Sada We Kweli Ni Bogazii Sanaaa Yani Kipochi Mayonya Ushakipeanaa Duuuuh Amna Ndoa Apo Ni Ndoano 😂😂😂😂😂Ya Kuvuliya Samakiii😢😢😢😢😢Saani Ya Hoteli Kabisa Cyo Javi La Wageniiii
Baby agi mapenzi yamekukondesha jamani,,, ona hiyo mifupa huko shingoni uwiiiiii,,,,na hiyo mimba ni ya mganga,,,na wewe Sada huyo shoga mabrichi sio shoga ila ni mnafki
Yaan mi nimuombe mume wangu pesa nihonge mwanaume Dunia simama nishuke
Baby Aggie na sania nyinyi ni wake wa mizimu 😂
😂😂😂😂😂
Duuuh huyu Pacome mbona kama kidudu mtu😂😂😂
Leo kali
Msomali umeuwaa😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Sada umekwisha 😂😂😂 utakumbuka maneno ya bibi yako😂😂😂
Msomali umezind jamani 😂
Yani sada umenikwaza kweli😢😢 na ww chiko naomba umuowe sada usimtese kama ulivo mtesa zatiti 🙏
Dah! Bibi 😂😂😂😂
Sasa mapunda waji puliza jicho au unafki wanafikia na kudharau msomali😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Geto zuri la kuazima kipnz 😂😂😂😂
Tamaa tu ndio inamsumbua acha azagamuliwe mpaka wakati akitambua msomali atakua amepiga vya kutosha
Bibi, Sada ashamanulia kwa chiko😂😂😂
Babi Aggie Mimba🙆🙆. Balaa juu ya balaa. Mimba ya mganga wah!🙆🙆🙆🙆🙆
haya tusiolala tujuane kwenye vitanda vya waiguru😂😂😂😂
Tupo wengi
Elfu sitini si hela mingi na yeye haha haha elfu moja
Aggy hukuonesha ushirikiano wa dawa 😄😄😄😄ila mganga muongo unajipatia tu vya buleeee
Mimi nipe mwanaume pesa sibutu term strong
Nice movie
Sada mableach amtakaaa bhnaa chiko
Hivo hiyo ndoa ya kai na candy bado tu 😂😂😂
Iyo kofia ya msomali sas
Msomali jameni 😂😂😂😂😂
mapunda mbea khaa😂😂😂😂😂😂😂
Mapunda nimushauli mkali sana anaguchana ukiwa unacheka 😅
Ni mshenzi sana😂😂😂
Aging mimba y mganga imeingia😂
sada kwisha ushamenghenuliwa😂😂😂😂😂ila bibi sada nae anapenda chitele😂😂😂😂😂😂
Eti maharage yambeya maji maramoja😂😂😂😂
Ila sada wewe ila kazi nzuri sana maana weee pole ushasahau yalio kukuta
Mama maira mnafki sana
Love ❤❤❤
Jamani huyu msomali anatongoza mtu ambae staipu yake jamani wanaume mmezdi
Bby agi kimimba hicho cha mgaga😅😅
KAZI ni moto😂😂msomali daa
House girl tuko na mama kirikuu uku nako tumepata mama chikuku😂😂😂
Chiko onja onja uyoo sada kwisha
Bby agy mimba ya mganga tena pole sana 😢😢😢😢🇰🇪
Acha unafkiii mapundaa
Wasita🎉🎉
Ame manyuliwa bibi yke Sada 😂😂😂😂😂 amekua mwakaringa na kimungu 😂😂😂😂😂
Huyu anemhonga tonny isijebainika kua ndio mke wa chiko sada atakua hana bahati
Sada We Kweli Ni Bogazii Sanaaa Yani Kipochi Mayonya Ushakipeanaa Duuuuh Amna Ndoa Apo Ni Ndoano 😂😂😂😂😂Ya Kuvuliya Samakiii😢😢😢😢😢Saani Ya Hoteli Kabisa Cyo Javi La Wageniiii
Hiiii mm wa kwanza jamn like zangu 😂😂
Ila msomali eti request my requetion😂😂😂😂
Aya na wewe nafsi uishe sasa😅😅
Beby Aggie mimba ya mganga😂
Janvi lawageni kweli afu huyu sada hana akili kweli duu bibi yupo sawa kamshauri
Ila bibi nae kigeugeu😂😂
Kamganga kadogo kanazaliwa
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Msomali kazi nzur
Huy mawigi katokea wap n buno lake
Lisada lizoba kweli maharage ya mbeya maji mara Moko tu et nimeinjoi tumeinjoi 😢😢😂😂mmmh
Anakela kweli sada mdawote kulopoka tu mambo yake anafikili wote wanampenda
Bibi na sada
Bbyage maisha yashakuchanganya😅
Sada umenikera sana umeshindwa kukaza kweli duu! Chiko usimtese sada omuowe
Wewe sada ni kweli anayosema Bibi yako wewe ni maharage ya mbeya pole
Baby agy Wacha kutumika ka kikopo choon,,mganga anataka mapenzy hakuna Cha dawa Wala nn
Napenda ma mayrah anavoongea jmn ila nae n mnafiki lkn kweny ugomv hayupooo akhaaaa😢😢😢
Hii ni nafsi,au????
❤❤❤🎉🎉🎉
Mimba ya agy niyamupfumu siyo yandewa asimusingiziye
Unyama
Baby agi mapenzi yamekukondesha jamani,,, ona hiyo mifupa huko shingoni uwiiiiii,,,,na hiyo mimba ni ya mganga,,,na wewe Sada huyo shoga mabrichi sio shoga ila ni mnafki
Ukome agy kwend kw wagangaa mwish w siku wanakugandaa
Jamana dada sada umekubari kufanya mapenz nachiko labula hajakuowa hivi umesahau yaliokukuta kwa ndewa 🤔🤔🤔🤔🤔🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Kijacho cha mganga kimesha tuwa kwa aggy
🙏🙏❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Asantee kwakukubali ombi letu
Msijali tunawajali sana mashabiki zetu
Na mimi nataka ombi lng mfanye mfanye lkn msij sada akaumia ten chiko awe km mwanaume mwaminif awe tofaut amuoe saada@@WAKAWAKATV-m8y
@@WAKAWAKATV-m8y Pamoja mpaka tupate tuzo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😅😅😅😅
Ukome agy kwend kw wagangaa mwish w siku wanakugandaa