Mchina aliyeuawa kwa kupigwa risasi | Wafanyakazi wafunguka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 18

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 2 года назад +1

    Kazi ya shetani ni kuwadhuru watu wema.Watu wema wana kazi moja tu umoja wao nguvu yao.Mungu sio dharimu atamlipa kadri ya mapenzi yake.

  • @merrychepe5037
    @merrychepe5037 2 года назад

    Mungu amlaze mahali pena peponi Amina

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 года назад +3

    Muweke picha ya muuaji tumsake kama yupo hapa tz

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 года назад

    Poleni sana

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 года назад

    Picha yake ionosphere huyo muuanji ili kila mmoja afanye jitihada za kumsaka

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 2 года назад

    Naomba picha ya muuwaji nami nimuue nikimtia mkononi tu

  • @mussasaid9164
    @mussasaid9164 2 года назад

    Toeni na picha ya mtuumia watu waanze msako

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 года назад

    Hiyo sauti inakera sana sana

  • @azmaradam7604
    @azmaradam7604 2 года назад

    Kizuri hua hakidumu

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 2 года назад

    Kweli wema hawadumu

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 2 года назад

    nimeumia jamaniii 😢saana

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 2 года назад +1

    Sikujua kumbe kuna wachina wenye utu hivi

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 года назад

      Sisi waswahili ndo wenye roho mbaya zaidi kuliko mana mtu ndugu yake hamjali na anamuuwa na kumdhalilisha lakini tunajificha kupitia makabila mengine

  • @wasalimie11
    @wasalimie11 2 года назад +1

    not everything shines is gold there must be reason why she killed him mnajuaje hizo hela anapea watu alizitoa wapi rip