leo hii tarehe 12 mwezi wa sita mwaka huu wa 2024 bado ningali nautazama na kuusikiza wimbo huu yeyote atakaye like nitakuwa narudi huku natizama tena. Kenya tuko mbele pamoja
Napenda sana hi video! i watched yo live shows at Fort jesus but this particular song and VIP were superb! enderea mbere Mzee Yusuf. been following up your music career way bak with the likes of Mwan Hawa Ali and its so fascinating! AlihamudulilaH MOLA atakusaidia upite daraja zote to higher and higher levels in the Taarab music Industry> To me you are a legendary Taarab Star!
inalilah waina lilah rajuuni hakika tulikupenda ila mungu alikupenda zaidi, poleni sn ndugu, jamaa na marafiki wote kwa ujumla na kila aliyeguswa na msiiba huu
Habari zenu waungwana, napenda kuwajuulisheni kwamba kaka yetu Mzee Yussuf amewacha kuimba na ameamua kwa moyo mkunjufu kumrudia Mola wake. Amepiga marufuku kwa yeyote kusikiliza nyimbo zake. Na atafurahi mno mkilitekeleza hilo. Na wote walioweka nyimbo zake katika Social media tafadhalini mziondoe kwa kumpa heshima yake Mzee Yussuf. Ahsanteni
leo hii tarehe 12 mwezi wa sita mwaka huu wa 2024 bado ningali nautazama na kuusikiza wimbo huu yeyote atakaye like nitakuwa narudi huku natizama tena. Kenya tuko mbele pamoja
Hatuja pishana sana leo tarehe 6 mwezi wa 9 2024
Gonga like kama bado unasikiliza huu wimbo 2023🥰
Mola na anipe pesa siku moja...huyu mzee lazima siku moja ataperfom kwa karamu yangu....mungu mbele!!
Kama umegundua LEILA alikuwa Hana raha kwenye hii nyimbo,kisa CHIKU nipeni like zangu pls😂😂😂2023
Umekosa like juu ww ni mnafiki 😂
Niache na wewe nyooo ushindweeee🤣🤣🤣🤣👌mbea mwenzangu
Huo ni uwongoooo
@@BIGBOSS-hl3bu pepo
@@BIGBOSS-hl3bu Ignorance will leave you hungry
I love this song listing all the way from saudi arebia rest in peace beautiful chiku
All way from USA 🇺🇸 nani anaburudika na hii ngoma july 2020 gonga like 👍
Anaye mkubali huyu mzee yusuphu gonga like apa
😔😔😔kafanya nn baby
Nice
Nice one
Uyu mzee nazani aliwaoa ote hao 😅 mishangazi ya kwenda
Mambo ni🔥 2021 bado naipenda hii nyimbo
Pole mzee yusuph.na msiba wa chiku, tulimpenda ila mungu alimpenda zaidi sote tuwapotaji tu njiayetu moja tu.madege mengi hataili dege.
2021 tuko wangapi jamani 💕🔥
Wengii 💖💖💖💖 ngoma kaliiii 🔥🔥🔥🔥
karibu kwetu Congo
taarab
twaipenda
mfalme mzeyusuf
2023 tupo wangapii? Gonga like
Patiently waiting for mumeoga bila sabuni😂
Nimeipenda khangalia hii nyimbo Leo kwa ajili ya da chiku nilikua nampenda tuu tangulia Allha akurehemu
Mmk
chibambe mombasa kumbafu nzetu umbwa zizi kwa lahanzetu🎉🎉🎉🎉🎉❤napenda sana julius from lang'ata balakisi🎉🎉🎉❤
Aya Mzee Yousuf na Jahazi, endelea kuburudisha hivyo hivyo......Shukran wapenzi !!!!!
2023 twende kazi
Mpenz wangu heepy popote ilove kila ukihema
14 FÉVRIER MY VALENTINE DAY ❤❤❤❤
leo tarehe 1 mwez wa nane 2024 bado naupenda unafundisha
taarab na mimi, mimi na taarab wimbo huu umenigusa mtima wangu
Sana tuu
oyoooo
Tunaesikiliza 2023 tuonane hapa
R I P chiku mungu aweke roho yako mahali pema pepon my dear sote njia yetu 1
Chiku ndo yupi hapa Kwa nyimbo,RIP.
@@rodgerssimiyu9819 uyo mkewe anaye Cheka ndo chiku kavaa gauni la Bleu
Napenda sana ujumbe wa huu wimbo uwafikie wale wote wapendao kuchunguza ya watu yao yanaoza
Weee mambo ya pwani Enzi hizo 👌💃
yeah
Kama unaisikiliza mwaka huu 2021 gonga like
She is my Valentine. Love love mzee yusuf
The music by Jahazi and Mkubwa Mzee Yusuph, is the best
Team 2020 gonga like twende sawa
Nikweli Flow
Kabisa
2020
Noma sana huyu mzee duuh ila ushatuangusha
Yaa acha2
Jirani yangu Huna baya❤
Nani yupo na mimi 2019 ❤
Jmn hii nyimbo inakumbusha mbali san
Mimi
Mimi niko nanyinyi pamoja
2020 hapa jamani ii😂😂😂
Napenda sana hi video! i watched yo live shows at Fort jesus but this particular song and VIP were superb! enderea mbere Mzee Yusuf. been following up your music career way bak with the likes of Mwan Hawa Ali and its so fascinating! AlihamudulilaH MOLA atakusaidia upite daraja zote to higher and higher levels in the Taarab music Industry> To me you are a legendary Taarab Star!
hapo sawa broo
Wangapi tume miss hii bend iwe love
pole sana na tens poleni kwa msimba wa mkeo kuaanga dunia yote tuachie mola.
Hii hapa 2020 my valentine ipo kwa hewa 👍👍👍
Same to me
weweeeeeeee Piga Keleleeee
mtihani sana chiku umefika mbele ya haki na video zako bado zinaangaliwa mungu akusaidiye
Uwimbo nakumbakambali San asee.mwanyamala der és salam
JUST MY VALENTINE !❤❤❤2018 2019 2020 2021 2022 2023 2024 2025 2026 2027 2028 2029
Wale wa magomeni nyuma ya sheli pale gonga like hapa
Very nice to sing Mzee yussuf umeimba Sana
Daahh ama kweli fundi huyu yaan jaman daahh
Gonga likes ka unauskliza huu wimbo Mwez wa tano 2019😍
Lala salama shemeji chiku tunakukumbuka sana
Karibu na valentine 2021, Corona haitutishi like za wapendanao.. 🔥🔥
Habari ndio hiyo
😳😳😂😂😂 tena Ikae mbali mita mia 200 no stress
R.I.P chiku jamani ulikuwa mzuri sana
inalilah waina lilah rajuuni hakika tulikupenda ila mungu alikupenda zaidi, poleni sn ndugu, jamaa na marafiki wote kwa ujumla na kila aliyeguswa na msiiba huu
mungu amuepushe na adhabu za kaburi uko na ampe kauli dhabiti amfungulie pepo ya kheri amiini
Alikuwa mzur
Asante king mzee yusuphu
mambo hayoo. na vijana wa bongo. kutomasamasa sio kokonyakonyaa.
Ahmed Ali kutoka kisauni Mombasa naipenda sana wimbo huu
Sending msg, luv, tamu tamu.
❤️🥰🥰🥰naipenda Hadi leo 2022
PIKA MASORA !!!! ☝️☝️
waishika hiyo! weekendi njema....Nani kama Mzee Yussuf!
Karudi town muheshimu🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥who is here 2020
Mm!nakubalisan uyumzee,nafutalia,kutoka,msumbji
Habari zenu waungwana, napenda kuwajuulisheni kwamba kaka yetu Mzee Yussuf amewacha kuimba na ameamua kwa moyo mkunjufu kumrudia Mola wake. Amepiga marufuku kwa yeyote kusikiliza nyimbo zake. Na atafurahi mno mkilitekeleza hilo. Na wote walioweka nyimbo zake katika Social media tafadhalini mziondoe kwa kumpa heshima yake Mzee Yussuf. Ahsanteni
penda sana comment yako
hongera kaka kwa matamshi yakohata sura LUKMAN imekataza kuckiliza nyimbo nakuimba ni mm da hawwanikiwa ndani ya Saudi Riyadh
InshallAh mungu atuajalie mwisho mwema...AMEEN asante mzee yusup kwakurud Kwa Allah wetu......
mungu amueke mahali pema peponi
Amyass Yassin OK
Mzee Yusuf twakuomba uturudie kwa taraab tafadhali rudi kwa mziki
Kashakusikia
Thanks bro paka sasa hakuna
Wanaoangaria 2021 twende sawa apa
I love this song, keep it up guys! Nawapenda sana!@!@-
Anaeburudika 2020 tujuane
The song still hits
Daaa zamani ulikuwa noma sana
July
@@hassanigustavo3856 dahh sio zaman bora arud hivihiv noma Sana
IT hits 😍😍
Mfalme katika ubora wake,,,,,
Leo Valentine's day❤ ❤ wimbo huu unanikosha san. Gonga like kam wew pia unakukosha.
msimba tena mkumbwa mtu na wake zake keep dipping untill u see the light
rehema nawaz
hahahahahah umenifurahisha sana
Mwe jamaani udongo unatumaliza
2024 tupo wangapi? Gonga like
wwww 2023 naipenda jmn UAE tujuane😍😍🤭👌👌
I love this mix sana
Taarab inanikosha roho sana
Mtoto wa pwani mie namtomasa anatomasika
It's my daily dose ❤❤
jajajajajajajajajajajajaja
Long time sana na harusi Bado hazijafika penda sana iyo nyimbo
2022.2.12 Valentine is around the corner😇💖
Joka 👦 boy3,mungu,2,sana,
Kwa bahati mbaya muda hua haurudi nyuma cry🥲
yaani hii track mzuri sana aseeee! so love the way he thanked God.
big up
😊😊😊😊😊
Nnavyopenda hii taarab jamani ❤️
Atuachani kabisa ni me mugandà
nyimbo nzuri mzee yusuf,naomba kuuliza niwapi ama duka lipi kanda zako zapatikana nairobi
mmbayia otwere huwa hawasimagi comment Dar CD zake yungi
Allahumma ghufirlaha warhamha waskana fill janna mung amlaze pema bi chiku ameen thumma ameen
Sisemi kitu
Mtoto shooo rangi ya jogoo waonyeshe shoo waumie rohoo
This is a new genre of TAARAB,which is a combination of soukous beats and the original TAARAB.It is called MODERN TAARAB OR SOUKOUS TAARAB.(SOUTARA).
Wewe una wazimu 😂... Nani akakwambia
Na shukuru !! Hi ndyo nyimbo tamu sana
nan ypo nami 2019
Yooow April 2019💥💥
Mimi hapa👌
Mkono wa malon linje balaaaa
Mtoto show rangi ya jogoo2024
Jamani madege mengi mpaka hili nalo dege?
Aah! Kumbe dege 🤔
Dege tena dege lisoliwa. Aaaiiiiiiih! 😃
I'm watching 2021.....nice song
Who's is here 2019 June
Ahsanty Mzee yusuph
Ni kweli mzee Yusuf amerudi kwenye mziki ?nilifurahia kwa hilo
2020 still my favourite
Nice 1 ila Leila lazima ujue kumshika mzee bibi mdogo ame kushinda kujinafasi na mzee
Kabisa ye kakaa kama zombiiii
Bibi asharudi kwa mumba wake lala pema Chiku alikuwa mzuri
Mzeee anajua yuko vizuri
Mazito haya....mimi penda sana
Lylun niko jahazini na wewe jamani poa sanaa😘😘😘🖐🖐
Wakushukuriwa ni mungu hahahahaahhaaha taarabu ni tam sana hii hasa ukiwa umeka zako
Mtakoma nyie wenye laana,yenyu yaliyoyachosheni,angali tunapendana tunala nyie kesheni!!! HABARI ndio hiyo!!
wasiwasi juu yao
good song🇰🇪🇰🇪 2022 just revisiting
i love how he thank god
who is here watching the diamond that has already passed away? #chiku reply r.i.p #chiku #chiku #chiku
Yusuph Madebari Allah amlaze mahali pema peponi jamani maisha mafupi sana 😢
13/10/2019 and the song going more strong in me......
Haichuji jamani
nyimbo imezidi kua tamu kwa vichuna vyake mabavuni