Jaman cc wte niwafatiliaj wamove za uyu jamaa ni kwel ii move sio mpya ila tu niwakumbushe kipind tunaiona ii move ilikua chin ya LP Media na saiv jamaa anamiliki kla ktu chake ndio mna kaiachia kwenye Mali Media neno Mali akiwa na maana ya Ma...yan madebe na Li yan lidai neno mali nikifupi cha madebe lidai huu ndio ufaham wang kwa jins nnavomfatilia uyu jamaa
Hii movie Kali na nzuri sana naisubiria kwa hamu sana
Mwalimu @madebelidai🎉🎉❤
Ikiendelea hivii mbeleni msimsahau kaputupuuu 😂😂😂😂 awepo humuu
Nakukubali sana madebe
Kamer man kafeli sana
Inapendeza sana kwasiku ngapi wazee
@madebe tunakuomba hizi move uzimalize zisi ishie kati 😊😊
Marudio
🤣🤣🤣🤣
hii ni tamdhilia ya kitambo sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Madebe wewe ni umbwa koko
🤣🤣🤣🤣
Nilikua natafuta hii comment ata mm nimeudhika sana😂😂😂hii ni movie ya kitambo sana
Jaman cc wte niwafatiliaj wamove za uyu jamaa ni kwel ii move sio mpya ila tu niwakumbushe kipind tunaiona ii move ilikua chin ya LP Media na saiv jamaa anamiliki kla ktu chake ndio mna kaiachia kwenye Mali Media neno Mali akiwa na maana ya Ma...yan madebe na Li yan lidai neno mali nikifupi cha madebe lidai huu ndio ufaham wang kwa jins nnavomfatilia uyu jamaa
😂😂😂😂vile tulivyo wakariri wa kuvishana pete
Msii yk vizuri
Tunaisubiri kwa hamuuuuu 🔥🔥🔥
Good good 👍🏾
Good
Mmmh iyi serie tayari tumeshaga itizama tayari kwenye page ya zamani ya madeb lidai
nashangaa sa kwann inarudiwa?
Kutoka kenya wa 8 like zangu
movie nzuri sanaa
Mashallah ❤❤❤❤❤
Safi hii Madebe
Naitegea kwa hamu sana
Kameramani raundi hii umefer kamera umetuangusha pakubwa🎉hatuoni vizuri et
Hauoni Peke yako bhna hamuoni wewe na nani 😅
madebe mzee wakazi na kukubali San
Kwani hii si tayar madhee😊
Kazi safi Madebe
Much love from+254
kaka kwenye movies uliyo tumia skili sana iyap umejitahidi 😄😃😀😀👍🙏💜💜
Mark me present😅
Pumbavuuuuuuu😢
Nzuri tatizo ni dakika chache sana ,, angalau 20 _:hadi__25 dak
Sheba imetulia madea lete vituu
sasa tupe uonekano wako sasa ukitupa yale maneno yako mazito😀
Kenya tuko bongo
Mali ya ndimu season 2 jamani please
Hiii tushaiona madebe
Kbs
Havi hii ni season ya pili au??
Lete hii kitu
Noma
Naomba kwa anaejua jina la huo wimbo wa aslay please
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Kwa anaetaka kuangalia Kwa TV iko chaneli gani Mali media
Tupostie seson 2 ya mali ya ndimuu
madebe usimle uyo Sheba basi ni make wa mtu maana wewe makusanya wala pak mizoga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama wamkuubali madebe lidai gonga likes hapa
Hii mbona tushaiyona wamekosa kazi mpya
Hiii Nyimbo ya Sheba Naipataje Jamani ?
🔥
Hii series si tuliiona tayari mbona tena
Hata me nashangaaa kairudia na jina la sheba anadhani ss machiz😂😂😂
Unailudiya ulisha ipandisha
Afu kumbe akir 0 eeeeh hii sitayar ushairushaga sasa unairudia nn
Go see her not him 😂😂😂😂😂😂😂
Mali ya ndimu tunasubiri season 2
Kumbe tupo wengi 2
una isubil maliyandimu
😂
Try not to dely with the next episode