Asanteh sana, na Asante kwa swali zuri inabid nitengeneze tutorial kuhusu hili jambo. 8 BIT IMAGE: inakuwa na colors range ya hadi million 16.7 ambayo ni nzuri kwa web na simple printing lakin pia ukikuta picha ni 8-bit maana yake hiyo picha format yake ni JPG. Lakini pia kama unahitaji kufanya editing ya picha yako basi usitumie hii ya 8-bit sababu itakupa limitations katika kufanya editing kwa lugha nyepesi naweza kusema 8 bit ni picha iliyoko compressed tayari kwa upande wa rangi na details zake. 16 BIT IMAGE: inakuwa na colors range ya hadi 281 trillions, maana yake ni full range color palette ambayo inakupa uwanja mpana wa ku manipulate picha vyovyote vile bila kupoteza ubora. Kwa maana nyingine ni uncompressed image. Pia ni nzuri kwa high quality printing na editing. Lakin pia 16 bit image inakuwa kwenye format ya RAW.
Sababu unakuwa na layer mbili ambayo moja inakua ni blurred layer ambayo tunasema ni kwa ajili ya skin tone au rangi na ya juu yake inakua ni texture layer basi layer ya juu tunabadili blend mode kwenda linear light maana yake kwamba inazirudisha texture katika image yetu ila zikiwa katika layer mbili tofauti. Na ndo maana ya kufanya frequency separation
Asante love from Burundi mimi ni mwanafunzi wako kuanzia sasa
Sema naitaji namb yako broo
Hongera mzanaki Wa Kongo
Hongera sana Faza Jovi
Tu nashkuru sana kaka all the best
Very Educative, Good Content
Good job brother
Nakuelewa sn mdg wng toka mbeya City
Ubalikiwe
Asanteh sana
keep it up bro!
Where are you Ludara?
Safi sana kiongozi na somo zuri mnoo mtua atakama anaanza leo kujigunza anaweza , Swali langu ni kwamba je Bit8 na Bit16 tunazifanyiaje kazi?
Asanteh sana, na Asante kwa swali zuri inabid nitengeneze tutorial kuhusu hili jambo.
8 BIT IMAGE: inakuwa na colors range ya hadi million 16.7 ambayo ni nzuri kwa web na simple printing lakin pia ukikuta picha ni 8-bit maana yake hiyo picha format yake ni JPG. Lakini pia kama unahitaji kufanya editing ya picha yako basi usitumie hii ya 8-bit sababu itakupa limitations katika kufanya editing kwa lugha nyepesi naweza kusema 8 bit ni picha iliyoko compressed tayari kwa upande wa rangi na details zake.
16 BIT IMAGE: inakuwa na colors range ya hadi 281 trillions, maana yake ni full range color palette ambayo inakupa uwanja mpana wa ku manipulate picha vyovyote vile bila kupoteza ubora. Kwa maana nyingine ni uncompressed image. Pia ni nzuri kwa high quality printing na editing. Lakin pia 16 bit image inakuwa kwenye format ya RAW.
Iyo pisi n kali
Ahahahaaa😂😂
Xory broo naitaji iz video za mafunzo toka mwanzo mbaka mwisho unaweza nisaidia nizipate
Nitafute dm Instagram
Why linear light??
Sababu unakuwa na layer mbili ambayo moja inakua ni blurred layer ambayo tunasema ni kwa ajili ya skin tone au rangi na ya juu yake inakua ni texture layer basi layer ya juu tunabadili blend mode kwenda linear light maana yake kwamba inazirudisha texture katika image yetu ila zikiwa katika layer mbili tofauti. Na ndo maana ya kufanya frequency separation
Kaka umetsha
Asanteh bro
Broo nakubr
NIMEPENDA KAKA
Asanteh sana
Aksanti sana mkubwa number Yako ya WhatsApp please
0768437964 Whatsapp only