MAKOSA 6 YA KUEPUKA KATIKA KILIMO CHA NYANYA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 сен 2024
  • Nyanya ni zao ambalo linahitaji umakini sana katika Kila hatua yake ya ukuaji, endapo utafanya uzembe wa aina yoyote Ile basi utajikuta unapata hasara kubwa.

Комментарии • 36

  • @ajuedimrisho
    @ajuedimrisho Месяц назад

    Ahsantr kwa elimu yako muhimu.
    Ubarikiwe

  • @bora1221
    @bora1221 2 месяца назад +1

    Mwamba uko vizuri sana

  • @mohamedihakimu-st9tw
    @mohamedihakimu-st9tw Месяц назад

    asante mwalimu wangu

  • @WafulaTom-rg7ex
    @WafulaTom-rg7ex 3 месяца назад +1

    Asante sana boss. We are requesting you mute that irritating back ground noise. It's spoiling the video.

  • @ChristinaMabada
    @ChristinaMabada 5 месяцев назад +1

    Asante sana kwa some zuri Nahitaji hiyo nakala ya kitabu cha matu

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  5 месяцев назад

      Asante pia kwa kulielewa. Kitabu unakipata kwa NJIA ya whatsapp au email baada ya kufanya malipo ya 5000 kwenda 0784013400 Emanuel Minja.. karibu

  • @paulringo13
    @paulringo13 6 дней назад

    Asante mwalimu.
    Una content nzuri na voice nzuri Huna haja ya kuweka hiyo bacground sound sir

  • @Joseph-tf8sc
    @Joseph-tf8sc 5 месяцев назад +1

    Asante mwalimu by Mwanaume wa Shoka

  • @JacksonMagaibuni
    @JacksonMagaibuni 5 месяцев назад +1

    Nimekubali

  • @MarygorethKimario-mu9nn
    @MarygorethKimario-mu9nn 5 месяцев назад +1

    Good keep it up bro

  • @MeshackPilla
    @MeshackPilla 5 месяцев назад

    Naomba namb nipate kitabu kilimo ch nyanya vitunguu maharag

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  5 месяцев назад

      Tuna kitabu cha mwongozo kwa mkulima cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA
      0784013400

  • @realfmt
    @realfmt 5 месяцев назад +1

    Sometimes hiyo sauti uliweka inasumbua kaka iko juu ya storie

  • @hamadimziraymziray-ry4vi
    @hamadimziraymziray-ry4vi 5 месяцев назад

    ❤❤❤nashukuru kwa darasa nzur minja nakufatilia sn brooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nathanmakoweli7534
    @nathanmakoweli7534 20 дней назад

    Habali ya kazi je naomba msahada wa kupata namba za simu jinsi wa kuwapata ili nipate kitabu Cha kilimo sahihi Cha nyanya

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  20 дней назад

      Karibu unaweza kupata maarifa zaidi KUPITIA kitabu chetu cha MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA KWA MMEA ambacho kitakupa muongozo dhahiri jinsi ya kutunza mazao Yako.
      Ili kupata kitabu hicho changia 7000 kwenye lipa namba 22211100 minja kilimo Kisha tutumie sms ya muamala Whatsapp 0784013400 Kisha unatumiwa kitabu kwa NJIA ya Whatsapp

  • @cornelphilipo2976
    @cornelphilipo2976 5 месяцев назад +1

    Asante kaka, je nyanya za f1 unatakiwa ufanyie prunning au haitakiwi

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  5 месяцев назад +1

      Unaweza kufanya pruning lakini kwa uzoefu wangu sishauri kutokana na aina ya soko wateja wengi wanataka nyanya za size ya kati Sasa ukipruni unatoa nyanya grade one zote yaani zinakua ni ndonga zitakusumbua sokoni.
      Huo tuu ndo ubaya wa kupruni lakini kivinginevyo kama soko lako halisumbui unawe ukafanya

    • @cornelphilipo2976
      @cornelphilipo2976 5 месяцев назад

      @@emanuelminja2023 asante

    • @amosikayuni
      @amosikayuni 4 месяца назад

      29:20 ​@@emanuelminja2023

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 3 месяца назад

    Mwalimu hiyo sauti inatufanya tusikusikie vizuri isiwepo tu

  • @FraideMwaipopo
    @FraideMwaipopo 4 месяца назад +1

    Nilikuw nafeli kweny matumoz ya mbolea kwani narumia DAP had maua yanaanza.

  • @NasibuShabani-w8p
    @NasibuShabani-w8p 5 месяцев назад

    Naomba namba nipate kitabu na nitapata je

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  5 месяцев назад

      Unakipata KUPITIA Whatsapp au email baada ya kuchangia 5000 kwenye namba 0784013400 Emanuel Minja. Karibu

  • @bora1221
    @bora1221 2 месяца назад

    Ivi jaman mbolea ya kinyesi Cha nguluwe kinafaa kwenye zao LA nyanya??

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  2 месяца назад

      Mbolea ya kinyesi cha nguruwe ni moja kati ya mbolea Bora saana kwenye nyanya na mazao mengine ya mbogamboga hii ni kutokana na aina ya vyakula vinavyoliwa na nguruwe(concentrate) kwahiyo hutoa virutubishi vingi sana na kwa wakati

  • @MeshackPilla
    @MeshackPilla 5 месяцев назад

    Kama mnavitabu ninapataj

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  5 месяцев назад

      Unakipata KUPITIA Whatsapp au email baada ya kufanya malipo ya Tsh 5000 kwenye namba 0784013400 Emanuel minja karibu