Kutengwa na roho za Mizimu na laana zenye uhalali 04/09/2022 FULL VIDEO HD
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Ibada Hii Ilifanyika Kanisa La Vuka Yordani Kisongo Waya - Jijini Arusha Tanzania na kuongozwa na @Bishop Elibariki Sumbe Mwangalizi na Askofu Mkuu Wa Makanisa Ya Grace Evangelical Church Tanzania (G.E.C.T)
Follow Our Social Media Pages :
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
tiktok.com/Bis...
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #KisongoWaya #ArushaTanzania
Mungu naomba nijitenge na roho za minzimu roho za ukoo na laana nilinzo tamukiwa nikiwa mdongo najitenga nanzo kupitia maombi haya naroho za mauti naroho za umasikini nibarikiki kupitia ibada hii🙏🙏🙏🙏
Nikweli mtumishi nateseka;ila naamini kupitia neno ili Mungu atanifungua kwajina layesu christu aminaaaa.
Bwana yesu asifiwe naomba kuniombeya juu kichwa makelele nakungoroma sana asa usiku silala
BWANA NAOMBA kutengewa na mizimu ya kwetu utenge fahamu zetu na mizimu....ondoa hasira ndani yetu eeee BWANA MUNGU 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Sumbe Mungu akibadili sana uliniombea siku hii nikafunguliwa nilikuwa na matatizo mengi sana na nilitamkiwa laana nyingi na nilikuwa nimejikatia tamaa, nikijiangalia all kwenyemaombezi nilivokuwa nagalagala nahisi Julia kwa furaha😭😭🤦🏽♂️
Niko APA niguse yesu wangu
Yesu wangu tenga mwanangu Clara n'a mizimu funguwa faamu yake
Amen nikumbuke n'a jamaa wangu
Amjambo mutumishi wa Mungu,nabarikiwa sana ninapo fata mahubiri zako,naitaji maombi ya ufungulivu piya Mungu aniponye na amuponye muke wangu na wa toto wangu,napatikana drc goma maombi yangu kwamba siku moja nami tushiriki pamoja hapo kanisani.amina
Mungu nisaidie 🙏
Eeee Mungu wangu nahoma ututenge naroho zamizimu yakwetu nalaana zenye ualali kwajina layesu christu aminaaaa.
Mungu naomba nifungue na izi roho za mizimu niponye maan nimetupiwa Majini Masikioni Yananinyonya damu Ee Mungu niondolee hiki kisasi
Ee Mungu wangu nakuomba uniondolee roho za miungu misimu ma agents majinina laana zote za uzao wetu nitenge na kila aina ya uchawi katika jina kuu la Yesu Kristo aliye hai
haleluyaaaaaah BWANA naokuomba niwe chini yako niuufate uso wako nakutafuutisha kati ya yako na shetani 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yesu nipe ujasiri wakushidana naulimwengu wa roho
Mungu nakuona unitenge na roho zauko namizimu
Ameeeeeen man of God
Amen amen
Amina hatakama niko mbarisana lakini kwaimani nimeamini kua niko karibu Hallelujah
Mungu uniguse namimi Amen
Ubarikiwe sana mchungaji ❤❤❤❤
Bwana yesu sinamsaadaungine zaidi yako were naomba unisaidiye
Nakataa roho za mizimu,mauti,magonjwa na ajari kupitia madhabau hii katika familia yangu
Aminaaaa aminaaaa aminaaaa aminaaaa aminaaaa aminaaaa kubwa.
Nmekataa roho ya mizimu na laana kwa jina la yesu hallelujah
Utukufu kwa Mungu! Asante Yesu!
Ameen
Mungu nitenge namzimu yauko
Mungu baba wa mbinguni ninaomba . na roho ya mizimu
👏👏👏👏
👏👏👏👏👏
👏👏👏👏👏👏
Niko apa nifungue n'a roho za mizimu katika jina la yesus christo
Mungu nisaidie
Thank you Jesus amen 🙏🙏
Na mimi baba najiunga Mungu wagu nifunguwe
Hakika ukuu wa mungu unajidhihililisha
❤❤❤❤❤❤
Ameeen 🙏
Aminaaaaaaaa Aminaaaaaaaa
Mungu akubarki mtumishi wa Mungu akupe maisha marefu na akubarki.
Emungu nikumbuke unifunguwe mimi na ndugu zangu,uturehem dhambi zetu kisha utufunguwe katika jina la yesu kristo mokozi wetu nimeomba nkiamini Amina
Mtumishi munguakupe nguvu ww na nyumba yako yote nami mungu usinipite unisamee na unitenge na mizimu bb na kuomba amen
Asante yesu
Najiunganisha na madhabahu ya Vuka Yordan Mungu nione na unifungue
amina
Seigneur sauve moi
Amen 🙏🙏
Ameeeeeeen
Amen hallelujah thank you God 🙏
👏👏👏👏👏👏
Glory to God
😮
Amen
Asante Mungu
Ameen
AMEEEEEN
AMEEEN
Amen
Amen
Amen Amen
Amen
Ameeen
Amen
Amen