Japo wimbo huu ulitoka zaidi ya miaka kumi iliyopita, lakini leo Mei 27 2021, jumatano 16:55. Nasikiliza nikiwa Tabata Liwiti Dar es Salaam, dukani. Jamani kumbukumbu muhimu.
Wow this killed everything the chemistry is great the voices are just more than,mzee Yusuf kazi nzuri tena zaidi mwenyezi mungu akulinde ukiendea na kazi yake
2024 Niko kabisa❤❤
Naskiliza huu wimbo nikiwa Na uzuni sana,pumuzika Kwa Amani dida😭😭💔
Kama wasikiliza hiinyimbo baada kusikia talifa yamsiba gonga like
Nmeikumbuka
dah
Me too
Taarab za zamani ndo zanoga hadi waleo😍😘😘😘🎵🎵🎶🎼❤❤❤❤❤❤❤
Km unaisikiliz hii nyimbo 2019km mm like tujuane mn ilitok nilikua darasa la saba
Haaaaa! Mm 4M 3
Mm nlikuwa 4M 3
Pamoja sana
mambo yagraduweshenii hpooo chacha
2020 kama upo sambamba gonga like
Waw 👌❣️ twa penda huku swiss Ticino tarabu namastè babuji🤩🤩💯
2019 Nipo kwa sana...more love from Kenya🇰🇪 254
Mm naupenda sana huu wimbo wanikumbusha mbali sn 2021 gongs like
Woooooooooooooow jamna mzeeee huna ni kosha sna🔥🌹🔥😋🌹😋😋😋🌹🔥🌹2020
2020 October
Kush nahi babuji!!!!😘😘😘😘😘😘
kama upo wasikiliza 2021 /3 twende kaziii
Crème De la crème ya Taarabu nomaaa🔥🔥🔥🔥🔥
2020 bado naipenda wala haichuji maskioni kwangu
Love the song mwaaah....mzeeee Yusuf congrats......sincee 2011 I have the DVD song
2020 nani yupo?🇰🇪🇰🇪
Hapa kazi tu,,,,,kumbe ccm wameiba kwenu hii slogan!
Japo wimbo huu ulitoka zaidi ya miaka kumi iliyopita, lakini leo Mei 27 2021, jumatano 16:55. Nasikiliza nikiwa Tabata Liwiti Dar es Salaam, dukani. Jamani kumbukumbu muhimu.
Sisi hatupendi maneno,kazi tu ndio tunaijua🔥🔥🔥
2019 bd naifatlia like km naww upo
Co poa ni tamu balaa aisee naikubali pia tena sana aisee
p1 sana
Aisha
Hii nyimbo walimuimbia dida kipindi yupo times fm uwiii 💔 na kipindi chake Cha mitikosiko ya pwani
2023 Nipo hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapa kwetu kazi tu majungu twayafukia tamu sana hio mpo juu wana nakshi naksh
YANI NATAMANI DUNIA IRUDI NYUMA ENZI HIZI ❤️💔
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Never happened!
Dah nmekumbuka mbali saaana D I D A..
Wow this killed everything the chemistry is great the voices are just more than,mzee Yusuf kazi nzuri tena zaidi mwenyezi mungu akulinde ukiendea na kazi yake
❤ mungu akupe maisha malefu mzeewetu nyimbohizi zilitubulusha sana nahadi sasa zinatukumbusha tulipotoka, peas love
Hapa kaziiitu duuuuuu weekend Is around twendeeeeeeeeeeeee
Nyimbo ya kwanza taarab nayoweza kusikiliza😀😁
Taarabu usafi wangu moyo
Jamani, huyo kijana ana sauti nzuri, duh!!
Saaana
Ameimba pia 100% love
Kaz bomba sana from🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tz mbeya the green city
wimbo mzuri
Noma sana
Golden Era ya Taarabu hii, 13 years ago, R.I.P Dida, October 2024!
Jumaaaaa juma jumaa juma dede respect sana hii taarabu i like it
2022 na bado inatanda.. Kutoka 🇰🇪 🇰🇪 Kenya
2021bado naifatilia like twende pamoja
jahazi nawapenda zaidi.........
noma sana
2020 yoh!
kwetu raha na vicheko atukunji ani ngumi tena raha kama nini......dah wanikoshaje mie
Mm nackiliza ngoma hii ila bado cjaipenda kwa sababu ya kike sana 2020 ya talehe 30 ,3
Mzee Yusuf alipokuwa katika ubora wake,,,,,
December 2020 nani uko!!!
2024 sikiliza ngoma
Wimbo mtamu sana huu
2010 hiyo 🎉🎉🎉 now 2024
❤️💛💙💚 from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✔️✔️✔️✔️
BONGE LA KAZI....TWAWAPENDA.
Yan cjui ita kuja ijirudie hii jaman zaman hzo tarabu ndo kila kitu kigodoro haswa daah
Tamu kama nini
HACHIMIA 🇰🇲 :🇹🇿 JUMA JUMA DEDE ! 🙏 KUCH NAH BABUDJII !✋
Daaaaah throw back Thursday 🔥🙌🙌🙌🙌
Kama upo hapa hii 2020 gongs like👍
winfrida charles pamoja sanaaaah
Hatari sana
24/11/2023 pambe tu ❤❤❤
2023 aph
times FM iko juu aina mpinzani
Times FM yaweza Mashallah
2024 baada ya kufa dida nimekuja kuisikiliza tena 😢
Nakubalii hii taarabu pendwa
❤❤❤❤❤❤❤
2022 bado ngoma haijachuja
Dada dida tutakukumbukaa
Nkikupa utanogewa....
rahasana napenda hii taarabu
24/1/2023🔥🔥🔥🌺jahaz morden taarab🎉💖💖
hii nimeielewaaa
Bomba
Nani ako huku alipo skia mfalme karudi mjini😁
2023 ❤💥💯
Bonge la song!!
DIDA😥😥😥😥💔
kazi tu apa kwetu au sio...
Kumbe Ile Hapa Kazi Waasisi n Jahazi Chini ya Mzee Yussuph 🤣🤣#Wadai Malipo Harali.
Aaron Lukando haahaahahaha
jumaaa jumaaaa butamju
Na digo zee tunampenda
Bonge la taarabu, ❤ 😍 💖 ❣
Belle music
2024 2juwane
2021,km upo tend xaw
2024
Jahprazah ft diamond
kwetu raha navicheko naupenda sana huu wimbo
August 2024
Hiki ndio kilikuwa kipindi Taarab ilikuwa juu ya bongo fleva
🔥🔥🔥
daaah 2011 hii
MUNGU KWELI HUTWAA WENYE KIBAKI NK ,YANI.IKO SIKU ZITE TUTAKUTANA KIROHONYA KHERI YA SALIMINI YANI.KIJANA ALIKUWA SAWASAWA NA MZEE YUSUFU YANI BASI!
2024 ❤❤
100.5 times fm
khushnei babuji..
Yani we achatuu hainampinzani
Kwetu rahaa navichekoooo penda Sana Huu Wimbo
Tenaaa
🌝
Dida apumzike pema peponi
6/5/2024…
Raha sn yn
nzuli
Gg
100.5 Times FM
😍😍😍😍
Jumadede