Any unauthorized upload or distribution of this product is punishable under the Laws of Kenya and relevant online regulations. Licensed for use by Kigame Music Academy.
With my two eyes I haven't been able to learn what Reuben has did and never seen. He talks like he's seen them before. God is wonderful. Whose blind now between me and Kigame??? God help me regain my eyesight nione ile Kigame anaona.
Super lesson, I now understand more about sharp and flats........I wish mwalimu ungekuwa Arusha, we need someone like you here, why don't you open new class hapa!? mm nitakupa class room.
Jicho huona yanayo onekana but kumbe ufaham nao huona zaid ya hayo tuyaonayo. Mm najifunza piano ninamoacho but najidanganya kwamba macho yako sio mepes kuona baadhi ya nota kumbe sio jicho asante mwalim nimejifunza kitu. Niache kutumia physical eye bal nitumie macho ndani
Ahsante sana Mwl.Reuben Kigame ufundishaji wako unaeleweka sana.Ahsante sana Mungu akubariki sana.
Ubarikiwe sana mwalimu nimejifunza mno , nakushukuru
With my two eyes I haven't been able to learn what Reuben has did and never seen. He talks like he's seen them before. God is wonderful. Whose blind now between me and Kigame??? God help me regain my eyesight nione ile Kigame anaona.
Nashukuru Mungu kwa iyo kazi nzuri acha azidi kukutia nguvu tunafurahia somo ,,,,,
Barikiwa sana
nmejifunza sana na nmeelewa barikiwa.
Oooohh....so amazing kdg nmeanza kupata mwanga
Lesson nzuri kabiza funza yeye polepole mchungaji😆😆😆😆
Somo nzuri sana. Nashukuru sana. Ubarikiwe sana.
Somo limeeleweka vizuri...ahsante sana
🎧🎤🎤🎤🎻🎻🎻🎻🎻🎺🎸🎸🎷🎷Songa mbele Ruben Kigame
Naomba kuanza kujifunza
Barikiwa sana unadarasa zuri sana
Super lesson, I now understand more about sharp and flats........I wish mwalimu ungekuwa Arusha, we need someone like you here, why don't you open new class hapa!? mm nitakupa class room.
Ubarikiwe sana baba kwa mafunzo mazuri
Asante kwa somo zuri
Thanks for part one,part 2
great piano teacher here in Kenya. its wonderful
Asante sana mwalimu, nimependa masomo yako ya kinanda
Nimeelewa mwalimu
Nimefurahia somo barikiwa
Reuben Kigame is both a good instrumentalist and music minister
Somo nzuri kweli.
Jicho huona yanayo onekana but kumbe ufaham nao huona zaid ya hayo tuyaonayo. Mm najifunza piano ninamoacho but najidanganya kwamba macho yako sio mepes kuona baadhi ya nota kumbe sio jicho asante mwalim nimejifunza kitu. Niache kutumia physical eye bal nitumie macho ndani
Amen nimeanza kua mwanafunzi wako ila sina piano
Mwalimu mzuri napenda lessons zako
Nimeipenda naanza kujifunza na kufuatilia
Munapatikana wapi
Naomba kitabu cha piano
una fundisha vizur sana
Hautapungukiwa baba yangu unafundisha vyema
Nitumie kitabu cha piano
Wonderful
Rily following...be blessed
❤❤❤❤❤❤
Learnt something new sikuwahi jua key C🙆🙏...nachezanga Tu ...
Which side eldoret please,I would love joining you
Unapatikana wapi mwalimu
Upo mkoa gan nilihitaji kujifunza
Amen
Where can i get this school??
Naweza kuwa mwanfunzi wako
Unapatikana wapi kaka
Ninafuatikia taratibu mwalimu wa kinanda
Wow, when is the next lesson?
Joy Sitati uko vinzuri mwalimu tunakuelewa
namba za simu plse
Mwl unapatikan wap
Aki sisi watu WA F sharp tuko na shida, natumai Kujua hizo keys zote
Waiting for lesson 3 sana 🤦🏽♂️
Why not in English, please?
Darasa Lee wap
0713657919 naomba kuwa mwanafunzi wako nafuatlia somo lako
Shalom nita wapataje me nipo daresalam 0713635329 au 0754635329 au 0789278144
Nahitaji kuwa mwanafunzi wako 0782 815 557
0678756291 naomba unitafte whartsapp unifundishe ntakulipa
Kambo mwalimu mwanafunzi mpya mimi kwa maulizo dhaidi number ya WhatsApp tafadhali
0678756291 naomba unitafte whartsapp unifundishe ntakulipa