa kuzuia machozi😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @reneewoods3066
    @reneewoods3066 5 лет назад +7

    Kazi ya Mungu haina makosa. Poleni ndugu zangu watanzania..May his soul Rip.

  • @sheilarasuli9051
    @sheilarasuli9051 3 года назад

    Mungu nijalie mwisho mwema coz cjui saa wala dk lin utaniita, yote kwa yote nitakuona tena my mom

  • @obbybenitho5803
    @obbybenitho5803 Год назад +1

    Mungu tukumbuke siku zote daima

  • @TimelessTastings
    @TimelessTastings Год назад +5

    It is painful but we have no control 😭😭😭😭😭 In loving memory of Nyandira Cain Meng'anyi. Rest easy legend . Tunawaombea ndugu zetu wote . Pumzikeni Kwa amani.

  • @shomarisalehe3487
    @shomarisalehe3487 3 года назад +3

    Mungu atupe mwisho mwema 🙏🙏
    R.I.P SHUJAA WETU😭😭😭

  • @fatmaayoub4086
    @fatmaayoub4086 3 года назад +1

    Allah atujaalie mwisho mwema sote tuliobaki njia yetu ni moja

  • @martinaelia1768
    @martinaelia1768 Год назад +2

    Mwenyezi MUNGU nakusihi kwa rehema unisamehe mm na family yangu 'utubariki xku zote za maisha yetu tukawe na mwisho Mwema.

  • @benjaminmwangi8197
    @benjaminmwangi8197 7 месяцев назад +3

    Mom, 23rd August 2018. Dad, 18th Nov 2023. May your souls rest in peace. We ill surely meet again.

  • @davtechs8441
    @davtechs8441 3 года назад +15

    See you again my lovely president Magufuli 😢😢

  • @susanekuyi2988
    @susanekuyi2988 3 года назад +1

    Asante kwa kutufariji mwimbo mzuri sanaa.

  • @shooemanuel6809
    @shooemanuel6809 Год назад

    Mungu wa mbinguni utuonyeshe njia iloyo sahii make kila nafsi itaonja mauti

  • @jeannedon8832
    @jeannedon8832 5 лет назад +270

    Mungu wangu Poleni Sana. Wagapi wame liya nahi song ❤️❤️😭😭😭😭😭😭

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 3 года назад +39

    REST IN PEACE PRESIDENT MAGUFULI😢😢😢

  • @evanceodenyaagoro9382
    @evanceodenyaagoro9382 7 месяцев назад

    Fare thee well Sam... Safiri rafiki.. Ndugu safiri salama

  • @donardpetro6918
    @donardpetro6918 2 года назад

    R I P mwanangu kipenziiiiii uliniacha wakati najifungua utuombee .... Namshukuru mungu hakuchelew kunifuta machozi amen

  • @ayelagwet1228
    @ayelagwet1228 2 года назад +25

    I just lost my one close friend and this song...has really given me strength to mourn him😭😭😭😭😭

  • @khamishamad5758
    @khamishamad5758 3 года назад +13

    Our president r.i.p dady we love u...😭😭😭😭😭

  • @godimoshi7107
    @godimoshi7107 2 года назад

    😭😭😭😭 pumzika jembe la Tanzania ningumu Kuku sahau

  • @saraelias5303
    @saraelias5303 3 года назад +1

    Tutaonana Tena mungu nijaliye mwisho mwema

  • @respickrichard2441
    @respickrichard2441 2 года назад +2

    Daaah huu wimbo unaleta machozi kabisa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @farmvillage1401
    @farmvillage1401 3 года назад +1

    Gozbert huu wimbo unanikumbusha rafiki zangu wote waliotangulia... Kelvin Mwambwelwa, Jackline Joachim, Himatwaha Cngam... Tutaonana tena hakika

  • @FrankFrank-zs9xk
    @FrankFrank-zs9xk 2 года назад

    Rip mama… i love u so very much! Moyo wangu bado umepasuka vipande vipande

  • @catenaaman7012
    @catenaaman7012 3 года назад +10

    Majira haya machungu ya kumpoteza Rais wetu JPM... Najua tutaonana tena 😭💔

  • @josephinatarimo47
    @josephinatarimo47 3 года назад

    Tutaonana tena .. MAGUFULI Nenda Baba Nenda , Safari umeimaliza salama. Byee Baba yetu hatutakuona tena.. POLENI WATANZANIA WENZANGU , its hard to believe... Daaaah

  • @vianmarcel818
    @vianmarcel818 2 месяца назад

    R.I.P JPM kipenzi cha Watanzania wa hali ya chini. Bado twakupenda Baba

  • @mussaalex2221
    @mussaalex2221 2 года назад

    Asante MUNGU wangu kwa kila kitu ajiri yetu binadam tusio kuwa na fadhira lakini wazidi kutubaliki