Chiko anavyolikemea pepo sasa,ye mwnyw pepo😂😂😂...alafu mpnz yake kina msomali kafanana na yuke konda. Najua ni script ila wanawake tuhifunze humu,kutoka kwenye napenzi bila kujipa mda ni hatari sana akili hua haijatulia na chiko uhusika wake angetuonyesha kwamba wako wanaume hawaezi fanya lolote na mwanamke hadi waoane
na weww sada unapenda kugawa khaa chiko hata hamjazoeana tena unatoa chaluba jamani ila chiko na we umetutoa jasho kwa house girl na huku tena si utatujambisha😂😂😂
Yalla unapewa Hadi kila siku dada weyee mh weye kama mtoto unadaganyika tu jamani tena hata ndewa alikua hidi mbona hajatimiza dada wee chiku eti mbona nagonga hond sana sifuguliwi hhhhhhhhhh
Sada,,,,,kuwa makini na chiko huyo anataka tamu yako,,,usiende kwake bhana,,,,,😂😂😂😂 chiko anatusumbua sana huku HOUSE GIRL
@@esterkimalio8846 𝐀𝐤𝐲 𝐧𝐤𝐦𝐚 𝐚𝐧𝐭𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐩𝐢𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐬𝐚𝐬𝐢 𝐡𝐤𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐍𝐚𝐟𝐬𝐢😂😂😂𝐤𝐡𝐚𝐚𝐚𝐡 𝐡𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐨 𝐛𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐩𝐲𝐚 𝐰𝐞𝐞𝐤𝐬 𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢 𝐛𝐝𝐨 𝐮𝐧𝐭𝐤𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐤𝐮𝐟𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐮𝐬𝐚𝐟𝐢😂😂😂
😂😂😂😂 nimekwama hapo kwa house girl vile anatusumbua
@@SakoSaka-kc2mt yaani anatutoa Jasho jamani chiko kule kwa hours girl mweeeh,,,,sijui itakuwaje
@@esterkimalio8846 anatutia shaka sana 🤣😅
😂😂😂😂😂
Msomali umeuwa 🔥🔥🔥unajua sanaaa
Mungu akutie nguvu dear sada
Sada umekwisha ❤
Sada ushapeana tamu taar 😂😂😂😂😂😂
Huyu mapunda Mbona umbea wake umevuka mipaka🤣😂😂
Sada umekwisha uyo chiko sio mtu mzuri
Sada 🎉🎉❤️🔥❤️❤️❤️
Eeeee Mungu weeee Sada umeenda uwiiiii na umempa heee haya tunasubiri vilio
@@esterkimalio8846 𝐡𝐢𝐢 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐧𝐢𝐲𝐚𝐤𝐮𝐥𝐢𝐳𝐚𝐧𝐚😂😂😂𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐲𝐩𝐞𝐰𝐞 𝐬𝐢𝐟𝐚 𝐳𝐤𝐞 𝐭𝐚𝐭𝐮 𝐭𝐮𝐮🤣🤣🤣
Chiko unatusumbua sana ujue😂😂😂kila mahali wewe huyooo..
Sada uko na kaugonjwa kakuanguka ww nae pole sana apo kwa Chiko umeangukia tofali 😂😂😂🎉🎉🎉❤❤
Bonge la baba Kisha kula uroda hhhhhhhhh aaa chiku we kiboko kweli
Jamani huku chiko amebadilika kuweni wapole😂😂😂😂😂😂
@@fatumazakalia-yx4kg 😂😂😂😂
@@fatumazakalia-yx4kg 🤣🤣🤣
Duuh mapenzi hayà hapna 🌹🇹🇿
Kazi zuri ❤❤❤❤🎉🎉
Chiko anavyolikemea pepo sasa,ye mwnyw pepo😂😂😂...alafu mpnz yake kina msomali kafanana na yuke konda. Najua ni script ila wanawake tuhifunze humu,kutoka kwenye napenzi bila kujipa mda ni hatari sana akili hua haijatulia na chiko uhusika wake angetuonyesha kwamba wako wanaume hawaezi fanya lolote na mwanamke hadi waoane
Hongeren kwa kaz nzur❤❤❤
Toka pepo ,😂chiko ww aya usimlize sada
Maashaallah mambomengi ndani ya nafsi 🎉❤
Asantee chiko Mr nadevu❤❤🎉🎉🎉🎉 umejuwa kumpa ukweli asikufananishe na ndewa
Sada tayari chiko ameula mzigo 😅😅😅, acha Sasa tusubiri kilio chako kama Kawa
Chiko kua makini sana❤❤❤🎉😊
Sada kuwa makini sana na chiko bt nakuombea kwa Mungu akusaidie
Chiko mungu mbele hayo kweli hayo ni mapepo
na weww sada unapenda kugawa khaa chiko hata hamjazoeana tena unatoa chaluba jamani ila chiko na we umetutoa jasho kwa house girl na huku tena si utatujambisha😂😂😂
Msomali anajua xanaaaaa nakubalii anachokifanya xana broo umetixha.
Iyi turu dasa. Ww awutopona mm nakwambia
Ila chiko acha kututamisha mi Ninanyenge za kufa mutu 😅😅
Sada Simamiya Apo Apo Kwa Msimamo Wako Mpka Ndoa Ipite Usijaribu Kupeana Kitumbuwa Utajutiya Baadae Wanaume Ni Wale Wale 2
Gd kk
We sada usiende kwa chiko hadi akuoe,,uyo ni nusu mwnaume na sio mwanaume na nusu shaur yko na ww
😂😂chiko noma
Jamani chiko pumzi hazitoki chiko ww niwale wale😂😂😂😂😂
Sada uckubali atakuchezea Kam ndewa
Sada chiko 😂😂😂 mjanja sana usitoe kipochi monyoya yako😂😂😂😂
Sada toa kipochi manyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sada chiko sio mtu mzuri jilegeze tu
Chiko kutoka kwa muhubili kwa babagu kipofu
Chiko anamanenoya shombo balaaaa
Leo nmewahi wa kwanza
Uyu chiko yuatusumbua kila mahali ndugu akimsaliti sada yani Ile nafsi ya nganga kimamula iyanze na yeye😂
Chiko usimfanyie hivyo wajina jmn ameumia Sana anahitaji faraja na sio maumivu tena😢😢😢😢
🙏🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮
Mkazie hivyo hivyo ukilegez tu ngoma yapigwa hiyo 😂😂😂😂
Sada kua makini nakuhurumia sana 😂😂😂
Ww mama mayra mnafkiiii ww dada malaya wa siri
ila mapunda jamani akaa😂😂😂😂😂😂 sasa geto si umeambiwa usiwape watu 😂😂😂😂😂
Ila Mapunda nawe kwa umbea daah unaweza kweli unasaidia baby Aggie 😂😂😂😂
Hunifrahisha sna mm mapunda😂😂😂😂
@@MwanamisiMuna 🤣🤣🤣🤣analeta burudani zaidi
@@VenahBonah nkwambia wee part bila mapunda s comment
ila chiko acha kututia nyege😂😂🥱🥱
Chiko unajua huku Kwa house girl umetusumbua sana Kwa nafsi usimlize sada😢🇰🇪
Umeona eeeee😂😂😂🎉
@@PaulineNasoro yaani amuache tu jamani,,,,,kwa hours girl anatutoa jasho
@@esterkimalio8846house girl
😂😂😂😂😂😂😂 umenichekesha
😂😂😂😂
Hichi kidemu cha msomali kikaliii
😂😂chiko mbinguni huendi
Sada sada chiko yuataka huyo akipata tu walia wewe 😂😂😂
Nzuri sana ❤❤❤
Yalla unapewa Hadi kila siku dada weyee mh weye kama mtoto unadaganyika tu jamani tena hata ndewa alikua hidi mbona hajatimiza dada wee chiku eti mbona nagonga hond sana sifuguliwi hhhhhhhhhh
Sada Ushapeana Kipochi Manoya Kwa Chiko Ckuza Maumivu Zaidi Ya Dewa
Chiko usimlize Sada wetu please tuta kosan vibay san
Chiku umeupiga mwingi mfutemachoz sada jmn
Chiko my maza ikowapi jmn
Yuwakudanganya huyo 😂😂😂😂
Sada sada sada nmekuita marangap kua makini na chiko
Chiko naomba usimuumize sada wangu please kuwa na msimo
Chiko chiko weweeeeeeeeeee
Chiko umenifarhish San kwa kumpa ukwl
Chiko mpe kweli😂😂😂😂❤❤❤
Chiko acha izo owa kwanza usituumizie sada mapema hivi
Kwishineiiii sada 😂😂😂😂
Chiko 🎉🎉🎉❤
Sada kua makini na chiko maana daah
Chiko acha bana mbona ni mda mchache tu jmn.. ucje tuumizia sada wetu bana kashaumizwa sana na hayo mapenzi 😢😢😢😢
😂😂😂😂,,,,,,chiko safari hii akimuumiza sada tutaenda kwa mwamposa kuchukua maji na mafuta ya upako tuje tumwage ndani mpaka atuoe
Msomali unatuwekea giza tuuu humu
Simpendi huyo mpambavu
Yani simuoni kaz yake humu
Umeuliza yaan sion umuhimu wake
Mmh kiukweli Chiko naanza kuwa na mashaka nae😢😢😢😢
@@MonnaclassicFashion 𝐇𝐲𝐮 𝐚𝐦𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐩𝐢𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐱𝐚𝐜😂😂😂
Safi chiko kuwa na msimamo hivyo hivyo maana vidada vya mtaa huu vimelogwa
😂😂😂😂😂,,,,halafu vinakera sana,,,,huyo mabrichi anazingua sana
Chunga Sada
Chiko 🌹🌹🌹🌺🌺🌺🌺💖💖🌺🌺 yako
Mapunda kasaau alicho sisitizwa na ndewa
Chiko kuwa makini usimtendee sada amesha umia sana
Chiko sijapenda
W tatu
Sada 7sisubutu kbs yan
Tuko live hatuogopi lolotee
Mapunda wewe😂😂😂😂😂
Acheni wivu sada ako swa na chiko tujuane kwa comment
😂😂😂😂😂😂😢😢😢
𝐊𝐡𝐚𝐚𝐚𝐚𝐡 𝐡𝐲𝐮 𝐦𝐚𝐦𝐚𝐦𝐭𝐮 𝐯𝐩 𝐮𝐧𝐣𝐢𝐥𝐚𝐳𝐦𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞😅😅😅😅😅
😂😂😂😂,,,,hajielewi kama nywele zake
@@esterkimalio8846 😂😂😂😂😂
@@esterkimalio8846niuwe sasa😂😂😂😂😂😂
𝐒𝐚𝐝𝐚 𝐛𝐚𝐤𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐬𝐢𝐦𝐚𝐦𝐨 𝐰𝐤𝐨😊𝐜𝐡𝐢𝐤𝐨 𝐚𝐧𝐭𝐤𝐚 𝐭𝐚𝐦𝐮 𝐭𝐚𝐦𝐮