Jinsi ya ku retouch picha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 74

  • @seththomas6120
    @seththomas6120 3 года назад

    Una speed Kali kaka punguza,

  • @hamzaallymbwego6214
    @hamzaallymbwego6214 3 года назад

    Daaaahhhh brother hii kali

  • @MuktariNassoro
    @MuktariNassoro 3 месяца назад

    Sante sana kk nimekupata

  • @mrmsaniiboytzmg
    @mrmsaniiboytzmg 2 года назад +3

    Nitumie programu gani kuedit video zangu ziwe na mazingira tofauti na niliyo lekodia (Natumia Sim

  • @hadithikingdomtz
    @hadithikingdomtz 5 лет назад

    Asante sana kupitia hii video nmeweza kuretouch

  • @rayerasto
    @rayerasto 6 лет назад

    Shukrani sana kwa ufundishaji uliotukuka,sijui unapatikana wapi ,hii ni video nzuri na inaeleweka kwa ung'arishaji wa ngozi,nataka kuja kujifunza kwako

  • @mtoroonetv9621
    @mtoroonetv9621 5 лет назад +2

    Nimekufatilia huu mwaka wa 3 uko Gud bro 🔥

  • @meribahtv6403
    @meribahtv6403 Год назад

    Nashukuru sana kiongozi Wang

  • @godblessgerard6914
    @godblessgerard6914 3 года назад

    Inatusaidia sana bro, be blessed

  • @patrickPMP
    @patrickPMP 3 года назад

    Kazi zuri sana keep up

  • @samweldthaule1081
    @samweldthaule1081 7 лет назад

    Nimekuelewa sana hapa mkuu.. Nitajitahidi kuifanyia mazoezi hii aisee,,

  • @robertjaden9063
    @robertjaden9063 7 лет назад

    dàaa we brather ubalikiwe sana unifanya nizidi kukendea kilaufundshapo na nijifza vingisn kupitia wwe wenimsaadawengi sn god bless u brother uzidisongambele naojiona mbli kupitiawewe

  • @emmylierquizgal8888
    @emmylierquizgal8888 11 месяцев назад +1

    Vodeoo zako ni nzur zinafndshaa

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 3 года назад

    Ahsante Sanaaaaaa

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 2 года назад

    Nzuri sana

  • @makervisiontv5132
    @makervisiontv5132 5 лет назад +1

    sawa bro blessed

  • @LaurentTemba
    @LaurentTemba 4 года назад

    Nakubl kaka🙏

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 2 года назад

    Unajua hatari

  • @faustinimandike
    @faustinimandike 2 года назад

    Sawa upo simpo n clr

  • @director_dx9736
    @director_dx9736 3 года назад

    Brouther 🙏🙏🙏🙏

  • @connectiononlinetv_tz
    @connectiononlinetv_tz 2 года назад

    🤔🙏❤️

  • @createvitybydavidgreene2543
    @createvitybydavidgreene2543 4 года назад

    Unafundisha poa sana

  • @johnsonjacksoniganiza5940
    @johnsonjacksoniganiza5940 7 лет назад

    once again hii software ni adobe photoshop cc 2015 is this the full name ? correct me if wrong

  • @d.methuselah9329
    @d.methuselah9329 3 года назад

    Richstar Mungu Akutunze Kweli Napenda Unavo Tujari

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 года назад

      Shukrani. ENDELEA kufuatilia tutorials zangu

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 5 лет назад

    Ubarikiwe sana..but lazima uwe umepiga hata picha za kawaida au mpaka row

  • @ndewerio1
    @ndewerio1 2 года назад +1

    Program gani watumia kufanyia editing?

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 года назад +2

      Adobe Photoshop

    • @mrmsaniiboytzmg
      @mrmsaniiboytzmg 2 года назад

      @@Richstartz Nitumie programu gani ili niediting video yangu iwe na mazingira tofauti na niliyo lekodia (Natumia sim

  • @alphamedianangili7387
    @alphamedianangili7387 3 года назад

    Safi bro umekua ukitumia pro adobe ama kuretouch picha

  • @bestonmwasalemba6915
    @bestonmwasalemba6915 7 лет назад

    hahahahahahah Rich the next level bhana, tuandalie na package ya Photoshop tutanunua bro

  • @MakulaStudios
    @MakulaStudios 7 лет назад +1

    Shukran brother

  • @welloflove4981
    @welloflove4981 2 года назад

    na kungalisha macho ?

  • @denispaskali6910
    @denispaskali6910 6 лет назад

    Good , kama kunauwezekano wa kufanya tutorial ya flayer kwa kutumia photo shop broo

  • @kamiismail1422
    @kamiismail1422 5 лет назад

    Safi sana

  • @mgphotographer9488
    @mgphotographer9488 4 года назад

    Thanks Bro p1

  • @epainethowanjara6546
    @epainethowanjara6546 6 лет назад

    Nashukru sana ndg naitaji kujifunza adobe photo siyo mtaaramu kivle nashukru unapatikana wap

  • @isacktom2463
    @isacktom2463 5 лет назад +4

    Kaka kuna wakati picha inakuwa na wekundu sehem, shida ni nini?

  • @MakulaStudios
    @MakulaStudios 7 лет назад

    Brother plz Unaweza kunisaidia link ya adobe ps cc iliniweze kudownload ???

  • @directorfrowin
    @directorfrowin 5 лет назад

    Hiyo video naitafta lakini sioni inamanisha imeshaifuta au

  • @faustinimandike
    @faustinimandike 2 года назад

    Umenishwsh sasa elekeza jinsi ya kuweka fremu za maua kwenye picha

  • @Eng.Makelele
    @Eng.Makelele 7 лет назад

    video inaeleweka kabisa asante sana lakini hiyo programu inaitwaje?

    • @Eng.Makelele
      @Eng.Makelele 7 лет назад

      kaka unapatikana mkoa gani? ningefurahi kama tungefanya collaboration ya video hata ya youtube tuweke kwenye chaneli yangu na yako pia

    • @kokudo8389
      @kokudo8389 7 лет назад

      Richstar Ebana shule hii nzuri Sana kila kitu kiganjani mwako
      naomba kama una tutorial ya namna ya kukata picha na usionekane kama imekatwa please

  • @samadanmwakatobe5078
    @samadanmwakatobe5078 4 года назад

    Asante sana nimsucscribe lkn pia umenisaidia sana sana
    Mim naomba ni yako ya wartsap

  • @pmctvdsm1157
    @pmctvdsm1157 7 лет назад

    mkuu wangu nimekusoma sana na nimefuatia maelezo yote lakini kila nikitaka kun, galisha inakuja langi nyeupe plees msaada wako

  • @burudanitz6641
    @burudanitz6641 7 лет назад

    naomba uelekeze na jinis ya kuweka blur kuanzia mwanzo mopaka mwisho

  • @deogratiusemmanuel8618
    @deogratiusemmanuel8618 5 лет назад

    Brother naomba unisaidie jinsi ya kukata picha fasta

  • @flyalficha2215
    @flyalficha2215 4 года назад

    Tks

  • @johnsonmalisa8360
    @johnsonmalisa8360 6 лет назад

    mambezi

  • @directorfrowin
    @directorfrowin 5 лет назад

    Kunasiku ulifundisha namna ya kuedit picha nyingi kama ipo kwenye sherehe

  • @movieskalizilizotafasiliwa
    @movieskalizilizotafasiliwa 6 лет назад

    mbona mimi pc yangu inagoma kunstall fail la adobe photoshop cs6

    • @abdulmajidsaid6923
      @abdulmajidsaid6923 4 года назад +1

      itakua hujazima anti virus..jaribu kuzima anti virus na uinstall tena

  • @babalaujamaa7131
    @babalaujamaa7131 6 лет назад

    Shikamooooo

  • @abdallahpaul8863
    @abdallahpaul8863 Год назад

    Link Iko wap

  • @play5games328
    @play5games328 5 лет назад

    bro ni adobe ya mwaka gan?

  • @swimmergrapher_africa1
    @swimmergrapher_africa1 5 лет назад

    Application inaitwaje fuul name

  • @gdidy7082
    @gdidy7082 7 лет назад

    NAFUATILIA

  • @davidsindoma9403
    @davidsindoma9403 5 лет назад

    Hata kwenye photoshop 7 inawezekana hii au ps6 yenyewe

  • @pmctvdsm1157
    @pmctvdsm1157 7 лет назад

    Nilazima picha iwe kwenye kitambaa au picha yoyote mkuu wangu

    • @invotv6126
      @invotv6126 6 лет назад

      +Richstar uko maeneo gani

  • @johnsonjacksoniganiza5940
    @johnsonjacksoniganiza5940 7 лет назад

    hizi tutorila zako unazozipost unatumia adobe ipi

  • @nyamongoonline4167
    @nyamongoonline4167 7 лет назад

    kaka umekua msaada mkubwa kwetu ubarikiwe..

  • @amanimeela3639
    @amanimeela3639 6 лет назад

    woyooooo

  • @onesmomigueljr8256
    @onesmomigueljr8256 6 лет назад

    hujaelekeza jinsi yakusave

    • @onesmomigueljr8256
      @onesmomigueljr8256 6 лет назад

      mbn inasave quality kubwa sana alafu kwny simu ukihamisha inakataa kufunguka kiongozi

  • @amcmorogoro6155
    @amcmorogoro6155 4 года назад

    Mkuu nimekuelewa, naomba tuwasiliane 0757246741

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 6 лет назад

    Nimeona ila sijaelewa bado sorry naomba unisaidie wathsap no 0745448383

  • @godblessgerard6914
    @godblessgerard6914 3 года назад +1

    Inatusaidia sana bro, be blessed

  • @movieskalizilizotafasiliwa
    @movieskalizilizotafasiliwa 6 лет назад

    mbona mimi pc yangu inagoma kunstall fail la adobe photoshop cs6