Duh pole sana mdad kwa hayo maumivu unayopitia mung akutie moy ulee mimb yko,.na rafik yang yalimkuta Kam hayo kalee mimba mpk kajifungua salama,tena hyo bwan et anatak mtt Wang nimuone,lkn mimba aliikataa nyie wanaume mungu anawaona, kam ni yake kweli mung atampiga kofi hyo kaka.
Ndugu yangu wala usijeukatoa lea kwasababu sio ww wakwanza kulea mimba bila baba wengi tunapitia maumivu na kama mm alie niponza ni mtu wangu wakarb Sana so usijali kpz wanawake niwapambanaji 💪💪💪
Laana wako nazo wote kwa7bu unalalaje na mtu ambae hajakuoa? Yaan ayo ni mafunzo tosha kabsa, ila nampa pole sana dadaangu Tusikubali kulala na wanaume kabla ya ndoa wanaume ni vinyonga mda wowot wanachange
Wa kwanza Leo mm daaah ZOMPAH siomb like hata
Umetishaaa zompa akupe zawad😅😅
Umetisha mkal
Nakubali man
Duh pole sana mdad kwa hayo maumivu unayopitia mung akutie moy ulee mimb yko,.na rafik yang yalimkuta Kam hayo kalee mimba mpk kajifungua salama,tena hyo bwan et anatak mtt Wang nimuone,lkn mimba aliikataa nyie wanaume mungu anawaona, kam ni yake kweli mung atampiga kofi hyo kaka.
Tena kofi la uso akafie mbele uko
Hee pole sn dia
Watu wanatembee na maumivu moyoni😭😭😭😭😭
Oooooooo VIP uyo dada..kwan..niyeyetu
Mbona nikama..amesaua..mungu.
Wewe rudi kwamungu
Ndugu yangu wala usijeukatoa lea kwasababu sio ww wakwanza kulea mimba bila baba wengi tunapitia maumivu na kama mm alie niponza ni mtu wangu wakarb Sana so usijali kpz wanawake niwapambanaji 💪💪💪
wallah majitu mengen kama hayan akili sass unamwagia. Ndani alaf unategemea nini
Dah. Inauma. Sana. Ila. Na. Alee. Mimba. Yake. Mungu. Yupo. Pamoja. Nae. Sana.
Duuh wajina tumepigwa tukio kwa pamoja pole mwaya😢 hayo mapito tu kipenzi
Hajakupenda uo
Wanaume watanzania sijuw wanashidagani jamanii daah😢😢
Inauma. Sana. Usiombe. Yakukute. Ila. Inauma. Sana
Yan haya mambwa haya Yana juatu kuingiza na kumwagia ndan Yana laana haya yanao kata mimba pole Sana dada mungu yupo
Laana wako nazo wote kwa7bu unalalaje na mtu ambae hajakuoa? Yaan ayo ni mafunzo tosha kabsa, ila nampa pole sana dadaangu
Tusikubali kulala na wanaume kabla ya ndoa wanaume ni vinyonga mda wowot wanachange
nawakumbushen ogopen sana wanawake sanaa an
Wanaume sasa ndo wakuogopwa mnoooo 😢
😢😢
Zompa Ana huruma Sana🙏
Nikweli mashallah
Najitolea mkusaidia zompa
Mm nataka chalechi kwa mme wangu nitawapataje
0679900694
Wala usitoe mwaya pambana nayo adi ujifingue umlee mtto wako Kwa Nia safi
😂😂😂
Ilo duka kula siku apo apo ni kwa Dem wako nn😅😅😅
Anawatangazia biashara
unawaza mapenzi tu
@Lily-rn6xc 👍
Dada zangu mutabebaje mimba na watu hawaeleweki acheni ujinga
Sio ujinga hujawahi kupenda wewe