Merry and wild Ngorongoro awaits
HTML-код
- Опубликовано: 3 фев 2025
- Jiraniiiii!!! Mwambie jirani amwambie jirani yake, msimu huu wa sikukuu ni eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. Njooni mjionee uzuri wa maajabu ya asili na mandhari ya kipekee. Ngorongoro inakuita jirani!
#merryandwild
#ngorongoroawaits
#visitngorongoro
#unforgettableexperiences
#ngorongorocrater