Nuksi kweli , yaani ushalipia kila kitu ila wao wanataka lazima wakukamue! Serikali za vijiji na serikali kuu ni muhimu kuwa na mfumo mzuri wa kusimamia hayo. Na tehama itumike jamani.
Mm nadhani ushuru hauzingatiwi kwasababu 1. Kraeneo limetengeneza Sheria yake ushauli Sheria iwekwe kra mkoa uweke ulatibu. Wakulima walipe ushuru walau. 50 ubao. Halafu. Wanao safilisha walipe 100 kwa ubao. Wenye maduka ya mbao makubwa ndo wawe na mashine. Pia selikali ijue hata miti kumi haiwezi kukosa mteja
Rushwa na vibari vy uvunaji sehem nyengne sheria tofauti nchi moja mkoa tofaut kata tofauti hata hawajar wanatufirisi watu wa misitu huna tp ya sh 7000 fain mil.3 so wako tiari wakukwamishe kwa 7000 elfu ili upigwe fain na wewe hauko tiar kutiar unatoa rushwa y laki 3 ili wasikupe kes ya huujum uchumi

Hey
Hello
Changamoto kubwa ni tra
Nchi moja biashara ya Aina moja vibali mia
ujumbe umefika kwa viongozi labda watafanyia kazi...
Mbao imekua kama bange
Rushwa na vibari vy uvunaji sehem nyengne sheria tofauti nchi moja mkoa tofaut kata tofauti hata hawajar wanatufirisi watu wa misitu huna tp ya sh 7000 fain mil.3 so wako tiari wakukwamishe kwa 7000 elfu ili upigwe fain na wewe hauko tiar kutiar unatoa rushwa y laki 3 ili wasikupe kes ya huujum uchumi
Nuksi kweli. Ni mwendo wa kukomoana tu.
Kwahiyo ofisi ya kijij haimjui mkulima mpaka awe na risiti yake