Every time I listen to these sons natoa machozi kwa sababu ni nyimbo nimesikia katika utotoni wananikumbusha mbali na they inspire me to love more deep God
Hakika siku hiyo ipo kwa wateule wake,tutawaona wapendwa wetu wote waliotutangulia huko kwa mda mrefu,mbarikiwe watunzi wa wimbo huu wenye nguvu za upako 'amiina'
Ooooh my God I can't stop bless up you because you never changed the word & nature of Lord Continue to be as you are , we shall meet I love you so much
Gone are the days when family and other neighbours we use to gather and listen to these songs.. without making noises...... R.I.P my parents.
Whenever i listen this song i exactly remember Lukore camp.God bless all people who was in refugees camp in Tanzania
Hello
Every time I listen to these sons natoa machozi kwa sababu ni nyimbo nimesikia katika utotoni wananikumbusha mbali na they inspire me to love more deep God
My lovely choir,since nko mtoto till now na barikiwa na nyimbo za hii choir,may God bless you,Jack from Congo/Goma
ukonukuli gutomoye tuzobonana na bakunzi bachu amen
Kitambo sana!....kweli tutawaona wapenzi wetu siku moja.
vinaonekana kweri.munnaongozwa.naroho mumeimba nyimbo zakiroho mubarikiwe watumishi wabwana
Amena, amena. Siku moja tutapumzika. Mbarikiwe sana.
Zinagusa sana nyimbo hizi, Biblia iko hapa.
Mungu wabariki watumishi wako hawa popote walipo Amen!
Hakika siku hiyo ipo kwa wateule wake,tutawaona wapendwa wetu wote waliotutangulia huko kwa mda mrefu,mbarikiwe watunzi wa wimbo huu wenye nguvu za upako 'amiina'
Waimbaji Hawa waliimba vizuri nazipenda Sana nyimbozao Toka mdogo
Zamani ndo nyimbo
My first album in my first few months of salvation........
Very good song
Kabisa. Tutaiacha dunia hii na shida zake zote
Ooooh my God I can't stop bless up you because you never changed the word & nature of Lord
Continue to be as you are , we shall meet I love you so much
Dunia hii yashida kweri,!!
I remember back in the days when gospel artists worship God in a way of spiritual. God bless my Malamsha family and Kwa viumbe vyote Choir!
Wapendua Mungu awabariki saaaana tena sana
kwa viumbe vyote mbona sione nyombo za kirundi
mungu awabariki kwakutumiya kipaji ,vizuri
.
Mbarikiwe sanaaa wapendwa
God bless you for spiritual songs
2023 Bado huu wimbo una nguvu ya Ajabu.
Barbara 13 July mungu awabariki sana songeni mbele
2020 bado inasisimua
Ina ujumbe mhimu sana
Oh Hallelua! Very nice song.
Nimebarikiwa sana na wimbo huu
Nani anasikiza 2019 kama mimi?
i guess it is kinda off topic but do anybody know of a good website to watch new series online ?
@Gunnar Lyle I would suggest Flixzone. You can find it on google :)
Wimbo wangu wa Maisha
Still enjoying this song
dunia ii ya shida kweli luv their music
good song
Kalekye Ann
I can't get enough of this song.. ninaupenda Sana
Ni kweli tutaruka ruka kule karibu n'a Baba yetu tukishirikiana n'a ndugu zetu waliotutangulia. Nyimbo nzuri kabisa.
Nyimbo zinanigusa sana
,,Very Powerful Song,s!!
nice song!! I like it
Nina yupo 2024
Nko hapa nipitie mpendwa
Jamani nabarikiwa saaaana!
Paulina January
Munguawabariki
Dunia hii....
Nice song!!!!
hizi nyimbo za niguza sana.
Yaan acha kabisa winnie
Hallelujah 🎉
hizi nyimbo nazipenda sana
Nyimbo haziishi radha we acha tu
na miye kbs Mungu ababaliki
Dhuuu zamani sana
Mungu mwema
I want to know your address I am blessed by your songs
Nitamuona na mamaangu🙏🙏🙏🤔🤔
Zaman ndo nyimbo
Penda sana huu wimbo
be blessed my choir
very spiritual
Nakumbuka mbali sanaaa
This songs are sweet but the problem is that one can't download them
Na ww umeona eee unatamani utembee Nazo na kuzisikiliza mda wote lkn...
Kitambo sana Niko katavi enzi hizo now npo Paris nawapenda sana waimbaji hawa
am blessed
nice song be blessed
Asanteni xana kwaujumbewenu
I absolutely adore this choir
Recois L' Adoration
mimi nipo 2020/03
Kipindi hicho niko katavi kitambo sana kwa sasa niko paris bado nazipenda sana hivi hawa watu wako wapi natamani siku moja nimuone japo mmoja wao
Ameni
Nitawaona dada zangu walotangulia mbleya haki
Na mimi pia ntamuona dada angu alitangulia mbele za haki
Where are these people please ?
Amina amina amina
Good song of Hope.
Muravani Mabibo kwaya
Tunaomba Mtuwekee Na Ile TWASOMA MWEZI WA SITA !
Napendanyimbohiizo
Hakika iPod siku,tutayasahau Hotel haya
just heard this song somewhere
Does this choir still exist??
Sure tuzobabona
2021 nice song
The old version was better..
Waooooo
hizi nyimbo nazipenda sana