UJENZI WA KITUO CHA KUSANYIKO LA MUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 11

  • @NellyRebiam-tu8uf
    @NellyRebiam-tu8uf 4 дня назад

    Kelele ziko wapi❤.nani anamuweza aje hapa aje ualaka

  • @GraceMamaDeborah-he3my
    @GraceMamaDeborah-he3my 5 дней назад

    Utukufu ni kwa BWANA kwa matendo yake makuu. Mbarikiwe Wana wa Ufalme wa Mungu

  • @nancyshikuku-vs9le
    @nancyshikuku-vs9le 5 дней назад +1

    Glory be to God be blessed

  • @ااا-ح9م
    @ااا-ح9م 5 дней назад

    A men mbarikiwe sana na Mungu wa mbinguni a watie nguvu

  • @Viokanyonyi
    @Viokanyonyi 5 дней назад +1

    UTUKUFU KWA BWANA. HATA SASA BWANA AMEFANYA. LIHIMIDIWE JINA LA BWANA. KAZI HII NI NJEMA SANA . UBARIKIWE UTUMISHI HUU.

  • @OswardDaisoni-vl8pc
    @OswardDaisoni-vl8pc 5 дней назад

    Amina ubalikiwe baba amina kuu

  • @MajaliwaJackobo-e4l
    @MajaliwaJackobo-e4l 4 дня назад

    Kuweni Makini watu wa MUNGU siyo kila kinachotolewa kwa kipindi hiki tukadhani kimetolewa kwa MUNGU wa mbingu na Dunia, Ikumbukwe hizi ndizo nyakati za hatari zilizo semwa na mitume.

  • @jovinrwiza7413
    @jovinrwiza7413 5 дней назад

    Mtumishi wa Mungu Mfalme Tengwa hicho kitabu nitakipataje mimi nilioko manyoni mkoani singida.

    • @tengwatv
      @tengwatv  4 дня назад

      Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu vitabu vipo tunakutumia hadi sehemu ulipo tupigie kwa namba hii 0718 317 003

  • @alphoncesiwale5482
    @alphoncesiwale5482 3 дня назад

    ATUKUZWE mUNGU WETU juu ya usambazaji wa vitabu niko tari kupokea na kusambaza vitabu kituo maombi TUNDUMA SONGWE

    • @tengwatv
      @tengwatv  3 дня назад

      Tuma namba yako ya simu mtumishi kwenda namba hii 0740 100 100