This man is sharing his wife Rosecoco with his biological Dad😭His Dad has a son already with son wif

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025

Комментарии • 323

  • @MaggyGesare
    @MaggyGesare 21 день назад +20

    Mungu tusamehe yani mtu hanatoa wapi nguvu za kulala na baba mkwe😢😢😢

  • @annmwaura4426
    @annmwaura4426 21 день назад +37

    Wenye huwa wanasema sijui ogopa kikuyu women, sijui nini, ni venye loyalty tests hasijafika kwenu... cheating is a person's character, not subjected to a certain tribe

  • @MeryNdegwa
    @MeryNdegwa 21 день назад +14

    Weuh . This man. What a humble guy surely. Young Man . May God give you strength ya kuvumilia hii takataka ya mwanamuke. Jesus Christ 🙆🙆🙆

    • @pharoah-ahmose6075
      @pharoah-ahmose6075 21 день назад

      Ningechapa yeye na mzee pamoja😂😂

    • @MeryNdegwa
      @MeryNdegwa 21 день назад

      @pharoah-ahmose6075 father in-law hadi mtu Azar na yeye. Sharing one rose coco na your own dad. 🤔🤔

    • @pharoah-ahmose6075
      @pharoah-ahmose6075 21 день назад

      @MeryNdegwa I'll ask for my share of land, sell it and the so called dad will NEVER see me again. This is the worst case of betrayal

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni 11 дней назад +2

    Waah 😮mmeingia shimo moja na baba yako?😢dunia kwisha ata amezaa na mzazi wako?😳

  • @janeotiso552
    @janeotiso552 22 дня назад +16

    David seniour, God has chosen you to deal with mambo ya usherati na wachawi,
    Period.
    But be extrra careful...

    • @Abigael-jd8dy
      @Abigael-jd8dy 21 день назад

      Dio maana alicheat 😂😂😂

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 21 день назад +13

    Huyu msichana hapendi huyu boychild,the body language from the beginning speaks volume,anapendwa lakini hapendani😂

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 21 день назад

      Umeonae,,, nilitaka mwingine aseme kabla yangu, Asanteni,,,,,,walioleka wanavaa hivi, na wale Bado wavaa aje Sasa

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 21 день назад +7

    Kijana mpole .God bless you.

  • @IHAJOLA
    @IHAJOLA 16 дней назад +1

    Kwani mamake kijana AKo wapi

  • @JosephineNyai-jl6fc
    @JosephineNyai-jl6fc 22 дня назад +32

    Dave please wasana na mambo mini huko this is the time you have to leave and go back to Nairobi with Fred

    • @Eeer-v4s
      @Eeer-v4s 22 дня назад +9

      Dave ako on the way to Nairobi,hii n kitu ilifanyika maybe 2 days ago or even 3

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 22 дня назад +6

      shida yako ni nini wew kwan

    • @LucyNjoro-e1v
      @LucyNjoro-e1v 22 дня назад +2

      Wacha boychild waokolewe, hii lazima mungu aanike wachawi wote na washerati🙌wamejificha sana in the altar of God🙌🙏 kube wenye ndoa ndio washerati wakubwa

    • @carolinemwenze8831
      @carolinemwenze8831 22 дня назад +3

      Kama hii ndio akili ulivuka.mwaka nayo uko na shida sana😂

    • @akinyixtina9047
      @akinyixtina9047 21 день назад

      😂😂😂😂​@@carolinemwenze8831

  • @CarenBii-tz6sn
    @CarenBii-tz6sn 21 день назад +6

    Dunia imeisha unalala aje na baba wa mzee wako😢😢😢😢😢😢😢

  • @Anithangabire
    @Anithangabire 21 день назад +4

    Weeuhhh baba mzazi kakurana na mtoto wake 😢😢😢😢😢😢😢 my God dunia imefika mwisho kbsaaaa

  • @terrywanjamugo6801
    @terrywanjamugo6801 21 день назад +6

    Watu wa migori mko wapi,kujeni muone vituko za father in law 😢😢😢😢

  • @AlexWambua-yp2eo
    @AlexWambua-yp2eo 21 день назад +3

    Yaani mtu anakulwa na baba ya bwana yake???its end time manze

  • @jerryrolins
    @jerryrolins 20 дней назад +2

    mpee hung acha mchezo🤣🤣🤣🤣piga iyo pichaa piga iyo pichaaa then mwisho ni kulia🤣🤣🤣kuoa sio lazima

  • @AffectionateBread-pc1zt
    @AffectionateBread-pc1zt 21 день назад +4

    Kiburi mingi mingi na this guy is already heartbroken 😢💔

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 21 день назад +2

    mbwa afadali shukuru mungu bro mshoye wange kuua

  • @Moha-w9t
    @Moha-w9t 21 день назад +6

    Niko sure hako kadress ni mzaee ndio alinunua🤔

  • @florencekyalo4137
    @florencekyalo4137 21 день назад +4

    Betrayal is real, na hiko everywhere. Si relatives si friends.

  • @LucyNjoro-e1v
    @LucyNjoro-e1v 22 дня назад +14

    Mungu ameamua hii mwaka ni kuanika wachawi na washerati, kube wanakuanga kwa ndoa😢huku single mom hawapumui juu yao wanachukuliwa Bwana 🙄wachawi na washerati mmejificha kanisani na kwa ndoa, Mungu atawaanika 1 by1🙌

  • @SaidinaSaidi-v5q
    @SaidinaSaidi-v5q 21 день назад +4

    😂😂😂 devi wanaume tutafute pesa mapenzi baadae.huyo madam jeuri halafu malaya

  • @ishyjuma2246
    @ishyjuma2246 21 день назад +2

    Ghai, mara kaka analala na dada, mara baba analala namtoto wake, mara baba analala na bibi wa mtoto wake,.. Dunia imeisha

  • @alexsaidi3940
    @alexsaidi3940 21 день назад +1

    UYu SASA apa tane na Mama mkwee on set

  • @CateKiminja
    @CateKiminja 21 день назад +4

    Dave saa ingine kuanga serous unajua huko ni wapi na wewe unasema umetoka muranga😢

  • @loyalgi9326
    @loyalgi9326 21 день назад +3

    Mungu tetea vijana wetu

  • @NagelleBoranamedia
    @NagelleBoranamedia 21 день назад +1

    Huyu ni malaya kabisa hata ungemchoma tu mara moja na watu😅😅

  • @leahwanjiku3566
    @leahwanjiku3566 21 день назад +2

    Yani dem hua..mnaingizwa box aje na baba mkwe...na uko bdo na kijana wake ama ni dooh...ju na jaribu ku imagine 😮

  • @selterkalume8911
    @selterkalume8911 21 день назад +1

    Taamaaaaa hiyo waaaaa baba naye hana akili 😂😂😂

  • @danielmosiria5063
    @danielmosiria5063 21 день назад +1

    Kama mko na, Fred hapo mm sina wasi 🙏💪💪💪 Clean the streeth , Mr, S, Dave , The God's sender🔥🔥🔥

  • @Vee_5ji
    @Vee_5ji 21 день назад +1

    Hili Jina Jayde,,,,,,, linatamba but those kids are blessing ❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏😇😇😇😇😇😇

  • @roygitau
    @roygitau 21 день назад +4

    Bro ulisema ati babako alikwambia usiache huyo at the first sight

  • @mercykagwiria8109
    @mercykagwiria8109 21 день назад +2

    Ujafanya vizuri Dave. Unafaa uvae viatu vya huyo jamaa jamaa na umutie nguvu

  • @NancySammy-b7k
    @NancySammy-b7k 21 день назад +1

    Huyu dame ako na madharau Sana lkn mungu yuko

  • @CarolineSpari
    @CarolineSpari 21 день назад +1

    😂😂😂😂haki wewe dave..hati anaweza toa Mia tano nisi expose

  • @iremwa776
    @iremwa776 18 дней назад

    Wamesikia 10k wakakubali, wakatulia😅😅 more is 🔥

  • @ndichuwanjiru4856
    @ndichuwanjiru4856 21 день назад +5

    Dave aki ulienda kusanitize migori

    • @marymwaura-iw7vn
      @marymwaura-iw7vn 21 день назад +1

      😂😂😂😂😂huyu haoni kitu kubwa

  • @mercykagure7439
    @mercykagure7439 21 день назад +2

    Ngai mwathani .. Jesus is lord

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 21 день назад +2

    Sasa wa kikuyu wame fanya nini? Ume saidiwa unaleteya mdomo dave kuenda

  • @ElkanahMogaka
    @ElkanahMogaka 21 день назад +1

    The guilty are always afraid

  • @franciskimemia621
    @franciskimemia621 20 дней назад +1

    Weuh 🙆🥺 yaani is it end of time ama😢 how can you smash with father in law 😢😢 surely this is too much bana

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 21 день назад +2

    Huyu jamaaa ni straight forward man ungu akubariki uzidi kuwa mwaminifu kwa ndoa

  • @Loice-m4s
    @Loice-m4s 21 день назад +2

    Dave umeamua ,aki inauma lakin ati baba😢😢

  • @nzanzex7831
    @nzanzex7831 21 день назад +1

    Tuko mwishoni Eeeeh mungu baba tunakuitaji zaidi.

  • @victoriawayua4514
    @victoriawayua4514 21 день назад +5

    Mara ya kwanza jamaa haki na hasira anafikiria unataka bibi yake😂😂😂

  • @vincentwambua7907
    @vincentwambua7907 22 дня назад +9

    When you here a hippo saying that the crocodile 🐊 is sick and he's drowning you must believe since they both live under the water....😅😅😅

  • @WinnieMutua-o2d
    @WinnieMutua-o2d 21 день назад

    Senior your Godsend to save people lives ❤

  • @ChuiMacharia-iy6og
    @ChuiMacharia-iy6og 21 день назад +2

    Ako na kiburi bring that dad on set, aone moto

  • @Muhammed-sj5yx
    @Muhammed-sj5yx 21 день назад +2

    Dave joob good endelea kuwafumbua watu

  • @Moruridorine
    @Moruridorine 21 день назад +3

    Soma haraka na wewe 😂😂😂mtu anaeza kunyanganya simu b4 usome

  • @ayubkamau5130
    @ayubkamau5130 21 день назад +1

    😂,iti kupiga kula,nomaaa,safisha hao

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 21 день назад

    Dave we2 back in action more love our dear .. Mungu awe nanyi kwa kazi njema mnayo fanya .... Kwanza kuokoa mama ya Officer fred salute all the way from 001

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 21 день назад

    Citizen tv,Senior Dave tv😂😂😂ile uongo ikona Dave achatu.

  • @AlexLuviti
    @AlexLuviti 21 день назад +2

    Dave wacha kuniahekesha ati ungekuwa umemrusha kwa maji😅😂😅😂😂😂

  • @JosephineMueni-v4y
    @JosephineMueni-v4y 21 день назад +1

    Si bure ata nguo inasema

  • @mercytarus7922
    @mercytarus7922 21 день назад +2

    Kafubii anafanya Mambo migori...😂😂😂😂😂

  • @AliceKwamboka-n6e
    @AliceKwamboka-n6e 21 день назад +1

    Kugongewa round hii ni right, left, back, front and center woiii dunia simama Mimi nishuke please naskia kususu

  • @Jemimah-qm2hs
    @Jemimah-qm2hs 21 день назад +1

    Wewe mama umelaniwa..kuona uchi ya baba mkwe??muone

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 21 день назад +1

    mwanaume amekonda analeya kimbe wanakula na babake were na myoto sliowa na Baba akamzalisha weee

  • @PhiliceIsutse
    @PhiliceIsutse 21 день назад +5

    Anakudharau juu backup ni strong😂Sorry bro.

  • @winniemayoyo5974
    @winniemayoyo5974 20 дней назад +2

    Wuee after God fear women,,ata mm najiogopa

  • @jacintamumbi-c6v
    @jacintamumbi-c6v 21 день назад +2

    Ngai 🤔 inaonekana tuko mwisho wa dunia

  • @CharityChao
    @CharityChao 21 день назад +1

    Huyo kijana hana maisha bake atamuuwa ju hio inaendelea n uchawi

  • @daisynduleve
    @daisynduleve 21 день назад +1

    Akikaa kwenu ataaribia mamako boma huyo ni sheteni

  • @felistasgitau-nb4zg
    @felistasgitau-nb4zg 21 день назад +2

    Wui boy child still calling her Babie after kujua hiyo yote
    I pity this young man. So sad

  • @joycenyanchama6003
    @joycenyanchama6003 21 день назад +1

    😮😮😮😮😮 Dunia simama nishuke Mimi

  • @JamesKioko-nx9ih
    @JamesKioko-nx9ih 21 день назад +1

    Wanawake wanatubebaga wana, xaxa mlikuw university nyinyi wawili mwanaume ako job dem kazi yake ni umalaya na out of that ananyamazia mtu ju y pesa, kasia kau

  • @daisynduleve
    @daisynduleve 21 день назад +1

    Akienda piano kwao atafanya hivyo

  • @JosephGitonga-b5z
    @JosephGitonga-b5z 20 дней назад

    God bless you bro ku shaidia wanaume

  • @Wambowamajuu
    @Wambowamajuu 21 день назад

    May God forgive my eye juu what's i see njamaaa 😮 😅😅😅😅😅

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 21 день назад +1

    😂😂Dave sanitisation na crocks😂😂

  • @JamesNgala-g3c
    @JamesNgala-g3c 21 день назад +4

    Wanaume pia ninyi mfundishe wanawake zenu kuvaa mavazi ya heshima, mavazi kama haya ni ya kumkaribisha shetani wa ngono kwa mkeo.

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 21 день назад +1

    Kijana Baba yako ndiyo mwenye makosa. Lakini pole😢

  • @consolatanechesa3004
    @consolatanechesa3004 21 день назад

    It's necessary raila kuweli owada😂😂😂😂😂😂😂

  • @roygitau
    @roygitau 21 день назад +1

    Yaani mtoto wako ni brother yako?

  • @ReginaMundia
    @ReginaMundia 21 день назад +1

    Siku hizi wasichana wamekuwa kama ubwa, mwanamke analalanga na father in law, hata huyo baba yako hana Adabu

  • @wasongachaplain3800
    @wasongachaplain3800 21 день назад +1

    Mungu tusaidie sisi wanaume.... dad in laws pia wa style up

    • @florencekyalo4137
      @florencekyalo4137 21 день назад

      Mimi wazazi wanashida gani seriously! Hizi ni gani father in-law anafanya

    • @Sharin-e5f
      @Sharin-e5f 21 день назад

      Wanaume hawapitwi Na skirt,ukicheza wanapita naww wanawake ndio wanafaa kujitetea

  • @RAZIZATUTI
    @RAZIZATUTI 21 день назад

    God have mercy on us 🙏🏼

  • @maryngatia2362
    @maryngatia2362 21 день назад +1

    Mrembo uko na kaburii😂😂

  • @CharityChao
    @CharityChao 21 день назад

    Jamani huko wanaume n waminifu lkn Wana wake n wasaliti.Mungu rehemu wa mama n viumbe thaifu

  • @Lilian-j6x
    @Lilian-j6x 21 день назад

    Mungu bariki huyu kijana mpole jamani baba mkwe wooii

  • @gabrielowino7355
    @gabrielowino7355 21 день назад +1

    Huyo ni mungu wa muranga amekuja kukusaidia na unataka kupiga mungu..haki ujinga ya migori.

  • @RaydamaczBratislava
    @RaydamaczBratislava 21 день назад +1

    Huyo msichana si angepatana na hasira ya mkisii wajipishane na hio rudeness ataregret

  • @BeckyMaranga
    @BeckyMaranga 21 день назад +2

    Dave utaundwa

  • @Moha-w9t
    @Moha-w9t 21 день назад +3

    Hii story afikishiwe bibi ya mzaee haka kamalaya kafukuzwe kimrambe

    • @christine4072
      @christine4072 21 день назад +1

      Ubaya devi hafuatangi saana, hii kitu inapaswa kufikishiwa relatives

    • @Moha-w9t
      @Moha-w9t 21 день назад

      @christine4072 kesi ikiwa kubwa ndio anaifuatilia

    • @ElkanahMogaka
      @ElkanahMogaka 21 день назад

      Kijana amesema mathake alifarikingi

    • @Moha-w9t
      @Moha-w9t 21 день назад

      @@ElkanahMogaka 😩may she rest in peace

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK 21 день назад +3

    Upcoming RUclipsrs let's gather here nipitieni guy's tugrow pamoja zote haki

  • @steveogembo9777
    @steveogembo9777 20 дней назад

    Kwawewe Dave huu wimbo tangu ukiwa na ñduthi huwezi acha

  • @iremwa776
    @iremwa776 18 дней назад

    Kwanini wewe senior umepeana simu😮🤷

  • @BeckyMaranga
    @BeckyMaranga 22 дня назад +3

    Dave kweli ulisema unatoka mapema best eeee Bado? Akina akoth na atieno watakutero

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 21 день назад

    Hata akienda kwa waarabu na ndio hujifanya holy mtashangaa sana wakisanitaiziwa

  • @IreneWasike-pn4mx
    @IreneWasike-pn4mx 21 день назад

    Hyu dave ako na wanaa sana

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 21 день назад +1

    Lkn watu baba mkwe au mama mkwe unamtokea suruali aje surely hii ni pepo kubwa

  • @Mary-c7x
    @Mary-c7x 21 день назад +1

    Tuletee dad in law😂😂😂😂😂

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 21 день назад

    This girl ata hana heshima hata kidogo. These Short girls........,,

  • @shalomkind4575
    @shalomkind4575 21 день назад +3

    Okokeni deeply Ile hadi unaskia sauti ya MUNGU

  • @FaithCheps-qi9ww
    @FaithCheps-qi9ww 21 день назад +1

    Dave naye sometimes anapendanga tuu vita kila kona

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 21 день назад

    Aki Dave huogopi?

  • @agnesmuriungi3996
    @agnesmuriungi3996 21 день назад

    Dave , hata dem atatoka akiwa handsome kweli???

  • @slenaaass
    @slenaaass 21 день назад +5

    Kumekucha kwli, mambo nimengi na muda ni mchache😮😮😮😮

  • @DivinaDivina-j4r
    @DivinaDivina-j4r 21 день назад +1

    iyo Kenya mungu tu

  • @MuchiriAgnes
    @MuchiriAgnes 21 день назад

    Sasa imekuwa under citizen TV 😂😂😂😂wanimaliza hata kama jacom ni mkali,endelea kusafisha ndoa

  • @DOLPHINENYAKUNDI-u2f
    @DOLPHINENYAKUNDI-u2f 10 дней назад

    Father in-law 😢 walai dunia yaisha....