TANESCO YATAJA SABABU UMEME KUKATIKA MARA KWA MARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 7

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 Месяц назад

    Acheni kutudanganya

  • @Likungu_Jr
    @Likungu_Jr Месяц назад

    Musa anakicheko cha kinafki sana 😅😅

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 Месяц назад +1

    Subutu

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 Месяц назад

    KWANINI IKIFIKA OCTOBER KILA MWAKA WANAKATA KATA?? Wanaturudisha nyuma sana kimaendeleo.

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 Месяц назад

    Wamezidi nao. Mwaka jana wametutesa sana jamani! Ikifika mwisho wa mwaka tu kipindi cha joto wanaanza kukata. Mbona walikua hawakati wakati wa baridi?? Wanakera sana hii nchi

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 Месяц назад

    Hii serikali bwana hao viongozi wao wana raha sisi wapiga kura tunateseka

  • @MarwaWambura-l7u
    @MarwaWambura-l7u Месяц назад

    Sasa hii ninini nasoma magaseti kama mko kirabuni.mnapishana wenyewe huyu hajamaliza unamkatisha najuta kufungua clip hii