We mjinga kwa sababu vitu anavyoo vifanya uyo ungefungua media Yako alaf ukatafuta m2 kama uyo chokowe ukiona watu wana fanya mambo Yao kaambalii boya wewe usijifanyee mjuajii
Binafsi hata mimi nilikuwa simuelewagi kwenye upande wa kusoma habari , ila uku kwenye upande wa uchambuzi nimegundua jamaa yuko vizuri kupita maelezo by the way shall out kwake
Sina timu ila hamisa ni fire mrembo kanyooka kama malaika shepu nzuri sura nzuri ebwanae tizama hata miss wolds anapashwa awe mrefu kama hamisa yaani yuko vizuri kbs hatari kuliko zari anabebwa na hela tu
Jamani hii ni kweliiiiii huwezi kumfananisha hamisa na zari zari hawezi kuwa kama hamisa coz zari ni business woman na umri wake ni mkubwa wanatofauti kubwa hamisa bado ana weza kururuka zari ana watoto wa kubwa lazima ata tabia zitabadilika
Na sheria ni ile ile,,mtu akikwambia unazeeka,,kubali afu muombee maisha marefu,,,,vitu viwili tu ndo vinatutia adabu visingekuwepo kusingekalika umu,,,lazma ufe lazima uzeeke,,apo tu..
Iyo ndio shida ya kuachishwa kazi bila kutaka baada ya kwenda kutafuta kazi sehemu nyingine unajikuta unaweka uadui na watu ambao wako bize na Maisha yao upungufu wa akili wajinga ndio watakusaidia kukutia ushawiwishi wa kugombanisha watu wenye akili awatakusapoti watakuona kama kichaa. Katafute kazi Kaka acha umama uwo.
Kamuibia Zari pesa zake ndio maana katuliwa sasa anafikiri akija kuyamwaga mitandaoni Zari ataogopa au atafuta kesi iliyopo mahakamani kumbe anamsaidia kumuongezea ushahidi. Yeye ndio mjinga haswa team Zari hawana cha kupoteza kama yeye
In short jamaa ana ua kazi take nani atamuamini tena??? Ajue bila yeye zari atabaki kua zari na yeye bila zari it's a must ayumbe kiasi kwahiyo akaze kamba a wachane na ex boss wake maisha yatajipa tu
@NuruMfaume huyo hata Tiffah wa Zari akifikisha miaka 27 atamkuta yeye akiwa bado ana miaka 27 😂wanajuaga kuongeza miaka ya Zari tu ya kwao haisongi na bado hawana wa kujilinganisha zaidi yake
Creez. Ilikuwa na ulazma gani kuongelea. Haya.? C tulishambiwa? 😮 we know you're hamisa" s fan. That's y you're doing this video again... Mchweeee mama. Tiffa isijibunchochote
Hamissa she is amazing
Pamoja na kuzeeka kwake lakini bado yuko vizuri kuliko Hamisa
True kabisa!
Sikweli upambe tu 😂😂😂
@ismallmohamed6487 mtu mzima hivyooo uyu zaria mtanzania
Hamisa kwa kujifikisha hapo ametoka mbali apewe maua yake❤❤❤
Uongo nimekutana na zari Airport south kwanza mfupi na kazeeka kweli achana na filters
Zari and Hamisa are like mother and daughter there is no comparison!
Zari nmpenda ata iwejee❤❤❤❤
Hata Mimi jamani zari nampenda tuuii
Kaka JACOB, naomba UNISAMEHE BURE. Nilikuwa nakuponda sana ukisoma news, sauti nilikuwa naiona kama unalazimisha. Tangu nimeanza kukuona kwenye discussions naona AIBU.Upo safi sana, sauti nzuri, very smart kichwani. Hongera kaka.
We mjinga kwa sababu vitu anavyoo vifanya uyo ungefungua media Yako alaf ukatafuta m2 kama uyo chokowe ukiona watu wana fanya mambo Yao kaambalii boya wewe usijifanyee mjuajii
Binafsi hata mimi nilikuwa simuelewagi kwenye upande wa kusoma habari , ila uku kwenye upande wa uchambuzi nimegundua jamaa yuko vizuri kupita maelezo by the way shall out kwake
@@RomanMwinyi umepaniki kwanini😂😂😂😂itakuwa una stress binafsi, pole.
@@MaulidBongoyaumeona eeh kumbe sikuwa peke yangu, aisee shout out kwake, salut! Yuko njema sana.
@homeandaway2811 Muna zingua Muna jifanya sana washaulii alafu kifanya vyenu amuweziii
Zari is a hustler, while Hamisa is a (mdangaji wa taifa). There can never be a comparison between the two,Zari is the best period...🎉❤
huyo zari waume alolala nao washida hamisa ten himisa afany kaz kuliko huyo Bibi kujivunia urithi
Have you forgot Zari is the one who has a porn video on the internet ? Give credit where it’s due Hamisa is hustling and doing well.
Wewe ndio unashika daftari la kuandikisha wanaume aliolala nao?
Anamdangia baba ako
Wewe unafikiri pesa za urithi zinadumu?@@saidmasika8738
Watuachiye Hamisa wetuuuu🥳🥳🥳 she is the best
@@michelinemapendo6652 kabisa hamissa niwakwanza
Watangazaji watazeeka, hamisa atazeeka,Zari atazee, hata watoto wao pia watazeeka.
Na wote tutakutana siku ya hukumu au kwenye foleni ya kuingia mbinguni au motoni😂😂😂
Hamisa anye ajipake hawezi mfikia zar c kwa uzuri c kwa maisha na pesa akasome
Yaani alivyotangaza tu zarii kuachana na uyu menejii, wengii tulijua tu ataanzaa kuropokaaa😂😂
Hamisa mzuri sana. She is very tall and gorgeous. Zari mfupi
Whether she's short or tall zari is more beautiful than misa
@Nihadshighadi that's your opinion and you're entitled to it.
@Nihadshighadi kila mtu yuko entitled to their opinion. Beauty is in the eyes of the beholder
Hamissa mzuri sana harafu mpore nampenda 🇹🇿🇴🇲
Sns hii vote yenu kwa hamisa ni ya utanzania haina reality au tuonyeshe picha zao za zamani no filter no makeup
Kutoka canada hamisa wakwanza
Sina timu ila hamisa ni fire mrembo kanyooka kama malaika shepu nzuri sura nzuri ebwanae tizama hata miss wolds anapashwa awe mrefu kama hamisa yaani yuko vizuri kbs hatari kuliko zari anabebwa na hela tu
stop with your shenanighans, Zari is not competing with your Hamisa...they are two different people with different goals,different vision and mission.
Tell that to zari’s manager he is the one who brought Hamisa into this!!
Wote tutazeeka.. Labda tu Mungu akuchukue ukiwa in your 30s or 20s😏
Ilimradi mungu akikujaalia umri mrefu, utazeeka tu!!!
Jamani hii ni kweliiiiii huwezi kumfananisha hamisa na zari zari hawezi kuwa kama hamisa coz zari ni business woman na umri wake ni mkubwa wanatofauti kubwa hamisa bado ana weza kururuka zari ana watoto wa kubwa lazima ata tabia zitabadilika
@KaramaHaji Nashangaa kwani hakuna wasiozeeka huko wawafananishe na Hamisa hadi wamtumie Zari?
hakuna marefu ya sio na ncha ,kila kitu kinamuda wake
Pengine huyu Manager hajapenda Zari kuolewa na Shakib vile sio maarufu.
May be he think will be the next to zari alikuwa anamezea mate aibuuu😂
Zari ni mrembo kuliko Hamisa. That's not even a question
Kwani huyu baba hatazeeka? Dume zima lagombana na mwanamke kiruu
Na sheria ni ile ile,,mtu akikwambia unazeeka,,kubali afu muombee maisha marefu,,,,vitu viwili tu ndo vinatutia adabu visingekuwepo kusingekalika umu,,,lazma ufe lazima uzeeke,,apo tu..
Kwa sasa hivi Afrika mashariki hawaoni mtu mwingine anayezeeka zaidi ya Zari, labda baada ya miaka 30 ijayo ndio watampata mwingine
@@Bravo-or8oykweli kabisa hii inaonyesha jinsi uzuri wa zari unavyowakosesha Raha!
Kwani uzee ugonjwa
Kwa baadhi ya watu ni kama ukoma wanafikiri hawataupata watauonea kwa Zari tu
Ndio ushangae?
Iyo ndio shida ya kuachishwa kazi bila kutaka baada ya kwenda kutafuta kazi sehemu nyingine unajikuta unaweka uadui na watu ambao wako bize na Maisha yao upungufu wa akili wajinga ndio watakusaidia kukutia ushawiwishi wa kugombanisha watu wenye akili awatakusapoti watakuona kama kichaa. Katafute kazi Kaka acha umama uwo.
Acheni ujinga, kwani Zari na Hamisa wanalingana umri?
Kuliganisha zari na hamisa basi chukuweni zari wa miaka ya hamisa siyo zari wasasa zari she's a wife material 💯💯💯
Shoga kweli uyo sasa alitaka asizeeke? 😂😂yeye alikuwa mvulana sasa yuko vipi? Maneno ya kukosa
❤❤❤❤❤❤ ZARI
Aache kuweka Hamisa kw ugomvi wao
Nitamupa Zari
Ila zari aba pesa kuliko hamissa na hamissa hawez mfikoa zari
Hamissa bwana 🇨🇦
Jacob 😂😂😂😂😂😂 ana siasa sana
Ukiondoa ege zari ni mzuri
Zari amekuwa quiet sababu ameamuwa kuheshimu ndoa yake.....Huyu Manager sialisema Zari akifanya tukio anazungumziwa bona sasa anamponda?
Anamponda sababu anataka aongee apate kiki na ajisafishe watu wasiongelee pesa alizomuibia hadi kupelekea kumfukuza kazi
@@Bravo-or8oy kumbe!!!
AENDE AFUNGUKE KWA DADA WATAIFAA MANGE KIMAMBI 😂😂😂😂😂😂😂🥳🥳🥳APPP
meneja mjinga
Mpore hata ukimwambia kitu kibaya hakujibu 🇹🇿🇴🇲
Anajibu Kwa kuwatuma watu kumwongelea mitandaoni e.g mange na mwijaku
Huyu anataka umeneja kwa hamisa
Pamoja na Zari mrembo lakini na yeye mdangaji kama mdangaji mwinngine
Alikudangia baba ako?
Sema Jacob ni lihandsom 😮🎉🎉🎉
Labda alikuwa anatembea nae,mala manager anamchamba mme wa Zari,angekuwa anamueshimu Zari na mme wake
Kamuibia Zari pesa zake ndio maana katuliwa sasa anafikiri akija kuyamwaga mitandaoni Zari ataogopa au atafuta kesi iliyopo mahakamani kumbe anamsaidia kumuongezea ushahidi. Yeye ndio mjinga haswa team Zari hawana cha kupoteza kama yeye
Hamna sauti kwangu sns pliiz
Kweli zar kazeeka
Hata na wewe utazeeka labda ufe mapema
Kutoka Finland 🇫🇮
Ukitaka kujua mashabiki wa Kiba ni hatari balaa
In short jamaa ana ua kazi take nani atamuamini tena???
Ajue bila yeye zari atabaki kua zari na yeye bila zari it's a must ayumbe kiasi kwahiyo akaze kamba a wachane na ex boss wake maisha yatajipa tu
Mpuuzi uyo anatafuta kiki tu kichwa ka makalio ya farasi
@ Naomi MPORE NDIO NINIII
Sasa kwani ni mtanzania mpaka mmshindanishe na hamisa kwanini msimshindanishe na wadada wa uko kwao uganda
Atakujieni zari hapo😅
Niko Congo wote taka taka atuna kitu
Jamaniee musimfanqnishe hamisa na huyo bibi enu okay hamisa ni bint wa miaka 27 huyo bibi wa miaka 50 wapi na wapii😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
Sasa wana nani mwingine wa kumfananisha nae?
@@Bravo-or8oyana miaka 28 na Paula awe na mingapi?
@NuruMfaume huyo hata Tiffah wa Zari akifikisha miaka 27 atamkuta yeye akiwa bado ana miaka 27 😂wanajuaga kuongeza miaka ya Zari tu ya kwao haisongi na bado hawana wa kujilinganisha zaidi yake
Hamisa kisuuuj
Tanga ni watu walaini kama ni Zanzibar ni watu wa mdobwedo tuu
Creez. Ilikuwa na ulazma gani kuongelea. Haya.? C tulishambiwa? 😮 we know you're hamisa" s fan. That's y you're doing this video again... Mchweeee mama. Tiffa isijibunchochote
Kwani Dada Wa Taifa asemaje 😂mange nasubir comment yako
Zari 52
Hata angekuwa 92 bado kisu
Alimnyima uchi najua
😂😂😂😂😂😂😂 Hamisa
Zali kazaliwa 80
Sasa 80 ana uzee upi wacheni kumuonea
@@BimHamdindio ushangae