Mtoto wa Elon Musk aliyebadilisha Jinsia adai ataondoka Marekani baada ya Trump kushinda Urais

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Комментарии • 103

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 4 часа назад +20

    Acheni kuripoti taarifa za mashoga na wasagaji. Hii ni njia ya uhamasishaji kuhusu vitendo hivyo. Kuna lundo la taarifa mnazoweza kuripot tofauti na taarifa zinazowahusu watu hao.

    • @hurumajosephat6333
      @hurumajosephat6333 3 часа назад +1

      Ni kweli

    • @ABDULLAZIZIADINANI
      @ABDULLAZIZIADINANI 3 часа назад +1

      Kwer kbsaa

    • @ce-08
      @ce-08 3 часа назад +1

      Hakika🎉

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 часа назад +1

      Acha kuwapangia Watu..

    • @SalumMasengwa-b9s
      @SalumMasengwa-b9s 2 часа назад +1

      Sisi wengine Huwa hatufurahii kuona kwamba taarifa zimejaa duniani halafu mnaleta uchafu kama huu hii huenda ikawa ninjia Moja ama nyengine yakusapoti mambo kama hayo yakipumbavu
      Tafuteni habari zenye mana

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 2 часа назад +5

    Nlikua cjajua kmbe Trump kiboko ya mashoga viva Trump wetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha 2 часа назад +3

    Mbona hizi habar nazo zinakela tena mbaya zaid zinajitokeza kipindi ambacho bado tupo kwenye furaha ya ushindi. Pole tajir wetu pole kwa hiyo damu yako kutaka kutia doa furaha yako .ila tu hiyo mitoto mingine ni mideko ya kujivunia kwa hiyo nafasi uliyo nayo hapa duniani.

  • @YouTuuuuuuube
    @YouTuuuuuuube 2 часа назад +5

    Ukiambiwa hakuna mwenye shida duniani muwe mnaamini. ELON Musk ni tajiri namba 1 na binadam mwenye akili sana . Lakini Shida ipo kwa watoto, SHIDA KILA MTU ANAYO. hata uwe na hela kias gan

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 часа назад +15

    Mpuuzi huyu akafie mbele hukoo
    Baba ake ana watt 12 asepe tu watabaki 11 wanatosha na anaweza kuongoza wengine!
    Ndo maana nampenda Trump sbb hataki huu upuuzi,haya ona walivyoharibu watt wa wenzao,duh!
    Mungu tusaidie sn ,big up baba amekataa huu ujinga

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 часа назад +15

    Hana faida mbwa huyo hana lolote shenz

  • @hitngwasutv971
    @hitngwasutv971 4 часа назад +7

    Tatizo vikilelewa kweny mpungamzito hiro ndotatizo

  • @asumanideo2405
    @asumanideo2405 6 часов назад +17

    Toto jingakweli 😢😢

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 5 часов назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 5 часов назад

      Huwezi jua ya ndani ya familia

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 5 часов назад

      Anachokitaka atakipata

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 4 часа назад

      ​@@atutweve4160hakuna cha hatujui ya ndani Wala Nini UJINGA ni UJINGA TU mtoto ameshakua MPUMBAVU 🚮

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 3 часа назад

      ​@@atutweve4160Akafie huko

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 3 часа назад +4

    Kosa alianza Musk kwa kuzaa kwa njia ya IVF ambayo ni kinyume na uumbaji wa Mungu. Kwa lugha nyingine watoto wake GMO

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula 2 часа назад

      Kama ni hivyo basi tuwaache watajuana wenyewe 😂

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 2 часа назад

      Point moja kubwa Sana umenena. Sitaki niongeze neno hata moja hapa tena

    • @BreezyMnyama
      @BreezyMnyama Час назад

      Apo mwana nimekupata

  • @zainashendera9814
    @zainashendera9814 3 часа назад +4

    Mental health is real in America😀😊

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 часа назад

      Hatari mtu anaweza jiita paka na watu wanalazishwa wamtambue ivyo

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 5 часов назад +7

    Ahame na akaishi angani na uchafu wake

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 часа назад +4

    Nilitaka nishangae,,,akiri gani izi bila liana za shetani kuwa pembeni

  • @sirleemally5314
    @sirleemally5314 6 часов назад +4

    One love

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 5 часов назад +10

    Huu ni ujinga tu...unabadilishaje jinsia yako ...huyo ni laana tu ndo yamsumbua tu... akwende!

    • @natual7572
      @natual7572 5 часов назад

      Mbon hili ndio sela ya netapaka leo wamping?

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 5 часов назад

      @natual7572 nampinga huyo Mtoto wake Kwa tabia ya kubadili jinsia ...Huo ni upuuzi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 часа назад

      Acha uongo ww
      Hii sera ya chama Cha kina Obama,na Trump amesema anaenda kuikomesha​@@natual7572

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 3 часа назад

      Sasa hii ndio kazi ya mayahud​@@omondiowino7875

    • @rkcomercialenterprises3209
      @rkcomercialenterprises3209 3 часа назад

      Laana alianza baba kwa kuzaa hao watoto kwa njia ya IVF

  • @JafariHamisi-gu4ef
    @JafariHamisi-gu4ef 2 часа назад +1

    Hizo shule za kifahari zakishetanitu na ndio kawaida Yao wanasababisha mashoga kuwa wengi ndomana tuna viongozi mashoga walosoma kwenye shule hizo za kifreemason

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 2 часа назад +1

    Watoto wakishua asilimia kubwa ndy wanafanya mambo ya hovyo

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha 2 часа назад

    Hii americ nilicho kuja kukiona starehe zimesha pindukia kiasi kwamba .ili uwe na jipya ni kujigeuza jinsia. Tatizo hiyo nchi uchumi ulikuwa mkubwa hadi ukapindukia kiwangu kwa nchi na hata kwakila mtu mumoja mmoja. Lazima mambo ya hovyo yawe mengi

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 14 минут назад

    Jinga huyo sema musk nae anaitaji kutengeneza mdori wa kike ndo ushetani huo

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 5 часов назад +3

    Sio mambo ya kuzungumza kabisa yani hayo

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 5 часов назад +3

    Huyu ukikutana nae unaoa, kumbe Dume mwenzako😂😂😂 Dogo Willy

    • @Gamba81
      @Gamba81 5 часов назад

      Siyo Dogo Willy huyo

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 5 часов назад +2

    Leo umechapia vilivyo sijaelewa ni jinsia gani iliyobadil8shwa hadi niliposoma comments ndipo nikagundua

  • @dn_cider9641
    @dn_cider9641 5 часов назад +4

    Mna uhakika ni mwanae ???

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv 5 часов назад +5

    Bora angemwaga njee ili toto hasara

  • @salhawaziri1668
    @salhawaziri1668 6 часов назад +3

    Ni kijana

  • @BoayHotay
    @BoayHotay Час назад

    Aondoke huyu mwanaharam

  • @RaisiwaoRaisiwao
    @RaisiwaoRaisiwao 5 часов назад +7

    Watoto wa kishua wana kazi

  • @chiragahmbura9523
    @chiragahmbura9523 4 часа назад +2

    Pesa

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 4 часа назад +1

    Si bora hata musk ungekua bongo vijijini wazee wangekuua,mshenz kabisa pesa zote alizonazo Baba yako bado unataka kua dem,kwanza ningekua mimi musk ndo baba Angu ningetembeza mjegeje kwa pisi kali had zikome,alaf eti unabadili jinsia kweli hujui raha ya kua mwanaume ww

  • @azzaliy8109
    @azzaliy8109 3 часа назад

    Hana kosa !!Amerika pamoja EU na kiongozi mkuu wa wakristo Papa amelibariki jambo hili! acha aponde! maisha! Papa ameshamfutia dhambi!!!

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 3 часа назад

    Please tunaomba kinachoendekea kuhusu mwamba baltazar😢

  • @YumnaBurhan-q6h
    @YumnaBurhan-q6h 5 часов назад +1

    Kajizaaa

  • @hamzahuseni2555
    @hamzahuseni2555 5 часов назад +2

    Kk hatujaelewa huyo kabla hajabadilisha jinsia alikua jinsia gani?

  • @KassimMwembe
    @KassimMwembe 5 часов назад +1

    Zama za mwisho binadam tuna matendo yote ambayo hata wanyama wanayaogopa kama wanayafanya wao yaan.

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 5 часов назад +4

    Sass anataka jinsia gani wakati yeye ni mwanamke tu jata kama mtoto wangu analeta ushetani namtosa

    • @amanfanuel623
      @amanfanuel623 5 часов назад +2

      Hujaelewa, yaani huyo dogo ni wakiume alizinguana na mzee wake alipobadili jinsia kuwa wakike. Sky hajaeleza vzr

    • @MikiGermany210
      @MikiGermany210 5 часов назад

      Kazaliwa mwanaume,ila yeye kajibadili kuwa mwanamke

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 часов назад

      Dah 😭

  • @Ramsomoviereview
    @Ramsomoviereview 2 часа назад

    HUYO MTOTO MPUMBAVU SANA

  • @peterkioko3936
    @peterkioko3936 4 часа назад

    tunajua mnapeda kuharibia marekani sifa sasa n watoto wa trump yuna faida gani USA all the way

  • @MamaLio475
    @MamaLio475 4 часа назад +3

    Toka hapa mpumbavu wewe mtoto

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 4 часа назад +2

    Hap ndo wazee wa upinde na yyte anaependa Marekani ni LGBTQ 🌈🌈🌈🌈

    • @ce-08
      @ce-08 3 часа назад

      Kwan Kila anaeipenda china ni m communism au socialist au Kila muislam ni mjahidin au Muslim Brotherhood jibu ni hapana bas hata watu waoipenda marekani sio wote LGBTQ wengine wanapenda sababu wananufaika huenda kwa biashara,masomo au hata ajira

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 5 часов назад +1

    Huyo chama chake ni kile Cha ushoga ndio maana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 часа назад

    Anasubiria Nini mpaka Sasa hajaondoka

  • @AthmanKamba
    @AthmanKamba 3 часа назад

    Uyu sio binti ni Mwanaume

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 5 часов назад +3

    Donard Trump atawanyoosha mpka Tel Aviv, ambako ndiko makao makuu ya ushoga

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 часа назад

      Makao makuu ya ushoga? Yako wapi?

    • @ce-08
      @ce-08 3 часа назад

      Sio kweli

    • @HaniaAbdoul
      @HaniaAbdoul Час назад

      Yako Israël na ndo pia yanakofanyika ma festival ya kishoga duniani

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 5 часов назад +1

    Taarifa sijaielewa, huyo mtoto alikibadilisha kutoka jinsia gani? Mana muda wote wa taarifa nasikia binti binti tu

    • @VipodoziKariakoo
      @VipodoziKariakoo 5 часов назад

      Trans-gender ina maana kuwa alikuwa mwanaume now ni MWANAMKE😂

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 Час назад

      Alikuwa juma saizi anaitwa Mariam mcharuko

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 часа назад

    Kichaa mkubwa

  • @lettysalala2504
    @lettysalala2504 4 часа назад

    Hana faida

  • @ramadhankilango9088
    @ramadhankilango9088 3 часа назад +3

    Huyo mtoto wa mask alikua jinsia gani na baadae akawa wa gani

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 2 часа назад +1

      inshort ni ushetani tu. Awe mwanamke ajigeuze mwanaume atajua mwenyewe

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 3 часа назад

    Mpelekeni Ukraine

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 часа назад

    Mtoto mjiga kwli

  • @mcharo255
    @mcharo255 4 часа назад +1

    Wemjinga huyo ni binti???? Babaake akatae kwamba sio binti wew unamwita binti??

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 4 часа назад +2

    😂😂😂kwaio kibwabwa?

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 5 часов назад

    Kiraza

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 5 часов назад

    Mtajua mmekosea kuchagua watu wakati it’s too late, kumbe mtoto wake kazaliwa na hormones hizo

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 6 часов назад +1

    Toto linaakili ilii

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 2 часа назад

    Kwa hiyo ni Shemale?😂😂😂

  • @Stans_Tz
    @Stans_Tz 5 часов назад +2

    Elon Musk alimsema baba ake kua alikua mkatili. Haya na yeye inamrudia

    • @HABARI24532
      @HABARI24532 5 часов назад +2

      Upate mtt wa kiume arafu abadili jinsia awe wa kiume utakubali

    • @Stans_Tz
      @Stans_Tz 4 часа назад +1

      @ 😅hata mimi acha mtoto aniite katili tu wee

  • @Stillrunlikeaball
    @Stillrunlikeaball 4 часа назад +1

    Makafiri wote wa Israel na Tanzania wauwawe na kubwa la Makafiri Netanyau auwawe ili Dunia iwe na Amani 😷

    • @ce-08
      @ce-08 3 часа назад

      Mungu sio mjomba wako amuue Kila mtu unayetaka wewe afe😂