AC ya Gari/Ni kweli AC inakula mafuta ya gari yako

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 окт 2024
  • #MezaHuru

Комментарии • 17

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 Год назад

    Huyu fundi si mwelewi.Unapongeza mzigo kwenye injini consumption ya mafuta inakuwaje ni ile ile?ITV hamjaleta mekaniks wa kweli.

  • @mswaki_newstz
    @mswaki_newstz 4 месяца назад

    Mzungu alivyopiga mahesabu yake kua gari itaenda 1liter kwa 10km alishajumlisha yote hayo ni kuhangaika tu ,,hata kama itakula mafuta mfano co kama vile watu wanavyochukulia

  • @nicholousmukono7244
    @nicholousmukono7244 2 года назад +3

    Fundi unapungua sana ktk ufaham juu ya AC ya gari; gari halitumii tu umeme, kumbuka compressor ina magnetor ambayo husabanisha uzito wa mzunguko wa engine (inabeba), ndiyo maana kuna magari mengine yana engine ya pembeni kwaajiri ya matumizi ya AC 😜

    • @Kadangaa4896
      @Kadangaa4896 2 года назад

      Hata nimi nimemshangaa Sana huyu fundi anasahau kwamba magnetor ambayo huongeza uzito kwenye mzunguko wa engine, sijui umeme upi unazungusha compressor?

  • @hudsson75
    @hudsson75 2 года назад +1

    Huyu jamaa ni fundi wa A/C wa mwembeni, na si mtaalamu wa A/C. Kwanza A/C compressor ya gari inaendeshwa na engine ya gari na si umeme. Engine na compressor vinaunganishwa na belt japo compressor na belt vinakuwa vimetenganishwa na clutch ya umeme iliyo ndani, na unapowasha A/C ndio unakuwa umeunganisha clutch na ndio ac inafanya kazi. Kuhusu ulaji wa mafuta ni kweli ukiwasha ac ulaji wa mafuta unaongezeka coz ukiwasha ac unakuwa umeiongezea mzigo engine na hivyo ulaji wa mafuta unaongezeka. Mambo mengi kapuyanga.

  • @ernestanthony5673
    @ernestanthony5673 2 года назад

    Kama haiongezi matumizi ya mafuta, mbona ukiwasha AC mlio wa ingini unabadilika kama vile umeongeza mzigo?

  • @vonlettowmwashinani554
    @vonlettowmwashinani554 Год назад

    Hapa kwa fundi hapajakaa sawa kidogo 🚶🚶🚶

  • @langatjosphat3530
    @langatjosphat3530 3 года назад

    Continuu..that was educative even though your swahili is atimes diffucult to comprehend

  • @jimmymakwega3872
    @jimmymakwega3872 2 года назад

    Kuna uhusiano fundi, kumbuka ukiwasha ac na compressor iki-engage utasikia mlio wa engine unabadilika, why? Kwasababu you have just loaded that engine.....watu wanachokosea ni kwamba kabla hujaanza kutumia ac, kwanza kabisa engine yako inatakiwa iwe kwenye condition nzuri I mean healthy engine. Engine inatakiwa iwe na afya nzuri, vitu kama oil change, tune-up, air cleaner you don't consider....hilo gari litakula mafuta kama mlevi...hivyo kuna uhusiano kati ya ac na engine kula mafuta

  • @andrewmziray2233
    @andrewmziray2233 2 года назад +1

    Huyu fundi sijamuelewa kabisa

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 3 года назад +4

    Huyo mama yuko sawa kabisa! aircondition haisababishi consumption kupanda!

    • @duplex4367
      @duplex4367 3 года назад

      Sio kweri kuna tofauti kati ya consumption ukiwasha ac na ikiwa ac ipo off lakini tofauti iko ukiwasha ac km gari iko parking haitembei coz ukiwasha ac gari inajipandisha silencer ikipanda silencer maana yake mafuta yanaenda zaidi kuliko ikiwa normal so kiufupi consumption inatofauti ila ni mdogo sn huyo fundi sijui wamemtoa wapi hawezi hata kujielezea

    • @mswaki_newstz
      @mswaki_newstz 4 месяца назад

      Ni kuhangaika tu ,,hakuna lolote watu wanalishana mentality za kipumbavu,,,ulaji mm naona ni ule ule tu

    • @mswaki_newstz
      @mswaki_newstz 4 месяца назад

      ​@@duplex4367hakuna lolote kaka ni mahangaiko tu,,,,mahesabu yashapigwa mfano gari itaenda 1liter kwa 11km hayo yote yashajimuishwa acheni kuhangaika wabongo😂😂😂😂😂

  • @frankmushi4846
    @frankmushi4846 3 года назад

    Jaribu kumpa nafasi fundi zaid kuelezea coz tunaitaj ufafanunuz wakitaalam zaid....
    Madam anaelezea km sis tunavyojua mtaan....

    • @duplex4367
      @duplex4367 3 года назад

      Huyo madam anaelezea kiusahihi kuliko fundi hamna sehemu wameandika ukiwasha gari isubili dakika 5

  • @eliaskhamis1546
    @eliaskhamis1546 3 года назад

    Hii noma