Funga ya kweli siyo kukimbia majaribu...kuzuia watu uhuru wa mavazi au chakula kisa unafunga haina maana yoyote, hapo ni sawa na kujificha adui asikuone halafu unajidai umeshinda....
Kila siku nasema hii Dunia ingekuwa ipo chini ya Dola ya Waarabu,kama ilivyo na nguvu marekani sasa hivi hizi ndizo zingekuwa sheria wote wakati wa mfungo munatakiwa kufunga au kutokula mpaka jioni.
Huna adabu wewe , hiyo fungua ya kweli wewe ulipigiwa simu mkosefu wa adabu bila shaka babako na mamako hawajakufunza adabu , iweje usiheshimu Mila na desturi za wengine
Hahaha kama unaona yanakushinda don't put your feet zanzibar toka enzi zanzibar sheria hazikubadilika ukitaka heshimu huwezi usikisogee kisiwa that's it hakuna aloitwa kila nchi ina sheria zake kama mtu unahisi ngumu usiende tu hadithi kwisha sisi wazanzibari tunaheshimu dini yetu anoona hawezi kuheshimu kwakweli hatujamwita apumzike atuachie tuloridhia na tulohishimu
Wakristo walikuwepo tangu zamani tu,UISLAMU ULIKUJA UKAIKUTA ZANZIBAR,ILA NA UKRISTO NAO ULIKUJA UKAIKUTA ZANZIBAR,ila wengi wakipokea imani hiyo ya Kiislamu kuriko Ukristo.
@@jamesponeca8912 juu ya suala hili sibishani na mtu ambae sio Mzanzibar maana ataniumiza kichwa2 sababu huijui historia ya Zanzibar.. wazanzibar ndio wanao jua historia yao.. kiufupi2 sijawah kuona mzanzibar kuwa mkuu wa kanisa Kwa maana ya padri au askofu nadhan ushapata jibu
Hivi mlishawahi kukatazwa wakristo mlokuepo Zanzibar kwamba msiende makanisani kuabudu ibada zenu? Mbn mnapenda mambo ya choko choko na fitna kila sehemu Kuna taratibuu za kimaisha Sawa Bob.
Kufunga ni Imani Kwa Mungu unae mqamini,sio agizo la MwanadamuKUFUNGA KWA IMANI WALE KWA KUJIFICHA AU HADAHARANI,KAMA UMEFUNGA KWA KUMTII MUNGU HUEZI YUMBA ,ila kama umefunga kwa maagizo ya Mwanadamu ukifunga harafu ukakutana na na mtu anakula lazima ikupe shida,WENGI TUNAFUNGA KAMA DESTURI hatufungi Kwa mtazamo wa Ki Mungu.
Mashalla tena serikali iendelee hivyo nataka dunia nzima iwe hivyo
This mindset is so stupid
Zanzibar Asilimia 100% ni waislam, wasiokuwa waislam wamekuja tu kibiashara, kitalii, ziara na n.k.
Zanzibar wote Islamic ao watanganyik nd wanatujengea makanisa tuu
Mbona kawaida tu na hii ipo toka zamani hanao liona la ajabu maybe wameingia juzi apa visiwani Zanzibar 👇👇👇
ruclips.net/video/nN5nO8QElXI/видео.html
Sheria ya kipumbavu sana hii
Wewe mwenyewe ni mpumbavu sana tu
Hii Sheria ni ya kipuuzi sana
Funga ya kweli siyo kukimbia majaribu...kuzuia watu uhuru wa mavazi au chakula kisa unafunga haina maana yoyote, hapo ni sawa na kujificha adui asikuone halafu unajidai umeshinda....
Wewe si ni kafirii lazima uwe na chuki na sheria hiii...
Nendeni kwenu hukooo... huku ni zanzibar tuna sheria zetu
wee kafiri nyamaza, Zanzibar haikuhusu
Kila siku nasema hii Dunia ingekuwa ipo chini ya Dola ya Waarabu,kama ilivyo na nguvu marekani sasa hivi hizi ndizo zingekuwa sheria wote wakati wa mfungo munatakiwa kufunga au kutokula mpaka jioni.
Huna adabu wewe , hiyo fungua ya kweli wewe ulipigiwa simu mkosefu wa adabu bila shaka babako na mamako hawajakufunza adabu , iweje usiheshimu Mila na desturi za wengine
Hahaha kama unaona yanakushinda don't put your feet zanzibar toka enzi zanzibar sheria hazikubadilika ukitaka heshimu huwezi usikisogee kisiwa that's it hakuna aloitwa kila nchi ina sheria zake kama mtu unahisi ngumu usiende tu hadithi kwisha sisi wazanzibari tunaheshimu dini yetu anoona hawezi kuheshimu kwakweli hatujamwita apumzike atuachie tuloridhia na tulohishimu
Nikweli Zanzibar asilimia 💯 ni waislam. wakristo ni wakuja tu kutoka maeneo ya nje ya visiwa vya Zanzibar
Wakristo walikuwepo tangu zamani tu,UISLAMU ULIKUJA UKAIKUTA ZANZIBAR,ILA NA UKRISTO NAO ULIKUJA UKAIKUTA ZANZIBAR,ila wengi wakipokea imani hiyo ya Kiislamu kuriko Ukristo.
@@jamesponeca8912 juu ya suala hili sibishani na mtu ambae sio Mzanzibar maana ataniumiza kichwa2 sababu huijui historia ya Zanzibar.. wazanzibar ndio wanao jua historia yao.. kiufupi2 sijawah kuona mzanzibar kuwa mkuu wa kanisa Kwa maana ya padri au askofu nadhan ushapata jibu
@@jamesponeca8912 wee kafiri nyamaza, Zanzibar haikuhusu
kumbe ni agizo kutoka serikalin. hakuna uhuru wa kiimani Zanzibar
Hivi mlishawahi kukatazwa wakristo mlokuepo Zanzibar kwamba msiende makanisani kuabudu ibada zenu? Mbn mnapenda mambo ya choko choko na fitna kila sehemu Kuna taratibuu za kimaisha Sawa Bob.
Kufunga ni Imani Kwa Mungu unae mqamini,sio agizo la MwanadamuKUFUNGA KWA IMANI WALE KWA KUJIFICHA AU HADAHARANI,KAMA UMEFUNGA KWA KUMTII MUNGU HUEZI YUMBA ,ila kama umefunga kwa maagizo ya Mwanadamu ukifunga harafu ukakutana na na mtu anakula lazima ikupe shida,WENGI TUNAFUNGA KAMA DESTURI hatufungi Kwa mtazamo wa Ki Mungu.
point kubwa mno. awa jamaa vilaza kwel.