▶ Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee - Me and You ( Official Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Ommy Dimpoz ft Vannessa Mdee

Комментарии • 2,2 тыс.

  • @Ibrahimjef2001
    @Ibrahimjef2001 Месяц назад +114

    January 2025 nipen hizo likes😊 yaan nafungua nayo huu mwaka😊

    • @PhilomeneMusafiri
      @PhilomeneMusafiri 26 дней назад

      aJajjjjsjsiAaHuhyAu❤❤❤❤❤🙌🙌💗🩵🫱🩷🖤❣️🤎🤟🤎♥️💯🩶💘🫲🤍😀😚😀😃😃😆😘😅😅😅❣️🤣🎉😋🩷🇨🇩🇹🇿🇺🇲🇱🇷🇸🇸💯🩷💟💛🎉🎉❤️💕🩷💌🧡♥️💚❣️🩵❤️‍🩹💙💔💜🤎❤️‍🔥🤎💯

  • @danmunjaru8984
    @danmunjaru8984 Год назад +84

    Sijui ni wimbo ndio mzuri au Venessa? Nisaidieni jamani +254 ndani ya nyumba #2024

  • @mosestumaini1921
    @mosestumaini1921 Месяц назад +21

    Nafunga nayo mwkaa nipeni Likes😅

  • @thefinalwhistle80
    @thefinalwhistle80 Месяц назад +18

    January 2025 lets gather here ,it has been 13yrs
    This is the Best song of the Decade

  • @muradazizi5359
    @muradazizi5359 Год назад +22

    Kwa bahati mbaya msanii aliekuwa na uwezo wa kuileta Grammy Tz ndo ameamua kuacha mziki wakt mziki unamuhitaji veemoney😢

  • @elvistheawesome4864
    @elvistheawesome4864 5 лет назад +336

    Aliekuja hapa baada ya East Africa got talent
    Ashushe likes hapa
    Pia ambae anaejisikia kuurudirudia huu wimbo tujuane

  • @Jasmine20269
    @Jasmine20269 5 лет назад +1285

    Nani amefika hapa after Vanessa sang the song on East Africa's got talent

  • @sesemunasia8681
    @sesemunasia8681 11 месяцев назад +11

    Dem wangu aliniwekeanga skiza tune ya hii ngoma. Alisema alitaka aisikiange akinipigia. Time really flies.

  • @DanielChris-x6k
    @DanielChris-x6k 8 дней назад +2

    Nani, anaye tazama huu wimbo 2025 tujuane hapa 😊 kwa Like na comment nyingi hapa 🙏❤️

  • @SudyKamonongo
    @SudyKamonongo День назад

    Daah naikumba 2012 napo iskiliza hii nyimbo, nipo home kigoma wakat huo, kwa mara ya kwanza naichek nikiwa mwanga sokon, leo 6,2,2025

  • @jumastephano2688
    @jumastephano2688 10 месяцев назад +12

    2024 nimerd. Kuangalia ,inanikumbusha mbal sana

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 11 месяцев назад +11

    Achana zile za honeeeeyyyyyyy zenye ndio zimetoka jana nikama za watoto,sasa hii ndio wimbo 😊😊

    • @maukaz1679
      @maukaz1679 7 месяцев назад

      Wewe chizi aki 😂😂😂

  • @florencekyalo4137
    @florencekyalo4137 4 месяца назад +43

    Who is here October 2024❤

  • @paulpeter7244
    @paulpeter7244 3 года назад +9

    Wallah hizi ndo zilikua nyimbo nakumbuka hii ilikua kama nyimbo ya Taifa

  • @jmakori06
    @jmakori06 Год назад +40

    2023 coming to an end but this song will never get old into my ears….wonderful voices 🙌🙌 much love from 🇰🇪 🇰🇪

  • @sekundambilinyi5450
    @sekundambilinyi5450 5 лет назад +66

    Ommy Dimpoz Eagt perfomance ndio imenileta hapa Wallah😍

  • @jojosenior5466
    @jojosenior5466 5 лет назад +121

    Kama wee ni fun wa dimpozz pita na like..he is always musical mpaka sahii 2019 anahit..

  • @hatimalnaamani876
    @hatimalnaamani876 5 лет назад +10

    Jamani mi nimeonjeshwa tu pale kwa East Africa is got talent. Nilifurahi na nikatanani Ommy aimbe na kweli bhana aliimba so imenibidi nije tena hapa niienjoy tena na tena . Nani yupo nami?

  • @BeautyHavenSpa
    @BeautyHavenSpa 5 дней назад +1

    February 2nd nipeeni likes❤

  • @vicentluzonola1325
    @vicentluzonola1325 Год назад +2

    Jaman hv kuna wimbo mzuri kama huu wa mapenzi duniani mm siami kwa kweli😘🤭😁 hyo saut ya vanessa humo ndan dah😅😂 mengne ni ya moyon nimwachie tu mungu😐😅🤣😍

  • @newtonkangethe1560
    @newtonkangethe1560 4 года назад +10

    Where are my fellow Kenyans gonga like tukisonga

  • @amrftk7478
    @amrftk7478 6 лет назад +36

    Nyimbo nzuri kama hizi kuzipata tena nivigumu
    One of my favorite song

  • @janethjohn4081
    @janethjohn4081 7 лет назад +70

    Tumefika leo kwasbb yako baba...... Nice song

  • @georgenjenga4059
    @georgenjenga4059 3 года назад +358

    Legends only can understand the sweetness of this music... Who's here in 2021 still enjoying it

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 9 месяцев назад +2

    Mdada mwenye msimamo wake East Africa nzima akipenda anapenda akiacha ameacha mrs rotimi🥰🥰🇹🇿

  • @faithmbaga1105
    @faithmbaga1105 5 лет назад +61

    Nimekuja kuangalia tena baada ya kuonjeshwa na East Africa Got Talent grand finale 2019

  • @robaiwanyonyi6348
    @robaiwanyonyi6348 10 месяцев назад +3

    My sister in-law brought me here! She is a cutie soul😊❤

  • @edwinmwangi777
    @edwinmwangi777 2 года назад +19

    What an inspiration song...more love from Kenya🇰🇪🇰🇪..EastAfrica to the world.....give it a like

  • @oduorgrace3804
    @oduorgrace3804 3 года назад +3

    huku ndo love for Vanessa Mdee iliongezeka si sauti,,, her smile alafu the collabo was fine

  • @humphreypeter5641
    @humphreypeter5641 Год назад +12

    For the fact Vanessa was her very first time en she killed it, this song will live forever.

  • @livasiaernest4299
    @livasiaernest4299 3 года назад +186

    This song brings backs some good old memories of 2014 when I had just begun life kwa bedsitter in pipeline pale Taj mall. You could not miss someone kwa ploti playing it on repeat for hours on end.

    • @Clintonogwel98
      @Clintonogwel98 3 года назад +9

      Those were the days
      Nilikuwa form 2😂😂

    • @omoisiaonka9086
      @omoisiaonka9086 3 года назад +2

      😂😂 nilikuwa bom one

    • @muginicholas2391
      @muginicholas2391 3 года назад +3

      Life ilikua rahisi back then 😂😂

    • @achie68
      @achie68 3 года назад +3

      Hii story yako ndo wengine tuko leo🤣

    • @nyamburakagunda3498
      @nyamburakagunda3498 3 года назад +1

      @Saumu Chimuu 😂😂😂😂😂😂Hii ni kali.. Nilikuwa form 3

  • @batesi
    @batesi 2 года назад +288

    Jan 2023 and this song still slaps. Dear Future Generation, please do not let this song die!!!

  • @alviderAvelyne
    @alviderAvelyne 3 года назад +5

    Huyu kaka alijiangusha kaumia

  • @JoannesGeofrey-qj7wv
    @JoannesGeofrey-qj7wv 2 месяца назад +2

    Dah ngoma yangu ya kitambo nakumbuka mbali🥺😭❤

  • @mercyakinyi7583
    @mercyakinyi7583 Месяц назад

    Wale tumefungua mwaka na huu wimbo❤❤

  • @alphanlukombe3774
    @alphanlukombe3774 10 месяцев назад +190

    Aliyekuja kuiangalia 2024 agonge like hapa

  • @joxeesetty1980
    @joxeesetty1980 8 лет назад +27

    Bonge la ngoma mpaka Leo naokubali sn👍👍👍👍👍👍👍

  • @Kasweetie_254
    @Kasweetie_254 3 года назад +25

    Congratulations to Vee, she never stopped chasing her dreams 💯💯🇰🇪

  • @DanielAsiachi
    @DanielAsiachi 3 месяца назад +1

    Huyu ndio anaweza toa diamond kwa music😮

  • @RosemineBetty-o5i
    @RosemineBetty-o5i Год назад +1

    Leo nina watoto 5,lakini this song haikosi kwenye karamu ama ndani ya gari yangu
    Hadi watoto wangu wamesha iyungiya hata danse special😊😊

  • @FidelSiva-n7v
    @FidelSiva-n7v 18 дней назад +7

    January 2025 nipeni like wenzangu wa congomani🇨🇩

  • @gracekaroki7137
    @gracekaroki7137 6 лет назад +15

    Niko hapa tena for my baib Ommy Dimpoz mwenyewe♨🎶💯✔ big love kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa uhai tena and to see your family and frnds once again#Kingkiba❤😍 😍🇰🇪

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 2 года назад +90

    🔊🎤😍We don't search for old songs
    We search for Gold Music 🎶
    Ommy 😘😘😘

  • @khamisazizi2155
    @khamisazizi2155 Год назад +1

    Kali sana yaan nimerud kuangalia tena huu wimbo 2023

  • @ERICKORIO17954
    @ERICKORIO17954 22 дня назад

    ❤❤❤mamito amefanya nikafika uku kumuona

  • @anthonykieng-zd3ie
    @anthonykieng-zd3ie Год назад +4

    Wow,what a song,what a TIMELESS MASTERPIECE.A decade down the line and this song is still on 🔥.Africa the HOTBED of ARRAY of TALENT.❤💯👏👍🥳🎉🎈🥰. We NEED MORE of THIS.KEEP IT UP OMMY and VANESSA.

  • @konaswed9737
    @konaswed9737 2 года назад +39

    Nostalgic feeling. Was in TZ at USDM when this cameout, Vanessa was the new girl in town and this song was a big hit. Great memories

  • @daudmbwahali9647
    @daudmbwahali9647 6 лет назад +166

    kama umeletwa huku na yanje gonga like apaaa

  • @jamesmwangi3846
    @jamesmwangi3846 10 месяцев назад +1

    😮Who else noted jeff was in for Vanessa big time during east africa got talent when this song was sang?

  • @AishaBae-ef2zi
    @AishaBae-ef2zi Год назад +1

    Endelea songambele muze Alikiba❤🎉

  • @shaluamkumbo9880
    @shaluamkumbo9880 5 лет назад +10

    To me ndipo nilipomfahamu Vanessa for the first time. Good song of all time. Big up Ommy and Vanessa.

  • @JonathanMukiza-i5u
    @JonathanMukiza-i5u Год назад +89

    Who will be here in 2024? Cette chanson ne perdurai jamais❤❤❤

  • @OtienoTracy
    @OtienoTracy Месяц назад +17

    Who else is watching it in 2025🎉

  • @user-dr9kf6ms9j
    @user-dr9kf6ms9j 3 месяца назад +2

    My all time favorite..
    Gonga like ya queen MDEE VANESSA and OMMY

  • @BadoMartense
    @BadoMartense Год назад +1

    Ninavo mupenda huyu mwamba, super handsome si nimekuja tena kuangalia hii video 31/12/2023

  • @jaredomari5610
    @jaredomari5610 5 лет назад +13

    Mad love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿 mko na nyimbo za kupendeza sana, hongera!!! And why is everyone acting like they haven't seen Vanessa?? She fine as hheell!!!

    • @sultanmswahilitv4864
      @sultanmswahilitv4864 3 года назад

      Hiyo ya pili ni flag ya jamaica not Tz

    • @jaredomari5610
      @jaredomari5610 3 года назад +2

      @@sultanmswahilitv4864 hahaha... samahani, nilitype kwa haraka sana. Nimerekebisha haraka upesi!!

    • @sultanmswahilitv4864
      @sultanmswahilitv4864 3 года назад

      @@jaredomari5610 swadakta

  • @sharonmboya5453
    @sharonmboya5453 6 лет назад +170

    Ommy Dimpoz and Vanessa Mdee 2019 m still here and I love it always

  • @nasiimajulian
    @nasiimajulian 5 лет назад +15

    Running here after EAGT walahi it’s really a hit

  • @mchilangaakomwaninyoyakwe8399
    @mchilangaakomwaninyoyakwe8399 2 года назад +2

    Inanikumbusha mbali sana hii nyimbo😭😭🤔ilikuaga 2012 Daaaah kweli maisha nisafari wote ambao walinipa changamoto za maisha enzi hizo hawapo Duniani, àkiwepo Baba Yangu mzazi na mama yangu wakambo pale Kimara Baruti mitaa ya kwa mwanajeshi, Mwenyezi Mungu awape kauli thabiti na awasamehe madhambi Yao Amina 👏

  • @RickBrian-id5ep
    @RickBrian-id5ep 6 месяцев назад +2

    Lastest here....damn this song inatoka ndani❤❤❤❤

  • @milcentandisi937
    @milcentandisi937 3 года назад +7

    Why?doesn't this song have 10milion views it deserves it.love it so much

    • @tumainivicent4111
      @tumainivicent4111 3 года назад

      Best song ever so refreshing for old memories when listening on obby from karatu arusha Tanzania

  • @reaganstv2131
    @reaganstv2131 6 лет назад +23

    Me and you inabamba na hii valentine... nipeni likes zenu jameni

  • @amour0072
    @amour0072 5 лет назад +62

    who esle is here AFTER Dimpoz performance at EAST AFRICA'S GOT TALENT?

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m Месяц назад

    Leo niko hapa

  • @Caltexjr
    @Caltexjr Год назад +2

    Who is watching this master piace with me in 2023 ,, ommy hapa uliuwaa kaka mpaka leo huu wimbo naupenda 😂🎉😂😂😂

  • @dezzoshine
    @dezzoshine 11 месяцев назад +5

    nipo ndani saa ii

  • @bayatodhiambo1514
    @bayatodhiambo1514 2 года назад +541

    March 2022 and this song is still a huge vibe ,dear kids in 2050 never forget about these two Tanzanian artists they were legends in our time😂💯🙏

  • @petermacharia02
    @petermacharia02 18 дней назад +14

    Who is back on January 2025❤

  • @salhaiddy403
    @salhaiddy403 2 года назад +1

    Wimbo bado wa 💥

  • @melodyjunior-w7l
    @melodyjunior-w7l 11 дней назад

    Vanessa ndo alikuwa anaileta Grammy bongo

  • @zelly-henryingasiah7159
    @zelly-henryingasiah7159 2 года назад +4

    Vanessa was a whole vibe Kwa hii ngoma! Plus she made a bold statement time timberlands zilikuwa za guys!
    This song was mega hit! Could hear it simultaneously Kwa radio, matatu and all over...

  • @antonywaithaka2311
    @antonywaithaka2311 3 года назад +30

    It's a master piece, thats pure talent right there.

  • @benronoh9331
    @benronoh9331 9 лет назад +67

    Nice song. I have played it over an over. Can't get enough of Mdee

  • @Markmint4
    @Markmint4 6 месяцев назад +1

    This song reminds me ile time nilikuwa job dubz manze... off day lazma ningeicheza😅

  • @consolatagabriel
    @consolatagabriel 7 месяцев назад +1

    kitambo sana lakini bado kali tujuane 2024

  • @rodahonsare8576
    @rodahonsare8576 Год назад +7

    2024 still rocking, wapi like za 2024 January 🎉

  • @graceabalem1577
    @graceabalem1577 3 года назад +14

    My husband's favorite jam🎶listening to this today makes me think of our beautiful moments together 💕I love you babe.

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Год назад +578

    Ambao tunaangalia hili song 2024 tujuane😂

  • @joanne-chris
    @joanne-chris 11 месяцев назад +1

    Didnt know how sweet this song was till i saw ommy performing

  • @jchebor
    @jchebor 3 месяца назад

    I remember 2014 this was my favourite ❤ Hiyo wakati sikuwa nimejua ata kutumia simu😂❤

  • @zulekhamnyaturu6341
    @zulekhamnyaturu6341 6 лет назад +773

    Wale wa 2019 tujuane hapa kwa like

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 2 года назад +19

    It was 2013 when I was 3rd year when this Masterpiece was finally released,
    April 2022 and kids don't appreciate Ommy for giving V Money Opportunity to showcase her Talent, without this song we would never seen such Talent in Vee.

  • @winnienjeri5632
    @winnienjeri5632 5 лет назад +87

    This song just gives me goosebumps by just hearing Vanessa's magical voice. I find myself on repeat

  • @PurityBerita
    @PurityBerita 3 месяца назад +1

    Niko ndani November to papa Godoh❤❤❤

  • @irenenkelame9040
    @irenenkelame9040 11 месяцев назад +2

    The director of this ❤❤❤❤

  • @kelvineliud2885
    @kelvineliud2885 2 года назад +4

    the intro kills everythiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing,damn

  • @muuh_mchokozi_tz4430
    @muuh_mchokozi_tz4430 5 лет назад +5

    Who is watching in june this song gong lik hap .. love them noma kwel .. 😊😍😍😍 ina bid waimbe ten

  • @brianmaina7239
    @brianmaina7239 2 года назад +22

    Pure Greatness,love and happy vibes ❤️🇰🇪

  • @GodfreyBasilidi-z7l
    @GodfreyBasilidi-z7l 5 месяцев назад

    Ommy Dimpoz Msanii Nakukubali san kaka # Song WANJERA AND ME AND YOU

  • @rosemary_rosee
    @rosemary_rosee 2 года назад

    Sema kweli na misi sana kolabo ya ommy na vee,,, vanesa rudi uimbe tena bac

  • @josephjuma3686
    @josephjuma3686 2 года назад +9

    Legendary duo, I still get goose bumps listening to this song in September 16th 2022. Much love from +254 🇰🇪

  • @d1btv487
    @d1btv487 11 месяцев назад +4

    I remember this song in 2015 when I was studying level 5 in boom party school 💫🕺💃

  • @francisnyeriga
    @francisnyeriga Год назад +7

    Leo tarehe 1/1/2024 still hii nyimbo bado kali

  • @nastonjuma1091
    @nastonjuma1091 Год назад

    Huu wimbo nikiusikiliza unaniondolea mawazo yote🔥🔥🔥

  • @UpendoAdriano
    @UpendoAdriano 5 месяцев назад

    Nice song Bado inatamba tu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @hedrickayodi5253
    @hedrickayodi5253 2 года назад +7

    This song just came in my mind this morning and I had to download it

  • @bonifacemambo2802
    @bonifacemambo2802 2 года назад +8

    This was one hell of a hit.Vanessa's vocals are on another level.

  • @albertcheruiyot3357
    @albertcheruiyot3357 6 лет назад +34

    An excellent song, Ommy Dimpoz and Vanessa Mdee have awesome voice. They make the song sweeter!

  • @JacksonWanganga
    @JacksonWanganga 5 месяцев назад

    Mimi na watoto wangu Shantell and Muthoni tumefika hapa kwa sababu yako Baba

  • @muniramuhando6303
    @muniramuhando6303 Год назад +1

    Acha leo nilisten hii song na ni kwaresma 26/03/2023 😅😅😅i love dis song