Tumsifu Yesu Kristo.Naitwa Livinus Emmanuel.Nimefurahi Sana kumuona baba Askofu Severin Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge Ngara.Alinipa kipaimara mwaka 1997 huko parokia ya Rwambaizi Karagwe kipindi hicho parokia hiyo ikiwa chini ya Jimbo la Rulenge kabla ya jimbo la kayanga.Mungu akulinde baba.
Huyu Baba Askofu mstaafu Niwemugizi ana wito hakika. Kwasababu alijitoa muhanga kwaajili ya watu kipindi kigumu mno,na hili lilimuweka pagumu lakini hakurudi nyuma, ukafika wakati uovu ukapungua nguvu na kusalimu amri kwa Mtumishi huyu na kurudishiwa pasport yake. Ana hesabu ya kutoa mbele za Mungu aliyempa jukumu hili, Mungu amjaalieaisha marefu yenye afya,furaha,na Amani tele Amen.