QASWIDA MPYA YA JUMA FAKI & SUMA WA ARRAZ-VAZI LA DHAHABU ILIVYOTIKISA UANJA WA AQAZ 2024.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 147

  • @WahidaHaji-f6g
    @WahidaHaji-f6g 2 месяца назад +2

    Maaashallah maalim juma tunakuaminia Allah azid kukutunza na hongera kwa Salim turkey mola mjaalie afate mienendo Yako mizur Ili kupate baraka na maisha mazur ya ndoa,,,, MAALIM JUMA TUNAKUPENDA KWA MALEZI MEMA ULONAYO,, ALLAH AMBARIK BI MARYAM.
    اللهم أمين انشاؤلله

  • @mrsabdul-mz8hh
    @mrsabdul-mz8hh 2 месяца назад +9

    😢😢😢😢
    Cjawah kuckiliza Qaswida za Haruc zenye ujumbe uliotulia nikaacha kuliaa maana najikuta moyo unauma hadi mda huu Sijaolewa😢😢😢😢😢😢
    Yarrabiy nijaalie mume mwenye kheir namimi inshallah nasote Ambao hatujaolewa au kuoaa🤲😢

  • @Krishmanmohamed-bn6qq
    @Krishmanmohamed-bn6qq 2 месяца назад +4

    Ubarikiwe brow juma kwa kuwa bora siku zote

  • @AishaRamadhan-w3i
    @AishaRamadhan-w3i 7 дней назад

    Mashaallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nzur sanaaaaa allah awajalien tena natena

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 2 месяца назад +1

    Mashaallah kaka juma nimependa ❤❤❤Allah akupe afya njema

  • @rukiakassim9894
    @rukiakassim9894 Месяц назад +2

    Mashallah Juma faki ni motoo ,,nafurahia sana qaswida zake ❤❤❤❤❤❤

    • @BiimuAbdalla
      @BiimuAbdalla 10 дней назад

      Mashallah juma faki ukopoa na kasda hii vazi la dhahabu

    • @BiimuAbdalla
      @BiimuAbdalla 10 дней назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @TatuOmary-n7f
    @TatuOmary-n7f 20 дней назад

    Maa Shaa Allah, hongera sana wew na team yako Allah anijaalie nipate mwenza Bora INSHA'ALLAH

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k Месяц назад

    Hongera sana na kaswida yako nzuri uko juu sana huna mbaya rafiki penda sana wewe mashaallah mashaallah ❤❤❤❤

  • @HaznaAbdallah
    @HaznaAbdallah 2 дня назад

    Nikiishiwa na bando nakuwa mgonjwa kwa ajili ya hizi rahaaa allah akuzidishie zaid

  • @awanahwahid9813
    @awanahwahid9813 2 месяца назад +1

    Mashaallah mashallah ladha mustaqim ❤❤❤ mafaghari 2 wamekutana ladha imesmama na kunyooka 💥💥💥napenda 💯✌️👏

  • @abubakarfadhil9827
    @abubakarfadhil9827 2 месяца назад +4

    @bkar is here again..🥂🥂
    ladhaaaa🥂🥂

  • @Mkosa_bahati
    @Mkosa_bahati 2 месяца назад +1

    Mashaallah kaswida mzuri mnooo🎉🎉🎉hongera sheikh juma

  • @LilaOk-u2j
    @LilaOk-u2j 2 месяца назад

    Mashaallah 🤍 wallah kaswada nzuri sana Allah awape umri mrefu wenye Barak na amani Allah awamiminie kherii siku zote za maisha yenu 🤲❣️ afy njema Zaid na Zaid

  • @ibrahimafley1385
    @ibrahimafley1385 2 месяца назад

    Masha Allah Hongera Maalim Juma Hiii Kazi Nzuri Kweli ❤❤❤
    Ladha Nimeikubali

  • @AllyAbdullah-z4i
    @AllyAbdullah-z4i Месяц назад

    ❤❤❤masha Allah mabrouq ladha za visiwa vya karafuu Zenjibar

  • @SabrinaSaid-c1o
    @SabrinaSaid-c1o 24 дня назад

    Mashallh mungu akubarik na akup umr mref katik Dunia hiii

  • @HidayaOmar-l4k
    @HidayaOmar-l4k Месяц назад

    Huna mpinzani zanzibar nzima mashaallah ❤❤❤wewe ni nuru yetu mashaallah ❤

  • @IssaAbility
    @IssaAbility 2 месяца назад

    Allah Doh suma mutrib mashallah ❤️ 🙏 vitwaaah sjaona qaswida ya arus km hiii no 1 hiii ni ladhwa then yachezeka imejaaa kila sehem kila sekta biti imesmama Huna baya producer suma mutrib kiboko sana ww Allah akubariki mikono salama mtu mzima mwezangu 😂 hongera kw upugaji wa biti na usomaji 🎉❤🎉

  • @zubedahassan4950
    @zubedahassan4950 2 месяца назад

    MashaAllah,,Hongera shekh juma Allah azid kukikuza kipaji chako na akupe umri mrefu weny kher na ww!

  • @ThomasJoji-x9l
    @ThomasJoji-x9l 28 дней назад

    Alhamdullah allah akuogoze kwa kher❤❤❤❤❤❤

  • @sheikhsabaya7234
    @sheikhsabaya7234 2 месяца назад

    Maashaallah hongera sana kijana wetu Allah akuzidishie nuru na kheri zaidi ubaya ukuepuke

  • @AdamuChenchere
    @AdamuChenchere 2 месяца назад +3

    MashaAlah

  • @NasmaMohamed-f8z
    @NasmaMohamed-f8z 2 месяца назад

    Mashaallah mashaallah shekh we2 allah akuzishie zaid

  • @KhadijaHassan-rl2vt
    @KhadijaHassan-rl2vt 2 месяца назад +1

    Mashaallah 😊😊😊

  • @OmanJalan-g9j
    @OmanJalan-g9j 2 месяца назад

    Maa shaa Allah hongera sana ❤❤❤ na nimdogo kweli Allah awaongoz ktk maisha yao

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq 2 месяца назад +1

    Maa Shaa Allah Balaa Zitooo

  • @WardaDhahabu-s4q
    @WardaDhahabu-s4q Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mashallah Yani juma faki ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @OmarAbdalla-d4y
    @OmarAbdalla-d4y 2 месяца назад

    Mashallah jamani mbona hii kasida ni nzuri sana hongera SALUM Turki 🎉🎉🎉

  • @FauziaMohamedi
    @FauziaMohamedi Месяц назад

    Mashallah❤❤❤😊

  • @huseynally1531
    @huseynally1531 2 месяца назад

    MashaAllah hujawahi kufeli shekh juma ww na team yko ni🔥🔥🔥

  • @HolloButamani
    @HolloButamani 2 месяца назад

    Maa Shaa Allah, alfi mabrouki baynahumaa🎉

  • @mishihamaro9991
    @mishihamaro9991 Месяц назад

    Mashalla hongera Sana kaka❤❤❤

  • @KhadijaSalim-jx5gd
    @KhadijaSalim-jx5gd 2 месяца назад +2

    Collabo imetimia Masha Allah wakali wamekutanaa❤

  • @AliAmour-l6j
    @AliAmour-l6j 2 месяца назад

    Na mm wa pili kukupngeza hongera sanaa kaka Allah akubaariki zaidi

  • @SADAJUMA-r5b
    @SADAJUMA-r5b Месяц назад

    Rahaa sana kaswida inavutia sana jamn tumupongeze kija huyu nataman nikuone ❤❤❤

  • @SaumuHamisi-d4h
    @SaumuHamisi-d4h Месяц назад

    Mashallah kl l kher n wengn mung awafanyie wepc inxhllah

  • @SabrinaSaid-c1o
    @SabrinaSaid-c1o 24 дня назад

    ❤❤❤❤ napenda qaswida zak

  • @Abdul-jj6lq
    @Abdul-jj6lq 2 месяца назад +1

    Maalim juma wewe ni dhahabu ya Tanzania wengi unatufunz kwa kipaji chako ujumbe unatufikia Allah akubarikie katika kheri

  • @umijawa6132
    @umijawa6132 Месяц назад

    ماشاء الله.حسبن الله ونعم الوكيل ❤

  • @mwarabumzee8262
    @mwarabumzee8262 2 месяца назад +1

    Nzuri mashallah ❤

  • @MOHDASUWEDI
    @MOHDASUWEDI Месяц назад

    Mashaallah allah akuhifadhi 😊😊

  • @RahmaJecha-ro6wj
    @RahmaJecha-ro6wj Месяц назад

    Maashallah ❤

  • @aishahussein8720
    @aishahussein8720 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ni nzuri sana hujatoka katika njia kaka

  • @mtwajuma
    @mtwajuma 8 дней назад

    thanks kaka nipatie no yko mm mdogo wko

  • @MwanaidiRajabu-s6e
    @MwanaidiRajabu-s6e 22 дня назад

    Hongera sana usitadhi wetu jumaaa

  • @Roshan-ul1gy
    @Roshan-ul1gy Месяц назад

    MashaaAllah

  • @SukhailaMiraj-cj3nn
    @SukhailaMiraj-cj3nn Месяц назад

    Mashallah 🎉🎉🎉😍😍

  • @IshaqaSaleh
    @IshaqaSaleh 2 месяца назад +2

    Mwalim hii kolabo mashallah miamba mumekutana❤

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 2 месяца назад

    Mashaallah❤❤ Allah aidumishe aidumishe ndoa yaoo

  • @MouniraMangilile
    @MouniraMangilile 2 месяца назад +1

    Ladha juu ya ladhwaa❤

  • @OmanJalan-g9j
    @OmanJalan-g9j 2 месяца назад

    Hongera sana kaka unajua kusherehesh ❤❤

  • @AminaSuleiman-ry8it
    @AminaSuleiman-ry8it Месяц назад

    Mashallah mashallah

  • @AminaSapar
    @AminaSapar 2 месяца назад

    Mashaallahu watabaraka llahu rwabbul aa'lamiiiin

  • @aliomar5589
    @aliomar5589 2 месяца назад +3

  • @MuharamShauri
    @MuharamShauri 23 дня назад

    Jamaa anajuw kusoma mashallah

  • @muabrashirazy4886
    @muabrashirazy4886 2 месяца назад

    Good kazi broo tuandalien albam mwambie maalim fakky nipo naisikiliza mama mosi

  • @FatumaMkasha
    @FatumaMkasha Месяц назад

    Nakupenda buree,, ❤🎉

  • @LatifaAbdallahissa
    @LatifaAbdallahissa 2 месяца назад

    Mahodari wetu ❤ Mashallah

  • @Coutinho_112
    @Coutinho_112 2 месяца назад

    Mwalimu COUTINHO nimefika kutabarruk , Hongera kwa kazi nzuri nakosa ata cha kusema zaidi ya kusema nipo tayari kuweka pesa ili ushindane na yoyote katika huu ulimwengu, mola azidi kukupa umri mrefu, akuondoshee husda, chuki na fitna za walimwengu🙏🤲🥹

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  2 месяца назад

      Shukran sana Ndugu yangu mtu wa maana kabisa Allah akujaze kheri

    • @mejumaakoja5050
      @mejumaakoja5050 2 месяца назад

      One day yes inshaallah nitakuita Kenya uwa napenda sana qaswida zako allah akuongoze daima inshaallah ​@@jumafaki1697

  • @WahidaHaji-f6g
    @WahidaHaji-f6g Месяц назад +1

    MAALIM Juma tubakishie akili zetu japo kidog bas,, tufikirie mamb mengine kutwaaa akili zetu zinasbr mwalim Juma kaachia chuma gn Leo🥰🥰🥰🥰,, hongera Sana mungu kakupenda Sana mheshimiwa

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  Месяц назад

      Duh Asante sana itabidi tukae kimya sasa 😃😃

    • @WahidaHaji-f6g
      @WahidaHaji-f6g Месяц назад

      @@jumafaki1697 yn we acha t,, mi nilikuwa nakuja apo aqaz nakaa kitako nikutizame t,, ah hatar yn ushabik una nafas yake sio maskhara

  • @khadijaomar8742
    @khadijaomar8742 Месяц назад

    Mashaaalla🎉🎉🎉

  • @AbubakarJuma-u7v
    @AbubakarJuma-u7v 2 месяца назад

    Hongereni sana timu aqaz

  • @BatuliRajabu-c5n
    @BatuliRajabu-c5n 2 месяца назад

    Masha Allah nakukubali Sana juma faki

  • @SabrinaSalim-c2t
    @SabrinaSalim-c2t 2 месяца назад

    It's very well maalim❤

  • @AishaFaraji-de9el
    @AishaFaraji-de9el 2 месяца назад

    Mashallah ❤

  • @raufurahim9672
    @raufurahim9672 2 месяца назад +2

    Tajiri 🔥🔥🔥❤️

  • @AliSaid-fi7jr
    @AliSaid-fi7jr 2 месяца назад +1

    Naam bingwa Masha Allah

  • @haidar438
    @haidar438 Месяц назад

    Hii Qaswida niliiona nikaitazama sekunde kadhaa nikaiona mbaya nikaipotezea ila leo nimeona kishort clip Tik Tok nikapata kiladha flani hivi amazing,🙈😄Nikaona nirejee You Tube niitazame yote! Maalim Juma ALLAH akuweke ❤

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  Месяц назад +1

      Aamiin
      Kiongozi hii kwa mara moja huwezi kuielewa

    • @haidar438
      @haidar438 Месяц назад

      @jumafaki1697 Kabisa 🙈

  • @AishaRamadhan-w3i
    @AishaRamadhan-w3i 6 дней назад

    Mashaallh ❤mashaallh❤mashalallh❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ashurasaidy6568
    @ashurasaidy6568 2 месяца назад

    Mashaanlah 🔥🔥🔥

  • @AshuraAyubomar
    @AshuraAyubomar Месяц назад

    Mashaala

  • @alfalahbchannel9848
    @alfalahbchannel9848 2 месяца назад

    Hatimae na leo mumekutana tena mara ya mwisho niliona kwenye chema huwa chema mwendo wa makwajuuu tuu ❤❤

  • @MauaSaidi-h9z
    @MauaSaidi-h9z Месяц назад

    mashaallah mashallah

  • @Othmansaid-b5x
    @Othmansaid-b5x Месяц назад

    Nashkuru mwalim wangu mzuri.

  • @OmarMohamedShehe
    @OmarMohamedShehe 2 месяца назад +8

    Wakwanza mm leo hongera mwalim wang

  • @LatifaAbdallahissa
    @LatifaAbdallahissa 2 месяца назад

    Mashallah❤

  • @khamismuhsin2922
    @khamismuhsin2922 2 месяца назад

    Hongera kiongoz

  • @jufakmedia
    @jufakmedia Месяц назад

    Fantastic

  • @ZainabMohammed-cc3is
    @ZainabMohammed-cc3is 2 месяца назад

    MashaAllah

  • @PanduAlly
    @PanduAlly 2 месяца назад +1

    Jamiil jidda

    • @PanduAlly
      @PanduAlly 2 месяца назад

      Una hatr mwalim utauwa

  • @RahmaJecha-ro6wj
    @RahmaJecha-ro6wj Месяц назад

    Pambeee mung akupe umr mref muimbaj wetu tunaekukubali🤲

  • @hawabadawi
    @hawabadawi Месяц назад

    Huna baya ndugu yng JFO Mashaallah ❤

  • @tatuomar-x7t
    @tatuomar-x7t Месяц назад

    Mashallah

  • @Salalimali-kq1cj
    @Salalimali-kq1cj 2 месяца назад

    Mungu akujalie kila la kheri suma tunajivunia uwepo wako

  • @dauddeu-e7y
    @dauddeu-e7y Месяц назад

    mashallh

  • @OmarAbdalla-d4y
    @OmarAbdalla-d4y 2 месяца назад

    Huna mbaya juma faki hongera ❤❤

  • @NasmaRajab-vg3bh
    @NasmaRajab-vg3bh 2 месяца назад

    Maashallah

  • @DullaMsanja-x9r
    @DullaMsanja-x9r Месяц назад

    Mashallah kiongozi juma.

  • @raiyaniAhmada
    @raiyaniAhmada 4 дня назад +1

    Allah aware subra ktk ndoa yenu mpk unauthorised utakapo wafika

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 11 дней назад

    Jamani sheikh Juma hanitoshi maskioni mwangu huyu kijana mpole jamani allah akuhifadhi na hasad

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  11 дней назад +1

      Asante sana Dada Yangu Allah akuhifadhi

  • @aishahussein8720
    @aishahussein8720 Месяц назад

    ❤natamani nami niwaite ila upo mbali kaka

  • @omaraliy6144
    @omaraliy6144 2 месяца назад

    Vittttaaaaa🙏🙏🙏🥰

  • @daarularqammkaku153
    @daarularqammkaku153 2 месяца назад +2

    Mashaallah mashaallah mwamba

  • @allyjunu2290
    @allyjunu2290 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ hatari

  • @farahatiHaji
    @farahatiHaji 2 месяца назад

    Mwalm jumaa salam minallah alayk

  • @omarismailhamad6277
    @omarismailhamad6277 Месяц назад

    Ust juma km Kuna kitu ulichotulia kichwa kupanga vitu ni hichii wallah nimekukubalii sana unakaa muda gan kuandaa vitu km hiviii

  • @YussufJuma-by8do
    @YussufJuma-by8do 2 месяца назад

    Mimi naomba no zako kaka

  • @muswaddiqomar
    @muswaddiqomar 2 месяца назад

    ALHABIYB JUMU'A mfano wako kwa hili sijaona

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  2 месяца назад +1

      Shukran sana mwalim Allah akujaalie kheri

  • @HajiMbarouk-t8u
    @HajiMbarouk-t8u 2 месяца назад

    Malimu juma mashallha

  • @mohdmbarouk8116
    @mohdmbarouk8116 2 месяца назад

    Fundi wa hizi kazi ust juma