Mm mtazamo wangu lisu tatizo siyo maraisi kwenye hizi kes tatizo lipo kwa mawakili wetu wanakula hongo ndo mana kila kes tunashindwa hawa mawakili hawana uzalendo
Wew sio muoga ,,mim nipiganie familia ya lisu ,, yy Vita ikianza ,anakwea Pipa ,,mim natesek,,hata kweny maandamano ,,hatokei anatangaz ,then anakaa anaangalia TV nyumbn kwake ,,Nan ampate ,, bora ujinga ila sio kupigania familia ya wanasiasa huo ujinga sifanyi
Umoja ni silaha na nguvu za Wananchi kushinda udhalimu kama huu unaotendwa na CCM na Serikali yake kwa Watanganyika. Mungu nyosha mkono kutuokoa ktk kulinda Rasilimali ulizotupatia.
Mungu hawezi kunyoosha mkono wake kabla sisi hatujanyoosha yetu. Tujitambue; tuache uchawa, na ubinafsi. Tutambue tunachopigania ni chetu, kwa faida yetu na vizazi vijavyo.
Elimu ya bongo ni ya kukariri kuanzia primary hadi university ili wafaulu mitihani na ndiyo viongozi. Ili uitwe una akili nyingi uwe na kipaji cha kukumbuka the past lakini siyo kufikiri. Tutasugua sana hatutapata maendeleo.
Ukweli usiopingika inchi imepoteza muelekeo kwahyo mi binafsi nakuunga mikono but saiv hyo kelele yetu aijatuzaidia mpaka saiv haswa sisi Wana ngorongoro
Maneno haya niaibu sana kwa viongozi walioko madrakani watanzania kulinganishwa na Warundi!! Tatizo la viongozi wetu hawajibu hoja wala kufikir bali wataanza kufunga mashitaka na kutaka auwawe! Yaani viongozi wanaishi maisha ya anasa alafu Watanzania wa daraja la chini hatuna uhakika hata wa mlo mmoja.Huku wakiongoja wakati wa uchaguzi wanawapa tishart za ccm na kuwanunulia pombe! Huu ni upumbavu na ukatili
lugha ya kiongoz nape alioitoa ni dhahir ni ya kibaguz na inahitaj kupingwa na kupigwa vita vikal na wkt mwingine ukifatlia hoja za viongoz wengi wa ccm hazina vitamin kabisa ,ccm imechoka watuachie nchi yetu
Wazungu hawana urafiki wa kweli na Africa acha kutumika! Ulitumika musoma kuwakandamiza watanzania wenzako bado unaendelea kutumiaka tu? Acha ili uaminike unafiki mmbaya sana
Sasa kama ndivyo mbona mnawapa mikataba na kupokea mikopo na misaada nani wa kulaumiwa wananchi au wenye madaraka kabla ya kuandika unatakiwa utafakari vinginevyo utajichanganya nijuavyo Mimi si mzungu wala mwarabu wala mchina wala mhindi anaweza kuwa na uchungu nasi yeyote ajaye kuwekeza au kutoa msaada ni kwa faida yake na kizazi chake na taifa lake hivyo viongozi wa Africa wangefuata nyayo za Ghadaf kununganisha uchumi nakufanya biashara sisi kwa sisi halafu ndiyo tuvuke mipaka tungesogea pia tuache kugonganishwa na dini bali tumwabudu Mungu tu tuache ubinafsi ulafi ufisadi upendeleo katika kutoa ajira hasa zile za juu tusingehitaji msaada wala mikopo inayouza Uhuru wetu
Diaspora aka Raia wa kigeni , kisheria hamna haki za kiraia ndani ya Tanzania, sasa muache kujihusisha na masuala ya mambo ya ndani ya Tanzania ni kinyume na sheria . Zungumzieni masuala ya Marekani inayowahusu
Kwahiyo muulizeni Lisu yeye akiwa Rais mkataba wa bandari umesha sainiwa na watanzania hawautaki atauvunja au ataendelea nao au atauvunja? Kwa akili hii ya Lisu kwamba yeye ndio bora hawezi kupata nchi.
Lisu sasa umeishiwa hoja.Unawapotezea mudahao watu,huko watu wapo busy nakutafuta naona wanashindwatukusema kuwa inatosha.Kupewa nchi wewe ni sawa na tembo ageukekuwa ngedere
Tundu Lisu saa nyingine namuelewa lakini siwezi kumpigia kura kwasababu kama kweli anaamini hakuna zuri la Magufuri kwa mimi hafai kuwa kiongozi kwasababu anaishi na chuki. Magufuri alikopa lakini alifanya mambo yalionekana. Kuhusu watu ambao walipotea au kuuwawa na walikuwa sio viongozi wa juu wa upinzani kwahiyo hakuna ushahidi kama Magufuri alihusika. Wakati wa Magufuri kulikuwa hakuna tozo,vijiji elfu 3 kama sikosei ambavyo Magufuri alivihalalisha ambavyo sasa watanzania wanafukuzwa na mama, rushwa ubadhirifu na wizi wa mali za uma ulipungua kwahiyo yapo mapungufu ya Magufuri lakini mazuri yalikuwa mengi. Kuongelea mabaya yake tu ni unafiki.
@@husseinmkanga7794 usiwe mzito kuelewa. Amiri jeshi mkuu ana mamlaka juu ya majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kwa hiyo anaweza zuwia uchunguzi usifanyike, akaruhusu ufanyike.
Umoja ni silaha na nguvu za Wananchi kushinda udhalimu kama huu unaotendwa na CCM na Serikali yake kwa Watanganyika. Mungu nyosha mkono kutuokoa ktk kulinda Rasilimali ulizotupatia.
CHADEMA ONE DAY YES! ✌
Acha Fitina ya nchi na haitakusaidia unawadanganya diaspora
Watanzania wengi hatukuenda Shule na walonda hawakupata elimu bora na waliopatavwamenyimwa uongozi ili tupigwe
Chadema one day yes I believe
Lissu amefer sana
Wazungu
Muzee.hawanarafiki.wakweri
Lissu ni mwamba wa siasa.....👍🇹🇿
Wakulima wa Tanzania tumezungukwa na magaidi
Mm mtazamo wangu lisu tatizo siyo maraisi kwenye hizi kes tatizo lipo kwa mawakili wetu wanakula hongo ndo mana kila kes tunashindwa hawa mawakili hawana uzalendo
Mama samia huyeeeeeee
Watz ni waoga sana
Wew sio muoga ,,mim nipiganie familia ya lisu ,, yy Vita ikianza ,anakwea Pipa ,,mim natesek,,hata kweny maandamano ,,hatokei anatangaz ,then anakaa anaangalia TV nyumbn kwake ,,Nan ampate ,, bora ujinga ila sio kupigania familia ya wanasiasa huo ujinga sifanyi
Umoja ni silaha na nguvu za Wananchi kushinda udhalimu kama huu unaotendwa na CCM na Serikali yake kwa Watanganyika. Mungu nyosha mkono kutuokoa ktk kulinda Rasilimali ulizotupatia.
Mungu hawezi kunyoosha mkono wake kabla sisi hatujanyoosha yetu. Tujitambue; tuache uchawa, na ubinafsi. Tutambue tunachopigania ni chetu, kwa faida yetu na vizazi vijavyo.
Kwa watu wasiojua hawawezi kukuelewa kamanda lissu
Kweli kabisa
Siasa imekushinda ndg
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
Mama hao umewapiga za uso
👍👊✌️。
Tatizo ni wa Tanzania wenyewe, watz wengi hawana elimu raisi sana kupelekeshwa haswa vijijini
Elimu ya bongo ni ya kukariri kuanzia primary hadi university ili wafaulu mitihani na ndiyo viongozi.
Ili uitwe una akili nyingi uwe na kipaji cha kukumbuka the past lakini siyo kufikiri.
Tutasugua sana hatutapata maendeleo.
Ukweli usiopingika inchi imepoteza muelekeo kwahyo mi binafsi nakuunga mikono but saiv hyo kelele yetu aijatuzaidia mpaka saiv haswa sisi Wana ngorongoro
Siku tukipata akili, wanaonufaika na ujinga wetu watapata shida sana.
Mh Lisu hoja zenu zimekataliwa ,je nyie zao mlizikubali?
Huyu nimugonjwa
Watanzania tuamke tuseme byebye kwa CCM maana tumenyonywa sana
Umeona
Maneno haya niaibu sana kwa viongozi walioko madrakani watanzania kulinganishwa na Warundi!! Tatizo la viongozi wetu hawajibu hoja wala kufikir bali wataanza kufunga mashitaka na kutaka auwawe! Yaani viongozi wanaishi maisha ya anasa alafu Watanzania wa daraja la chini hatuna uhakika hata wa mlo mmoja.Huku wakiongoja wakati wa uchaguzi wanawapa tishart za ccm na kuwanunulia pombe! Huu ni upumbavu na ukatili
0l0p❤❤❤
lugha ya kiongoz nape alioitoa ni dhahir ni ya kibaguz na inahitaj kupingwa na kupigwa vita vikal na wkt mwingine ukifatlia hoja za viongoz wengi wa ccm hazina vitamin kabisa ,ccm imechoka watuachie nchi yetu
SIO AJABU HATA MASHEHE PIA WALIFUGWA LAKINI HUKUSIMAMA KUWAOMBEA WALA HUKUSIMAMA JIKWAANI KUSEMA HAYO SIO MUISLAMU WALIKUWA SIO WAKATOLIKI
WENGI WENU HAMUELEWI KUWA MJIWE ANAUNGA MKONO USHOGAAAA WANINI KUWA KIONGOZI KWA UPANDE WA DINI YOYOTE TUWE MACHO MASHOGA KAMA TUNDU LISSU
Tena nimgojwa wakifafa
Tundu unaeleza sana punguza maelezo watu waulize maswali unapojibu lenga point
Huna jipya
Bwege siku zote huifai tz.
Mbona nyie maswali yenu hayana mlengo mnatoa maoni mnauliza maswali kama siyo wasomi bwana
Ok
Tujitàhidi kutaka katiba na tume huru ya uchaguzi,mbona kumekua.kimya.....!!
Wazungu hawana urafiki wa kweli na Africa acha kutumika! Ulitumika musoma kuwakandamiza watanzania wenzako bado unaendelea kutumiaka tu? Acha ili uaminike unafiki mmbaya sana
Kweli kabisa Bora warabu
Sasa kama ndivyo mbona mnawapa mikataba na kupokea mikopo na misaada nani wa kulaumiwa wananchi au wenye madaraka kabla ya kuandika unatakiwa utafakari vinginevyo utajichanganya nijuavyo Mimi si mzungu wala mwarabu wala mchina wala mhindi anaweza kuwa na uchungu nasi yeyote ajaye kuwekeza au kutoa msaada ni kwa faida yake na kizazi chake na taifa lake hivyo viongozi wa Africa wangefuata nyayo za Ghadaf kununganisha uchumi nakufanya biashara sisi kwa sisi halafu ndiyo tuvuke mipaka tungesogea pia tuache kugonganishwa na dini bali tumwabudu Mungu tu tuache ubinafsi ulafi ufisadi upendeleo katika kutoa ajira hasa zile za juu tusingehitaji msaada wala mikopo inayouza Uhuru wetu
Watu wenye akili kama za kwako hizi Mimi nawaitaga mbuzi😂😂
@@shamimumkindi6991😅
We endelea kusaka WAHISANI wako
Umesha uzwa na ccm
Huk o ndiko walikozaliwa watoto wako vilee hebu tukumbushe na hilo tafadhali
Ubaya upo WAPI?
Mondlane aliuwawa Mbeya Kwa Bomu la kwenye bahasha
Hata sisi. Wafanyakazi wa BOT tumekuwa mahakamani tulishinda kesi mara nyingi kesi yetu lkn hatupati haki kwa Serikali hii
FAFANUA AU SEMENI UKWELI WAELEZE WASIOYAJUA HIYO KESI YA WIZI WA FEDHA ZA UMA
Hujui chochote waulize wezi wenzio
Publiccoments
Diaspora aka Raia wa kigeni , kisheria hamna haki za kiraia ndani ya Tanzania, sasa muache kujihusisha na masuala ya mambo ya ndani ya Tanzania ni kinyume na sheria . Zungumzieni masuala ya Marekani inayowahusu
Kwahiyo muulizeni Lisu yeye akiwa Rais mkataba wa bandari umesha sainiwa na watanzania hawautaki atauvunja au ataendelea nao au atauvunja? Kwa akili hii ya Lisu kwamba yeye ndio bora hawezi kupata nchi.
Nyinyi Diaspora acheni kutiwa ujinga, Nawashangaa kuacha kufanya shughuli zenu muhimu, badala yake mmekaa na kumsikiliza huyo mwehu. Inatia aibu kabisa. Nadhani ameona kule Tz hakuna anaemuunga mkono kwa hoja zake zisizo na msingi, badala yake ameona aje awahadae nyinyi. Akili kichwani mwenu
Fanya yako ndugu hakuna aliyekulilia
Mwehu wewe aliyechezea shule
Pole usiyejijua.
Ww usiye jua ndio mwehu na fisadi mkubwa ww
Ccm sijui mliumbiwa udongo gani
Hapo yupo marekani uswazi anatafuta huruma za mashoga
Kila siku story ndio hizo hizo tu. Ushajiuwa kisiasa huna mpya chadema sio wakweli
Wakweli ni kina nani ? Tueleze…
Same BULSHIT
Jiunge na hamas na hizbullah uwangoe ccm
Acheni kupakwa mafuta nje ya chupa.
Kumbe unatetea uraia pacha kwa sababu ya wanao! Dah! Wewe ni mbinafsi sana hutufai!😂😂😂😂
Watu wenye akili kama za kwako hizi, Mimi nawaitaga mbuzi😂😂
Rudi usaidiane na mwenyekiti wako wewe
I don't think you are oñ the right path
We know he is
Lisu sasa umeishiwa hoja.Unawapotezea mudahao watu,huko watu wapo busy nakutafuta naona wanashindwatukusema kuwa inatosha.Kupewa nchi wewe ni sawa na tembo ageukekuwa ngedere
Wewe ndo hoja huna
Tengenezeni mfuko wa Ukombozi wa nchi pia muanzishe chanel mbali mbali za nyimbo za ukombozi wetu hukohuko
Tundu Lisu saa nyingine namuelewa lakini siwezi kumpigia kura kwasababu kama kweli anaamini hakuna zuri la Magufuri kwa mimi hafai kuwa kiongozi kwasababu anaishi na chuki. Magufuri alikopa lakini alifanya mambo yalionekana. Kuhusu watu ambao walipotea au kuuwawa na walikuwa sio viongozi wa juu wa upinzani kwahiyo hakuna ushahidi kama Magufuri alihusika. Wakati wa Magufuri kulikuwa hakuna tozo,vijiji elfu 3 kama sikosei ambavyo Magufuri alivihalalisha ambavyo sasa watanzania wanafukuzwa na mama, rushwa ubadhirifu na wizi wa mali za uma ulipungua kwahiyo yapo mapungufu ya Magufuri lakini mazuri yalikuwa mengi. Kuongelea mabaya yake tu ni unafiki.
Weye tundu lisu nikibaraka watanzania tushakielewa weye panua tu hilo tomomo lako huko kwa hao waajiri wako
Kama alikuwa hahusiki kwanini hakuruhusu uchunguzi ufanyike?
@@charleslukumai7875 Uchunguzi kufanyika ni kazi polisi sio Rais. Na hakuna anae jua kama walifanya Uchunguzi au hawajafanya.
@@husseinmkanga7794 usiwe mzito kuelewa. Amiri jeshi mkuu ana mamlaka juu ya majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kwa hiyo anaweza zuwia uchunguzi usifanyike, akaruhusu ufanyike.
@@hassandaisa7157 acha ale hela zake ambazo ni kodi zetu....acha sisi tuliowengi tuteseke Mungu atatuona siku isio na jina😢😢
Aje Tanzania .Siasa za ulaya !!!!!!.Amekwenda kutuuza huko.Sasa atauza ukoo wake siyo sisi wtz
Wewe umechangaywikiwa, tundu Lissu oye, nguvu ya wanaanchi
Jinga wewe
Elimu ndogo ina shida sana
Bora warabu
Kama ninyilivyouza bandari wehu ninyi.