Nabarikiwa na jumbe nyingi za hii kwaya mungu awabariki wavunaji nyinyi ni kwaya kubwa Sana bwana awainue kwa kazi yake ata hivyo ninyi ni wanyenyekevu nawafahamu mungu awabariki nawaombea
Matumizi sahihi ya lugha ....ujumbe wa nguvu ya msamaha...hata wakati wote wanasonga kusimama upande wa hukumu ,nuru yenye nguvu husimama na kuongoza katika msamaha ...Usitende dhambi tena...wimbo wenye thamani katika maisha
well-composed music. Inspired music has a way of reaching the most remote soul. God's blessings to the composer and the team that made this great ministry a success.
Very strong and inspiring message saints 💓💓 Ni Mungu wa rehema, husamehe na kusahau..Dhambi haina nafasi kwako pale utapomfaham aliyefia dhamb zako 💓💓💓💖 #Nawapenda
Nawapenda sanaaa wavunaji na Bwana awatangulie na awatie nguvu maana hii safari sio rahisi Bila yeye kristo
Huu wimbo unanibariki sana .kwakweli mungu awatie nguvu mzidi kueneza injili Kwa njia ya nyimbo.
Jamani Jamani Jamaniii!! Nyie vijana basi tu
Wow Another #Cake ...
Mbarikiwe Mnoo ninyi watu...
Walau kila mwezi tupate Kitu kama hiki
Mbarikiwe watu wa mungu wimbo mzuri sana
Ahsante sana kwa wimbo mzuri
Kazi nzr ujumbe mzuri ...love u gyc
Roho wamungu aendere kuwatia nguvu muendere kutunganyimbo kama hizi amina
Mungu awape afya muendelee kufanya Mambo makubwa kwa ajili ya kazi yake....
Mbarikiwe sana wavunaji. Mwl Deo na Baraka Mungu awabariki
Mbarikiwe sana kwa ujumbe ugusao
Composer wa huu wimbo
Nakuombea roho mtakatifu azid kumwagwa na kujazwa ndan yako 😭💓💓..Tumaini lipo 👏🙏
Navutiwa na taswira ambayo mtunzi anachora ,ni nzuri mno. Kutoka njia ya hekaluni hadi miguuni pake Yesu. Amina Wavunaji .
Mi nawapenda naomba urafk nany
Nabarikiwa sana kupitia nyimbo zenu
Ujumbe wa matumaini 🙏
Daaaah yaani nawapenda wavunaji wanaimba vzr sana kushinda light bearers
Epic and timeless
Nabarikiwa na jumbe nyingi za hii kwaya mungu awabariki wavunaji nyinyi ni kwaya kubwa Sana bwana awainue kwa kazi yake ata hivyo ninyi ni wanyenyekevu nawafahamu mungu awabariki nawaombea
Very nice nmebarikiwa sana na huu wimbo
Hawa ndo wavunaji ninaowafahamu
Hawa ndo wavunaji ninaowafahamu,... Mbarikiwe saaana..nyimbo hubiri tosha
NAPENDA. Mungu Awabariki
whaou very good 🔥♥️🥰
Nzuri sana
My fav song 😍
Amen be blessed wavunaji
Director katisha....the song is ✅✅✅✅
Thank for bless song keep it and go ahead
Wimbo mzuri sana message Nzuri
Tumebarikiwa
Mungu wa Mbinguni awabariki sana
Matumizi sahihi ya lugha ....ujumbe wa nguvu ya msamaha...hata wakati wote wanasonga kusimama upande wa hukumu ,nuru yenye nguvu husimama na kuongoza katika msamaha ...Usitende dhambi tena...wimbo wenye thamani katika maisha
waaaooo sema daaaaa! TUKUTANE MBINGUNI WAPENZI, TRULY YOUR MINISTRY IS CURRENT AND DECENT
Mungu awabarikie kadri mnavyopiga injili yake.
Wahou 🙏 amen amen, Safi Kabisa 👌 Mbarikiwe kabisa
Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri Mungu azidi kuwa pamoja nanyi katika huduma hii nzuri 🙏
Hizi nyimbo huponya nafsi. Huleta tumaini. Kiufupi ndio uimbaji unaougusa. Aisee, Mungu awatumie zaidi
Naupenda sana huu wimbo yaan unaimba sana kichwan mwangu
Yesu hakuja kama muhukumu, ALILETA UZIMA NA MSAMAHA KWA WENYE DHAMBI WOTE
🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🤗
Wavunaji mungu awafikishe mbali sana....Ila msikae kimya mda mrefu ivo
Uuuuuh that Song Ni hatari...👏🙌
Ujumbe mzuriii sana.
Wimbo mtamu mnoo.
🥺🥺🥺wavunaji..🤦...
mmbarikiwe wavunaji
Woow nice song, dawa ya migogoro kwa nafsi zetu ni kuipeleka miguuni pa Yesu 🙏🙏
beautiful item
God bless you WAVUNAJI
Good massage
production iliyo tulia
songeni mbele
Nawaombea....
UTUKUFU KWA BWANA
Mungu atukuzwe kuruhusu masikio yangu yasikie wimbo huu, nauludia kila mara, sichoki kusikiliza.
Nice song ❤❤
Wimbo mzury sana🤩
Mbarikiwe sana wavunaji toka Ipagala SDA church Dodoma. Wimbo unagusa moyo wangu.
Good song never see
This song umenibariki sana Mungu awabariki watu wa Mungu.
Wimbo mzuri mnoo
Amina na Amina tena. 🙏🙏 Ujumbe utuokowe sisi na ninyi waimbaji pia mbarikiwe
Good Job
Mbarikiwe saana what a song🤝🤝🤝
Amen and Amen. Wimbo wenye nguvu na message kali.
Asanteni wavunaji
Waiting
Waiting for this blessing from #wavunajitz the reminder is on😊
Thank you brethren
Amina Amina 🙏🏿🙏🏿 Asante Hussein kwa kushare link 🔗 🙏🏿🙏🏿
Yes. Muziki kutoka hapa unanguvu... Mbarikiwe kwa kazi
Ujumbe mzuri sana barikiwa mtunzi.
Bwana awainue katika Viwango vya juu kwa Huduma ya Injili.
Nimebarikiwa sana na wimbo
Amen. Following from Zimbabwe 🇿🇼. Ninapenda muziki yenu sana. Draws me closer to God. Video is very professional and onpoint.
Mbarikiwe sana 🙏🏼
Nawapenda mno ❤️ for sure mnaimba vizr mno Bwana awabariki Sana
Jaribuni kuweka kwa dj mwanga ili kudownload iwe rahisi👏
Wow and just wow 🙌 what a song, what a message. Bless you Wavuni 💪
Still my favorite item ...
Nabarikiwa sana ninaposikiliza huu wimbo. Mbarikiwee
Wat a feeling 🙌,,be blessed nce song sweet melody☺️☺️🥰
Q
Sauti ya tatu jamaniiiiiiiiiiii.....very moyoni yaaani. Nimeshinda na huu wimbo leo nilikuwa na ka stress kameshukaaaa hadi zeroooo. Nawapenda sanaaaa
Ameen
Tunakupenda pia mama Caleb❤️❤️❤️
🥰🥰💞
Nabalikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabaliki mnoo
Always talented
Wimbo mzuri Sana mbarikiwe Sana! Upendo toka 🇰🇪
well-composed music. Inspired music has a way of reaching the most remote soul. God's blessings to the composer and the team that made this great ministry a success.
I can't stop playing this music. Awesomely sung.
This song heals the soul.......all the way from USA
Cant just get enough of this song keep up 🤗
Hallelujah 🙏🙏 to our Almighty God for this wonderful song...be blessed @wavunaji
Amina ❤️
Woow 😊 Bless bless be blessed Wavunaji
This is so creative and unique. And the videography is top notch and am here for it
Very strong and inspiring message saints 💓💓
Ni Mungu wa rehema, husamehe na kusahau..Dhambi haina nafasi kwako pale utapomfaham aliyefia dhamb zako 💓💓💓💖 #Nawapenda
Mungu awabariki sana na muendelee kuifanya kazi yake. nabarikiwa sana na huu wimbo na haiwezi kupita siku bila kuusikiliza
God bless this ministry.
Powerful message..🥰
GO AND SIN NO MOREE. THANK U WAVUNAJI MUNGU AWABARIKI 😍😍🥰
Safi sana
Nawapenda sana! Mbarikiwe sana
Thank you Jesus. Thank you Lord.
Good message with great harmony 👍
I really love the choreography, message & quality of this song. God bless u people. ☺️🤗
Nice song
Amen amen oooh amen.
Mungu aendelee kuwabariki sana Wavunaji..Wimbo mzuri sana wenye ujumbe makini
What? The way choirs surprise you. Boom! Asante. Nice message
Be blessed guys, nice arrangment,vocals bravo
Heavenly music
Impressive story ✊🏽🙏🏽🙏🏽🔥
Amen amen👏👏👏
Be blessed wavunajii 🤓🤓