Ombi Langu Medley- Reuben Kigame Ft. Sifa Voices

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 589

  • @koechvictor1888
    @koechvictor1888 9 месяцев назад +31

    Who is also watching 2024 . God bless you reuben

  • @ericmutwiri4557
    @ericmutwiri4557 8 месяцев назад +19

    ...here in 2024🎉

  • @kipropdavid1
    @kipropdavid1 3 года назад +24

    Niko hapa 2021, how many are still blessed by this song? God bless RK and Sifa Voices

    • @estherwangui8449
      @estherwangui8449 Год назад

      2023

    • @isaackmutembei8141
      @isaackmutembei8141 10 месяцев назад

      2024 it's still so encouraging... RK and sofa voices are really a blessing to Kenya and Africa in Large

  • @Alexkemboi234
    @Alexkemboi234 10 месяцев назад +11

    2024 it still ministers to me God bless you Reuben kigame and sifa voices

  • @rachealmesh2205
    @rachealmesh2205 5 лет назад +108

    2020 who is here watching am blessed

  • @johngaithuma9312
    @johngaithuma9312 7 лет назад +155

    Hata kama Muziki ni sabuni ya roho jamani, this man Reuben has done what it takes to be a hero. God Bless your good work of nourishing our Heart.

  • @AngayaAura
    @AngayaAura Месяц назад +2

    Who is here today 2024! Amen to rhumba ya Yesu

  • @sheilajepkangor8313
    @sheilajepkangor8313 Год назад +7

    How can I like a thousand times😢

  • @joyoketch1153
    @joyoketch1153 3 года назад +29

    Reuben Kigame is a household blessing!!!

  • @membabulmeribrahim3116
    @membabulmeribrahim3116 7 лет назад +52

    I just remembered the Concert we. did in Mwanza 2010 and the Church wouldn't let go, they requested a repeat three times. May God Expand this tent Dad...

  • @Ray-lonelytrucker
    @Ray-lonelytrucker Год назад +3

    This song used to bless me as i prepare to go to school,back then radio citizen with Atea

  • @Iamnanapeak
    @Iamnanapeak 8 месяцев назад +4

    28/4/24
    I leave my foot print here..God bless kigame

  • @simonmashia99
    @simonmashia99 Год назад +2

    Listening to this good music on Sunday 26/11/2023 @ 7:39 AM,God is Faithful 🙏

  • @lewisboundi1404
    @lewisboundi1404 3 года назад +3

    Kigame is the Kenya's don moen

  • @josephinekanini9137
    @josephinekanini9137 4 года назад +1

    Hili Ni ombi langu...

  • @rodrickmose589
    @rodrickmose589 6 лет назад +34

    Look at how happy those guys are, being in God is so joyous

  • @kipropdavid1
    @kipropdavid1 3 года назад +27

    Reuben Kigame has been a great blessing to many in the world. Your songs have been an inspiration to me and my family. They have found the soft spot in our hearts. Man of GOD, may GOD bless you and your family + the Sifa Voice band

  • @francisarasa7030
    @francisarasa7030 6 лет назад +23

    NO EXCUSE WE MUST WORSHIP GOD EVERY DAY

  • @jenifferkiruki1695
    @jenifferkiruki1695 2 месяца назад +1

    You go to A Ruben Kigame concert and you get intoxicated in the spirit

  • @nancyingado8340
    @nancyingado8340 3 года назад +5

    Watching from esibuye in bunyore,msalaba wa yesu is our defense in these uncertain times of corona virus

  • @brunokim7022
    @brunokim7022 4 года назад +14

    2021 and I'm still watching this. It'll never get old

    • @joykendi883
      @joykendi883 2 года назад

      Old wine always getting better

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 6 лет назад +10

    disability is not inner ability thank you Lord for using this man as your tool

    • @muigwamichael9837
      @muigwamichael9837 4 года назад

      Disability is actually "inner ability". Meaning that we utilize our inner/untouchable strengths to complement our visible physical limitations. I guess what you meant is disability is not inability. That's lack of abilities.

  • @carolineonjala5639
    @carolineonjala5639 5 лет назад +10

    You have remained steadfast for Jesus. Remember you way back in 1991 when you visited our school as Youth for Christ.
    Keep the faith.

  • @annetkenyani135
    @annetkenyani135 Год назад +3

    Oh papa nivema kuwa mbele zako baba
    Roho yangu ina tamani
    Ni kufaamu, ni kuabudu, ni kuishiye ziku zote
    Ile baba ni ombi langu
    Kama Ayala anatamani
    Maji huko jangwani
    Roho yangu inatamani
    Uso wa baba yangu
    Natamani nifike sasa
    Niabudu mbele zako
    Natamani kukuishia
    Hili ni ombi langu
    Oh papa
    Nitainua macho yangu
    Nitazame milimani
    Msaada wangu watoka wapi
    Kweli ni kwako Bwana
    Wewe ni Mungu wangu
    Wewe ni mwamba wangu
    Wewe mpenzi wangu
    Wewe mwokozi wangu
    Oh baba safari iko ndefu
    Ni nge penda ku fika kwako
    Nisi baki nime tumika tu
    Ili ni ombi langu baba
    Siku nyingi nimetumika
    Kwa Kazi yako bwana
    Lakini sitaki bwana
    Nikose kuona wewe
    Hili ni ombi langu
    Hili ni ombi langu
    Hili ni ombi langu
    Hili ni ombi langu
    Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
    Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
    Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
    Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
    Huko kunayo raha ya ajabu
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Huko kuna uzima sawasawa
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Natamani kumwona bwana Yesu mokonzi wangu
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Natamani kumwona bwana Yesu kipenzi changu
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Yeye ukimwona anang'ara
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Yeye ukimfaamu ni uzima tele tele
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Ili ni ombi langu la milele
    Ili ni ombi langu, ni ombi langu
    Ni ombi langu, ni ombi langu
    Ni ombi langu, ni ombi langu
    Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
    Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
    Natamani kuingia mbinguni mbele zake Baba yangu
    Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
    Huko kunayo raha ya ajabu
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Huko kuna uzima teletele
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Natamani kumwona bwana Yesu mokonzi wangu
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Natamani kumwona bwana Yesu kipenzi changu
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Yeye ukimwona ana meremeta
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Yeye ukimfaamu ni uzima teletele
    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
    Ili ni ombi langu la milele
    Ili ni ombi langu, ni ombi langu
    Ni ombi langu, ni ombi langu
    Ni ombi langu, ni ombi langu
    Ni ombi langu, ni ombi langu
    Ni ombi langu, ni ombi langu

  • @NuruMaziku1997
    @NuruMaziku1997 4 года назад +4

    Wimbo una miaka 3 mpaka Sasa umekaa Kama wa leo so am proud 4 you,God bless you tunaouskiliza Dec 3 2020 from Tanzania ❤️❤️❤️❤️❤️💪💪💪

  • @lilyoyo6633
    @lilyoyo6633 Год назад +2

    Asante kwa wimbo huu unbariki moyo wangu sana

  • @petermugweru7682
    @petermugweru7682 2 года назад +2

    More grace man of God!!!!who is still here 2022 listening to this number!!!

  • @loiceWangila-qb4hu
    @loiceWangila-qb4hu 2 месяца назад

    Pure word fresh from the Bible, Hata Mimi natamani kuingia mbinguni kama nyinyi, Kigame and the band, the anointing is still fresh, barikiweni saanaa.

  • @bobscreativefitness2363
    @bobscreativefitness2363 6 лет назад +11

    Until i listened different songs composed by Reuben Kigame is when i realized that indeed this man has been sent by God to heal the parished souls through his powerful songs!

  • @milesanthony8295
    @milesanthony8295 4 года назад +1

    August 2020..Who is blessed?

  • @edwardmuhsene3114
    @edwardmuhsene3114 4 года назад +3

    so sad we can't congregate and dance the same way without mentioning COVID19, may GOD lead us to our previous state

  • @wemaphyc7869
    @wemaphyc7869 2 года назад +7

    Wow, what an organised sound plus the voices... surely this great man of God is always a blessing to me...He normally reminds me in 2010 when he came at St.Joseph School.

    • @rosemakungu5033
      @rosemakungu5033 2 года назад

      The music has awaken the giant in me.Long live RK and Sifa Voices.

  • @hellenkendi7078
    @hellenkendi7078 2 года назад +1

    Pokes sifa yesu, to give us freedom of worship,us Kenyans, dear lord.

  • @danielorango5875
    @danielorango5875 6 лет назад +3

    Nyimbo zikiimbwa kutoka katika maandiko Matakatifu zinakuwa na upako wa mafuta ya Roho Mtakatifu. Wimbo huu unanibariki kila ninapousikiliza. Ndugu Kigame na Sifa Voices, neema yake Mungu ikawajalize mioyo yenu siku zote ili mzidi kuimba hata zaidi. Amina.

  • @laptoprepairnairobi
    @laptoprepairnairobi 4 года назад +1

    my mentor my role model... natamani pia sana

  • @dafemuya3471
    @dafemuya3471 3 года назад +5

    Ombi langu reminds me of my primary school days at langalanga primary in Nakuru county. It was sang by a muslim girl named Faridah and it stuck in my mind. Nice melodies

  • @lawrenceeshiwani1748
    @lawrenceeshiwani1748 Год назад +1

    Hongera 🎉Kigame.

  • @Mylestonespeechie22
    @Mylestonespeechie22 6 лет назад +8

    I love the Sifa voices music. Reuben Kigame is a role model in praise and worship

  • @petermburundungu8601
    @petermburundungu8601 3 года назад +5

    Reuben Kigame touches my soft spot back to my roots.If you don't praise me (the Almighty) I'll make the rock do

  • @kiplimosammy
    @kiplimosammy 4 года назад +7

    I feel like going to heaven whenever I listen to this song

  • @geraldmariga4466
    @geraldmariga4466 5 лет назад +10

    Its June 2019 and the song is getting even more sweeter than ever.West Pokot baraka tu.Likes za Kigame hapa.

  • @danielmwikya7787
    @danielmwikya7787 7 лет назад +32

    Ombi langu song will remain a hit song for every heart that listens to it. Love it and the video is just awesome. ..at least not acted but live. ..God bless you Papa and Sifa Voices. I can't wait for more of your videos. ..God bless you

  • @ruthkungu4548
    @ruthkungu4548 4 года назад +1

    I like to be in that church

  • @michaelmakokha4372
    @michaelmakokha4372 2 года назад +1

    you are my mentor, God is a respecter of persons

  • @soulgroupandband4450
    @soulgroupandband4450 Год назад

    @Reuben Kigame I converted to Islam due to peer pressure but once I began listening to Reuben Kigame's songs,I think I came back to my senses and decided to follow Christ.(Am not saying Islam is bad)

  • @erickmaloba4230
    @erickmaloba4230 4 года назад +4

    Natamani kuingia mbinguni kwa baba yangu. Such a blessing

  • @bruceodhiambo7833
    @bruceodhiambo7833 4 года назад +6

    This song reminds me back then in high school when we performed this song at music festival... It was lit!!

  • @victormisigo3485
    @victormisigo3485 2 года назад +2

    2022 and still the best

  • @omulumojulius277
    @omulumojulius277 5 лет назад +7

    Wimbo ulioimbwa na ukaimbika, Great success Kigame.

  • @MM-qi1dk
    @MM-qi1dk 5 лет назад +1

    Kazi safi Kabisa

  • @IsaacNgunga
    @IsaacNgunga 6 лет назад +6

    255 love you so much Ruben Kigame. Ubarikiwe kwa kazi njema.

  • @emmanuelgariojwang1077
    @emmanuelgariojwang1077 4 года назад +1

    Natamani Sana Kuingia Mbinguni Hili Ni Ombi Langu Pia

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 2 года назад +1

    Amen amen 🙏 🙌 barikiwa sana

  • @lawrenceeshiwani1748
    @lawrenceeshiwani1748 11 месяцев назад +1

    God Bless You very much Mtumishi wa Mungu Evanjilist Kigame.

  • @acquilinewamba1592
    @acquilinewamba1592 6 лет назад +3

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa kazi hii ya unjilisti inayogusa maisha ya kila mmoja, Amina!

  • @maxwellmurunga6203
    @maxwellmurunga6203 11 месяцев назад +1

    2024 February we're still locked in here ❤❤

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 лет назад +1

    Bg up RUBEN NA WOTE BENDI

  • @damianamutuku2167
    @damianamutuku2167 4 года назад +2

    Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu hallelujah 🙌🙌🙏 so help me Jesus

  • @petermkilyah4569
    @petermkilyah4569 6 лет назад +2

    Mungu azidi kukubariki kwa nyimbo zako zenye nguvu ya kuvuta na kututoa tulipo na tuende kule Mungu anakopendezwa. Barikiwa sana

  • @peterkemei-rn8kj
    @peterkemei-rn8kj 7 лет назад +7

    I still remember your concert at Musingu High School in 2009, I was in form four that time. I must confess that you are reading why most of us excelled in our KCSE then.
    Now sir if you have the video of that concert let me know. Thanks.

  • @douglasalwasi2859
    @douglasalwasi2859 11 месяцев назад +1

    God bless your Work keep up the good work

  • @douglasalwasi2859
    @douglasalwasi2859 11 месяцев назад +1

    May God bless you man of God

  • @joanithamwaudama9928
    @joanithamwaudama9928 5 лет назад +2

    Nabarikiwa mno na wimbo huu...Yesu nisaidie;watching from Tanzania

  • @antoninaayoti6072
    @antoninaayoti6072 6 лет назад +3

    kigame nyimbo zako zote huwa zinanibariki,Mungu akuzidishie miaka mingi ile uweze kuendelea kuhubiria dunia nzima kupitia kwa nyimbo,barikiwa sana

    • @KigameMedia
      @KigameMedia  6 лет назад

      Asante sana Antonina. Ninashukuru kwa maneno yako ya ajabu sana. Mungu azidi kukubariki

  • @cerahk6226
    @cerahk6226 9 месяцев назад +1

    Baraka tupu🎉

  • @AlfredOginga-xd5cu
    @AlfredOginga-xd5cu Год назад +1

    Your songs blessing me..
    God bless the team led by pastor kagame

  • @douglasalwasi2859
    @douglasalwasi2859 11 месяцев назад +1

    I'm watching live from Mandera

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 5 лет назад +3

    Reuben Kigame Mungu akupe siku nyingi uendelee kumtumikia Mungu.... Mungu akubariki sana

  • @bruceodhiambo7833
    @bruceodhiambo7833 4 года назад +1

    Talking of talent,Rebuen is talented and was created to do the work of the Lord. He is true definition of disability isn't inability... Much luv from my heart.God bless you Sir wherever you're.

  • @MwanziaPaul-o9b
    @MwanziaPaul-o9b 4 месяца назад

    That's why nilipenda Radio citizen 🎉🎉🎉

  • @georgekihoro948
    @georgekihoro948 7 лет назад +14

    Watching this smiling...
    Is this the joy of the Lord..
    How peaceful

    • @KigameMedia
      @KigameMedia  6 лет назад +1

      Yes it is George. The Joy of the Lord is your strength

  • @moseskeya8898
    @moseskeya8898 4 года назад +1

    Ombi langu ni kwamba Corona ishindwe kabisaaa

  • @doricejack4275
    @doricejack4275 Год назад

    I love all songs of Reuben Kigame may the Lord bless you servant of God .These songs reminds me of the covenant keeping God of Abraham ,Isaac and Jacob. I bless the Lord.

  • @josephseph3002
    @josephseph3002 5 лет назад +5

    Its amazing how the drummer started this art way back in 2007 class 8....Always on the noisemakers sheet for beating desks 😀 .....But look at you now bro isn't God super amazing!!! Good job Ali classmate, friend and brother....So proud of you. Thanks bro Reuben for the good work. Hats off Sir.

  • @CalebKhisa-oi2gv
    @CalebKhisa-oi2gv День назад

    Mzae Reuben ulipanga kitu🫡

  • @nancynjoki2227
    @nancynjoki2227 4 года назад +1

    This song blesses me every day. Is my worship song here in America. play it loud in my car when going to work. God bless you Sifa Choir.

  • @jeanclaudekabika7581
    @jeanclaudekabika7581 5 лет назад +2

    Sifa zote niza bwana yesu milele. Mungu akubariki papa Ruben kigame

  • @christianmbise8851
    @christianmbise8851 6 лет назад +4

    Wimbo wa kupendeza sana. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @rufusnganga1118
    @rufusnganga1118 5 лет назад +2

    I will sing to the LORD as long as I live; I will sing praise to my God while I have being. psalm104:33

  • @enockngui910
    @enockngui910 Год назад +1

    Wonderful song, loved it since my teen years

  • @carolinewedanewton
    @carolinewedanewton 10 месяцев назад +1

    Powerful indeed. More blessings Reuben and team.

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 года назад

    Haleluyaaa natamani kuingia mbinguni kwa baba yangu Mungu akubariki mtumishi

  • @nancygitu8819
    @nancygitu8819 7 лет назад +7

    cant stop watching this song...oooh its amazing God Bless You

  • @kelvinvenance3627
    @kelvinvenance3627 4 года назад +1

    2020 october 25 who is watching this blessed song with me this october

  • @mwalimuabel
    @mwalimuabel 6 лет назад +7

    I am always in love with all your songs, they bless my heart. God you servant of God

    • @khalphanyusuf4582
      @khalphanyusuf4582 4 года назад +1

      How can I be attached WD ur ministry at malaba Kenya?

  • @sheillahnorah6890
    @sheillahnorah6890 Год назад +1

    I love this

  • @everlynenjeri3503
    @everlynenjeri3503 3 года назад

    Who is here 26/3/2021 after another lockdown,our help come from you lord... Hili ni ombi langu ..

  • @poulapoula6354
    @poulapoula6354 4 года назад +2

    How i miss my motherland and this beutful moments🔥🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃🙏🙏🙏🙏

  • @MJ-ye7dd
    @MJ-ye7dd 6 лет назад +1

    This is lovely...Praise and Worship Leaders mko wapi mkapate wimbo wa Sunday

  • @edithnyandiwa7405
    @edithnyandiwa7405 3 года назад +4

    his songs encourages me when down 🙏🙏🙏

  • @beawarefun2013
    @beawarefun2013 3 года назад +5

    Damn, this man touches me with his music

  • @marymakhulo2446
    @marymakhulo2446 2 месяца назад

    Allelluya ..... God is incomparable

  • @bethuelkiru8781
    @bethuelkiru8781 6 лет назад +1

    this songs reminds me of a certain guy who was in hope fem by the name justus mwakideu(jM).......i miss those days please come back to hope fm,shangilia show;

  • @annanganga9726
    @annanganga9726 5 месяцев назад

    Sunday 21/07/24
    God bless Kigame. Such a blessing to many

  • @griffin8782
    @griffin8782 4 года назад +2

    Whenever i listen to Kigame's Songs they Keep Me going On.May God keep You alive for long Dad for you to continue producing
    Nyasaye akurinde

  • @agnesmutuku9149
    @agnesmutuku9149 2 года назад +1

    This man is blessed and he blesses us with him music God continuing keeping him

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 6 лет назад +5

    may God bless you man of God Reuben, i am so blessed by your Samson from burundi

    • @KigameMedia
      @KigameMedia  6 лет назад +1

      Amen. May the Lord bless you Samson.

  • @arivi265
    @arivi265 4 года назад +2

    I look to the hills where does my help come from? My help comes from the LORD

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 лет назад +5

    Amen Ombi langu Yesu natamani kufika binguni

  • @gelarseger
    @gelarseger 5 лет назад +2

    This guy is so talented and influences people on the most positive way. We need to stop making stupid people famous and recognize such AMAZING talent. Much love to Ruben and sifa be blessed