Kuna video nimeiona watsapp vijana wadogo wawili wanimba huu wimbo nkaupenda ikabidi niutafute...Ujumbe mzuri kweli. Mungu awasaidie mkazidi kumwinua kwa nyimbo wavunaji
Kumbe mko Dodoma nilijua wakenya. Mbarikiwe sana wimbo huu umekuwa faraja na umenitia ujasiri katika majaribu ninayopitia. Mtunzi ulivuviwa kwa wakati sahihi, nawapenda, ninawaombea.❤
Mbarikiwe sana mnaweza kuja. Morogoro mjini sda church ❤😊😊😊
Ooh nyie watu mmenibariki huu wimbo ni faraja sana kwangu ninapoanguka waniinua nasimama na safari yaendelea....... Hakika Bwana ni Mungu mkuu ❤❤❤❤❤
Mibaraka tupu🙏🙏🙏🙏
Amen, 🙏🙏🙏🙏 am here again 2022...
My favorite song❤
Kuna sirii kubwa kwenye nyimbo za Mungu zinaleta furaha faraja zinatuweka karibu sana na Mungu mbarikiwe wapenzi wa Mungu
Wimbo ni mzuri sana
Amina mbarikiwe
Mungu awatieni nguvu mzidi kulieneza neno la bwana
Wonderful vocals ministers♥️...This song really reminds me where God has brought me..thus far will I always praise His name🙏🦋🦚🌺
Amen and Amen
Mwalimu wa hii choir ni msema kweli sana ,,,ninawapenda waimbaji🙏🙏
I love this song actually ,ninapo anguka kwa kweli Bwana nani inua.
Mungu awabariki .. ujumbe mzuri sanaa
Kuna video nimeiona watsapp vijana wadogo wawili wanimba huu wimbo nkaupenda ikabidi niutafute...Ujumbe mzuri kweli. Mungu awasaidie mkazidi kumwinua kwa nyimbo wavunaji
Mnanibariki sana Wavunaji, sichoki kuwasikiliza hakika Mungu awainue wapendwa
Daaah Mungu na awatumie siku zotee hakika mnafanya vizuri sanaaa...kp it up
Kiukweli wimbo huu unanifariji sana sana , Bwana awatie nguvu mwende mbali
Weeeeeee Dolla mbn huonekan kwa group?
Vijana kaza buti mapambano ndo Kwanza yameanza vzr Sana kp t upppp
Such a beautiful song.May the Lord keep blessing you guys ❤️
Napenda sana Uimbaji wenu.
Bwana azidi kuwainua
Nmewapenda Yesu awape viwango vingine
This Song is more than love
Amina barikiwa sana kwa ujumbe mzr
I listen to this song everyday 🥺🥺❤️
May God bless you guys ❤️
Nice work ... I love the song
Amen,keep the heavenly standards till Christ comes back,what an inspirational song,please do not change
Kazi nzuri sanaaaa.....video nzuri sana, ujumbe mzuri sana....sauti sikivu sana....
Mbarikiwe snaaaa
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri Mungu azidi kuwainua. 🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana Vijana,,kifup nawapendaa
Rich Mmbwambo, Nyauringo Rose
@wavunaji congratulation
nyimbo tamu kweli mbarikiwe wapendwa
Wimbo mtamu sana, I like it
Hongera sana....safi sana. Mbarikiwe sana na Bwana wetu wa Mbiguni
😍😍😍😍😍 Nikihamia Dodoma Najiunga #Mr.Koroboi.
Karibu sanaaa
Kumbe mko Dodoma nilijua wakenya. Mbarikiwe sana wimbo huu umekuwa faraja na umenitia ujasiri katika majaribu ninayopitia. Mtunzi ulivuviwa kwa wakati sahihi, nawapenda, ninawaombea.❤
🙌🙌🙌🙌🙌👌👌👌👌mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥good video
Amen Mungu awabaliki
Mungu azidi kuwatumia shambani mwake.
Mbarikiwee jamaniiii
ohhh!!!!! Vizur sana
😍😍😍glory to God
Mbarikiwe sanaaaaaaa
Bwana awabariki sana wapendwa wangu
Amazing vocal arrangement
U de best guy keep doin it...
This is amazing
Uimbaji mzuri uliotukuka , Ila mpo Dodoma kanisa lipi?
Ipagala s.d.a karibu sana
Hongereni sana
nice one ❤❤❤❤❤
mbarikiwe
Maranata
Light. Bearers, are you guys watching this?
Very good I love this song toka misri
Safi vijana
Kazi nzuri
Nice song..........
Jamani wimbo mzuri sana
nimeulemda mfike mnal
Safi sana
Hivi hata mbinguni mtaimba kwa sauti tamu hivi?Au hamtakuwepo wapendwa?!!!
Watakuwepo na wataimba zaidi ya hapa. Neema na haki ya Kristo iwafunike mfae Ameni.
weee kama unapost nyimbo za din post kama za dunia post usichanganye kwenye account moja MUNGU hakai na MIUNGU
AMEN
blessed
Ameeen
This is Amazing