Mshenzi Sana huyu kaka, loooooh!! Anadhalilisha wanawake ubaya wake anatumilia dini vibaya, ety shekhe, shekhe gani mwenye matabia machafu ivo, anaidhalilisha dini saannaa anaikashif dini😭😭😭😭😭
Mganga muongo ulikua umechanganyikiwa na mtangazaji ulitaka fame ulitaka pesa ya mtangazaji harafu wewe nimuongo hujui nini unataka mtoto mdogo huongo mwingi umalaya mwingi duh kweli we kiboko
Yan ananikera anavyotoa huo ulim km nyoka loh cjui hta watu wanampendea nn Razack😆😆😆🙌🏾
😂😂😂😂😂😂😂LABDA WANAPENDAA HUO ULIMI KHAA😂😂😂
Kila mtu na alivyooumbwa kwanini mnamsakama Sana huyu kaka
Kutoa ulimi sio kuumbwa ni mazoea tu huyo amejizoesha@@tinnahagustinolyelu4247
Mshenzi Sana huyu kaka, loooooh!! Anadhalilisha wanawake ubaya wake anatumilia dini vibaya, ety shekhe, shekhe gani mwenye matabia machafu ivo, anaidhalilisha dini saannaa anaikashif dini😭😭😭😭😭
You understand?Kama Diva you understand you understand!!!!yaaaaaaaaàaaaaani Mtangazaji hapa aligonga kando yaani huyu Mganga mkora kabisa !
Huyu kaka muongo sn Sabrina ulisema ulimsaidia tuu alikua kwao maskin maneno kibao ss hv et ulimpenda. Now I understand diva
Aliandika kabisa nakumbuka
Kwahiyo ulitaka aseme nn wakati tayari alikuwa ameondoka na alimchafua sana iyo ndo ubaya ubwela
@@linajulius4185 kumchafua ndo anakua si mkewe ??😂
Muongo anaongea sana masifa mengi yaan tabia yake inaonekana hapo
Anajifanyaga Alahandroo wamapenzii 😂😂😂kumbee ziii tapelii wa mapenzii
Mganga muongo ulikua umechanganyikiwa na mtangazaji ulitaka fame ulitaka pesa ya mtangazaji harafu wewe nimuongo hujui nini unataka mtoto mdogo huongo mwingi umalaya mwingi duh kweli we kiboko
Huyo ni mganga tapeli na ni muongo sana na ndiyo maana amekondeana kama fido Dido.
😂😂😂nilishamsahau fido Dido kwa miaka mingi Leo umenikumbushia 😂😂😂😂
Huyu atayemuwenza ni gigi
😂😂😂😂😂
Kabisa
😂😂😂😂
Kwa iyo diva ni kinganga 😂😂😂 hajataka ku ondoka kumbe zile baruwa zote zakule Instagram kumbe talaka hawombi😅😅😅
Huyu muhuni munampa cheo cha Shekhe kwa sababubgani? Sheikh hawi hivyo ila huyu nimuongo wa kutupa.
Mie mwenyewe najiuliza😢😢😢
Huyu kaka ni shidaaaa wanawake kuweni makini na pesa hana za kuhonga aiseee bad luck
Confidence ya huyu kaka na uongo wake is to be studied 😂😂😂
Huyu kaka sikiwahi kumuamini hata siku moja
Narcissist
💯
Natamani kulia jamani mim diva diva
Kumbe huyu muongo kasema sabrina hajamuowa
Jamani diva ulivyonasautu nzuri jamani japo uliochagua mme mwenye sura nzuri ila mmm dada yangu ulichemsha
Huyu Abdul ndio anayemfuataga diva, sasa km humtaki mbn utoi talaka??
Huyu ni muongo 😂
He’s so disrespectful towards his wife….i mean come’n he’s so disrespectful toward women in General
aibu naona mim jamani daa
hiii ni aibu ya mwaka jamani hivi huyu anawazazi kweli jamani
Huyu muhuni anatafuta umaarufu kwa nguvu alimuoa Diva kwa sababu hiyo tu ila ameishia kujitia aibu tu na tabia yake chafu na domo lake kama karai.
Muongo mkubwa wewe ndo ulimkana Sabrinah ukasema hukumbuki kumua wala hakua mkeo ulisema maneno kibao ya kashfa kwa Sabrinah, sheikh gani unavaa kidani pumbav
Uku nje mi simuelewagi...ila kwenye jua kali;;;wamkupa muda tu...anawabamiza
This guy anapulizia wanawake dawa anakuvuta kuchomoki oooho
😅😅ila Abdul
Huyu jamaa ni narcissist wallahi yaani mnafiki sana. Huyu mtangazaji atafute interview ya sabrina asikilize aliofanyiwa na huyu mwehu. Sjui anajionaje huyu jamaa
Diva umeckia lakini? 😂😂mganga ana mwingineeee
mwanaume chizi kaoa chizi
Kweli huyu ni tapeli na narcissist. Pole kwa wasichana desperate watakaoolewa na huyu chizi
Hili dalaliiiiiiiiiiiiiiiiii la mapnz kila mtu nilimpenda
Mr focus 😂
This guy he's a narcissist,hes not even a ll that 😅