Mtoto wa miaka 9 wa Nigeria adaiwa ni Bilionea mdogo duniani, baba yake ana msala kama wa Hushpuppi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 82

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 года назад +7

    Dah!! Ila wanaijeria wanajuwa kujenga mijengo bhana dah! Yaani inavutia sana

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 года назад +20

    Hawa wanaigeria kiboko but bora wanaiba kitu kinaeleweka hata wakikamatwa wamefaidi maisha sio mtu anaiba ati kuku 😉

  • @phinaswai4718
    @phinaswai4718 2 года назад +11

    Ndo maana simwoni jamani 😥😥 kumbe kakamatwa

  • @alicemtoto2107
    @alicemtoto2107 2 года назад +3

    Dingi ni shida lakin katika haya maisha fanya lolote kwa ajili ya mwanao

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 года назад +5

    Asubiri fbi wamnyake, wazungu hawaamini mwafrika anaweza kuwa tajiri hivihivi

  • @angeldejoice3202
    @angeldejoice3202 2 года назад

    Nilijua ametafuta mwenyewe, ningempa salute

  • @MrJoshkm
    @MrJoshkm 2 года назад +6

    Babake mwizi na tapeli mkubwa sana kama HushPuppi.

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 2 года назад +3

    Duuu Noma, mdingi kaamua kuwekeza kwa mtoto mkwanja wa kukwiba

  • @rasoulyalgalaxy5610
    @rasoulyalgalaxy5610 2 года назад +11

    Mwafrika ukiwa na mafanikio makubwa.epukana na mambo yakujionesha.

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 2 года назад +1

    Utajiri wahivo mungu atweupushe

  • @monicasamwel5911
    @monicasamwel5911 2 года назад +1

    Waiting hawa wanigeria wacha wannase na yeye

  • @josephinekanaiza2945
    @josephinekanaiza2945 2 года назад +2

    Daa haya maisha hayana huruma

  • @Lifelessons911
    @Lifelessons911 2 года назад +2

    WEZI SANA HAO JAMAA

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 года назад +4

    Pesa za wizi😂😂😂😂

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 2 года назад

    Kwa nn wanaigeria wana tabia ya utapel sna kuna yule hashpap nae moto

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад +1

    Dah! HATARIIII SANA

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 2 года назад +1

    Jamaa ana pesa atari

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 года назад +1

    Daaaah niliisubiri sana hii huyu mofa alikamatwa waraaah aibu tupu. Wanaijeria ishu zao siyo aisee

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 2 года назад +1

      Ivi alifanyaje alivyokamatwa??

  • @f2abooksuppliers122
    @f2abooksuppliers122 2 года назад +2

    Kabla hajawa tajiri hizo kesi hazikiwepo kwa hivyo haishangazi hata jack ma alipewa kesi ni kawaida kwa matajiri kufanyiwa figisu

  • @esterwakidunda6248
    @esterwakidunda6248 2 года назад +1

    Jamaa siku izi ajipost kumbe kanyakwa du

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄Wana zipata wapi jmn looooh

  • @chibabydaniel
    @chibabydaniel 2 года назад +1

    Drugs business Huenda pia imechangia.

  • @redie2337
    @redie2337 2 года назад +3

    Nifuzwe kuunda RUclips channel nami nitafute hela😂

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 года назад

      ufunzwe vp na account unayo already hii Redie Boy_ke labda useme ufunzwe jinc ya kurikodi na kuedit

    • @redie2337
      @redie2337 2 года назад

      @@zuleikhakhamis3303 nifunzwe hii jamani

    • @redie2337
      @redie2337 2 года назад

      @@zuleikhakhamis3303 kupost ndo sijui

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 2 года назад +1

    Ndo shida iyo sasa

  • @saikalyasi2707
    @saikalyasi2707 2 года назад +2

    Hawa awachelewi kuwa matapeli Kama hushpap

  • @magafootball6569
    @magafootball6569 2 года назад +1

    Duuh yaan wanaijeriaa

  • @Tanzania..cashauro
    @Tanzania..cashauro 2 года назад

    Freemason hiyo uwiii

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 2 года назад +2

    Scammers wapopo Scammers sana

  • @felixkato6283
    @felixkato6283 2 года назад +1

    Wivu haupo sehemu moko

  • @fredricksabick-hi1fl
    @fredricksabick-hi1fl Год назад

    Naamini utapeli sio wizi ni mtu amekuzidi akili na marifa kwa ulofa au ujinga wako🚶🏻‍♂️

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 года назад

    Bora awe tapeli wametoa wenyewe mbaya isiwe aliuwa ama ni Illuminat

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 года назад +3

    Kama jamaa atahukumiwa si hela zote alizoiba atarudisha na mtoto hatokuwa bilionea tena hawa watu kutoka hiyo nchi wametapeli sana wazungu Ulaya kwenye mitandao na walianza kitambo sana kabla ya wabongo wale wa tuma kwa hii namba

  • @azizasana9313
    @azizasana9313 2 года назад

    Huko watu weusi wakiwa matajiri ni mtihani.watakutaftia hila tu.

  • @monicasamwel5911
    @monicasamwel5911 2 года назад

    Wanatapeli wanawake wa kizungu kuwa watawaoa wanawaambia wawatumie peas yaani wanigeria in matapeli wa dunia wacha aozee jela na wamfilisi

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 2 года назад +2

    Me hawa watu wa naijeria nawaelewa san wakiw na pesa ni bata tu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 года назад

    Diuuuu

  • @darassaofficial3601
    @darassaofficial3601 2 года назад +1

    Huu jama Wala sio Mu Nigeria na Mimi pia aliwai nitapeli ukitaka kujua mbinu anao itumi niombe nkupe namber nikuerezee mwanzo mwisho

    • @triplea3463
      @triplea3463 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 года назад

      Ajakufila kwel

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 2 года назад

      Pumbavu

    • @witnessmush746
      @witnessmush746 2 года назад

      🤣🤣 namjuw huyo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 года назад

    Siyo filimason

  • @rehemaiddsalehe52
    @rehemaiddsalehe52 2 года назад

    Sns mlikuwa wapi habar inamiaka mitatu juzi wamemkumbuka ndo mmemjua mmechelewa wapi mwambie dogo atafute za kwake ndo aitwe billion sio za kutafutiwa 😃😃😃

  • @irenemoraa8818
    @irenemoraa8818 2 года назад +1

    Babake scammer tunajua everything

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 года назад

    Kumbe!

  • @mariake7199
    @mariake7199 2 года назад

    🥲🥲alinitabeli 70 000 kenyan shillings

    • @MohamedMbaraka-b2d
      @MohamedMbaraka-b2d Год назад

      Em tweleze namna alivyo kutapel

    • @MohamedMbaraka-b2d
      @MohamedMbaraka-b2d Год назад

      Yani ninyi ndio majinga ya kutwanga nyundo kichwan unatapeliwaje Ksh 70000 Hizi sini tamaa Hizi kwakweli em tueleze tukuelewe ulivyo pigwa pesa

  • @Boaz22
    @Boaz22 2 года назад

    Mimi ninachowaambia ukipiga hela nyingi usiwe una showoff🤣

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад

    Duuuu

  • @deuslaurentlaurent7398
    @deuslaurentlaurent7398 2 года назад +1

    Wakwanza

  • @youngbilioners4631
    @youngbilioners4631 2 года назад

    Sasa ajabu Nini siutakili kama wa yule wasimba mudy

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 2 года назад +1

    Mali za kuchakachua kajificha kwenye kivuli cha mtoto kumtia mtoto matatizoni tu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 года назад

    Hizi ni miongoni mwa habari za kijinga hambazo BBC na SNS wamenasa nazo..

  • @fikirimajila2897
    @fikirimajila2897 2 года назад

    Hawa jamaa nihatari

  • @princearamyog5816
    @princearamyog5816 2 года назад

    Ouh htriii sana ukwel wote huu hap ruclips.net/video/uSkVq7ZgkW8/видео.html

  • @strong8534
    @strong8534 2 года назад +2

    Wanaijeria wana akili