Nimependa hii na napenda ujasiro wako unayeongea kwa hii tamthilia hauna wasiwasi yaani umetulia vizuri Sana, nipo Kenya nitafurahi nikipata filamu hii yote kwa jumla
Hapo ndipo madebe na mkojani wanakosea wanaigiza filamu nyingi wakati mmoja hadi zingine wanazisahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tamaa hiyo Pesa ya youtube tamu Tulia na sinema moja hadi mwisho Wasije mashabiki wenyu wakakosa hamu Hamufikishi mwisho chochote Mulicho anza Hivi hamuoni shida yoyote kwa hilo Ngo,mbe nyinyi Wacheni tamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Samahani kaka Hivi unamaanisha uko puani au pwani tofauti kati i wapi hebu dadafua bwana kimashallah kinaga ubaga usiwe labda umepagawa na hatujui🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi niko Nairobi nimekua wa kwanza kenya 🇰🇪 tunapenda san movie zako nipe like
254 🇰🇪 rongai 🔥🔥
ruclips.net/video/CWOeyQFGZPs/видео.html
Wazaromo wenzangu wooooooyoooo Leo Mmeniludisha Tanzania Bonge Moja La Move
Nimeipata mkindaaa mzalamu Og mambo 🔥🔥🇴🇲 woyooomwili umesisismuka hatariii bagamoyo mojahiyooo weeemadebe weee ugonga kunoko
Kazi nzuri sana kaka madebe mimi natokea mombasa kenya 🇰🇪 much love kwenu, alf madebe vipi shiligi twaisubiri bado
Mm nipo omani nakupenda sana kufatiliya muvi zako mzuli sana tunajifuza vitu uku asante sana kaka madebe
Uko omn sema gani dear maana mi piya niko omani sio mbay tukifahamiana
Mi nipo Burundi 🇧🇮 aise weh Unatisha sana Kama sikuwa wa kwanza basi nilikuwa wa pili kwa kicheck Movie hii🎉
Mim nipo Indonesia🇮🇩 napenda sana kazi zako congratulations madebe🎉
Cjui nitafik Lin uko jmn
Hallow
Uhali Gan?
Mambo mazuri yanakuja
unaishu gani huko
ruclips.net/video/CWOeyQFGZPs/видео.html
Nakubali Kiongozi❤😊
Bonge moja la Kaz big up brother madebe
Mda wote nilikuwa nipo online nikisubiri mkinda tu Aisee bado sijaitazama nimehona nikupe sifa zako maana haujawai kuniangusha kaka madebe
Nasubili wale wanao comment Madebe Never Disappoint 😂😂😂
Hongera Sana madebe mbwa mwitu unaejivixha ngozi ya kondoo,,,all in all kaz nzr
Kazi nzuri ndugu Nabii Mswahili katika ubora wako na ucheshi🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/CWOeyQFGZPs/видео.html
Uyoooo kiumbeeee ataliiii sjuw anafelii wap😂😂😂😂😂ongera kaka tunatoka vena media tunakuja mali media lijonjoo aka mtarammmm😂😂😂😂😂
Daah kaka madebe ww n mtu na nusu...nko ngorongoro nafatilia Kaz zako zote.big up
Shida mwendelezo unachelewa sana kuuwachia shida nn kama haiko tayari unairuhusu vip iingie sokoni
Kali sana yani inavutia tena inamafunzo mengi mazuri 🥰🥰🥰
Madebe Oyo mtoto ume mtoa wapi anajua sana atafika mbali
Nyote nawapenda kazi safi ❤❤❤
Anajitaidi kuwagali movie zenu kwa sababu anakukubali sana madebe mm nip nampula 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Tatizo hautoagi series ikafka mwisho unatuachaga katikati ya series unaingia mitini sjui unafeligi wap ndugu
Kaz nnzuri sana
Very Fantastic
Ngoma imechukua nafasi kubwa punguza ngoma mzee
madebe lidai mwamba wa bongo mouvis 🇹🇿🇹🇿
Madebe ndio starring wa kwanza tanzania kwaman movie zake noma sana aise
Mwamba huyu hapa madebe tunakukubali kabisa kaka
🇰🇪🇰🇪 Kenya ndo tunaitazama ... hongera madebe
Niko Saudi Arabia nafatilia move zako because zina maadili
Kundi zima la madebe lidai mko vizuri kweli sana 2wazee
hakika watanzania tujivunie kuwa na vipaji vikubwa sana hasa madebe lidai ananikishaga sana
Aisei kali sana
Ndo mambo niyapendayo❤❤❤❤
Mm natoka migor county tunakupenda sana madebe❤❤❤
We wazaramooo weee ety ni dharau mm malaya mwenzko usimfharau mama😂😂😂😂😅
Kazi imetulia Sana episode y 2 chapu
the wait is over , final tuangalie utamu sasa
ruclips.net/video/CWOeyQFGZPs/видео.html
Wastara umetisha mate wangu
Kama kunamtu amewahi kulipwa kwa kuomba like ajitokeze aseme alilipwa pesa ngapi maana mnakera Sana 😂
Kabsa kbsa wanakera
Usije ukamuacha batani namkubali sana❤❤
Mama mwali eee kinzulu nzuluu wayago wakudeta ukae zi akili nhduhuu😂😂
Mi nko kenya lakin nazikubali sana movie zako bro
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
Yaan kwel wee n madebe
CLAM VEVO amekuja kuitawala Tz kwa aidia zake kubwa.....
Mad love from kenya 🇰🇪
mr madebe and you team congratulations have your flowers❤
ruclips.net/video/CWOeyQFGZPs/видео.html
Napendà sana
Much love from 🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri sana
Movi nzur naomb lik
Madebe watuchelewesha mbona ulisema by 5am 😢😢
Nakumbali mover zako
Kazi nzur rafik ya mpayu
Nimependa hii na napenda ujasiro wako unayeongea kwa hii tamthilia hauna wasiwasi yaani umetulia vizuri Sana, nipo Kenya nitafurahi nikipata filamu hii yote kwa jumla
Nimekubali mov ipo poa sana
Ni nzuri sana nimeipenda❤❤
much love from Kingdom of saud
Nipo Kigali Rwanda napenda movie za kwenu tz.
Uke waza mzee yufu
Oyeeeeeeeeee madebe lidai
Wa mwisho leo ❤❤❤
Nzuli kwl
Hatali hyooo mkuu
Hapo ndipo madebe na mkojani wanakosea wanaigiza filamu nyingi wakati mmoja hadi zingine wanazisahau
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tamaa hiyo
Pesa ya youtube tamu
Tulia na sinema moja hadi mwisho
Wasije mashabiki wenyu wakakosa hamu
Hamufikishi mwisho chochote
Mulicho anza
Hivi hamuoni shida yoyote kwa hilo
Ngo,mbe nyinyi
Wacheni tamaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🇲🇿🇲🇿, na mm piya nimewai...
Mi niko mozambigue napenda sana kaz zako.ombi langu 2ongezee dakika samahan lakin
Madebe is the best
Huna baya kaka
Tatizo lenu dakika ni kidogo sana, sijui shda iko wapi apo, ila mrekebishe kwa hilo
Much love ❤
Much love 🎉
Hiy kal cn mtaalam fany utoe nyngn kam hiz
madebe nakupali labda ingawa nabii hakupaliwi kwao
Kumbe nyege sio tusi eeeh
Vyanga Da kwai Dino Totoa Goya Nodilonda Mwakani Panapo Uhai Chelekooo Chelekooo
Kama unamkubali madebe gonga like tujuane
Bwana lijonjo ndani 😂😂😂
Much love❤❤
❤❤❤ mungu akusimamie
Sema wewe mjomba mweusi nimeongez mwaga wa simu Hadi mwisho Ila bado sikuoni ..Ila nakukbli Sana Kaka
❤ from kenya.
Nabii mswahili
😂😂😂 Unakunywa pombe unasema bismillah
Jamani adi rah nawaona ndug zangu wa msanga hote
Ndo nakuja jaman japo nmechelewa kidogo
hii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaz kazin
Lidai noma sn
Maze natamani sana kuingiza nanyi😅
Tatizo Muna tutia hamu halafu munatukimbia
Kma unapenda series za madebe tujuane kw like❤❤❤
Kukaye kumenoga
Watu wa nairobi mko wapi 😂
From Uganda 🇺🇬
Jebale chief
Kutoka saudia Arabia n mm nipo kwenye list ya wafatiliaji kazi zako
Tuko pamoja huku Kenya pwani🇰🇪
Samahani kaka
Hivi unamaanisha uko puani au pwani tofauti kati i wapi hebu dadafua bwana kimashallah kinaga ubaga usiwe labda umepagawa na hatujui🤣🤣🤣🤣🤣
@@kukuzambawazambanga namaanisha pwani*coast Yani!!puani sibni part ya mwili 😁😁
Watu wa pwan hao ndo mambo yao
oy madebe toa halaka mwenderezo
Mi nipo Burundi 🇧🇮 aise weh Unatisha sana Kama sikuwa wa kwanza basi nilikuwa wa pili kwa kicheck Movie hii🎉
tupe mwendelezo wa tanuli kaka
Nimefurah kumuona batan tena
Plz 2na omba shillings madebe